FUMARISON MJEJE - KUPENDWA RAHA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2023
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04 - บันเทิง
Dah fumau hodar sana...he is so talent mashallah
Uko vzr Abdul mashallah
Mashaaala huyu kaka anastaili maua yake.
Utamu ulioje!!!Hongera kaka
Much love from Kenya
flawless. from 254 with love
Santaaaaa tenzi hilo ni noma🙌🔥🔥🔥
Kongole sana kaka, Nafuatilia sana ushairi wako,
Hongera nice ❤❤❤❤❤❤❤ shairi
Mashaallah Hongera kaka kwa nyimbo nzuri athuman from geita Tanzania
masha ---allaah🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I had to search for this. Ajaaaaab. Love from +254
nakukubali sana mwanangu mungu akujaalie ufike mbali
Mashallah!!!takusubiri Mombasa kesho
Paaambee ai raaahaaaa
Nakuona mkuu G Nako jamaa amekuweza🇲🇿
Hatar san
Hongera dogo
Mashallah
❤❤❤❤❤❤❤❤ love you more
Karibu Churchill show
Imenigusaa mpaka moyoni jamanii jamann,kupendwa,rahaa
He's very very talented
Kongole kaka
Kazi safi hongera
Duh imezingua mpka moyon
Kazi safi...hongera
A real talent showcased in a string of a great masterpiece and realia. I'm an ardent lover of shairi, and wish you well in your endeavours to see your talents blossom. Much love from Nairobi, Kenya.
Khongera kaka nakupenda bure🎉🎉🎉🎉❤❤
Waooo mashallah❤
This is pure talent
Hongera kaka nakupenda bure
Abdullah umenikoshaa
Lots of love from ±254
Talented Guy😂😂😂🙌🙌🙌
Namkubali sana mwamba
🔥🔥🔥🔥🔥
The guy is talented,keep up the good work
🌹🌹🌹🌹🌹
Congratulation baba
I live here..
❤❤❤
Jamani
Mashallah,,,, shida yako. Utopolo. Daaaa hongera sna
Umetisha bro big up ❤❤❤❤❤🫡🫡
Yupo wapi huyu kijana
Yukovizuli mpaka dunduka wanaumia
🎉
Huyo dada kanifurahisha alivyoita jina dah😂
Tupe tusiyoyajua
😂😂😂 nkipokea tuuu aniita nan
Burudani kweli
💓
Abdul Asalamu alaikum
Nataka kuongea na wewe private please
Hahaha
😂😂😂❤
Jamaa kama mzanzibari hivi 😂😂
🤣
Kwani ximzanzibar hy?
ni mzanzibari upande wa ubabani kwake ni Zanzibar
H😂😂
Jamaa Yuko vizuri shida ni utoporo
Acha nongwa utakufaa Na stress🤣
Shida Akili Yako. Utopolo Niraha Hakuna Stresss Huku.
😂😂😂
Acha ubinafsi dadeki zako....😂😂😂😂
we kenge kweli ulitaka awe wunu madunduka
😂😂😂😂😂😂😂