I dnt think bcz he is the man of the holy spirit...!!! Never can he make company with @Jinns/@Demons /@Devil abadan he is fir Christ Jesus forever and ever and we are behind him in prayer
Moyo wangu umekaa stand by kumsubiri kaka Ndacha asilimu, Akili yangu inanambia kaka Ndacha ataiona haki na Ataifuata. Yaa Allah mfanyie wepesi kaka Ndacha asilimu.
Masha Allah jazzakaAllah our sheikh mr Ramadan kuria pongesi mwamzo kwa Ndacha kwa haki na ukweli ❤❤❤❤maana unanena haki na ukweli utamfanya free insha Allah
@@yusuphhassan9619 Eti mnamsilimisha Yesu kilazima. Yesu hata hana habari kama kuna uislamu. Yesu mwenyewe kwa mdomo wake anasema ni mwana wa mungu, Je, unakubali?? Maana unasema ni wenu. Soma biblia, yohana 10 :36
Mdacha na Ramadan NI marafiki wazuri Sanaa , PST Ndacha anasema ukweli mwanipa Raha sanaaa kufatilia Mafundisho yenu, walai Ndacha akiingia uislam , sitasita n mm , BT kwakweli mna inspire watu wengi sanaaa . I really love your teaching both of you. Dini zote mbili niza Mungu. NI kitu kidogo tu kinatuchanganya na hiyo NI Siri ya Mungu.
Ndacha siku moja atakuwa muislamu na atakuwa anautetea dini ya uislamu Kwa sababu anajua haki kwa sasa.....yote yawezekana na mwenyezi mungu na tunaomba Allah aweze kuongoza huyu Ndacha akuwe muislamu in Shaa Allah
@@MosesMwiti-q2runajua maana ya kafiri? Kuna waislam, na wale wengine nimakafiri ,sasa muislam sio kafiri ila jitanfaze wewe mwenye chuki kwa ukafiri wako
MashaAllah! Nimeyapenda haya mazungumzo kiukweli ndacha yupo na kitu kizuri ndani yake cha kielimu namuombea kwa Allah(s.w) amfanyie wepesi kuifata haki kabla ya mauti inshaAllah. Ameen ☝️🕌🙏🙏🙏
MashaAllah uso wandacha wa upole leo nidalili tosha yakua Allah yuko karibu kumuonyesha ukweli namuomba mungu amuongoze aionehaki inshallah mana yuko nania yakujua kweli uko wapi❤
Sheikh Ramadhan, Allah akuzidishie elimu, hekma, busara na kipaji katika kazi hiyo ya daawa. Elimu unayowafikishia watu hasa wasio waislamu kuhusu dini ya uislamu wanaifanyia kazi na ukweli wanauona Alhamdulillah.
Mimi binafsi nilikua nikimuombea dua na kumpenda wakat anazungumza na mazinge na docter sule,akiniumiza sana wakat akiwa mbishi ktk dini,ila nilimpenda amesomea dini bali hakujua haki iko wapi sababu alikulia ktk ukristo 😢, kumbe mapenzi yangu kwake yalikua sahihi naona nuru kwake yakua muislam ❤mungu akuongewe ndacha uwe muislam na atuongewe sote ktk njia ilionyooka mana kuwa muislam tu haitoshi,lazima ufuate njia ilionyooka 🎉❤❤❤hongera shekhe ramadhan kwa kazi ya Allah unavoishulikia,Allah akulipe kher za dunia yake na akhera yake,amin.
SHEKH RAMADHAN NDUGU YETU TUSAIDIE NA SISI WATANZANIA NDUGU ZAKO ILI NA SISI TUPATE HIVYO VITABU LIFANYIE MPANGO HILO ALLAH AKUFANYIE WEPESI INSHAAALLAH 🤲
Mahaalla sheikh , ndacha kwa alipo fika anateseka na fasiri ya quran sana kwasababu anategemea fasir ya awali asome nahw swarf balagha atakua mzuri sana na hamalizi kabla ya shahada
Lol, bro he already there knowing little than he knows now. The quran say, oh my people i am calling you to success while you calling me to hell fire. Why would you call any1 to worship a human being ! However much you look at it , whatever explanation you give , majority christians believe that he was 100% man and 100% god. Either way u look at it unaomba binadamu, aliye zaliwa aka hara, akanyonya matiti, aka kula, aka pimwa na shetani, akaogopa, akaomba, akauliwa na wanadamu viumbe dhaifu! Ametakasika mola wa ulimwengu na hayo yote
Inshallah Mwenyezi Mungu amjalie Ndacha awe muislamu, sasa nyinyi haters wenye mnajificha kwa replies, Ndacha anaendelea kuiyona haki na yote kutokutetea utatu ni kwaajili ya kufundishwa na waislamu ndio wamemtoa kwa utatu na ametii,
Much. Ndacha..assallam allaykum..hiyo ndio elimu..ya dini.nikusoma..na kulinganisha hili na lile..upate ukweli..inshaallah Allah atakupa kilichobora katika uislam
ذَٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًى لِلْمُتَّقِينَ This is the Book about which there is no doubt, a guidance for those conscious of Allāh -
Kweli kaka Ndacha wahadhir wengine wa kiislam wanakejeli yafaa wajirekebishe kwasababu wao wanafundisha wakristo inafaa wawe na subra wasitoe kejeli wawe wapole ili wafikie lengo, Allah ajaalie wejirekebishe kwani nawao ni binaadam hupitikiwa,
Toa andiko unajua maana ya mwana wa mungu soma biblia vizur ujue maana ya mwana wa mungu wana wa mungu wapo wengi xna maana heri ya wapatanishi wataitwa wana wa mungu je dunian kuna wapatanish wangap wote hao ni wana wa mungu
@@salimrangi7026 soma mithali 8:22_30 biblia. Kabisa, wana wa Mungu ni wengi sana nikiwepo mmoja wao. Lakini sisi ni wana wa Mungu kwakufanyika. Ukimwamini Yesu unakuwa mwana wa Mungu. Lakini tofauti yetu na Yesu ni kuwa, Yesu amezaliwa na Mungu mwenyewe kabla ya ulimwengu kuwapo akiwa na mwili wa roho. Wakati anakuja duniani ndipo akazaliwa na mariam akafanyika mwili akawa na mwili kama wako. Soma yohana 1:14.
@@charlesmakuri792,ukiacha hasira na ushabiki ukiondoa na kuropoka utaelewa,ndacha yuko kwenye biashara na anajua kua amepotea, lakini ikiwa unadhani kilikua kiumbe cha ajabu basi huo ndio utume wenyewe, maana hata yesu katokewa na shetani tena kabebwa kabisa, mungu wako Paulo alichomwa mwiba na shetani, acha kubanwa ,Paulo yeye kadungwa mwiba aswa, bado unashabikia au unajifunza?
Sheikh RAMADHANI NAOBA NAONA AKO SERIOUS LAKIN ANAHOFU WATU WAKE WATAMCHUKULIAJE KWAHIYO TUNAOMBA UMCHUKULIE SERIOUS USIMCHEKE WALA KUMDHIHAKI...NAONA AMEKARIBIA ALLAH AMUONGOZE INSHA ALLAH
Mwenyez muungu amjalie ndacha asife ila afe akiwa muislam amin
😂😂
I dnt think bcz he is the man of the holy spirit...!!! Never can he make company with @Jinns/@Demons /@Devil abadan he is fir Christ Jesus forever and ever and we are behind him in prayer
Labda majini na wanawake72 waondolewe mwanzo huo ni uongo🤔
Amiin
@@mjombawallace4966
Mjomba wacha zako weee
Holy spirit kutoka wapi,Ndacha will be Muslim one day biidhnillah
Moyo wangu umekaa stand by kumsubiri kaka Ndacha asilimu,
Akili yangu inanambia kaka Ndacha ataiona haki na Ataifuata.
Yaa Allah mfanyie wepesi kaka Ndacha asilimu.
Masha Allah jazzakaAllah our sheikh mr Ramadan kuria pongesi mwamzo kwa Ndacha kwa haki na ukweli ❤❤❤❤maana unanena haki na ukweli utamfanya free insha Allah
May Allah guide him to the right path. Ndacha mtu mzuri Sana
Ewe Mola wangu mjaalie huyu kaka Ndacha asilimu
Wallahi nampenda kwajili ya Mmungu ambadilshe awe muislam mwenzetu
Aamiin
Allaah Atamuongowaa dacha na Atawaiingizaa wengi kwenye dini ya kiislaamuh Atakapoo silimuh hodari kwa kuzungumzaa MashaAllaah
@@faridahalwaily85 ndacha hawezi silimu atabaki kuwa kiboko chenu
Duuuuuuuu kujiunga na uislamu majini mapepo wachafu kazi kweli kweli
@@prochesernest5439 tena kazi saana hawa watu ni waongo infact quran yao ni drama tupu
MashaAllah Ndacha akiwa na Ramadhani anakuwa mtulivu sana
@@yusuphhassan9619 simba ni simba tu hata umwonapo ametulia
@@MarthaMasha Ndacha amekaribia kuwa muislam
@@yusuphhassan9619 Acha ndacha hata mimi siwezi Kuwa muislamu hata kwa mtutu wa bunduki maana sioni faida ya uislamu ila kwa Yesu faida ni tele mno
@@MarthaMasha waislam Yesu(Issa) tunae na Muhammad S.A.W tunae nyie mna Yesu tu hauoni sisi tumewazidi!
@@yusuphhassan9619 Eti mnamsilimisha Yesu kilazima. Yesu hata hana habari kama kuna uislamu. Yesu mwenyewe kwa mdomo wake anasema ni mwana wa mungu, Je, unakubali?? Maana unasema ni wenu. Soma biblia, yohana 10 :36
Sisi waislam tunampenda sana ndacha Mungu amuongoe
Wallahi tena tunampenda sana sana na dua tunamuombea Allah amuoneshe haki na afuate haki hio
Mwenyezi Mungu amujalie akufe akiwa mwisilamu
Wataka awe kafiri ama
Wewe nikafiri usikufe kama bado uko kafiri chukua hatua😊
@@noella128 kujisifu uongo uchawi,ndio dini ya uislam hakuna utapata ukienda peponi ni katikati ya miguu ya mwanamke
😂😂😂 Yesu hawezi kubali mtoto wake aingie kwa dini ya Diddy 1😂.
@@JoyMoraadini ya p diddy marekani na israel.
Mdacha na Ramadan NI marafiki wazuri Sanaa , PST Ndacha anasema ukweli mwanipa Raha sanaaa kufatilia Mafundisho yenu, walai Ndacha akiingia uislam , sitasita n mm , BT kwakweli mna inspire watu wengi sanaaa . I really love your teaching both of you. Dini zote mbili niza Mungu. NI kitu kidogo tu kinatuchanganya na hiyo NI Siri ya Mungu.
Mimi pia nina Imani Ndacha atakubali Uislamu. MUNGU ampe hidaya
Amiin yarabi
Ndacha siku moja atakuwa muislamu na atakuwa anautetea dini ya uislamu Kwa sababu anajua haki kwa sasa.....yote yawezekana na mwenyezi mungu na tunaomba Allah aweze kuongoza huyu Ndacha akuwe muislamu in Shaa Allah
Nini maana ya haki?
Ukweli @@mobutu3884
Akiingia uislamu atakuwa jikafiri kama wewe lakini kwa sasa ni mtumishi wa Mungy
@@MosesMwiti-q2runajua maana ya kafiri? Kuna waislam, na wale wengine nimakafiri ,sasa muislam sio kafiri ila jitanfaze wewe mwenye chuki kwa ukafiri wako
@@mobutu3884haki ndio huo uislam,
I hv hope on mr Ndacha in near future u will be come a Muslim insha Allah.
Shukuran jazaka Allah khairan Allah Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera wallahi kama uyu amefikia hapa si kazi rahisi Allah amuongoze
Ndacha iko siku atabadili inshaallah kwa mungu linawezekana inshaallah
Tunakusubiri Kwa ndacha ktk uisilamu na mw.Ramadhani keshamaliza maneno Mmungu amjaalie ndacha maisha maregu na awahi kusilimu Iko siku inshaa Allah
Barakallahu fikum Sheikh Ramadhan kuuria Allah akujalie hekma zaidi
MashaAllah! Nimeyapenda haya mazungumzo kiukweli ndacha yupo na kitu kizuri ndani yake cha kielimu namuombea kwa Allah(s.w) amfanyie wepesi kuifata haki kabla ya mauti inshaAllah. Ameen ☝️🕌🙏🙏🙏
MashaAllah uso wandacha wa upole leo nidalili tosha yakua Allah yuko karibu kumuonyesha ukweli namuomba mungu amuongoze aionehaki inshallah mana yuko nania yakujua kweli uko wapi❤
Sheikh Ramadhan, Allah akuzidishie elimu, hekma, busara na kipaji katika kazi hiyo ya daawa. Elimu unayowafikishia watu hasa wasio waislamu kuhusu dini ya uislamu wanaifanyia kazi na ukweli wanauona Alhamdulillah.
Yaraab tunakuomba umjaalie Ndacha aipate neema ya Uislamu ❤❤mungu akuongoze InshaAllah
Amin ya Rabbil Alamin 🤲
Ndoto kwenu
Mimi binafsi nilikua nikimuombea dua na kumpenda wakat anazungumza na mazinge na docter sule,akiniumiza sana wakat akiwa mbishi ktk dini,ila nilimpenda amesomea dini bali hakujua haki iko wapi sababu alikulia ktk ukristo 😢, kumbe mapenzi yangu kwake yalikua sahihi naona nuru kwake yakua muislam ❤mungu akuongewe ndacha uwe muislam na atuongewe sote ktk njia ilionyooka mana kuwa muislam tu haitoshi,lazima ufuate njia ilionyooka 🎉❤❤❤hongera shekhe ramadhan kwa kazi ya Allah unavoishulikia,Allah akulipe kher za dunia yake na akhera yake,amin.
MwenyeziMungu amuongoe katika usiilamu InshaAllah
Ndacha Allah akuongoze innsha'allah 🙏🤲🤝
اللهم آمين يارب العالمين
Ndacha acha ushabiki badilika
Yaonyesha unadalili ya kumfuata (Allah Karim)
Mungu Ni moja
mungu ni mmoja yupo katika biblia...na ni wa kweli YHWH...
Walaykum msalaam warahmatullah wabarakat
Shekhe ramadhani mashallha allha amekujaalia hekima
Mash'allah,uyu dacha uyu anaingia Deen insh'allah
Ewe Mola mjaalie Kaka Shafii asife ila afe akiwa Mkristo amin
SHEKH RAMADHAN NDUGU YETU TUSAIDIE NA SISI WATANZANIA NDUGU ZAKO ILI NA SISI TUPATE HIVYO VITABU LIFANYIE MPANGO HILO ALLAH AKUFANYIE WEPESI INSHAAALLAH 🤲
Amin
assalam aleykum naona umeomba vitabu kwa ramadhan ,pengine naweza kujua aina ya vitabu ili kama navijua na naweza nikutumie nitafurahi pia ❤
Shekh ramadhani Mungu akubaliki sana, ila Amini kuwa watu wabishi ndio wepesi kuamini
Tunamuomba Allah ampe hidaya kaka etu ndacha ajue haki zaidi na amuongoze kwenye haki insha Allah...
Najisikia furaha sana wallah naapa jamani sijasikia bado mjadala ila introduction tu imenipa raha😊
Huyo ndacha bado mwenyezi mungu hajamfungulia kifua chake ni huruma kwakweli Allah ndie mjuzi amfanyie hidaya
Uwa mko serious.na hiyo dini ??
Allah amuongoze inshallah katika dini ya haki
I love the maturity in the duo
Ndacha karibu kwenye Uislam
Unamkaribisha katika uislamu aje kufanya nini?
Aje kuswali Kwa kusijudu kama yesu@@kennodhiambo
Mahaalla sheikh , ndacha kwa alipo fika anateseka na fasiri ya quran sana kwasababu anategemea fasir ya awali asome nahw swarf balagha atakua mzuri sana na hamalizi kabla ya shahada
ALLAH amuongoze ndacha
Mungu mnusuru NDACHA Bado UWEZO wake nimdogo Allah amuongoe
Masha Allah MUNGU amuongoze ndugu ndacha aione haki na kuifuata
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
Mwenyez mungu amjalie Ramadan asife ila afe akiwa mwokofu Amen
allah amlinde na amuongoze zaidi akifa afe katika uislam 🤲🏻
Lol, bro he already there knowing little than he knows now. The quran say, oh my people i am calling you to success while you calling me to hell fire. Why would you call any1 to worship a human being ! However much you look at it , whatever explanation you give , majority christians believe that he was 100% man and 100% god. Either way u look at it unaomba binadamu, aliye zaliwa aka hara, akanyonya matiti, aka kula, aka pimwa na shetani, akaogopa, akaomba, akauliwa na wanadamu viumbe dhaifu! Ametakasika mola wa ulimwengu na hayo yote
❤Aielewaaaa sanaa dinii elaa ni mtihaaaniii
May Almighty Allah guide us all .
Amina yaarby ❤❤
Inshallah Mwenyezi Mungu amjalie Ndacha awe muislamu, sasa nyinyi haters wenye mnajificha kwa replies, Ndacha anaendelea kuiyona haki na yote kutokutetea utatu ni kwaajili ya kufundishwa na waislamu ndio wamemtoa kwa utatu na ametii,
MASHA ALLAH 💚💚💚
Leo ndacha amekua mpore sana twamuomba allah azidi kumfahamisha
Ndacha anaujua ukweli, ni kitu tu kidogo anahitaji...Inshaa Allah ataujua ukweli
Masiliha na tumbo nikitu ingine kibaya
Much. Ndacha..assallam allaykum..hiyo ndio elimu..ya dini.nikusoma..na kulinganisha hili na lile..upate ukweli..inshaallah Allah atakupa kilichobora katika uislam
Allah amuongoze Insha Allah
اللهم آمين يارب العالمين
ذَٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًى لِلْمُتَّقِينَ
This is the Book about which there is no doubt, a guidance for those conscious of Allāh -
Assalaam Alaykum Ramadhani unajitahidi ALLAH akulipe kwakweli nakuelewa sana naninafutilia sana mawaidha yako
It's about time Ndacha learned more about Islam and stopped reading the Quran halfway to suit his agenda during debates. And Allah swt knows best .
Ndacha baada yakupinga utatu
Basi jua fika ana anza kushituka napia atasilimu
INSHA ALLAH
InshaAllah
ndacha,edelea,kumwamini,mwana,wa,mungu,yesu,kristo,na,awa,watu,shugana,nao,wanataka,kufotesha,imani,yako,ndacha,mungu,atakubariki,kwa,jina,la,mwanaye,yesu,kristo,Amen
Ndacha ni mualim wa kweli ❤❤
Leo kaja naupole yaonyesha atabadilika Inshallah
InnshaAllah
MASHALLAH
ndacha miaka mitano hutoboi unakua akhy mmoja mkubwa sana allah akufanyie wepesi
Mashaallah Allha
Mungu akulipe mema shehk
Asalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuhu. Sheikh Ramadan.
Nipataje hiki kitabu. Thank you
Nipigie insha'Allah
Asalam alykum ostath nawezaje kukipata kitabu hicho niko kitale plz
Ndacha nainusiya nafsiyangu na kujiusia nafsi yako ,Mwz Mungu akufanyie wepesi in shallah
Allahumma Amin ya Rabb
Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu ndugu..Dhambi zenu mnazipeleka wapi...
May Allah guide him to the right path...
Huyu shekhe navona ndacha akimubatiza mungu amuonyeshe njia yesu
Huyo Ndacha kesha elekea kibla mtoleshe shahada tuuu mbona ameshaukubali uislaam huyo
Takbir😂
Kweli kaka Ndacha wahadhir wengine wa kiislam wanakejeli yafaa wajirekebishe kwasababu wao wanafundisha wakristo inafaa wawe na subra wasitoe kejeli wawe wapole ili wafikie lengo, Allah ajaalie wejirekebishe kwani nawao ni binaadam hupitikiwa,
Mashaa Allah
Uyu ndacha shida yake nikukosa kukubali ukweli but nimtu mzuri.kusilimu to
😂😂😂 nyinyi hamtaki kuambiwa ukweli Ndancha ni mtoto wa Yesu na hapendi uongo. Nyinyi mwadanganya sana 😂
Ndacha Allah akuongoze wallah
Ndacha anjuwa ukweli ila sijui ni nini inamzuia huko.Siezi sema ni Chapman
Labda mungu hajamjalia.
😂😂😂😂 Ndacha akikaa na Sheikh Ramadhani katika Mazungumzo nafurahi sana.. NDACHA Allah amuongoze katika Uislamu.. (Aamiyn)
Yeshua hamashiah is the only way truth way & life
Asalam alaikum ww. Nafurahi kumuona ndacha leo anaongeya kwa utaratibu na utulivu sana .
Imekaribia kidogo tu ,,,inshaallah atakubali uislamu
Mashaallah
I am laughing at how haters of Islam are hiding themselves on replies, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii video nimeiangalia bila ushabiki nimepata Ndacha huko juu sana kielimu Kuria bado hajui kitu ni ushabiki tu wa kidini
Endelea kuwafundisha waislamu mwalimu wetu ndacha waepuke moto wa jehanam kwa kumkubali Yesu mwana wa Mungu
Toa andiko unajua maana ya mwana wa mungu soma biblia vizur ujue maana ya mwana wa mungu wana wa mungu wapo wengi xna maana heri ya wapatanishi wataitwa wana wa mungu je dunian kuna wapatanish wangap wote hao ni wana wa mungu
@@salimrangi7026 soma mithali 8:22_30 biblia. Kabisa, wana wa Mungu ni wengi sana nikiwepo mmoja wao. Lakini sisi ni wana wa Mungu kwakufanyika. Ukimwamini Yesu unakuwa mwana wa Mungu. Lakini tofauti yetu na Yesu ni kuwa, Yesu amezaliwa na Mungu mwenyewe kabla ya ulimwengu kuwapo akiwa na mwili wa roho. Wakati anakuja duniani ndipo akazaliwa na mariam akafanyika mwili akawa na mwili kama wako.
Soma yohana 1:14.
MAASHAALLAH
Ramadan unajitahid Sana kweny juhudi ya din ALLAH akuhifaz
Ndacha anajua ukweli sana Ila pesa ndio shida analipwa kuukashifu uislam Ila tunamuombea aongoke na awafundishe wale alıo poteza wajuwe haki
Uongo ndacha anauchambua uislam we baki na ujinga wako na mtume alie banwa na kiumbe cha ajabu mapangoni
@@charlesmakuri792 Wewe kasime maandiko mwenyewe acha kudanganywa Tafuta ukweli mwenyewe achana na ndacha huyo ata slim ww ubaki unaliya
@@charlesmakuri792Analipwa na mamako au rafiki yako ...tunajua uislamu umejengwa juu ya uongo
@@charlesmakuri792,ukiacha hasira na ushabiki ukiondoa na kuropoka utaelewa,ndacha yuko kwenye biashara na anajua kua amepotea, lakini ikiwa unadhani kilikua kiumbe cha ajabu basi huo ndio utume wenyewe, maana hata yesu katokewa na shetani tena kabebwa kabisa, mungu wako Paulo alichomwa mwiba na shetani, acha kubanwa ,Paulo yeye kadungwa mwiba aswa, bado unashabikia au unajifunza?
Kazi yenu mukiona mumebanwa nyie ni matusi tu @@MosesMwiti-q2r
Ameen yaarab
Allah mzidishe kheri ndacha na umtie nguvu aje kwako Allah akbar
Assalamualeikum. Naomba kama ungetengeneza kitabu hicho kwa pdf ikiwezekana
Shekhe ramadhan usimshikilie ndacha kusilimu muwachie huru mpaka ajirishe mwenyewe n tufiki y Allah
Ndacha unge muuliza huyo Isa wawa Islam ☪️ alizaliwa chini ya mtende. Yesu,Christo alizaliwa ndani ya zizi 😢😢
Bado kidogo tu ndacha asilimu IN SHA ALLAH tunamuombea
Assalam Aleikum Sheikh wetu Ramadhan, sauti kidogo NOT clear needs little system adjust Please.
allah ajaliy ndacha akuwe muislam
Naomba Allah ampe ndacha hidaya
Dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu Q (3:19)
Assalam Aleiykum warahmatullahi wabarakatu
Sheikh RAMADHANI NAOBA NAONA AKO SERIOUS LAKIN ANAHOFU WATU WAKE WATAMCHUKULIAJE KWAHIYO TUNAOMBA UMCHUKULIE SERIOUS USIMCHEKE WALA KUMDHIHAKI...NAONA AMEKARIBIA ALLAH AMUONGOZE INSHA ALLAH
😂😂😂😂😂 @Ndacha ni moto moto Kwa Waislamu na Nabi Muhammed.
We ars Christians we are hot in debate