WAKILI MADELEKA AMTOLEA UVIVU PROF MKUMBO KWENYE MJADALA KUHUSU UCHAGUZI AMWAGA NONDO NZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 195

  • @ChristerKok
    @ChristerKok หลายเดือนก่อน +33

    Ahsante wakili Madeleka kuweka wazi.uchaguzi ulikuwa ovyo ovyo,watanzania tumechukuia sana tumeumia sana.

    • @NatashaJonhson-es8si
      @NatashaJonhson-es8si หลายเดือนก่อน +2

      wewenichawa waccm lakini mjue watanzania hatuwataki watuwaccm

    • @oliviaseth4652
      @oliviaseth4652 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa, watanganyika tuko kwenye maumivu magumu.

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sitashiriki uchaguzi wowote katika maisha yangu kama katiba hii itaendelea kuwepo na nyinyi vyama vya upinzani kwa nini mnashiriki uchaguzi wa namna hii mimi namuomba Mwenyezi Mungu awaadhibu wote walioshiri kuuharibu uchaguzi huu

  • @IDDYNZIGUYE
    @IDDYNZIGUYE หลายเดือนก่อน +17

    MADELEKA UNA AKILI KULIKO HUYO PROF MNAFIK. AMBAYE AMEVUKA KUWA CHAWA YEYE NI KIROBOTO.

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq หลายเดือนก่อน +6

    Hata mwalimu Nyerere hakuwahi kushinda kwa asilimia tisini na tano ije kuwa nyie majizi na wauwaji.

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 หลายเดือนก่อน +20

    Prof. chawa! Akili zake ziko rehani

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 หลายเดือนก่อน +2

      Professorial rubbish

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq หลายเดือนก่อน +3

      Ndio matatizo ya kuweka rehani akili kwa uwezekano wa kupata vyeo au faida za kisiasa

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op หลายเดือนก่อน +1

      Huyo ni Prof opportunist! Hamna kitu hapo.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 หลายเดือนก่อน +2

    Tumepoteza nguvu kazi ya kiprofesa! Mkumbo tumempoteza kweli elimu yote kwenda kuizika kwenye UCHAWA?😭😭😭😭😭😭

  • @ProjestusRwechungura
    @ProjestusRwechungura หลายเดือนก่อน +15

    Wakili upo vizuri , hongera sana

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awaalani wote walioiba uchaguzi na hao waliotangazwa na hao wanaotetea uovu na viongozi wao ANIN

  • @tumainmkonyi8459
    @tumainmkonyi8459 หลายเดือนก่อน +3

    Bonge upo vizuri mkuu

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili madeleka hongera Sana Mr isihakha upo vzuri Sana katika kujielezea.

  • @masungajp1
    @masungajp1 หลายเดือนก่อน +1

    I love this as a Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SulupsJoseph
    @SulupsJoseph หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde madeleka

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna nyakati kila unavyojitahidi kupambana ndivo unazidi kujivua nguo

  • @petermkumbo5094
    @petermkumbo5094 หลายเดือนก่อน +2

    Bora ukutane na Profesa Maji Marefu kuliko hili tikiti maji ninalokula😭😭😭😭

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o หลายเดือนก่อน

      Tiki maji Lina faida mwilini kuliko huyu pono

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s หลายเดือนก่อน +5

    Hongera madekeke tuko nyuma yako wengi pgania haki zetu bro

  • @respiceandasoni6992
    @respiceandasoni6992 หลายเดือนก่อน +14

    yani hata mtoto aliyezaliwa leo anakucheka unavoviongea profesa

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakili madeleka upo vizuli sana
    Hongela sana bonifas upo vizuli sana🙏✔️

  • @MickyMgeri
    @MickyMgeri หลายเดือนก่อน +2

    Sijawahi kuona profesa taahira na mwenye njaa ya aibu kama huyu kitila.

  • @johnhamli2489
    @johnhamli2489 หลายเดือนก่อน +16

    Ccm ilishakufa zamani sasa tunatawaliwa kwa nguvu na vyombo vya usalama!!

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli หลายเดือนก่อน +5

    Ahsante kaka madeleka

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Star Tv kwa kuandaa kipindi tujua wajinga waliko serikali kumdanganya mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ,!Mungu tuhurumie kama Taifa la mwalimu Nyerere.

  • @lovisfrederick3629
    @lovisfrederick3629 หลายเดือนก่อน +1

    Akitoka hapo anaenda kuwafundisha wanafunzi chuo kikuu.😇

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 หลายเดือนก่อน +6

    Just imagine huyo ni Professor haoni hayo anayosema Madeleka

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi หลายเดือนก่อน +5

    Wote walioiba kura bila kuchaguliwa mwenyezi mungu atawahukimu wate na malipo yatkua hapa duniani.

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 หลายเดือนก่อน +2

    18:32 hata kata Luchelele Mwanza polisi walikimbia na box

  • @masungajp1
    @masungajp1 หลายเดือนก่อน +1

    Bring me in as a Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 หลายเดือนก่อน +2

    Bon yai❤

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza หลายเดือนก่อน +8

    Mdogo wangu Bonny yai, umesema CCM wamemleta Professor K Mkumbo kwenye huo mdahalo kwa vile yeye hana haya wengine wote wameingia chocho kwa vile wao nyuso zao zina haya, hahahahaaaaaaa, Mwanafyale bhana acha tu.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 หลายเดือนก่อน

    Ushindi wa asili mia tisini na Tina ni UWONGO ULIOPINDUKIA

  • @VICTORMBWIGA
    @VICTORMBWIGA หลายเดือนก่อน +1

    Dah eti profesa

  • @diversetv74
    @diversetv74 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi namkubali sana Madeleka!

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 หลายเดือนก่อน +9

    Yaani Pr Hana cha kutuambia mlivuruga uchaguzi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani haijawahi kutokea. Sheria haikuzangatiwa. What next then😢😢😢

    • @mohamoudhussein4570
      @mohamoudhussein4570 หลายเดือนก่อน +4

      Wakili Msomi Peter Madeleka hujawahi kutuangusha.Mwambie huyo Professor wa Mchongo Chawa mpuuzi huyo.

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty หลายเดือนก่อน +4

    Profesa hana anacho ongea hana point

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 หลายเดือนก่อน +1

    Ly wanamfundisha Professor 😅

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w หลายเดือนก่อน

    Yaan siasa za ccm zinazalilisha watu, yaan professor anaonekana zuzu kabisa

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 หลายเดือนก่อน +11

    Mkumbo Unalaana familia zenu na koo zenu ipo siku zitalia na kuwalaani kwanini mlitenda haya mnayo yatenda sasa

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sina shida na ccm ila niko na shida na mfumo yan wakikosolewa wanakuona muasi na sio mtanzania unaanza kutekwa na kuuawa,yan huwa nikisikia matukio haya huwa mwili wangu unaishiwq nguvu kabisa...Mungu tunakuomba ufanye jambo kwenye hii nchi tuwe salama 😢😢

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 หลายเดือนก่อน

    Tunawasikiliza

  • @optatuslikiliwike1736
    @optatuslikiliwike1736 หลายเดือนก่อน

    Proffesor anafedheheka mchana kweupe angeondoka tuu hapo tuu kuepuka fedheha huyu kweli ni proffessor kweli???proffesor wa ajabu kabisa haijapata kutokea

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo หลายเดือนก่อน +2

    Wema ni akiba, na ubaya ni akiba. Apandacho mtu ndicho avunacho. Yupo Mungu wa Yakobo ambaye atakuja kutoa hukumu ya HAKI wakati ikifika.

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 หลายเดือนก่อน +1

    Mkumbo ni profesa kweli? Kweli kabisa? Kweli?

  • @salama1113
    @salama1113 หลายเดือนก่อน +8

    Cc wepesi sana wa kujisahaulisha wakati yule DC wao walio mtumbuwa alishatuambia kila kitu sasa sijui kwann tumejisahau

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 หลายเดือนก่อน

      Hatujajisahau, tulikuwa tunathibitisha kilichosemwa kwa vitendo.

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x หลายเดือนก่อน

    Kurudia uchaguzi sio sahihi tumeshindwa hatuwataki tulio chaguliwa na vyama vyetu hsa chama chetu cha chadema hawakua chguo letu

  • @moviekaa
    @moviekaa หลายเดือนก่อน +5

    muwakilishi anashindwa kujibu hoja🤣🤣🤣🤣

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa wa Act ndo angetakiwa kuwa professor ana uwezo mkubwa sana wa akili. na huyo professor angetakiwa awe balozi wa mtaa Fulani kijijini huko ndani ndani.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana wakili msomi DC wa loliondo Alisha ongea hakuna kiongozi wa ccm anaye chaguliwa na wananchi ni serikali inafanya michakato serikali inaonea wananchi

  • @FelixMkini
    @FelixMkini หลายเดือนก่อน

    Hivi uchaguzi wa serikali za mitaa ni lazima kura ziibiwe,watu watekwe na mauaji yawepo? lazima serikali tawala iingilie?

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mkumbo,ukwelianaujuwa,sema anajitoa ufahamu

  • @andersonsamuel9214
    @andersonsamuel9214 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu naye profesa?? katibu mkuu WA CCM pamoja na kufanya asichokipenda kutetea ugali wake , ni makini sana Kwa technical questions , sio huyu asiyejua kujenga hoja. uhalisia hakukuwa na uchaguzi. yatosha. Madeleka big up sana kiongozi.

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน +1

    Kurudia ni sahihi ,mbona tumetumia mamilioni kuandaa katiba ambayo haipatikana? Serikali imewalipa poshii watu wanaowaunga mkono kinafiki.

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน +1

    Ameacha professor kuwa chawa wa nguvu lakini anatoka Singida hivyo usichangaae sana.

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 หลายเดือนก่อน

    Uyo kitila anajishushia hazi kbs pamoja na usomi wake anatoa aibu sana

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน +5

    Kitilya nkundu mliengua mkazuia wakala wengine kuwatoa nje katikati ya uchaguzi

  • @EmmanuelMungai-i5z
    @EmmanuelMungai-i5z หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni profesa wawapi anakera atamm sijaona lakin dahhh😂😂

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 หลายเดือนก่อน

    John,uko sawa

  • @alexmnogi1822
    @alexmnogi1822 หลายเดือนก่อน +2

    Nilitamn siku moja niwe professor,lakn kama nikiwa ndo akili yangu itakuwa kinyesi hiki . Naomba niishie hapa na nibakie na akili zangu

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna profesa hapo

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน +1

    Kama akili za professor ndio hivi ni bora niendelee kuwa maskini maana anavyoongea ni aibu tupu😢

  • @siwaleshadrick41
    @siwaleshadrick41 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli serikali hii imetuondolea hamu ya kuchagua, ccm mmejiweka wenyewe,

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +2

    Unachosema ukweli Ajira hamna kabisa Wajukuu Vitukuu vyetu shida tupu Àjira hakuna tumewafuga nyumbani tu

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu wa professor alikua nani 😄😄😄

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 หลายเดือนก่อน +3

    Kurudiwa kwa uchaguzi pasipo mabadiliko ya sheria ni kutwanga maji kwenye kinu

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd หลายเดือนก่อน +3

    Ila maprofhesa wa Tanzania hamna kitu wanawaza njaa tu

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

    Hana aibu ni kweli ukihamia chama chetu lazima ukabidhi akili zako unabaki na makaratasi vyetu tupu.

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba nisiwe professor ikitokea basi mniuee

  • @manubei3574
    @manubei3574 หลายเดือนก่อน +1

    Njaa inaondoa staha na aibu😢

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 หลายเดือนก่อน +1

    Prof...hata mshopabwa aibu hina😂

  • @evodiusrweyemamu2348
    @evodiusrweyemamu2348 หลายเดือนก่อน +1

    Prof kama prof😀😀😀😀😀

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu หลายเดือนก่อน +3

    Kitila akiwa chadema alikuwa mtu saana ccm amesahau na hadhi na heshima yake!

  • @HonestMchau
    @HonestMchau หลายเดือนก่อน +1

    Duu profesa

  • @ChristerKok
    @ChristerKok หลายเดือนก่อน +5

    Pro.majibu yako yana ukakasi.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai หลายเดือนก่อน +1

      Siyo majibu ya msomi wa kiwango chake. Au 7bu ya uchawa.

  • @MAHARAMAHARA-j1j
    @MAHARAMAHARA-j1j หลายเดือนก่อน

    Uzuri ni kwamba Magufuri alishasema kwamba watanzania wana akili sana! Ukiona prof anaongea uongo tambuwa hata wanafunzi aliowafundisha nao watakuwa kama yeye2

  • @rwezimulastephen3713
    @rwezimulastephen3713 หลายเดือนก่อน +2

    Kitilia unasikitisha

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro หลายเดือนก่อน

    Mkumbo ni CHAWA sio prof

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 หลายเดือนก่อน +8

    Madereka ilo li katiba la kulinda tume kulinda ma Rais wajinga wajinga na wauaji bora tulikataeee kwa kuingia bara barani na uo wakati nauona unakuja ambapo haitakuwa kwa sababu ya mbowe wala Lisu itakuwa police na Raia

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 หลายเดือนก่อน

    Boniface umeongea kweli sana Prof anaongea upupu

  • @MosessSimwaka
    @MosessSimwaka หลายเดือนก่อน +2

    Uchaguziurudiwe

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 หลายเดือนก่อน

    CCM wanafanya makusudi ili wananchi wakate tamaa wasiende kupiga kura

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 หลายเดือนก่อน

    Huku mtaa wa Luchelele kuna Diwani hata la saba alikuwa wa karibu na mwisho lakini ndiye anayehusika kutoa rushwa kuiba viwanja kutoa wenyekiti asiowapenda mkurungezi wa jiji la mwanza kamteka aseme ndiyo anavyotaka

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b หลายเดือนก่อน

    Boniface uko sawa sana tatizo itikadi za CCM ni sawa na Firauni na wewe Boniface na Chama chako kina itikadi za Nabii Musaa so hamuwezi kuwa sawa kimtazamo na kiitikadi.

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 หลายเดือนก่อน +5

    Huaukuwa uchaguzi ulikuwa ubakaji

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b หลายเดือนก่อน

    Wanaiba uchaguzi kwa kuandikisha watoto ,kuenguwa ,maiti,wanawanyima fomu wapinzani ,wanawateka wapinzani ,hesabu ya wapiga kura kwenye kituo cha kupiga kura kuzidi ,,,ATI WANATWAMBIA WAMESHINDA KWA ASILIMIA 99 ,HUO NI UCHAGUZI AU UPORAJI

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 หลายเดือนก่อน +1

    Uchaguzi wa aina hii UNAPOTEZA ladha kwakushiriki mchakato wake !! Kuna haja gani ya kwenda uwanjani kwenye mchezo ambao matokeo yapo kwa mwenye mamlaka !? Mahakama zetu nazo zinasuasua kusimamia haki zimebaki kujitafuta kwenye dosari za kisheria !!

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 หลายเดือนก่อน

    Boniface huyo prof feki njaaa itamuua

  • @OtienotatiMagatti
    @OtienotatiMagatti หลายเดือนก่อน

    Hakuna profesa katika serekeli ya CCM Bali ni machawa

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 หลายเดือนก่อน

    Hapa HAPANA PROFESOR NI KUNGUNI, KIROBOTO, MAVI hilo jina la profesor kapewa tu huyu nyumbu.
    Wanakula kodi zetu harafu wanajidai jeuri.
    Alisema
    Nay
    Kazi ya Mungu haina makosa ikimpendeza achukue na haya machawa

  • @charlesshitobelo6870
    @charlesshitobelo6870 หลายเดือนก่อน

    Inaonekana Prof Kitila amefikia hiyo ngazi kwa kuiba mitihani ndiyo maana anakuwa na ujasiri wa kudai wameshinda uchaguzi huku akijua wazi ni wizi mtupu na kila hatua iliandaliwa kuhujumu uchaguzi kwa ujumla.

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna sababu ya kufanya uchaguzi mwakani kama tamisemi itaendelea kuwa tume tata ya uchaguzi Tanzania.

  • @VincentOlioruko
    @VincentOlioruko หลายเดือนก่อน +2

    Toa fursa ya kura ya maoni kupata ukweli utajua wengi watasema ccm wameshinda aslimia 15/

  • @SIMONIBWIKO
    @SIMONIBWIKO หลายเดือนก่อน

    Uchawa unatoa hakili unakuwa .kama zuzu duu mungu tunusuru na uchawa huu unaangamiza taifa na kupoteza maana ya usomi

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwwli huyu jamaa ni proffesor?🙄 bora hata asingehudhuria maana ni aibu kubwa sana.

  • @geofreyjonas4901
    @geofreyjonas4901 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu ni professor au darasa la 3 B?!
    Mbona anaongea michuzi tu hapa?!

  • @aristarikimrina3830
    @aristarikimrina3830 หลายเดือนก่อน

    Sas wanasababisha wanannji kuanza kukabiliana na Polisi

  • @YohanaPeter-r1y
    @YohanaPeter-r1y หลายเดือนก่อน

    Hawa ccm sipend ata kuwaskia ningekuw nasimamia uchaguz kweny ki2o kingechimbika

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo หลายเดือนก่อน

    Hakuna uchaguzi hapo lkn sasa ndugu zetu wa Tanganyika waelewe huku Zanzibar si muliona waliyotufanyia CCM?tulilalamika Sana tokea 1995 Hadi leo hii mukatwambia Sisi ni wakorifi sasa mambo yako kwenu tushirikuane pamoja kuondoka uhuni huu!

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu ni prof.kweli?

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 หลายเดือนก่อน

    Prof kaonyesha kuwa akili ni ndogo.

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara หลายเดือนก่อน

    Hilo ni li housing la Prof mkumbo yeye hayupo Tena ashafariki kitambo enz za magufuli

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 หลายเดือนก่อน

    Huyu wa ACT akili yake ni kubwa sana

  • @kigongolevi5403
    @kigongolevi5403 หลายเดือนก่อน

    Prof. Kumbuka kuwa Katibu Mkuu alitamka kuwa Mwenyekiti wa Chama ameelekeza.......