Mungu wangu na Baba yangu unirehemu na unisamehe kwa kufuata mkumbo naomba neema ya kusikia na kutii kwako na Roho Mtakatifu anisaidie sana nisifute mkumbo bali nikufuate Wewe katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe sana na timu MANA na familia yako kukubali kutumiwa na Mungu kunifundisha kunitia moyo na neno la Mungu na faraja na mifano halisi. Neema daima Mtumishi wa Mungu aliye hai❤❤❤.
Amina Amina
Hili Neno ni langu kabisa kuanzia Leo sitafuata mkumbo wa maisha ya mtu mwingine Mungu Akubariki sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana
Mwenyezi Mungu wabariki sana watumishi wako Christopher na Diana Mwakasege.
Asante Mtumishi wa Mungu kwa Neno hili nzuri la kutuvusha mahali tulipokwama
To God be all the glory.🎉🎉🎉
Nipe kukusikia Mungu angu unachotaka nikifanye ....nisiige kushndwa kwa wengne
Hakika naiskia sauti ya Mungu ndani ya mtumishi waziwazi
AMINA
1. Toba
2.katikati ya miaka fufua kazi yako, (mifumo yangu ya pesa )
3.usifuate mkumbo
4.
Ameeen
Hizi ni SIRI za wakati..ASANTE Baba wa Mbinguni kwa kutupenda .
Amen
Asante Mwl.kwa masomo yanayonivusha. Mungu azidi
Kustawisha huduma ya Mana,
Amen mwalimu, Mjngu akuzidishie neema juu ya neema
❤❤❤
Asanteee mtumishi kwa ajili ya somo nzur kuna mahali nimevuka
😅l ol
Asante mwlm kwa kunitia nguvu kiroho
Asante neno nxurie ninashukulu
Asante kwa kuendelea kutulisha chakula cha rohoni
Mungu wangu na Baba yangu unirehemu na unisamehe kwa kufuata mkumbo naomba neema ya kusikia na kutii kwako na Roho Mtakatifu anisaidie sana nisifute mkumbo bali nikufuate Wewe katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe sana na timu MANA na familia yako kukubali kutumiwa na Mungu kunifundisha kunitia moyo na neno la Mungu na faraja na mifano halisi. Neema daima Mtumishi wa Mungu aliye hai❤❤❤.
😅😊d😊😊 1:04
😊,
1:17 😅t
😅😊😊😊,😊😊😊😊 1:25 😊😅😅😊x 1:27 😅 1:28 😅
tunashukuru mwenyenzi mungu awabariki
Amina
Ameen
Nasoma sasa hivi....nyakati na majira. Bwana anisaidie kujua kuziombea nyakati.
Ameni
Chezea muda wako ,umechezea fedha yako
Amen chakula kitamu . Mungu wangu tusaidie
Amen
Amen
Amen