SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 297

  • @yasiinmtiniko3050
    @yasiinmtiniko3050 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mwaipopo Wallah Unanifurahisha Umenyooka Mungu Akuhifadhi Nakuelewa Sana..

    • @sygtamks1643
      @sygtamks1643 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin

    • @sharrifidris3422
      @sharrifidris3422 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna huyu ni chama hicho hicho tu,ni vile hawajamuhusisha kwenye biashara.wote Hawa ni wapiga dili

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 2 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤Shukran sana shekh mwaipopo Mungu akuhifadhi na Amuhifadh Shekh kishk

  • @SheikaYussuf
    @SheikaYussuf 2 หลายเดือนก่อน +9

    Sheikh kishki yuko sahihi ni mtu na ilmu yake maashallah allah amuongoze mwaipopo piah upo sahihi hao waropokaji hawajielewi wapotezeeni Allah anawaona na anawasubiri ukishawafika umauti watayajutia hayo.

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli maneno yako sheikh Mwaipopo

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 2 หลายเดือนก่อน +32

    Wanamlaumu kishki na kumuaona mbaya kwasababu ya njaa zao wanaona kawakosea kwasababu yautapeli ya matumbo yao kishki oyeeeeee Mwenyezi Mungu ampe afya njema shekhe kishki nauzima nawale wooote walioko nyuma ya kwakumuunga mkono kishki nasisi pia tuliofurahushwa nahili amiin🤲 kwaumjula

    • @Abuuhurayrahsaalim
      @Abuuhurayrahsaalim 2 หลายเดือนก่อน +1

      Swaddaktaaa

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin yaarabbli al'amiin

    • @SheikaYussuf
      @SheikaYussuf 2 หลายเดือนก่อน +4

      Aaaaamin yaaarabb aamin

    • @AminaKaifa
      @AminaKaifa 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ameen ya Rabb

    • @hasnakid
      @hasnakid 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aameen yaa Rabb

  • @BerriJose-r6i
    @BerriJose-r6i 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sheikh Kishki yupo sahihi tena sanaaa

  • @WaziriKhalfan-r3e
    @WaziriKhalfan-r3e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ongelasana baba mwenyezi mungu akujaze heli

  • @fadhili2293
    @fadhili2293 2 หลายเดือนก่อน +1

    Apa mzee wangu Mwaipopo nimekupa ℅100

  • @HalimaOmary-l2q
    @HalimaOmary-l2q 2 หลายเดือนก่อน +4

    Alhamdu lilaah napenda sana unayotupa daawa na kuwakumbusha waislaam tunapokosea Allah akujaalie mwisho mwema

  • @binshomartv8680
    @binshomartv8680 2 หลายเดือนก่อน +6

    Masha Allah sheikh mwaipopo unafanya kazi kubwa mno Allah akulipe fiy dunya wal akhera

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 2 หลายเดือนก่อน +3

    Njaaa mbaya sana kaka mwaipopo huyu wamkumpiuzia bakwata kazi yao nini...umeongea ukweli mwaipopo ❤

  • @aboodsutre668
    @aboodsutre668 2 หลายเดือนก่อน +8

    Sheikh hio ndio dinii Sasa ,,mungu akuzidishie ilmu na fahmu zaid insha allah 16:21

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 2 หลายเดือนก่อน +9

    Shukra sana mwaipopo kishiki yukopowa arieniumizasana ni mazinge busarayake anaipoteza kwakusapoti yure dogo fekkii

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 2 หลายเดือนก่อน +10

    Hii ndio raha ya uislamu ukileta ujanja huwachiwi kama upande wa pili.ktk uislamu hakuna kitu cha kubuni

  • @YahayaMilumba
    @YahayaMilumba 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo mungu akupe maisha malefu SEMA kweli

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤

  • @AbdallahiddiKatumbi
    @AbdallahiddiKatumbi 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi nafitina mwalimua

  • @RajabuOmary-j6h
    @RajabuOmary-j6h 2 หลายเดือนก่อน +1

    SHEKHE UISLAMU NI DINI YA ALLAH ILI DUNIA IMEKWISHA KIAMA KIMEKARIBIA NDIYO MAANA MASHEKHE WANAGOMBANA KWA SABABU YA RIZKI

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ yaaani umenigusa sana😢

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน +21

    SHEIKH KISHKI
    ANA ELIM KUBWA KULIKO NYINYI
    AMEHIFADHI QUR.AANI YOTE NA NA ANAIJUA TAFSIRI YAKE

    • @HusnaMwajuma
      @HusnaMwajuma 2 หลายเดือนก่อน

      Nasii tulisoma kusoma siyo ku elewa

    • @sulekhan7119
      @sulekhan7119 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa Tanzania hii hakun wakumfikia kishki

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@sulekhan7119 Ana Gigree ya dawah
      Amehifadhi Qur.ani yote
      Mashaallaah

    • @sulekhan7119
      @sulekhan7119 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@Al.habeebAl.habaaib Rakini hapo hata sisi tusio soma nirahisi kumuelewa kishki na kikakuingia akilini

    • @SaidKessy-f5p
      @SaidKessy-f5p 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani mwaipopo kasema ana ilmu kuliko kishki? Yeye anamtetea kishki kwa kusema ukweli..ilmu zipo nyingi mwaipopo ni shehe wa kuingiza wakristo na kishki analingania waliokuwa ndani ya uislam

  • @khalfanikimanta6663
    @khalfanikimanta6663 2 หลายเดือนก่อน +4

    ETI SHEIKH LIDA SIJUI NANI WALLAAHI DUNIA INAISHA SHEIKH MSANII SHEIKH KANYOA KIDUKU HAHAHAHAA KISHA WATAKA UJIFANANISHE NA SHEIKH KISHKI KWELI UJINGA MZIGO

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uko sahihi sana

  • @HamisHSanza
    @HamisHSanza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waipopo tupo pamoja na she wetu kishiki

  • @IddyRashidhassan
    @IddyRashidhassan 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uko sahihi shekh mwaipopo uko sawa kabisa

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kishiki yupo sahihi

  • @balukufaisal
    @balukufaisal 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante shk kwakutuagamuwa

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kanihuzunisha sheikh Mazinge kwanini anaona wanawake wanaadhirika uwanjani mbona asimpe fikra mwanafunzi wake sheikh firdaws awafanyie tiba za stara wanawake wasianguke ovyo hadharani jmn tunaelekea wapi waislam

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nasimama na shekh kishki mm hawa wanaojipachika usharifu kisha kuzusha mambo nina mashaka nao sana

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa nimesoma nae madrasa miaka hiyo ijapokuwa nilikuwa mdogo wa miaka 13 miaka 20 iliyopita , anaitwa KHAMISI LUAMBO familia yake inaitwa LUAMBO nilisoma nae na dadake madrasa, familia yao ni wacheza music wa dance ( BOLINGO ), kunakipindi alikuwa mcheza dance , mara muigizaji mara unamkuta amekua shekh mara amekua mtangazaji yaani huyu jamaa hana utulivu , MDOGO wake wakike anaitwa NURU LUAMBO, KAKAKE alifariki alikuwa anaitwa CHOCHOLI jina la dance. Anaishi kinondoni kanisani biafla Shukran chini kabisa mtaa wa magengeni, labda wawe wamehama sai , tumesoma madrasa JAMIA...

  • @HemedDkShengwaza
    @HemedDkShengwaza 2 หลายเดือนก่อน

    mashallah mungu akuzidishie

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiama hakiko mbali wallah 😢😢😢😢😢

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 2 หลายเดือนก่อน +7

    Asalaam aleikum wa Rahmatullah wa barakatuh masheikh wetu naombani pakiwa kitu nivizuri mkutane kama masheikh mzungumuze iwe ni siri yenu kama masheikh Asante sana shukran

    • @fisabillah-o7r
      @fisabillah-o7r 2 หลายเดือนก่อน

      Haiwezekani wasemezane kwa Siri, kwani kufanya hivyo bado watu watapotezwa kwa yale yaliyosemwa hadharani, kwhy kukosolewa ili umma ujue ukweli itabidi jambo lililokosewa lisemwe vivyo hivyo hadharani kama lilivyosemwa hadharani@abdulsimbarakiye

    • @sygtamks1643
      @sygtamks1643 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani huyo mmwaga mafuta kamwagia watu mafuta kwasri naunawajua vzr watu watwarika washirikina walivyo wabishi

    • @ZulfaAthman-i9u
      @ZulfaAthman-i9u 2 หลายเดือนก่อน

      Watakapo kaa kwasiri ww utajuaje kosa lililofanyika

  • @omarymbwana9798
    @omarymbwana9798 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaalah

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 2 หลายเดือนก่อน +1

    SubhaAllah. ALLAH akuhifadhi

  • @jumakigoma1271
    @jumakigoma1271 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaipopo assante saaana kusema ukweli assante kabisa harafu ungana na kishki mumuite Mazinge aace kupoteza wislam nawa Islam Mazinge ametuumiza saaaana heshima tunayompa nikubwa iweeje asaport ujinga waajabu kama ule plz endelea kuwa Mkweli tunashukuru saaana Mungu akulinde upaki na ukweli wako akupe maisha marefu Inshaa Allah

  • @sein.208
    @sein.208 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 2 หลายเดือนก่อน +2

    Upuuzi kama huu katika uislamu siyo wa kufumbia macho kishk yupo sahihi nachukizwa sana na hicho kitendo hivi kweli waislamu tumefikia kuuziana mafuta ya upako masqd

  • @RabiyaTajiri
    @RabiyaTajiri 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUTUZINDUA KATIKA UKWELI WA DINI YETU YA KIISLAM AMEEN😂

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kishki iko sahihi hawa wanamupinga niwale wenye yale mafuta yao ya upako musiktini .huyo jama hana lolote huyo lwambo hawezi kufikiliya kipaji cha kishki

  • @FadhiliNyassi
    @FadhiliNyassi 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la dini yetu ya kislamu hakuna muhimili wa uongozi ndio maana kila akiyafahamu maneno kadhaa tu ya coloan anaingia mtaani hili ni tatizo, jambo jingine lazima waisla tutambue dhehebu letu kabla hatujakosoa maana vitu vingine kwenye madhehebu mengine ni haki!

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 2 หลายเดือนก่อน +1

    From 🇧🇮 nitapeli 😂uyo kak

  • @hassanabdalah8607
    @hassanabdalah8607 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera shekhe Allah amekujalia ufaham ila watu ambao unaamiliana nao sio sahihi karibu katika manhaji salafi

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Audhubillah
      Mungu amnusuru na udajjal wenu

    • @hassanabdalah8607
      @hassanabdalah8607 หลายเดือนก่อน

      @DjumaAsha njia ya wema walio tangulia niudajjali yan njia alio pita abu bakar na omar na maswahaba wote niudajjali rudi darasani ukasoma usikuripuke kuongea bila elim

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      @hassanabdalah8607 laiti mngefwata mwenendo wa Maswahaba Allah awaridhie hamngekuwa na Tabia za kishenzi Kwa kukufurisha wenzenu Allah awaongoze lasivyo mtakiona cha moto

    • @hassanabdalah8607
      @hassanabdalah8607 หลายเดือนก่อน

      ​@@DjumaAsha mnataka mkiabudia kaburi tuendelee kuwaita waislam

  • @yusufuosman8966
    @yusufuosman8966 2 หลายเดือนก่อน

    Mm naona sheikh Kishki yupo sahihi kwamtazamo wangu.

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 2 หลายเดือนก่อน

    Hajakosea kishki

  • @SeifRoky
    @SeifRoky 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mm hapo ndipo ninapokukubali shehe

  • @SuleymaniRamadhani
    @SuleymaniRamadhani 2 หลายเดือนก่อน

    mashallhah

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 2 หลายเดือนก่อน

    Njaaa mbaya

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh mwaipopo yupo sahihhi kwa kila asemacho namkubali sana

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Ahmad nurdin kishki uhibuka fi allahi

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 2 หลายเดือนก่อน

    Tumeshajua kishk yupo sahihi sana

  • @themagnet4236
    @themagnet4236 2 หลายเดือนก่อน

    Sina ilimu,ya dini ila Kishiki yupo kwenye haki!!!nimeshangaa kuona,Mazinge naye anaunga mkono,Huo sharifu feki!!

  • @sallyandmozachannelchannel37
    @sallyandmozachannelchannel37 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaonneana choyo tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli inaumiza sana tena wana mwagiwa mafuta msikitin

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaompinga kishi leo watakuja kuumkubali kesho.kwenye ukristo viongozi wanayakemea sasa hiv hayo ili waachane na huduma hizo makanisani.leo waislaam ndio kwanza tunaianza wakat wenzetu waliiwacha mwanzon leo wanakemea cc waislaam tusipo yakemea sasa yataenea hayo kama yalivyo enea kwa baadhi ya makanisa.

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 2 หลายเดือนก่อน

    Shk uko sahihi lakini Sasa watu wananjaa 😂

  • @mohamedkhairudin6418
    @mohamedkhairudin6418 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kwanza huyo jamaa anayeuliza maswali kwa Sheikh Kishk ni mwislam kweli au anaubatizo, hivi kweli anauliza swali la kipuuzi sana eti kabla ya Mtume Mohammad S. A. W kulikuwa hakuna Quran jibu NDIYO

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 wewe ndio kwa akili yako ndivyo unasema swali la kijinga lakini hilo swali ni msumali,huwezi kujibu

    • @mohamedkhairudin6418
      @mohamedkhairudin6418 2 หลายเดือนก่อน

      @@dennisezakiel3380 acha mhemuko swali lipi

  • @RabiyaTajiri
    @RabiyaTajiri 2 หลายเดือนก่อน

    NAMUOMBA HUYO SHEKH FEKI AJE ZANZIBAR NA KUTULETEA HUO USHARIFU WAKE TUNAHAMU YA KUMUONA LIVE NA HAO WANAOMTETEA

  • @SaidIsmail-w2w
    @SaidIsmail-w2w 2 หลายเดือนก่อน

    mwaipopo upo sawa lakn wote hao wanjanja wajanja kishk na firdaus

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂nimeliona hlo lijamaa eti Lida nlidhan mlevi wa gongo yan ka lipiga debe pale.. picha linaanza alivonyoa😂😂😂🙌🏼🙌🏼

  • @IddiSeleman-f8q
    @IddiSeleman-f8q 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuamin

  • @SharifuMickdady-wh7cl
    @SharifuMickdady-wh7cl 2 หลายเดือนก่อน

    Wallah mwaipopo na kishk Allah awahifadhi Maana palipo ukweli mnaongea

  • @FogofogoHamza
    @FogofogoHamza 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh ongea ukosawa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa shekhe wamkoa waridi nayeye katetea ujinga

  • @maase2023
    @maase2023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kishk si jina lake ! Jina lake ni nurdin ahdaal hivo msidhanie jina lake ni kishk hapana ! Alipewa jina la kishk kwa upayukaji wake akifananishwa na sheikh mmoja wa kipalestina ambae ni kipofu aliekuwa akiiitwa kishk

    • @SalimVunga
      @SalimVunga หลายเดือนก่อน

      Chuki hizo na hasad zikurudie mwenyewe

    • @maase2023
      @maase2023 หลายเดือนก่อน

      @SalimVunga ww ni mjinga kwani kueleza jina lake kamili ni chuki mpumbavu ww! Unataka kumfanya nurudin kama nabii kwa ujinga wako

    • @maase2023
      @maase2023 หลายเดือนก่อน

      @SalimVunga kwani kueleza jina lake halisi ni chuki?? Ww ni mpumbavu sana au unataka kumfanya nurudin kama nabii kwa ujinga wako

    • @SalimVunga
      @SalimVunga หลายเดือนก่อน

      @maase2023 foolish

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน

    Nafurahi sana kuwa nasikiliza mawaidha

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 2 หลายเดือนก่อน

    Kumeaza kuchangamka

  • @SalimMumba
    @SalimMumba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huezi kua mcha Mungu bila elimu ya Quran na ahadith kwa sababu hivi vitu viwili ndo muongozo wetu mkubwa
    Al-Isra' 17:82
    وَنُنَزِّلُ مِنَ ٱلْقُرْءَانِ مَا هُوَ شِفَآءٌ وَرَحْمَةٌ لِّلْمُؤْمِنِينَۙ وَلَا يَزِيدُ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا خَسَارًا
    And We send down of the Qur’ān that which is healing and mercy for the believers, but it does not increase the wrongdoers except in loss.

    • @SalimMumba
      @SalimMumba 2 หลายเดือนก่อน

      Wengi wetu tunaotoa fatwa on social media platforms hatuna elima yakutosha. Tuweni makini sana maana nyuma ya social media platforms Kuna ma thousands of people ambao watapotea kupitia elimu yetu isio kua na dalili sahihi

  • @themagnet4236
    @themagnet4236 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza Tanzania,hamna vile Bakwata,itatuwe hiyo shida?

  • @imani2870
    @imani2870 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 หลายเดือนก่อน +9

    Usiseme hana elimu sanaaaa elimu anayo kubwa sana yena zaidi ya sana kwahiyo futa kauli yako mzee kishki ana elimu kubwa

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwaipopo samahani, ila huyo jamaa kawazidi kwa hoja hiyo ya mashekhe wa kiislamu kuwepo kabla ya kushuka Qurani.

    • @coldkiller-7
      @coldkiller-7 2 หลายเดือนก่อน

      @@omaryjumas6327 kama hujui dini acha kusema vitu usivyovijuwa nani kakwambia kulikuwa na shekhe wa kiislamu kabla ya kushuka quran?

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน

      @@omaryjumas6327 Lazima Ujue kua kila zama kuna nabii na kitabu
      Neno la sheikh halikutumika ila katika zama za mtume wetu muhammas swallallaahu alayhi wasallam
      Mwambieni hivyo lida mzee wa totoz

    • @Zanzibar-e4h
      @Zanzibar-e4h 2 หลายเดือนก่อน

      Nazani hujafahamu kakusudia nn.nakufahamisha sisemi kwa kishik ujuwe mpka uitwe shekhe kuna cheo chake daraja yake sema watu wanaitana mashekeh kwa mzowey tu.na km hujuwi aya hata moja anaejuwa 1 utasema kasoma

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 2 หลายเดือนก่อน

    Upo sawa mwaipopo mlinganie mazinge sababu kateleza.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 2 หลายเดือนก่อน

    kwanza huyo anayebweka na simu yake mbovu hata camera haioneshi vizuri ni nani eti anamkosoa Kishki ni nani ?

  • @abduawesu9165
    @abduawesu9165 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo, Mazinge nk wote hao ni njaa tu kishk yupo juu ya mstari

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi huwa nakuelewa sana shekh wangu,uliwahi sema hivi,ukiusoma uislam hakika utajua kabisa nidini ya haki, lakini ukiwaona waislam wenye na huo uislam wao hakika hutatamani kuingia ndani ya uislam,
    Maneno hayo hakika ulisema kweli
    kabisa,,
    Haaa!huyu jamaa anamjibu kishiki naona ni msela frani tu,Hana sunna hata 1 ya kinadharia, haya hoja yake,maswali yake dhaifu kabisa huyu ndio tutus kweli,jamani.

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 2 หลายเดือนก่อน

    Tz need daawa

  • @t.a.gigalulabypastorjacobs3047
    @t.a.gigalulabypastorjacobs3047 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu hana dini

  • @soudSalum-s9m
    @soudSalum-s9m 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae mwenye kichwa kama govi hana hoja kabsa wala hana akili timam… sheikh mwaipopo bigup sana🎉❤

  • @SwaleheRajab
    @SwaleheRajab 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo watu njaa nyingi shekh n hatar ALLAH atuhifadhi

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hyo alochafua hali ya hewa ni kishk au wao waloanzisha habari za kisomea maji yalofungwa kutoka kiwandan,

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hyu sharifuuu ndoo kachafua Hali ya hewaaa shenz kbs😂😂😂😂

    • @hasnakid
      @hasnakid 2 หลายเดือนก่อน

      Na kizur zaid Sheikh #Kishk hakumtaja mt kwa jina bal mihemko yao t.

  • @RICHMOSLOGISTICSLIMITED
    @RICHMOSLOGISTICSLIMITED 2 หลายเดือนก่อน

    MWENYE KANYOA KIDUGU, PIA HAJAA KAMA MTU WA DIN, HUYO NI MUHUNI WA BUZA KAMA WENGNE

  • @RashidAbdulla-hv7yh
    @RashidAbdulla-hv7yh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anaejiita Shehe Sharif firdaus ni tapeli tu, Shehe gani ambae anamfagilia chief god love halafu chief god love mwenyewe hana dini na ni freemason, kweli huyu ni shehe au tapeli tu, kisha kama ni Shehe asome Yassin tu kama alivyosema kishki

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน

    Bakwata ndo walewale

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 หลายเดือนก่อน

    Mazinge umemponda San mwamposa vip ww na mafuta au n wivu

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 2 หลายเดือนก่อน

    Na ruqya pia ni dua na haitaki mtu awe mchafu, haswali nk.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mim pia huwa nashangaa tena sana mara nyingi nnapokutana na mtu mgeni sehemu yyt ile wananiita sheikh na sina elimu ya dini kwa kweli,huwa najiuliza sana hili.

  • @SHARIFUMOHAMED-u5e
    @SHARIFUMOHAMED-u5e 2 หลายเดือนก่อน

    ACHA KUTETEA UPUUZI NA LAGHAWI
    MBONA WATU HAMUONGEI UKWELI
    ALAFU UNAJITA SHEIKHE LIDA KWA ELIM GANI HUNA MAADILI HANA YA UISILAM KAMA HAMJUI BASI BORA KUKAA KIMYA UPO SAHIHI SHEIKHE MWAIPOPO HATA KISHKI YUPO SAHIHI.

  • @RashidiHiyana
    @RashidiHiyana 2 หลายเดือนก่อน

    Nimemshangaa shekh Lida et anauliza swali kwamba ili uwe shekh uwe umemaliza juzuu 30 ukweri ndio huo ili uwe shekh lazima ifikie hiko kiwango akauliza tena inamaana kabla ya kushuka Kur an mashekh hawakuwepo kwasababu Kur an imeshuka ktk kipindi mtume muhammadi s.a.w yaani swali analo uliza inathibitisha Lida elim yake ndogo sana alafu unamdhalau kishki huu ni mtihani mzito tulionao waislam kama mashekh wenyewe ndio hawa akina Lida mungu tunusuru kisa tu kupigania ugali kwa kuwadhalilisha waislam hasa akina mama

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona Kitu fake kimeingia ndani ya Uislam ujue kitapingwa haraka sanaa

  • @SheikhKibore
    @SheikhKibore 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli watu wengi wanaposha kwa ajili ya njaa ata mazinge ana shda

  • @KalorosiaMtani
    @KalorosiaMtani 2 หลายเดือนก่อน

    Salami aleko,naomba mnisaidie number ya kishki tafadhali

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaojiita wahadhir kwani nilazima waje kwenye media ata kama hawana cha kuongea? nimemsikiliza lakini cha maana alichoongea mimi sikioni zaidi ya maneno tu mdomoni mwake hana reference hana chochote anaongea tu

  • @masoudsaidsaidjuma5368
    @masoudsaidsaidjuma5368 2 หลายเดือนก่อน

    Jiheshimuni hii ni dini si kigenge munagombana kwa si mashekh manen ambay hayana busar munatowan akili mukiw hamuna akili musituogoz maan sw n wanyama

  • @karimabubakary385
    @karimabubakary385 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mwaipopo

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vizur ambaye hajakuelewa kwa ufafanuzi huu atakuwa ni mpigaji tu

  • @kombomakame5778
    @kombomakame5778 2 หลายเดือนก่อน

    Hungera sheikh Mwaipopo owa kumjibu mpuuzi asiye angalau na fikra za dini, hivi ashawahi kujiuliza swali kwamba Baba yetu Adam alikuwa muislam, jed uislam wake ulikuwaje wakati ulifaradhishwa wakati wa Mtume? Na hilo asimuulize Kishiki bali ajiulize mwenyewe.

  • @nasirihussen2781
    @nasirihussen2781 2 หลายเดือนก่อน

    Umepinga tiba ya Sharifu, nawewe unatangaza mafuta kwa msisitizo, tunaami vpi kama ni mafuta orijino kumbuka kenya kilicho kupata uka aibika, kama unatangaza dawa zako tangaza bila kuwa beza wenzako

  • @DavidNicholas-c9i
    @DavidNicholas-c9i 2 หลายเดือนก่อน

    SWALI NI MOJA HIVI NYIE WA ISLAM HAMUWEZI KUONGEA SIRIN?

  • @HamadAthuman-p2o
    @HamadAthuman-p2o 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli wewe huna uwezo wa kumzunguza Kishki huyu ni mwizi kama alivyo wengine Mpumbavu Kuna muislaam ananyoa hivyo

  • @HamadAthuman-p2o
    @HamadAthuman-p2o 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe tutolee Upumbavu na mnyooo wako majizi tu nendeni kwa Mwamposa wenu Wapumbavu unatuletea UPAKO sis toka hapa

  • @HassanMacko
    @HassanMacko 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo lida yeye ndie mnafiki mkubwa sana