MUNGU NAOMBA MWAKA UNAPOANZA UANZE NA MIMI,,ONGOZA HATUA ZANGU,NIFUNDISHE KUKUJUA WEWE ZAIDI NA KUKUPENDA,NIPE KIBARI POPOTE NINAPOENDA,ARDHI INIKUBARI,NIKAONGEZEKE NISIPUNGUE,BARIKI HII HUDUMA,MBARIKI PIA MTUMISHI WAKO AZIDI KUWA NA HEKIMA YA KUTUFUNDISHA.AMEN
Asante Mwenyezi Mungu kwakunifikisha mwaka huu wa 2025,nakuomba Mungu unipe nguvu za kukutumikia,unipe kukutii na kukusikiliza,niongozwe na we we Mungu,juu mimi pekeyangu nimtu bule lakini nikiwa na wewe vyote vitakuwa vyema,Eeee,Baba yangu napokea agano la mwaka mpya,na mimi naenda kukutii nikutumikie nifundishe nawengine kukujuwa we ni nani kwawanadamu,asante Mungu wangu,amen amen.
Mungu wangu na omba iyi mwaka nitoke muma deni mutumishi wa bwana yesu naomba munisaidie sana kwa maombi yenu ibarikiwe jina la yesu kristu amene Amene Amene ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu Baba nakushukulu kwa kunivusha Mwaka mwingine nakuomba baba ukanifungulie milango yangu nakunipa nguvu ya imani nizidi kukujua zaidi na kukutumikia Maisha yangu yote
MUNGU wangu naomba unisaidie mwaka huu wa 2035 unitimizie malengo yangu ya ujenzi pili nikapate kukujua wewe zaidi nazaidi MUNGU nataka nikuishi wewe niwezeshe unisaidie bila wewe siwezi niwezeshe MUNGU wangu Amen 🙏
Asante Mungu kwa zawadi ya uhai uliyonijalia mimi.na familia yangu, nakushukuru kwani mwaka 2024 umekua mgumu sana kwangu lakini kwa neema yako tumeuona mwaka 2025 kwa neema tu
Mungu Baba naomba katika mwaka huu 2025 ukawe ni mwaka wangu kiroho nizidi kuimarika Nikumbuke katika kuapata ajira ya kudumu serikalini Nisimamie kiuchumu nijijenge imara , nwomba hekima na busara vikawe na mimi na kuniongoza vyema eee Mwenyezi mungu Amina
Mungu asante kwa kunivusha mwaka 2024 leo nimeona tena 2025 Mungu natoa shukrani zangu kwako haikuwa raisi hata kidogo umenitetea na kunipigania na 2025 unitendee uniponye magonjwa ya sukari na presa na mguu na Niseme nini km si wewe bwana ulinipigania nakuja mbele zako nipo mbele yakoMungu napiga toba kwa yale yote nilioyatenda zambi zangu nasema Mungu natubu mbele zako yesu nioshe kwa dam iliyomwagika msalabani kwa jina ya yesu kristo Amina
Mungu naomba nianze na wewe maana pekeyangu sitaweza kwenye huduma yako na hata kwa hiii ichi ambayo nko naitaji kuongozwa na wewe katika hatua zangu pia hatua za maombi nsaidie baba
Nakuomba Baba mwaka ukiaza ukaaze na mafanikio yangu kwenye utaftaji na kwenye familia yangu Mungu Wangu nimeona mwanga unanimulika na kuniogoza nisogee mbele
MUNGU NAOMBA MWAKA UNAPOANZA UANZE NA MIMI,,ONGOZA HATUA ZANGU,NIFUNDISHE KUKUJUA WEWE ZAIDI NA KUKUPENDA,NIPE KIBARI POPOTE NINAPOENDA,ARDHI INIKUBARI,NIKAONGEZEKE NISIPUNGUE,BARIKI HII HUDUMA,MBARIKI PIA MTUMISHI WAKO AZIDI KUWA NA HEKIMA YA KUTUFUNDISHA.AMEN
Asante Mwenyezi Mungu kwakunifikisha mwaka huu wa 2025,nakuomba Mungu unipe nguvu za kukutumikia,unipe kukutii na kukusikiliza,niongozwe na we we Mungu,juu mimi pekeyangu nimtu bule lakini nikiwa na wewe vyote vitakuwa vyema,Eeee,Baba yangu napokea agano la mwaka mpya,na mimi naenda kukutii nikutumikie nifundishe nawengine kukujuwa we ni nani kwawanadamu,asante Mungu wangu,amen amen.
Mungu wangu na omba iyi mwaka nitoke muma deni mutumishi wa bwana yesu naomba munisaidie sana kwa maombi yenu ibarikiwe jina la yesu kristu amene Amene Amene ❤❤❤❤❤❤❤
Asanteee MUNGU 🙏 kwa sisi sotee ..barikii MTUMISHI wako bariki na hudumaaa pia kwa ukubwa usio na kikomo🙏🙏🙏
Amina mtu wa Mungu kunajambo umenijenga kuhusu agano la sadaka.Mungu akutie nguvu uliishi kusudi aliloweka ndani yako
Mungu akupe Kigali raiding mtumishi wa Mungu,,
Shalom Bwana Yesu Pastr mimi sipti liki ya maombi ya usku
Aksante sana kwa yesu niko mbele yako naomba unisaidiye mwaka uyu❤❤❤❤
Asante Bwana Yesu Kristo kunivusha mwaka salama na familia YANGU nami naomba Bwana Yesu tuoshe kwa DAMU ya YESU
Asente mungu kwa kunivusha mwaka mwengene salama pamoja na family yangu na watoto wangu
Umenivusha salama MUNGU naomba agano lako likae na mimi Amen
Mungu naomba mwaka huu nendanami Yesu
Mungu niheremu nitakapoanza uu mwaka nikatembee na kibari chako na nizidi kukujiua mungu na unibariki katika kila mipango yangu
Mungu Baba nakushukulu kwa kunivusha Mwaka mwingine nakuomba baba ukanifungulie milango yangu nakunipa nguvu ya imani nizidi kukujua zaidi na kukutumikia Maisha yangu yote
Asante Mungu kwa kunivusha salama na familia yngu.naomba utufunike kwa dam ya yesu amen
Asante Mungu kwa neema yko na huruma wako Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
AMINA 🙏 UBARIKIWE NAAMINI HUU MWAKA NITAKUJA KUTOA USHUHUDA HAPA.
Baba naukabidhi huu mwaka kwa mikono yako🙏
Asante yesu kwa kunipa kibari muda uu
Amen napokea kwa jina la yesu kristo
Mungu wangu najikabidhi mikononi mwako mwaka huu mpya kwenye maisha yangu ya kila siku
Asante Mungu kwa kunipigania mana navona bila wewe siwezi
Mwenyenz Mungu unilinde usku huu uniepushe na kila baya
Asante mungu kwa mwaka huu mpya 2025👏👏👏💯💯💯💯♥️♥️♥️♥️
Mungu nakueka mbele 2025.🙏🙏
Mungu naomba mwaka 2025 nikapate kuimarika zaidi kiroho nikutumikie wewe tu mungu wangu
MUNGU wangu naomba unisaidie mwaka huu wa 2035 unitimizie malengo yangu ya ujenzi pili nikapate kukujua wewe zaidi nazaidi MUNGU nataka nikuishi wewe niwezeshe unisaidie bila wewe siwezi niwezeshe MUNGU wangu Amen 🙏
Asante kwa neema yako ninakushukuru kwa mengi asante kwa upendo wako wa ajabu nakuomba Baba uanze naami Bwana mwaka huu uwe msaada wangu amen
Ahsante kwa mwaka mwingine nifundishe kukujuwa ww bwana
Asante YESU kuona mwaka mpya 2025
Mungu wangu naomba unipe neema ya kushika maagano yako kwangu ili niweze kufanikiwa
Asante Mungu kwa zawadi ya uhai uliyonijalia mimi.na familia yangu, nakushukuru kwani mwaka 2024 umekua mgumu sana kwangu lakini kwa neema yako tumeuona mwaka 2025 kwa neema tu
Asante Mungu kwa kunipa kibari kuiona mwaka 2025
Mungu wangu naomba mwaka huu 2025 uwe mwaķa wangu wa kufanikiwa kirohò na mwili
Mungu wangu mtetezi wangu mkuuu Asante kwa wema wako na fadhili zako baba
Asante pia kwa kunivusha kutoka mwaka2024 kwenda mwaka2025 n
Emeeen Asante Bwana Kwa Mwaka mpya Anza na mimi na umalize na mimi Yesu wangu
Mungu Baba naomba katika mwaka huu 2025 ukawe ni mwaka wangu kiroho nizidi kuimarika Nikumbuke katika kuapata ajira ya kudumu serikalini Nisimamie kiuchumu nijijenge imara , nwomba hekima na busara vikawe na mimi na kuniongoza vyema eee Mwenyezi mungu Amina
❤ Asante eee yesu
Asante Mungu kwa kunipa kibari
Mungu asante kwa kunivusha mwaka 2024 leo nimeona tena 2025 Mungu natoa shukrani zangu kwako haikuwa raisi hata kidogo umenitetea na kunipigania na 2025 unitendee uniponye magonjwa ya sukari na presa na mguu na
Niseme nini km si wewe bwana ulinipigania nakuja mbele zako nipo mbele yakoMungu napiga toba kwa yale yote nilioyatenda zambi zangu nasema Mungu natubu mbele zako yesu nioshe kwa dam iliyomwagika msalabani kwa jina ya yesu kristo Amina
Barikiwa sn mtumishi wa bwana siku hii ya leo imenifungua akil yangu sn na nitavifanyia kazi
Mungu Amen
Mungu naomba nianze na wewe maana pekeyangu sitaweza kwenye huduma yako na hata kwa hiii ichi ambayo nko naitaji kuongozwa na wewe katika hatua zangu pia hatua za maombi nsaidie baba
Nakuomba Baba mwaka ukiaza ukaaze na mafanikio yangu kwenye utaftaji na kwenye familia yangu Mungu Wangu nimeona mwanga unanimulika na kuniogoza nisogee mbele
ASANTE mungu ,nalishukuru nalibariki jina lako kwa mwaka huu mpya 2025 ni shike mkono ni songe mbele.
Asante Mungu
Naomba Mungu huu mwaka nianze na wwe eee mwenzi Mungu nakuomba nakuomba bila wwe sitaweza🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏
Mungu niguse katika uchumi wangu mana bila wewe siwezi
Tunatubu mbele zako tuoshe kwa DAMU yako Eee Bwana
Mungu naomba mwaka uu 2025 ukafungue maitaji yangu yote niliyo kuomba pia mke wangu akapate kazi mwaka uu
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mungu kwa kumubariki
Asente bwana kwakunifikishamwakahuyuamen
Amina sana
MWAKA UKAWE WA MIUJIZA KWANGU FAMILY YANGU ❤
Anza na familia yangu yesu 2025
Mimi mtumishi daar
Amen 🙏
Ndio bwana tuko mbele zako niguse katika uchumi wangu mana bila wewe siwezi
AMEN
Amen amen
Umestahili sifa,utukufu niwako milele namilele Anza pamoja nami huu mwaka ukawe mwaka waurejesho kilicholiwa nanzige kinarudi kwajina laYESU
Amen
Ee BWANA YESU KIRSTO NAOMBA KUTEMBEA NA KUONGOZWA NA WEWE MWAKA HUU UWEPO WAKO UENDE NAMI
Hiii video nimeskiliza jana asubuh
Ndio bwana
🙏
MUNGU naanza na wew mwaka uu 2025 naomba usiniache
MUNGU NAITAJI KUWA NA WEWE PEKE 2025 MTUMISHI WA MUNGU NASHUKULU KWA SOMO LA LEO
Asante yesu kwa kunipa kibari muda uu
Amen napokea kwa jina la yesu kristo
Asante Mungu kwa kunipigania mana navona bila wewe siwezi
Asante pia kwa kunivusha kutoka mwaka2024 kwenda mwaka2025 n
Asante yesu
Asante Mungu
Ndio bwana
Amen napokea kwa jina la yesu kristo
Asante Yesu
Asante Mungu