PART 2: MBELE ya KIKWETE, Mzee MAKAMBA Asimulia VITUKO, MIKASA WALIYOPITIA na BABA YAKE NAPE VITANI!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- PART 2: MBELE ya KIKWETE, Mzee MAKAMBA Asimulia VITUKO, MIKASA WALIYOPITIA na BABA YAKE NAPE VITANI!
LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Mwenyezi Mungu akuongezee maisha baba. Hakika kuna kitu cha kujifunza baada ya kuangalia hii.
Strong memory...Mzee Makamba is very genius! Udumu na kudumu!
Asanteni kwa kumbukizi hii ya Mzee wetu MOSES NNAUYE imetujuza mengi ya Muhimu kuhusu Nchi yetu🇹🇿🇹🇿🙏
Ww unatafuta uteuzi au kichwa ya kitumwa tu uliyobeba kichwani , au msomi sana mwenzetu ,maana wasomi siku hz ndio wameoza kbsa hahahahaaaa
.
Mzee hakika Asante kwa Elimu na kufundisha kuweza kuelimisha vijana na wengi tutajifunza kupitia huo ujumbe Mungu azidi kuwabariki daima wazee wetu
Sasahiv wanaonekana mungu anawaona
Shikomoo boss wangu ewe rafiki Mkuu.
Ni Kikwete ndugu yangu kwako najitupa puu.
Nisamehe kosa langu, Moyoni si juujuu.
Nilikusengenya ndugu, kwenye simu kuukuu.
Nahofu sana kwa Mungu nisichomwe huko juu. Mkali moto wa Mungu, siyo moto wa kifuu.
Kila aliyezaliwa ndani ya Nchi apewayo na Mungu hutoa mchango wa kuijenga kwa nguvu zake zote. Yusufu wala sina shaka na kazi zako Mungu akubariki
Hongera kwa Historia hiyo muhimu mbele ya Mh.Kikwete Rais mstaafu awamu ya nne.
Kosa moja kubwa sana wanalolifanya wanasiasa ama kwa sababu ya ujinga wao au kwa masilahi yao binafsi, ni kushindwa kufahamu kuwa moja ya tunu na nembo za taifa letu ni pamoja na Rais wa awamu ya 5. Mwanasiasa yeyote anayejitoa ufahamu wa kutaka kufifisha uongozi uliotukuka wa awamu ya 5, ajue anapambana na nguvu ya umma!
Hujitambui wewe
Ibrahim hujitabui, toa blanket usoni kumeshakucha.
@@josephatkajange8714 magufuli anakuwaje tuna ya taifa embu acheni utoto
Hakika hakika. Nchi ina chezewa sasa na Watanzania tunakubali huu Ujinga?
@@hassankurwa464 watu kukutana ndio kuchezea nchi?
Hongera sana Mhe Mzee Yusufu Makamba kwa Hotuba hiyo nzuri na kuweza hadi kuwachekesha kina mhe daktari Kikwete jamani.
Mungu anawaona
Kabisa
Yani nimeipenda hii stori sana, mungu awabarik
Hongera bwana Yusufu Makamba la mwisho jina .
Hakika tunakusifu, uimbaji wenye vina.
Tungo zilizosafifu, mahiri kama kijana.
Atakae kukashifu ni mjinga na laana.
Amepotezq mkufu na ni kama dini Hana.
Mzee Makamba umetukumbusha sehemu ya Historia ya Nchi yetu asante Baba. Barikiwa Sana tusingeyajua haya yote
Wakati wa magu mlikua hamuonekani kimya
Kazi wameshaimaliza sasa ni muda wao kujitokeza
Breaking news - jambazi sugu limezikwa chato
Kwahiyo mzee unamaanisha nini ? Mbona kama stori haitoshi ninyi kujimilikisha taifa hili ...... Yaan hivyo tu itoshe ninyi kujimilikisha na kurithishana nchi hii kweli ..... Hakika mungu atawaumbua mmoja mmoja na kwapamoja as you are.
Mzee Makamba Bana anafurahisha anaelimisha 😂
Wala hiyo siyo sababu ya kuifanya hii nchi kuwa pango la walanguzi.
Una ushahidi wa unayotuhumu ?
@@itwaaky75 yes anao hao ni kundi la wezi na ndiyo wanaoua viongozi wenzao hiyo ni sherehe kwa kufanikiwa humuua mkapa magufuli na wengine .so dont think were stupid. No were not
@@happinessmsila1896 inabidi ukamatwe ukatoe ushahidi
Kazi tunayo, maana hichi kikundi Sina imani nacho kabisa.
Makamba,JK na Kinana..watu muhimu Sana kwa nchi hii
Safi sana viongoz mmetutoa.mbalimwenyez.mungu zid kuwalinda upendo dumu asijetokea mtu tena wa kutuondolea utu heshima na upendo
Nchi hii haya bwana sema historia nzuri kweli
Unafiki aiseee kazi sana!
Mmmh aya bana apanguae ni Mungu pekee hata mwanadam ajitahidi vp haitachukua muda!!!
Comments za leo Zina furahisha Sana. Kiukweli magufuli alitaka kuiharibu hii Nchi lkn MUNGU mkubwa Sana tunawapenda Sana viongozi wetu hakika hii ndio Tanzania.
😂😂😂
Wazee Waheshimiwe sana
Actually aliharibu sana watu wengi imagine mijitu imejaa chuki na dhihaki halafu inasema mizalendo move on idiots magufool is dead gone and he is not coming back
@@ghoststpatrick9878 kwani wao hao watabaki milele? Washenzi tu hao nao watakufa tu ipo siku yao ila hawatozikwa kama JPM Kudadeki
@@teddyoscar6876 jambazi sugu lilikuwa mashuhuri sana dah 😂
hahahahhahahah mzee Makamba noma sana
Hakuna Siri Duniani Hapa haitafichuliwa....
Wapigaji wa taifa. Wameifanya Tanzania kama mali yawo binafsi. Mungu atawahukumu.
Kufa kwa nja hko
Wamerudi
Mungu yupo wanahc nchi mali yao
Kwenda zako jambazi kuu limezikwa chato 😂😂😂
@@ghoststpatrick9878 mbona umehamaki? Ukweli unauma?
Wamekuja wote sasa…! Lakini ushaidi hakuna, na kweli ushaidi HAKUNA…, kazi mlioifanya kwa kweli M/Mungu aendelee kuwalinda. Andika kitabu mzee Makamba
Hicho kikosi jaman sijui!!
Kipo vizuri sana hicho kikosi cha watu wakale…
Safi Sana kila Jambo Lina waanzilishi
Wauaji
Kwakweli mnafuraha sana dah!
Umeliona hilo
Haka kameseji kako kamenifurahisha, 🤣 🤣 🤣
Dah!
Aiseee......watu muhim Sana ktk taifa hili mnastahiki kuheshimiwa Sana na kila atakae shika madaraka nasio kuwabeza kanakwamba hamjafanya lolote na amna umuhim wowote....
Mbele za mungu hawana hata ndururu ya kujivunia malaika atafukua kitabu atarudia atachoka sifia hapa hapa duniani laana wa kubwa hawa wamefikia hatua ya kumzihaki mungu kuapa kwakushika vitabu kwamba hawatatia siri za IKULU KISHA WANAZITOA THE GRUP OF THE DEVO HAWANA HAYA HATA MBELE ZA MUNGU KISA UTAJILI WAHESHIMIWE KWA MAKUNDI YAO YA UOVU NA KUPIGA MACHINGA NA KUWAACHIA WASANII WANAO IMBA NYIMPO MBOVU NA NGUO NUSU UCHI?
@@jenyyusuph4973 Kati yao Kuna hata mmoja uliemuona akivunja kibanda au kumpiga machinga yoyote?.....
Akili za kuambiwa changanya na zako,mbona aliekuwa kiongozi wa awamu ya tano alivunja nyumba za mabondeni na barabarani ila hakuna alie ongea....kuhusu machinga kuwepo mjini tena kwenye njia za wapita kwa miguu nisawa na kwako ukute shemeji kajenga Banda la bata chumbani kwako
Kikosi Kazi cha mizee iliyopora mali za Watanzania
Kina Sabaya au Wasiojulikana au 😳😳Hatari sana hii. Kwa MUNGU hakuna Cheo
Lol na yule jambazi sugu wa chato veepeee 😂
Wakati wenu huu r .i.p jpm mzalendo namba moja tanzania
You mean mpigaji namba Moja Tanzania fala sana we jamaa 😂
Mtukumbe hajaenda vitani halafu anatukana wazee vijizee vinawashwa
Ukiona vyaelea vimeundwa hawa wazee wamefanya kazi.
Msikae mkiwatukana ni watu wa kuwaenzi sana.
Wamefanya kazi kubwa sana. Tulipovamiwa na Idi Amin wazee hawa ni miongoni mwa waliojitoa mhanga kuikomboa ardhi yetu na kutufanya Tanzania tuonekane kuwa si nchi ya kuchezewa
Hongera sana wazee wetu mliopo hai hadi leo
Wanaokusemeni kwa ubaya wana lao jambo.
Hawa si wale waliosikika wakimkashifu jpm kwenye mahojiano ya simu hadi wengine wakaomba radhi?
Hi ndiyo kamati ya roho mbaya utazani wazuri lakini?
Mzee Makamba anaimba kwa kiGanda kizuri sana
Dah,inatia raha Sana!Wazee wanazungumzia namna walivyolipigania Taifa hili Tena ktk mstari wa mbele vitani halafu wajingawajinga wasio mwaga jasho kwa taifa hili wanataka kuifuta historia ya wazee hawa.Mungu awalinde wazee wetu.
Siku zote mlikuwa wapi kusimulia hadithi zenu kweli chuma n kimoja tu Africa
Brother Code never break
MMMM! NDO MAANA WAZEE MMEUMIA SANA WAKATI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO...TUSAMEHEANE TU...MEMA TUYAFURAHIE...
Kilakitu kinamwisho wake Sasa mwisho uwe mzur mbeleza muumba wetu
They are happy now!
Why not jambazi kuu SI limekufa? 😂
They are so happy sasa hivi wanajimwambafai wezi wakubwa mabepari wa Tanganyika hawa
@@teddyoscar6876alaaa kumbe kama mwizi wa chato 😂😂😂
Hawa wazee Wana haki ya kula neema ya nchi hii inshallah MUNGU awaweke🙏🙏🙏💪💪💪
NYERERE anawaona
Maandalizi ya "ngoma ya mshosho" !
Bring back professor Asad
Aaa watetezi wa wanyonge
Tumwombe sana Mungu, atupatie Rais wa wananchi, sio wa kikundi Fulani, hatutaki kubebana hapa
Wale watekaji wakiona watu wamekusanyika hivi wanahangaika sana
Hii kumbukizi imeanza lini?
Kumbe mlikuwa mnatengeneza logistic za kuwapa vyeo watoto wenu!!!
Panya akiondoka paka utawala. Mazee wa majungu na watoto wao si hawa ndio walikuwa wanampikia majungu mwanamapinduzi son of africa Mzalendo JPM . Mungu mlaze mahali pema peponi JPM 🙏🏽🙏🏽
Watu warudisheeee mifumoooo yaoooo na kooo zakooo😆😆
Zee hili😮
I love this Mzee..haki
Majambazi nyie tumeshajua kwann mnaichezea nchi, urafk wenu ndo ututese sisi, watu wanakufa watu wanazaliwa acheni kupeana vyeo Kisa kujuana (
Genius
Wameipigania sana hii inchi lakini na ku serve kwenye jeshi tena kipindi cha vita, wanastahiki heshima zao hawa wazee , hata kama hamuwapendi, ila vyeo kwa kweli vitolewe kwa uwezo na sio upendeleo wa kujenga undugulisation.
Juma Hamis, waeleze wajue na waache chuki zao.Hawa majemedari wameipigania nchi kwa hali na mali hadi vitani wamekwenda kwa ajili ya nchi lkn hawajisifu.Hata hao wanaotukana Leo wasingekuwepo Kama sio hawa wazee.Wengine hawajatoka jasho kwaajili ya Taifa hili Bali wanataka kujinyakulia umaarufu wa majemedari hawa kwa kuunda vikundi vya kuwatukana na kuwavunjia heshima.
@@jumahamis227 mbona makomandoo wertu waloiuliwa Sudan na Congo hawajapewa harambeee
@@yeshuasweapon4384 wanastahiki kupewa heshima sana,ila nilivyoona hapo baba yake nnape hasherehekewi kwa sababu ya kijesh tu,ila ni kwa sababu ya mchango wake kwenye harakati za chama na nchi kama utunzi wa nyimbo za uzalendo na malezi ya viongozi wa chama.
Wezi wakubwa
Wamekuibia nini??
Nikiwaona Hawa jamaa nakumbuka umeme tabu Maji tabu nchi inanuka rushwa watu wanazurumiwa viwanja hakuna Haki Mzee ditopire ariua dereva. Wadaradara kwa bunduki kesi hakuna
Asante Rachid tuliteseka Sana henzi hizo
Mzee, makamba achana na story za paukwa na pakawa huku mkifisidi na kulihaibu taifa
ccm inawenyewe
Kaongea nini chamaana?
Lakini hatawazaziwetu walifia huko,nahizonyimbo ziliimbwa mpaka mashuleni,
Tusiwasahau wazee hawa... Yapo mengi wamefanya kwa nchi hii...japo Watoto wao viburi Ni vingi kwa ajili ya heshima za baba zao... Hekima zenu Zina tuzo kwa Mola .. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Ndio maana MABUSHA nnje nnje
Sasa baba ake nape anatuhusu nini
Huwezi kujua wewe mtoto mdogo
@@slowclimbertothetop4572 sure
Mlikuwa na upendo wa hali na mali,january na nape mmejifunza kitu???
Nyie wzee mbona unatukosesha furaha kwenye in hi yetu? Kwaiyo kwa kua uliibigania tanzania ndo amtaki kuiachia mpaka mufe Co? Mbona weng wamejitoa kwa ajili ya tanzania jaman 😢😭😭
Kwani wameishikilia?
Yameweka 4 shetani freemason anawadanganya kama mm sijafa kwakumkufuru mungu nanyi mtaywa lkn hamtakufa kwakua nyinyi ni mungu webgine
Freemason mkuu kazikwa chato 😂
@@ghoststpatrick9878 fremasoni hazikwagi vile anazikwaga na hela zake alizo iba au madawa yake aliyo uza AU VIFAA VYAKE KATI YA KIMOJA KILIVHOKUA K8NA TUMIKA KWA UCHAFU
@@jenyyusuph4973 alaaa kumbe! Basi tumuite kibaka 😂😂😂
Hiki nikikudi kwaajiri ya manufaa Yao wenyewe na wapo kuinyonya hii nchi
Acha kupotosha
Kweli kabisa, nani anataka story hizo, za nini? Ni kwa ajili ya manufaa yao kweli
@@teddyoscar6876 umelazimishwa kusikiliza?
Halafu Mkazaa Machawa na walafi wa Madaraka
Hii ndio timu yenyewe
Hahahahaha
Tumesha wajua kwahiyo mwendo ni huoo huoo tuu inchi niyaoo wao tuu kwani ndo wao walio pigania uhuru tuu mbona kuna kina generally mayunga
Wako kimya na watoto wao hawajulikani ?
Nyie nikinanani muwe mwiba kwa inchi yetu wote ?
Hapa mzee makamba anapanda mbegu ya undugulization je watoto wa mzee kanani uko kijijini watashikwa na Nani?
Sikuwah kujua historia ya mzee nauye!aiseee
Comredy upo!
Hawa ni wanajeshi lakini yule JKT alijiona ni kamanda zaidi
KWELI WATU MMETOKA MBALI SANA MNASTAILI PONGEZI , ILA MUWE MNATUADITHIA TUJUE ANGALAU MACHACHE
Wauwaji
Mhh kumbukizi..... Jambo jema
Nchi hii inatoka mbali xna
Makomledi Mungu Awabariki sana
Kiongozi yeyote yule Awaye Kama Akikosa Heshima kwa
Wazee wa Nchi yake na (akaridhia
Watukanwe na Kigenge cha wahuni) huyo ni bure
Hafai kabisa
Mzee katika watu waliochezea nchi hii ni ninyi kikosi chenu hicho , unatuchekesha tu kujifanya komedian lkn ninyi ndio mliharibu chama na nchi nzima , hao akina Jitopile ndio mpk waliuwa watu na waliachiwa huru mpk mungu alipoingilia kati
watu wakupiga story na kujenga bank balance
Hiyo ndo hazina,ya Tanzania ,ilindwe,ijifathiwe,itunzwe,,nidhahabu,yenye thamana kubwa,,huyu Mzee nampenda sana,,hostoria yake, ninzuri sana,yakujifunza NAyo,,watz,tunzeni,hayo maneno sana,mkae, mkijua Uhuru haupatikani,kiurahisi hivyo,tunzeni AMANI! Sana idumu milele!
Mnatamba paka kaondoka
Ndo kilichomuuwa hko ubinafsi
Afadhali kaondoka huyo paka
Paka shume limezikwa chato 😂😂😂
Nyie hayeni tu
Mzee leo umesema mengu akupe umri mrefu
Staki kuyaona mazee hayo,Anko MAGU angekuwepo asingeruhusu majambaz yaongee utumbo wao hapo.jinga xn
Asiyetaka kumuona Binaadamu Bora ujichimbie aridhini maana DUNIANI ya MUNGU. Usiyempenda ndio anaishi muda mrefu
Jambazi kuu sugu limezikwa chato 😂😂😂 halleluja
Hii ndiyo timu iliyomuondoa JPM
Una ushahidi?
@@itwaaky75 muulize hata mama yako atakwambia
Safi sana kutuondolea jambazi sugu chato gang 😂
Kama kampongezano hivi uku tukipewa story taratiiiiibu,dj lete kale kamzik ketu
Mpongezano wa nini?
Hata haya hayana hayo majitu
Mtu alikuwa anatafutiwa chaka hapa,,,,
Kiaxi hixtoria na vicheko vitawale maana Magu alitixha enzi zake
Baba leo tumekuelewa kumbe nape na January ni ndugu toka kale??
Wapigaji wakikutana sasa😂
Mpigaji mkuu kazikwa chato 😂
Angalau ameshika bunduki kupigania nchi
@@ghoststpatrick9878 😂
Wamesha tuondolea mzalendo sasa wamekutana kula hela zetu
@@zumbeshauri8114 yaani yule kibaka ndio anaitwa mzalendo? 😂 😂 😂
Watoto wa mjini wote mko hapo makonda uliwaheshimu sana wastaafu