Kama Sio ushirikina Ni Nin hii Yaani Wokovu umebadlishwa kabisa Kua uganga hivii YESU KRISTO kazi yake Nin mbona tunankosea Mungu Jamani Mungu Atusamee 😢😢😢
Waislam wanachinja sababu hawajampokea kristo, Yesu alikuwa mwanakondoo alikufa kwaajili Yesu , kanisa la kristo waligawana mali wote walikuwa sawa na utajiri ni wadunia hii waliopata utajiri dunia hii washapata raha yao duniani
HII IMANI NI NGENI, SISI KONDOO WETU WA SADAKA ALISHATOLEWA MSALABANI , HIVYO HATUPASWI KUMWENDEA MUNGU KWA DAMU YA MWINGINE ZAIDI YA DAMU YA YESU KRISTO. Wao walichinja wanyama bado damu haikutosha. WAKRISTO KUWENI MAKINI NA HIZI MAFUNDISHO NGENI KUTOKA KWA MAPEPO.
Kwahiyo hapo wanatoa kafara za kuchinja ndiyo wakapata hizo kazi,siyo kweli jaribu kutulia usiwe na haraka.Yesu ni kila kitu na ndani ya yote....Mungu ponya Taifa letu
Tutawatambua kwa matendo yao mnatimiza maandiko 24:24 Mathayo wakristo kuweni macho ukweli wa biblia huwo hapo Yesu kristo Asante sana kwa uokovu wako Yesu analudi mapema Sana
Yaaani mimi uwa simelewi kabisa huyu mtu wewe nishetani wa kuzimu kabisa kwanza unajizalilisha tu mtadaoni bora tu ungebaki tu kwenye waisilamu maana huku wakiristo unatuvuruga tu inamaa na wewe kwenye kanisa lako unachinja Yaaani wewe unapotosha kabisa wewe siyo mchungaji nimganga wa kienyeji inamaa wewe waumini wako unawavuta kwa kuchinja
Jamaa muongo Sana - unataka kusema hakuna walokole matajiri tupe andiko na uthibitishe kuwa Hakuna anayemtumaini Mungu akawa tajiri- so unamtaja Yesu halafu unachinja kafara huo siyo ukristo- Punguza Kiki Kaka .Unajicnganyanga Sana kwenye kufundisha kwako
NA NYINYI WAANAMIDIA ACHENI KUCHANGANYA WATU UNAULIZA JITU HATA HALIJIELEWI. ETI NABII HAKUNA UNABII KWA SASA. MANABII WA UONGO HAO NA JAHANNAM INAWASIBIRI.
Ibrahim ktk kuchinja mmedanganya ila alipo jenga alkabah mmepinga na huyohuyo ibrahim leo ndio saudi arabia sio saudi mzungu yote ni uongo wa wazungu wamebadilisha ukweli kua uongo vp isaka alikua sio jangwani ni phalestina alichwa sara na mwanae isaka na hajir na esmael na ibrahim ndio jangwani ndio hapo aipo ameiwa kumchinja mwanae esmael ndio mpka leo ukienda kuhiji unachinja na be ibrahim na esmael na hajir ndio sababu ya kuhiji naibrahim aliombea ardhi za arabia ndio mana hata ngamia alisomewa analala mana bee wote ni kutoka arabian land
Ipm ni binaadamu hawezi kuwa mkamilifu wa kila kitu ndio kakoseya jina unapaswa kumrekebisha alipokoseya na siyo kutumiya neno uwongo kila mja anaangaliwa hatimayake ya mwisho kwa imani ya dini yetu ya kiisilamu tumuombe Alhwa hatma jema kwa soto tuchoke kukumbushana kwa ajili ya Alhwa
Wewe wapi Yesu aliwafundisha mitume watoe kafara kwenye biblia angano la kale ? Hachana na ukristo wewe ludi huko ulikotoka kwenye Dini ya majini wanaopenda muwatolee sadaka za makafara Mungu alishatukataza kutoa sadaka kwa majini walawi 17:7
Acha uongo ndugu muogope mola wako kwanza wewe ulikuwa muislam Tamaa ya pesa umekuwa murtadi. Hapo unaposema isaka si ukweli ni Ismail ndie alitaka kuchinjwa.
Nakuelewa sana
Mashallah maneno yako mashallah powerful husemi urongo your write everything.kafara ni kuchinja na sadaka nipesa au vitu vidogo vidogo.
Kama nataka kukuelewa vile
Nakukubali sana IPM
Ndio wakiristo wengi masikini
Mungu akubariki sana mtumishi nko mombasa
Haina shida bwana, itajulikana tu cku ya kiama, Bwana Yesu akirudi
WALA HIYO SIYO MAANA YA HIYO STORY KABISA. HAPO MUNGO ALIKUWA ANATAKANKUJUWA IMANI YAKE HUYO BABA.
Hapo sawa mkuu
Mngu akubariki nduguyangu
Iam a Kenyan bt I salute to this man,,,,, uyu jamaa achaneni nae,,,,Kwa kusema t
WAJINGA NDIYO WALIWAO.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uko vizuri mwamba soon naingia hapo church
Thank you brother 🙏
Uko sahihi sana mtumishi
Watu atujuwi maana ya kutoa kafara
Akika toa kafara uone mkono wa mungu
Jamani kafara ni isaka jamani
Nikunuhia udongo baba
Someni someni 🎉🎉🎉my true man kumbukumbu la torati 12:13 then 12:15 luka 22:7 someni ili mjue
Jamaa yupo sahihi kabisa
Kuchinja sizambi
Blo Niko meru Kenya nitakupata kivipi
Hahahaha, walokole wengi masikini
Yupo sahihi saana🤓🤓🤓🤓
We ukristo achana nao sio wa zizi hilo
Nakubari
Kama Sio ushirikina Ni Nin hii
Yaani Wokovu umebadlishwa kabisa Kua uganga hivii YESU KRISTO kazi yake Nin mbona tunankosea Mungu Jamani Mungu Atusamee 😢😢😢
Watu bado wanapenda sambusa na chumvi za upako ili wamilikii😂😂 mungu tusaidie kuelewa kanuni zako 🙏🙏
Hosea 4:6 watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maalifa.
Maarifa siyo maalifa
TUONESHE AO WAGANGA NANE8
Unatisha sana mwamba
Nakukubali sana mwamba wewe
Walokole ni masikini sana..
Kanisa lako liko wapi brother 🙏,,😂😂eti waropokwa Leo?? please niabie nikupatanje?
IPM swala halikuhusu unalidakia...ibrahimu ndo aliambiwa, siusubiri na wewe uambiwe,,,wadanganye watoa kwa tamaa alafu usiwape utajiri warudi kudai mbuzi zao
Waislam wanachinja sababu hawajampokea kristo,
Yesu alikuwa mwanakondoo alikufa kwaajili Yesu , kanisa la kristo waligawana mali wote walikuwa sawa na utajiri ni wadunia hii waliopata utajiri dunia hii washapata raha yao duniani
HII IMANI NI NGENI, SISI KONDOO WETU WA SADAKA ALISHATOLEWA MSALABANI , HIVYO HATUPASWI KUMWENDEA MUNGU KWA DAMU YA MWINGINE ZAIDI YA DAMU YA YESU KRISTO. Wao walichinja wanyama bado damu haikutosha. WAKRISTO KUWENI MAKINI NA HIZI MAFUNDISHO NGENI KUTOKA KWA MAPEPO.
Wee matako tu huna lolote kaa kwa kutulia na ndo maana unashindia chupi moja kwa wiki kenge wewe
😂😂😂😂😂@@Uppertz
Huo ndo ùkweli,,,ndo maana watu wanaoongoza kwa umasikini ni walokole,,,hili liko wazi..
Mwenye akili anaelewa. Mi nakusoma sanaman
Msidanganyike na huyu IPM, huu ni utapeli. Kama ni kutoa kafara, tafuta njia sahihi. Niulize najuaje?
Kwahiyo hapo wanatoa kafara za kuchinja ndiyo wakapata hizo kazi,siyo kweli jaribu kutulia usiwe na haraka.Yesu ni kila kitu na ndani ya yote....Mungu ponya Taifa letu
Mimi nmependa mafundisho ykomtushi
Watu wamefungwa fungwa ila wanaona wako sahihi wangerudi miaka ya nyuma wangeelewa 😂😂
Dini mpya
Tutawatambua kwa matendo yao mnatimiza maandiko 24:24 Mathayo wakristo kuweni macho ukweli wa biblia huwo hapo Yesu kristo Asante sana kwa uokovu wako Yesu analudi mapema Sana
Yaaani mimi uwa simelewi kabisa huyu mtu wewe nishetani wa kuzimu kabisa kwanza unajizalilisha tu mtadaoni bora tu ungebaki tu kwenye waisilamu maana huku wakiristo unatuvuruga tu inamaa na wewe kwenye kanisa lako unachinja Yaaani wewe unapotosha kabisa wewe siyo mchungaji nimganga wa kienyeji inamaa wewe waumini wako unawavuta kwa kuchinja
Mimi naona utanisaidia
Jamaa muongo Sana - unataka kusema hakuna walokole matajiri tupe andiko na uthibitishe kuwa Hakuna anayemtumaini Mungu akawa tajiri- so unamtaja Yesu halafu unachinja kafara huo siyo ukristo- Punguza Kiki Kaka .Unajicnganyanga Sana kwenye kufundisha kwako
Hujaelewa tuliza akili mwamba
Mimi pia nataka unifundishe kutoa kfara
Mimi bado naumwa sasa
Kuchinja au kumwaga damu kweli ni kanuni ya mungu/kibiblia kupata mafanikio?
Hata Mimi inanishangaza. Ni kafara ya shetani
Kanisa lake lipo wap hapa
Mwenye Enzi yote na Mamlaka, MUNGU mwenye uweza, utupe Hekima🤲
Ipm umeongea ukweli mtupu na umeongea kwa hekima sana watakaolewa ni wajanja pekeyao 😅😅😅
NA NYINYI WAANAMIDIA ACHENI KUCHANGANYA WATU UNAULIZA JITU HATA HALIJIELEWI. ETI NABII HAKUNA UNABII KWA SASA. MANABII WA UONGO HAO NA JAHANNAM INAWASIBIRI.
unasema ajeeliwi mlikata.wake wengi alafu Leo MNA weka vimada nje kweli
Ibrahim ktk kuchinja mmedanganya ila alipo jenga alkabah mmepinga na huyohuyo ibrahim leo ndio saudi arabia sio saudi mzungu yote ni uongo wa wazungu wamebadilisha ukweli kua uongo vp isaka alikua sio jangwani ni phalestina alichwa sara na mwanae isaka na hajir na esmael na ibrahim ndio jangwani ndio hapo aipo ameiwa kumchinja mwanae esmael ndio mpka leo ukienda kuhiji unachinja na be ibrahim na esmael na hajir ndio sababu ya kuhiji naibrahim aliombea ardhi za arabia ndio mana hata ngamia alisomewa analala mana bee wote ni kutoka arabian land
Tuelimishe kabisa
Ipm muongo haja fungwa kamba alikuwa ana jua kama yy ndio ana chinjwa
Imani ngeni
Anatoa Kafara kila siku
Huu uchawi kweli kweli
Ipm ni binaadamu hawezi kuwa mkamilifu wa kila kitu ndio kakoseya jina unapaswa kumrekebisha alipokoseya na siyo kutumiya neno uwongo kila mja anaangaliwa hatimayake ya mwisho kwa imani ya dini yetu ya kiisilamu tumuombe Alhwa hatma jema kwa soto tuchoke kukumbushana kwa ajili ya Alhwa
Mongo.kudanganya
Ipm unatuchanganya ww yaan imebidi nicheke
Sasa wewe mtowe mtoto wako ujue kondoo atakuja 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Wewe wapi Yesu aliwafundisha mitume watoe kafara kwenye biblia angano la kale ? Hachana na ukristo wewe ludi huko ulikotoka kwenye Dini ya majini wanaopenda muwatolee sadaka za makafara Mungu alishatukataza kutoa sadaka kwa majini walawi 17:7
Muongo sio isaca
Ipm wewe mwongo unapenda sifa sana! zitakushusha! Swali south Africa ulienda lini? na ulikuwa unasoma chuo gani?
Sio isaka ni ismaili?
Acha uongo ndugu muogope mola wako kwanza wewe ulikuwa muislam Tamaa ya pesa umekuwa murtadi. Hapo unaposema isaka si ukweli ni Ismail ndie alitaka kuchinjwa.
Hivi wewe nimtumishi wa Mungu kweli?
Aaaaaaaaaaa
Solomon au sulaiman mana phalestina ni arab land
Huo ndo ùkweli,,,ndo maana watu wanaoongoza kwa umasikini ni walokole,,,hili liko wazi..