Shida kubwa wenye madaraka kutokukubali matokeo wanaposhindwa kuaminiwa. Lakini pia mamlaka ya Rais ni kubwa sana n'a ni tatizo kwa nchi. Mhimili wa mahakama, Bunge na vyombo vya Ulinzi havina nguvu ya uhuru wa kujiendesha mbele ya Rais. Hii inawafanya wateuliwa kutomkosoa mteuwaji. Shida kubwa.
Nakupongeza sana hotuba nzuri ila kwenye swala la uwekezaji tls ipewe mamlaka ya kutoa contract certificate kwa wawekezaji wote Tanzania haswa kwa wale wawekezaji wa kimataifa ili wawekezaji wapate kufata sheria ya nchi na pia kama una hiyo contract law inayotoka tls uwezi hulusiwi kuwekeza Tanzania hii italeta mwonekano na makubaliano mzuri na mwananchi wa kitanzania inaoneka TLS ipo uklibu na MTANZANIA kutetea na ubolesho wa ushauri , uletaji wa kujijua sheria yangu na haki yangu , ukumbusho wa manufaa katika jamiii , upatanisho na vyombo vingine vya serikari na kujua umuhimu TLS ina aslimia 95%.. na Serikari ina asilimia 22% kwa utatuzi wa vyote. TLS 95% TZS 22%
Pale mwalimu wako anapozidi kukuonesha kuwa ni mwalimu wako tu hata uvae vyeo na shahada nyingi,tulia uko wapi hata usimwelewe mwalimu wako? Murilo uko wapi na hata usiyaelewe haya na kuyafanyia kazi?
Ni lini mtoto wa africa ataenda kuifanyia uchunguzi nchi za ulaya au kupewa takwimu za nchi za ulaya hasa zinavyofanya mauji siri kwa viongozi wa africa na jinsi gani wanatuibia rasilimali asili yetu ni lini mtu mweusi ataweza kumiliki uchumi wetu bila uchumi tegemezi ndio mada tunataka wasihamishe akili zetu wameweza kufadhili mambo haya kuliko maslahi na uchumi wa kujitegemea au siasa tegemezi
Kuifanyia uchunguzi nchi ya ulaya kwa lipi? Kwani wao wanashindwa kuwapata wahalifu? Sisi ndio wanafanya uhalifu na hawapatikani. Hawawez kutuita sisi tukafanye uchunguzi kwasababu hatuwezi.
Nimependa hii speech ya jaji❤❤❤
Jaji yupo vizuri. Ila likes zitakuwa chache coz wabongo wengi hawapendi kusikiliza watu wenye akili😂
Umenyooka babaa, Hongera na Asante sana..
What a Professorial lecture 👏🏻
Daaaah huyu mzee ni mwalim mzr sana wa sheria aisee na kama huyu alikua mwalimu wako na hukumuelewa hiwezi elewa ever
Watu Kama Hawa Mbona Hawaonekani Mara Kwa Mara ?
Jaji hatari ana nondo za motomoto hadi raha watu kama hawa ni madini ya kuthaminiwa sana Tanzania
Watu wengi hawajaelewa, elimu ndogo kichwani. Huyu jaji ni next level katika masuala ya kisheria
Kabisaa kaka
Kumbe Bongo tuna watu makini hivi, chakushangaza waliopo kwenye system hawana huu upeo dah!.✌️
Jaji amepiga nondo nyingi sana. Tatizo wabongo wengi wanapenda umbea kuliko taarifa
Hongera sana umesema ukweli mtupu mashaAllah
Kuna wazee weng wanafaa kuwa marais wa nchi ...wanajua sana vitu lakin hawawi
Ila kiukweri kuitwa jaji si kitu cha kawaida mzee ume ongea point tupu upo vizr sana jaji saf baba jumbe meingia asaaaaa kwa jeshi🤗
Hongera sana umesema ukweli ila ujue CCM watakupinga na kukuchukia
Tusomeshe sana watoto zetu. Huyu mzee amenifanya nienjoi siku ya leo.
Shida kubwa wenye madaraka kutokukubali matokeo wanaposhindwa kuaminiwa. Lakini pia mamlaka ya Rais ni kubwa sana n'a ni tatizo kwa nchi. Mhimili wa mahakama, Bunge na vyombo vya Ulinzi havina nguvu ya uhuru wa kujiendesha mbele ya Rais. Hii inawafanya wateuliwa kutomkosoa mteuwaji. Shida kubwa.
Maneno makali sana anaongea point Sana Ila viongozi wetu wameweka pamba masikioni hawasikii hawaoni Ila nahisi mambo mazuri yanakuja
Huyu jaji yupo sawa 😂😂😂
Huyu ni Jaji msomi, na sio Sawa na Polisi wapokea amri bila kutafiti na kutafakari.
Tanzania is a necked state, covering its leadership in deep sea.
Nakupongeza sana hotuba nzuri ila kwenye swala la uwekezaji tls ipewe mamlaka ya kutoa contract certificate kwa wawekezaji wote Tanzania haswa kwa wale wawekezaji wa kimataifa ili wawekezaji wapate kufata sheria ya nchi na pia kama una hiyo contract law inayotoka tls uwezi hulusiwi kuwekeza Tanzania hii italeta mwonekano na makubaliano mzuri na mwananchi wa kitanzania inaoneka TLS ipo uklibu na MTANZANIA kutetea na ubolesho wa ushauri , uletaji wa kujijua sheria yangu na haki yangu , ukumbusho wa manufaa katika jamiii , upatanisho na vyombo vingine vya serikari na kujua umuhimu TLS ina aslimia 95%.. na Serikari ina asilimia 22% kwa utatuzi wa vyote.
TLS 95%
TZS 22%
Upo vizuri baba tunataka ndugu zetu warudi❤❤ na mungu atakubariki❤❤❤❤❤
Jamaa anatoa madini
Nimejikuta ghafla nahitaji kumtembelea mtoa maada.
Hii ni shule tosha...the ostrich doctrine...
Anasifa za ujaji- Hana upande kanyooka Plus ni kichwa kweli kweli
Kama jeshi lapolisi likishindwa kugundua watekaji basi watekaji watakua ni wao
Pale mwalimu wako anapozidi kukuonesha kuwa ni mwalimu wako tu hata uvae vyeo na shahada nyingi,tulia uko wapi hata usimwelewe mwalimu wako? Murilo uko wapi na hata usiyaelewe haya na kuyafanyia kazi?
Brain
ChakuLa cha ubungo
Kwa iyo unavyo Waafrica wamewahi enda Ulaya kuchunguza maana yake unaunga mkono utekaji
Ni lini mtoto wa africa ataenda kuifanyia uchunguzi nchi za ulaya au kupewa takwimu za nchi za ulaya hasa zinavyofanya mauji siri kwa viongozi wa africa na jinsi gani wanatuibia rasilimali asili yetu ni lini mtu mweusi ataweza kumiliki uchumi wetu bila uchumi tegemezi ndio mada tunataka wasihamishe akili zetu wameweza kufadhili mambo haya kuliko maslahi na uchumi wa kujitegemea au siasa tegemezi
Kuifanyia uchunguzi nchi ya ulaya kwa lipi? Kwani wao wanashindwa kuwapata wahalifu? Sisi ndio wanafanya uhalifu na hawapatikani. Hawawez kutuita sisi tukafanye uchunguzi kwasababu hatuwezi.
Huyu ni real Judge. Na si wale artificial Judge bendela fuata upepo.