wow,Mtumishi,mimi ni mwalimu pia,ila umefundisha vizuri sana ktk Roho Mt nimetiwa moyo maana nami ndivyo ninavyoelewa,barikiwa sana na songambele hata wengi wakatae cha maana aliyekutuma akufurahie.
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote,na nguvu, na akili yako yote,, kumaanisha hakuna amri ya Mungu utakayoivunja,,,usabato ni kuabudu Mungu kwa moyo wako wote alafu ishara ya kutimiza hili ni kuingia katika raha ya sabato,,amina
Siku Ya Ibada Ni Siku Zoto Kama Leo Ni Siku Ya Ibada Abudu MUNGU Wako Siku Zote Sai Ukiona Hii Sms Haijalisi Ume Iona Siku Gan Wewe Anza Kumuabudu Mungu Kama Vile Kuacha Uovu Hakuna Siku Ya Kufanya Uovi... Rudia Tena Utanielewa❤
Simulizi, hapa hakuna mwl.wa kufundisha biblia ni matumaini yangu Kwamba Kwa kazi hii unayofanya ni Mungu tu ndo ameamua kukuokoa na madhehebu ya uongo maana Kuna ukweli umeshaupata mpaka Sasa. Sasa amua mwenyewe ufuate Neno la Mungu au simulizi za watu.
Anayaishi tu maandiko ya kiroho amesahau yupo kimwili pia geographia na ukweli upo siku ya ibada ni Ijumaa amini usiamini Mungu alisha renew dini yake kutoka mikononi mwa waovu
Mungu mwenyewe anasema siku ya saba akapumzika siku ya sabado wewe una pepo wewe akaibaliki kwenye siku hapo shetani nayo shetani amewwka ibada yake jumapili ndiyo ya mpinga Kirsto yani mungu juwa
Watu hawataki sabato juu wanapenda siku ya jumapili siku mpinga kirito shida watu wengi wanafunguwa makanisa wakiwa wana njaa kama huyo njaa ndiyo inamsumbuwa
Muuliza maswali ana IQ kubwa kuliko mjibu maswali, mwalimu anapinga matumiz ya siku maalumu kwa mambo ya ibada na bado anaabudu katika siku maalumu ya ibada iliyofanywa na mwanadamu katika madhehebu na dini
soma vizuri biblia we mchungaji wa mchongo acha kusoma biblia kama hadithi na ukiendelea kupotosha kondoo wa Mungu damu zao kristo atazitaka mikononi mwako siku ya mwisho Neno la Mungu limwhakikishwa na haliwezi kutanguliwa.ukiendelea kufanganya watu wa Mungu saa mbaya zitakujia
Atengue hoja akiijibu naona Yuko vizuri yesu aliwaambia wanafunzi wake sikuja kuitangua torati bali kutimiza je atuonyeshe sehemu ambapo yesu alisema sahivi muitunze jumapili mana cc niwana wake
Simulizi leo una njaa, sasa huyu ndie mwalimu gani hata maandiko hana hadithi tu anatoa kichwani mwake...hebu tafuta walimu wa kiislamu wakufafanulie sabato ( siku ya saba ya juma) wakupe maandiko yanasemaje.
Hao wasabato wawe wanasoma vizuri ,matendo 15:5. Kama wao ni mafarisayo walioamini watwambie wasitusumbue. Na kama wanaishika torati wasing'ang'anie sabato tu bali waishike torati yote maana wanachomoachomoa baadhi ya maeneo.
Simulizi kwa sie waislamu mwalimu kama huyu hatufai kwasababu hatujaona uhakika wa maandiko sie huyo tunasema anahubiri zaidi anatumia akili zake...sie waislamu hatuwezi kumkubali mafundisho yake.
Hahahahaha anajiona mjuaji enyi mnaohitaji kujua maandiko someni wenyewe Biblia na muombe Mungu awajulishe kwa uongozi wa roho mtakatifu hawa ni wale wa mapokeo tuweke mijadala ya uwazi kama mtakalisha miguu yenu chini kubali kufundishwa usikumbatie ujinga
Huyu anayetoza kafara za kondoo na mbuzi anahujumu haki ya ukombozi wa Yesu kwa washirika wake kwa kuwaondoa kwenye msalaba na siku moja huyu anaweza kuja kujiita Yesu wa Tanzania!
Kaka side plz google nchi zote za kiislam kwann wanapumzika ijumaa na jumamos alaf nenda kwenye lugha ya kiarabu uliza nn maana ya shabath pia google sabato ni sku gan katka lugha zote za asili maake wao wanaiita kabsa jumamos sabato lugha zote kichina kiarabu kiitary kiyahud hispania kirus lugha zote unazozijua bro usipende kufata akili za wajinga kama huyu jifunze maarifa yapo na yako waz biblia ipo waz sabato ni ip yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma yaan jumapili na alikufa ijumaa sku ya maandilio ya sku ya kupumpzka yaani sabato jumamos pia hata koroan ipo waz mtume anasema siku zote fanya kaz azana ikililia nenda kwaswali lakn sku ya jumamos akusema chochote ww hujiuliz kwann akasema msiiarif sabato msije kuwa km wayahud ambao mwenyez mungu aliwahukum na kuwa manyan wadharirif
Mwalim wa mapokeo achana na sabato amri zingine pia ni tatizo haswa ya kujifanyia sanam la kuchonga na kuliabudu je bikira maria na rozari vimeandikwa wapi kwenye biblia??
Mimi nashindwa mbona wanasema sabato ni Saturday na kuna sabato mingi zimetajwa kwa Biblia na hizo sabato zilikuwa na masharti still waisrael walishindwa kushika
Amri 10 za Mungu hazijawahi kuwa kivuli, Tutumie maandiko vzr , sio kutetea mapokeo ya mafundisho yaliyoibuka baada ya mateso ya mitume na kipindi cha giza
Mbona hata Yesu anasomeka kufanya pasaka.? Yesu hayumo kwe kwenye agano la kale. Mambo ya Wayahudi hayatuhusu sisi Wabantu.Sgano la kale na jipya sio mambo yetu. Tulimuabudu Mungu kabla ya Biblia.
Huyu ni kiongozi wa kuhurumia kabisa , ni muhimu arudi kusoma maadiko ,Kwa maneno yake matupu yasiyo na rejea za biblia , simulizi hapo umekosa mwalimu mzuri.tafuta mwingine
Ivi wewe ayo maandiko hukusoma kutoka kwenye vitabu vilivyo andikwa nawatu?..... au unaamini biblia gani iyo na iliyo toka wapi na kwanani.....?......hiyo historia mbna haimo katika biblia acha story fata kweli ya neno
Ibada ni siku zote na pia kwenye biblia haijaonesha kuwa ibada ni jumamosi au jumapili hakuna ndg yangu kama kuna kifungu linasema jumamosi ndo siku ya ibada lete hcho kifungu
Jumamosi ni siku ya kwanza ya juma sio sabato, jumapili ni siku ya pili ya juma na sio sabato endeleeni jumanne ni siku ya nne ya juma sio sabato....sabato ni siku ya saba ya juma
wow,Mtumishi,mimi ni mwalimu pia,ila umefundisha vizuri sana ktk Roho Mt nimetiwa moyo maana nami ndivyo ninavyoelewa,barikiwa sana na songambele hata wengi wakatae cha maana aliyekutuma akufurahie.
!!!!!! Umefundusha vizuri sana wasipo elewa Ni Neema tu ya Mungu kuwqokoa Haya majibu ni ya mtu alie okoka
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote,na nguvu, na akili yako yote,, kumaanisha hakuna amri ya Mungu utakayoivunja,,,usabato ni kuabudu Mungu kwa moyo wako wote alafu ishara ya kutimiza hili ni kuingia katika raha ya sabato,,amina
Siku Ya Ibada Ni Siku Zoto Kama Leo Ni Siku Ya Ibada Abudu MUNGU Wako Siku Zote Sai Ukiona Hii Sms Haijalisi Ume Iona Siku Gan Wewe Anza Kumuabudu Mungu Kama Vile Kuacha Uovu Hakuna Siku Ya Kufanya Uovi... Rudia Tena Utanielewa❤
Mungu aitakase sabato , na wewe Kila siku
@@paulmutuajustus5277 ibada siku zote juu unaamka siku zote,
Mchungaji unatosha, wanaokupinga wanafikiri uzima wao unamilikiwa na siku yaani jumamossi,wanasahau kukuza jina la Yesu. Mwenyesiku zote.
Huyo walimu anatumia maadiko vimbaya juu sabbato n amri kutoka Mungu na mehema inatusaidia kushika amri za Mungu naye yesu n bwana wa sabbato
Mungu akulinde tena mwalimu ili mjadili vizuri zaidi mch ndacha
“Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
”
- Marko 7:9 (Biblia Takatifu)
Mungu akubariki mwalimu
Hakika nashukuru Kwa mafundisho na hitaji nifundishe zaidi
“Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
”
- 1 Yohana 5:3 (Biblia Takatifu)
@@NuelBenIsrael
Amina. Ubarikiwe kwa ukweli huo
Simulizi, hapa hakuna mwl.wa kufundisha biblia ni matumaini yangu Kwamba Kwa kazi hii unayofanya ni Mungu tu ndo ameamua kukuokoa na madhehebu ya uongo maana Kuna ukweli umeshaupata mpaka Sasa. Sasa amua mwenyewe ufuate Neno la Mungu au simulizi za watu.
Ni vizuri watu wanazidi kujua ukweli wa ibada. Tofauti kati ya again ya kale na agano mpya
Asante saaana wakuelewa ataelewa tu
Siku ya kwanza ni siku ya kusherekea kufufuka kwa yesu. Lakini siku ya sabato ya kumuabudu mungu baba
Polesana kiongozi kipofu
Unajua majuzi nilikuwa namsikiliza baba rose ak hananja anasema wasabato wamebaki kwenye neno watu wajumapili wanacheza kama wamekanyaka kaa lamoto
Siku ibadi jumamos hata yesu mwenyewe Allenda siku ya sabato
UYUU JAMAA NI MBUMBUMBU KWELI KWELI DAH
@@djskadi7355
Jamaa anapiga kitabu kisawasawa.
Wasabato hapa wananuna bila hoja zinazobamba.
Kristu Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, basi na tuifanya karamu katika Bwana.
Yaani shetani kazini 😢😢😢😢😢 watu wanakataa Amri ya sabato to lakini zingine Tisa wanakubali shetani kazini 😢😢😢😢😢
Simulizi zone Unazingua sasa
Anayaishi tu maandiko ya kiroho amesahau yupo kimwili pia geographia na ukweli upo siku ya ibada ni Ijumaa amini usiamini Mungu alisha renew dini yake kutoka mikononi mwa waovu
Nyie ndiyo mlidanganywa kabisa na yule mhuni wenu aliyekuwa anaoa mpaka watoto wa miaka sita, bora ukae kimya
Mungu mwenyewe anasema siku ya saba akapumzika siku ya sabado wewe una pepo wewe akaibaliki kwenye siku hapo shetani nayo shetani amewwka ibada yake jumapili ndiyo ya mpinga Kirsto yani mungu juwa
Watu hawataki sabato juu wanapenda siku ya jumapili siku mpinga kirito shida watu wengi wanafunguwa makanisa wakiwa wana njaa kama huyo njaa ndiyo inamsumbuwa
Hayo anayosema ataje vitabu ili tuyahakiki...kama hanukuu na kutuonesha kurasa zake....ni poroja tu.
Ikumbuke siku ya sabato na kuitakasa, Hiyo amri alitoa nani?😮😮😮
Muuliza maswali ana IQ kubwa kuliko mjibu maswali, mwalimu anapinga matumiz ya siku maalumu kwa mambo ya ibada na bado anaabudu katika siku maalumu ya ibada iliyofanywa na mwanadamu katika madhehebu na dini
Una uhakika siku siyo muhimu? Ila hujui kabisa maandiko ila porojo tu. Acha kuchanganya watu
Soma biblia boss acha kudanganya watu
Taja vitabu....hayo unayosema imeyapata vitabu vipi. Na kurasa zipi;.....?
soma vizuri biblia we mchungaji wa mchongo acha kusoma biblia kama hadithi na ukiendelea kupotosha kondoo wa Mungu damu zao kristo atazitaka mikononi mwako siku ya mwisho Neno la Mungu limwhakikishwa na haliwezi kutanguliwa.ukiendelea kufanganya watu wa Mungu saa mbaya zitakujia
Atengue hoja akiijibu naona Yuko vizuri yesu aliwaambia wanafunzi wake sikuja kuitangua torati bali kutimiza je atuonyeshe sehemu ambapo yesu alisema sahivi muitunze jumapili mana cc niwana wake
Duh! Hapa hakuna material mbuzi na tendo la ndoa???????............?????😁
Ok nikulise amuri kumi na sheria yamungu ziko wapi
Simulizi leo una njaa, sasa huyu ndie mwalimu gani hata maandiko hana hadithi tu anatoa kichwani mwake...hebu tafuta walimu wa kiislamu wakufafanulie sabato ( siku ya saba ya juma) wakupe maandiko yanasemaje.
Maandiko ya kiisilamu ni magumashi magumashi ya Mohamad
@@MiziziMti sawa si tatizo basi hayo ya kweli twambie andiko gani ukristo ni dini
Hao wasabato wawe wanasoma vizuri ,matendo 15:5. Kama wao ni mafarisayo walioamini watwambie wasitusumbue. Na kama wanaishika torati wasing'ang'anie sabato tu bali waishike torati yote maana wanachomoachomoa baadhi ya maeneo.
Huyo Yedu na Musa n Ibrahim na Adam na Eva ni hadithi za Wazungu.
IPM nimemkataa tangu hapa
Simulizi kwa sie waislamu mwalimu kama huyu hatufai kwasababu hatujaona uhakika wa maandiko sie huyo tunasema anahubiri zaidi anatumia akili zake...sie waislamu hatuwezi kumkubali mafundisho yake.
Huyo mwandishi siyo muelewa? Ingekuwa starehe roho mtakatifu angeshukaje? Hao walikuwa wanamwabudu mungu katika roho na kweli
Hapo tuambie ni wap yesu alibadilisha kutoka jumamos kwenda jumapili siku ya kuabudu
Huyu Hana lolote.. hajui maandiko, ukifuata huyu umepotea
Uyu ni mwizi wa nafsi za watu katumwa na yule Mnyama na utakuta watu wanakaa na kumsikiliza 😔😔😔
Ukijua ibada nini basi hautatafuta siku
Iyo kweli njomana wanasema tuombe bila kuchoka
Walimu wa kikristo wanazingua sana bhana hawajibu kwa maandiko kama waislamu
Sababu hujui Biblia
@@barakamwantolwa4336unaamin MUNGU ameiondoa amri ya sabato?
Kaa na uislam woko na maandiko yako. Hata sisi tutasema hivyo kwako
Ila sijaiona hoja kwako zaidi ya kutafuta umaarufu kwenye mitandao.
Na Mbona naabundu katika Sunday acheni unafiki muogopeni mola wenu
Umeitwa kweli au umejiita? Mbona katika hoja zako unajichanganya
Huyu mchungaji ni maneno mengi tu ya mdomo maandiko hana
Hahahahaha anajiona mjuaji enyi mnaohitaji kujua maandiko someni wenyewe Biblia na muombe Mungu awajulishe kwa uongozi wa roho mtakatifu hawa ni wale wa mapokeo tuweke mijadala ya uwazi kama mtakalisha miguu yenu chini kubali kufundishwa usikumbatie ujinga
Huyu anayetoza kafara za kondoo na mbuzi anahujumu haki ya ukombozi wa Yesu kwa washirika wake kwa kuwaondoa kwenye msalaba na siku moja huyu anaweza kuja kujiita Yesu wa Tanzania!
Akosawa ukimusikiliza vizuri akosawa kwanini tupiganiye Siku kuliko kupigania wokovu haitoshi Sisi niwamataifa tumeokolewa kwaneema tu
Maana ya j mosi ni siku ya kwanza siku ya saba katika wiki ni ijumaa na tokea dunia ianze watu na manabii wote walikuwa wanasali ijumaa
😂😂😂😂😂😂😂pole na aliyekudnganya.
Kaka side plz google nchi zote za kiislam kwann wanapumzika ijumaa na jumamos alaf nenda kwenye lugha ya kiarabu uliza nn maana ya shabath pia google sabato ni sku gan katka lugha zote za asili maake wao wanaiita kabsa jumamos sabato lugha zote kichina kiarabu kiitary kiyahud hispania kirus lugha zote unazozijua bro usipende kufata akili za wajinga kama huyu jifunze maarifa yapo na yako waz biblia ipo waz sabato ni ip yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma yaan jumapili na alikufa ijumaa sku ya maandilio ya sku ya kupumpzka yaani sabato jumamos pia hata koroan ipo waz mtume anasema siku zote fanya kaz azana ikililia nenda kwaswali lakn sku ya jumamos akusema chochote ww hujiuliz kwann akasema msiiarif sabato msije kuwa km wayahud ambao mwenyez mungu aliwahukum na kuwa manyan wadharirif
Toa andiko Wacha Kelele.
Jumapili ni siku ya kwanza ya juma, jumamosi ni SABATO ya BWANA.
Mwalim wa mapokeo achana na sabato amri zingine pia ni tatizo haswa ya kujifanyia sanam la kuchonga na kuliabudu je bikira maria na rozari vimeandikwa wapi kwenye biblia??
Siku sabato jumamosi kulinga na bibulia wakasema tumzike tabla ya sabato na siku hiyo ilikuwa ijumaa
Somaa quran ueleweee dinivizurii usijipootezee wakti
Quran ndo uchafu gani?
Mimi nashindwa mbona wanasema sabato ni Saturday na kuna sabato mingi zimetajwa kwa Biblia na hizo sabato zilikuwa na masharti still waisrael walishindwa kushika
Tafuta lugha zote za asili dunian unazozjua google sabato ni sku gan
Katika Amrikumi za Mungu ,Sabato Imo?kama haipo kwanini ifatwe?Hamuoni yesu alikuwa sahihi kufanya kazi siku yasabato?
Amri 10 za Mungu hazijawahi kuwa kivuli,
Tutumie maandiko vzr , sio kutetea mapokeo ya mafundisho yaliyoibuka baada ya mateso ya mitume na kipindi cha giza
@@frankiuskilomba4880 Ndugu soma Bíblia vizuri
Soma Kolosai 2 ; imeandikwa kuwa ni kivuli, tena aliyesema ni aliyekuwa Msabato "konko".
Paulo; unasoma Biblia gani?
Kwani ni nani Bwana wa Sabato?
Wakati mlisema anavunja Sabato? Au Umesahau?
Sisi tunafuata lililoandikwa kwenye bible sio kiboko yawachawi amewapiga Hela sahivi anamjengo wamana
KO AMRI ZILE ZINGINE 9 MNAZISHIKA ILA ILE MOJA MMEICHOMOA????😂😂😂😂😂😂😂KWANI MUNGZ ALITOA AMRI 9????????😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mbona hata Yesu anasomeka kufanya pasaka.? Yesu hayumo kwe kwenye agano la kale.
Mambo ya Wayahudi hayatuhusu sisi Wabantu.Sgano la kale na jipya sio mambo yetu.
Tulimuabudu Mungu kabla ya Biblia.
Manabii wa uongo wanalisha watu matango poli
LA msingi ni, Yeshua ni nani?
We ushawahi kuona msabato anajiita nabii nyie mkianza kusema jioni yaleo nakutabilia utajiri anabadilisha nalugha
Simulizi kwa huyu jamaa una poteza muda hana lolote
Wewe una lolote lipi?
Shetani mkubwa ww unaepofusha watu kwa maandiko
Tatizo mungu wako ni tumbo maana unatetea hoja ambazo hazipo katika biblia ila ni mapokea tu.
Wewe mtangazaji nawe huamini maandiko matakatifu unamsumbua tu huyo mhubiri
Huyu ni kiongozi wa kuhurumia kabisa , ni muhimu arudi kusoma maadiko ,Kwa maneno yake matupu yasiyo na rejea za biblia , simulizi hapo umekosa mwalimu mzuri.tafuta mwingine
Ivi wewe ayo maandiko hukusoma kutoka kwenye vitabu vilivyo andikwa nawatu?..... au unaamini biblia gani iyo na iliyo toka wapi na kwanani.....?......hiyo historia mbna haimo katika biblia acha story fata kweli ya neno
Unaongea maneno yako tu huna maandiko ya biblia
Sasa siku ya ibada ni ipi? Kati ya jpili na jmosi. Kwa mujibu wa biblia
Sabato /Saturday
@@paulmutuajustus5277toa andiko sabato ni jumamosi
Kila siku
Sasa siku ya ibada ni ipi? Kati ya jpili na jmosi. Kwa mujibu wa biblia
Ibada ni siku zote na pia kwenye biblia haijaonesha kuwa ibada ni jumamosi au jumapili hakuna ndg yangu kama kuna kifungu linasema jumamosi ndo siku ya ibada lete hcho kifungu
Jumamosi ni siku ya kwanza ya juma sio sabato, jumapili ni siku ya pili ya juma na sio sabato endeleeni jumanne ni siku ya nne ya juma sio sabato....sabato ni siku ya saba ya juma
Siku yyte NI siku ya kuabudu