Mzee Makamba akitoa somo la ufugaji wenye tija na jinsi alivyoanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @wollefernando1257
    @wollefernando1257 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna inspirational yoyote hapo. Ilikuwa TBC mumtafute mtu wa chini ndio kuwa inspire watu ila sio kwa kigogo kama huyo.

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว +1

    Ww umezulumu mwizi mkubwa ww

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 ปีที่แล้ว +1

    Hana kitu kipya, hii yote nikuwa na pesa, yy na mstaafu mwingine ni vitu2 tofauti anavyanzo vingi vya siri vya pesa, asizarau wasiobahatika kuwa ktk fungu lake, yoote haya ni jeuri ya pesa hawa wazee walivuna sana wanavuna sana nawatavuna sana, so better u flight by your own

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze juu ya mafanikio pitia mtu wa kawaida na wachini aliefanikiwa, na si kwa mtu aliestaafu na pesa nyingi na akiwa na miradi lukuki kila kona ya nchi, utafrastrate tu, labda hii inawafaa wastafu wenzie matajiri

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +2

    Bado mnakuka Serikalini kupitia Mtoto wako ndio maana unampigia debe

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 ปีที่แล้ว +1

    Anajifurahisha to wazee wanao kula mema ya nchi hawa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee unaheshimika, usiwaneneee vibaya wastaafu wengine! Ni muhimu kukumbuka kuwa si kila mstaafu alikuwa Katibu Mkuu wa CCM,,,

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 2 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nasubiri kusikia Mama January akitajwa... na ametajwa 😄

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mzee Makamba