#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @musarhesa
    @musarhesa 3 วันที่ผ่านมา +2

    Katika Jina la Yesu kristo.

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu unisameh dhambi zangu zote nilizo kukosa ninakuja mbele zako naomba unilehemu Maisha yangu naomba mungu huu mwaka 2025 niwe kichwa nisiwe mkia nakataa roho ya kushidwa niondolee adui kwenye Maisha yangu naomba mungu niletee watu waliyo kuwa sahihi kwenye Maisha 🤲🤲🤲🤲🤲😥🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AdelinaPonsian
    @AdelinaPonsian วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu
    Naomba ukafungue milango ya baraka maisha yangu

  • @JumaAugusto-du5bu
    @JumaAugusto-du5bu 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu niwezeshe kutembea agano lako mwaka huu🙋🙋🙋👏👏👏🫵🫵🫵💯💯💯

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 วันที่ผ่านมา

    Naomba Aman ya Moyo wangu 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @HappygodSwai
    @HappygodSwai 2 วันที่ผ่านมา

    Eee mwenyenzi mungu naomba unijaze nguvu za roho mtakatifu

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 3 วันที่ผ่านมา

    Naomba imani yangu na uzazi wangu iimarike

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu fungua milango y Barak aza maisha yngu pamoja n familia yangu

  • @FatumaMwaruwa-qf1wf
    @FatumaMwaruwa-qf1wf 2 วันที่ผ่านมา

    Asate Sana yesu wewe nikilakitu kwangu🙏🙏🙏

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 2 วันที่ผ่านมา

    Amen amen,Asante Mungu kwa mafundisho ya leo,wewe ni kila kitu kwamaisha yangu,amen.

  • @ElizabethMlomo-d9x
    @ElizabethMlomo-d9x 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kunibaliki ,mwaka huu ukawe wa mafanikio kwangu amen

  • @SerahMagie
    @SerahMagie วันที่ผ่านมา

    Ee mungu fungua milango ya balaka katika Jina la yesu

  • @maximillahmurumba2053
    @maximillahmurumba2053 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Katika jina la yesu ❤

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 วันที่ผ่านมา

    Nihurumie Mungu wangu

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 2 วันที่ผ่านมา

    Sylvia Asante mungu kwa neema yako kubwa na kibali chakuishi mwaka 2025❤❤

  • @HellenBaby-jn8ft
    @HellenBaby-jn8ft 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asante YESU 😊🙏

  • @ElizabethMlomo-d9x
    @ElizabethMlomo-d9x 3 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol 3 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 2 วันที่ผ่านมา

    AMINA NABALIKIWA

  • @Phinvan_tz
    @Phinvan_tz 3 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Yesu

  • @NeemaMwakyasima
    @NeemaMwakyasima 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu asanteh

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu nijanzie nguvu za maombi ya roho ya bwana kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu ya roho za ualibifu wa shetani kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu nisibebwe na madhabahu Kwa mwaka huu 2025

  • @nancymbone9058
    @nancymbone9058 วันที่ผ่านมา

    Be blessed for sharing the Word of God and great teaching 🙏

  • @RachelRichard-l8k
    @RachelRichard-l8k 3 วันที่ผ่านมา

    Amani mtumishi mtumishi wamungu Mungu akubalike🙏🙏🙏🤝

  • @MueniJudy-n9c
    @MueniJudy-n9c 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu simama na Mimi mwaka huu nanifuate angao lako amen

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏♥️

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 3 วันที่ผ่านมา

    Forgive me Jehovah

  • @EmmaBaya-g7t
    @EmmaBaya-g7t 3 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeen kubwa

  • @DebbieWilshire
    @DebbieWilshire 3 วันที่ผ่านมา

    Jina la bwana yesu kristo libarikiwe amen

  • @EstherMulekania
    @EstherMulekania 2 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen

  • @richardcharles2390
    @richardcharles2390 3 วันที่ผ่านมา

    YESU wangu ndo kila kitu ktk maisha yangu🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @NabwikeMwambebule
    @NabwikeMwambebule 3 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuachilia mafunuo mtumishi tunajengwa sana ni zaidi ya vyuoni

  • @SittaNsongoma
    @SittaNsongoma 3 วันที่ผ่านมา

    AMINA

  • @EvaHageze
    @EvaHageze 3 วันที่ผ่านมา

    Munngu niwezeshe kutembea ktk agano lako mwaka huu

  • @ElizabethMlomo-d9x
    @ElizabethMlomo-d9x 3 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 2 วันที่ผ่านมา

    Sylvia baba nisaidie unitie nguvu zako nikukutumikie wewe

  • @IsmaelDenyse
    @IsmaelDenyse 3 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @fatumakashindi-d2e
    @fatumakashindi-d2e 3 วันที่ผ่านมา

    Amina