# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 442

  • @vincentnyabuto4605
    @vincentnyabuto4605 24 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe pastor wetu wa tz pole sana akuna kitu yo-yote unachokijua kwa Bibilia kupayuka tu Ndacha uko na kazi kubwa ya kuwaubilia watu bambana MUNGU ako na wewe

  • @victoriamachunde4365
    @victoriamachunde4365 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumishi Ndacha kwa ufafanuzi huu mzuri.

  • @jacobkinyua4380
    @jacobkinyua4380 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah mch Ndacha sema ukweli kabisa, mwalimu Daniel, kindly unajiconfuse na maandiko wewe mwenyewe. Nimeamua kufuata sabato Toka sasa.

  • @revostv8804
    @revostv8804 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa Mungu barikiweni kwa kuonesha ukomavu wa maandiko ktk kuutetea upande Fulani na lengo kila mtu apate kujifunza na kupata maarifa ya kiroho, mwendelee kika wakati lakini kwa amani ya Bwana wetu Yesu Kristo,Amina

  • @johnmasalu2435
    @johnmasalu2435 หลายเดือนก่อน +1

    Mwl Ndacha Mungu akuvariki sana,kwa namba unavyomsaidisa mpotoshaji huyu wa maandiko ya Mungu

  • @RashidAmani-h9b
    @RashidAmani-h9b 9 วันที่ผ่านมา +3

    Dah, wanafunzi wa mwalimu Daniel wanapata hasara Kwa mafundisho yake.

  • @victoriamachunde4365
    @victoriamachunde4365 หลายเดือนก่อน +3

    Mtumishi wa Mungu Bwana Yesu asifiwe. Nimefatilia mafundisho yako kidogo lakini naomba nikufundishe neno hili kutoka 20:1-17.hizi ni amri tulizopewa na Mungu mwenyewe. Na sabato imetajwa katika maandiko haya kuanzia Aya ya 8-11. Kutoka 31:13-16. Sisi tuliokubali kumfuata Yesu kristo tupo katika uzao wa Ibrahimu kwa imani (waebrania 11:1-;pia mathayo 5:17 Yesu hakuja kutangua torati. Yesu akiwa ni Bwana wa Sabato tunatakiwa kumfuata yeye.
    Naomba usipotoshe watu wa Mungu.

    • @bramzkelly
      @bramzkelly 23 วันที่ผ่านมา

      Kumb tunaishi nyakati za nehema.

  • @JescaEdward-k5k
    @JescaEdward-k5k หลายเดือนก่อน +1

    Yesu alikuja kutukomboa tulipkuwa chini ya sheria,agano la kale watu walisamehewa dhambi kwa damu ya mnyama,ndomaana sasa damu ya Yesu imetutakasa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 หลายเดือนก่อน +15

    Nilifuatilia kwa makini mjadala, kilichonifurahisha ni jinsi mlivyokubaliana kuacha malumbano ya kimadhehebu bali kufanya kazi pamoja kuwahubiria Waislam habari njema. Mungu awabariki sana walimu wetu.

    • @ahadimalamso4155
      @ahadimalamso4155 หลายเดือนก่อน

      Iwapo Kuna walakini katika Imani yenu, mnapata wapi uhalali wa kuwakaboli waislamu? Ni habari ya kibanzi na boriti kwenye macho yenu. Ni unabii kutimia hapo Kuna Msabato (mkristo wa kweli na mjumapili mkristo wa uongo)

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @JosephMwakitega
      @JosephMwakitega หลายเดือนก่อน

      Mwalimu Daniel hoja zako unazoleta na kuzidifend hazijitoshelezi mwenzio huyo ndacha ameisoma vizuri biblia ndiyo maana hoja zake zinaeleweka. Kajipange upya ili utuletee hoja zilizoshiba.

    • @SelemaniKadiwa
      @SelemaniKadiwa 17 วันที่ผ่านมา

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊lll😊lllllllllllllllll😊lll😊l😊lllllllllllllllllllll😊llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllww usingilie huyo mjadala haukjhusu kamwe kwn hata uislamu Kuna shia na suni , wote waislamu lkn mitizamo ni tofautj bro

  • @moraisachacha6375
    @moraisachacha6375 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu ndacha hoja zako juu ya sabato Zina ukweli kabisa. Mungu akubariki sana.

  • @olweyokennedy266
    @olweyokennedy266 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona wasifanye ibada siku yoyote? Mbona ikuetu jumapili , tuko na masiku kadhaa , hata juma tano. Jumapili ilitungwa na binadamu ili waaribu sabato ya Mungu . Shetani ni mjanja sana hadi watu wanampigania .

  • @nkanabodastan7887
    @nkanabodastan7887 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mwankemwa kazi yako ni njema.
    Wasabato siyo Wakristo Kabisa.
    Hawajaipata neema ya kupokea Yesu' .

    • @bensongekonde3585
      @bensongekonde3585 24 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kuchangia kwako. Soma Mathayo 5:17-19…..

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sa sa nilitakujuwa Daniel uzinzi,kuuwa,kuiba,kuheshimu wazazi,kutokuabudu sanamu.....niagano gani? Yani amri moja tu njo imetoka?

  • @RAZAROCHUMA-h9g
    @RAZAROCHUMA-h9g 21 วันที่ผ่านมา +5

    Tunae kubaliana na ukwer wa biblia tujuanee

  • @PeterSegire
    @PeterSegire หลายเดือนก่อน +2

    Watu tunaishi ka sheria mungu ila kama husomi bibulia ndiyo utahoji sabato rakini hata kwenda mbinguni tutaanza safari kwenda mbinguni siku ya kwanza ya juma na sabato ya kwaza tutasali mbinguni shetani naye ameleta siku jumapili waliyo wengi wanaabudu shetani siku hiyo na shetani anao wengi

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha anaeleza kuwa Sabato ya kumwabudu Mungu ndiyo amri ya milele na haiwezi kubadilika na kudai kuwa sabato za aina nyingine ziliondolewa(ziliachwa) kwa kuwa si amri za milele, naomba a some vizuri Walawi16:29-31;23:26-32.
    Mungu anasema kuwa "Amri hii itakuwa ya milele kwenu katika mwezi Wa saba siku ya kumi........... Ni sabato ya raha ya makini kwenu ninyi.......... Ni amri ya milele .
    1. Ikiwa Mungu hawezi kuibadilisha amri, nani aliiondoa amri ya mwezi Wa saba siku yakumi katika ibada za kisabato hivi leo?
    2. Mwezi Wa saba siku ya kumi ni sabato ni amri ya milele,je, hii nayo ni AMRI ya ngapi katika amri kumi?

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace4254 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mahala tunaagizwa kuishika siku[ ukiwaondoa Waisraeli] sisi tunapaswa kumwabudu Mungu pasipokuishika siku bali siku zote tumwabudu Mungu maana siku zote ni mali ya Mungu. Yesu alishitakiwa na wayahudi kwa kosa la kuivunja sabato na kweli aliivunja akiwa na maana haina nguvu tena. Yote sisi ka Wakristo tumsikilize Roho Mtakatifu anatwambia nini kuhusu sabato? Nafsi yangu haimuhukumu mtu kwa kushika ama kutokushika siku[sabato].

  • @Pauli-fr9id
    @Pauli-fr9id หลายเดือนก่อน

    Walimu Ndacha Mungu akubariki sana kwa kuuelimisha ulimwengu.

  • @PeterHalla-o5g
    @PeterHalla-o5g หลายเดือนก่อน +1

    Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa, yeye njia ya ukweli na Uzima, auwezi kwenda Kwa baba bila ya YESU. Tunahishi ktk agano jipya, ambalo YESU ndilo aliloliacha na mitume na manabii wake, atuishi ktk agano la kale .
    Katika agano lake wayaudi walishindwa kuliishi, wakamchukiza mungu, ndio akamtoa mwanae WA pekee YESU KRISTO aukomboe ulimwengu kutoka utumwa WA zambi.

    • @bramzkelly
      @bramzkelly 23 วันที่ผ่านมา

      Unaelewa ii maneno.shikilia hapo.Yesu ndiye njia

  • @apostlemussaonlinetv
    @apostlemussaonlinetv หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ndio Bwana wa sabato sio siku

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 28 วันที่ผ่านมา +1

    Sabato ilikuepo hatawatu waliabundu lakini hakufuraia mungu,waheburania 4:7-8

  • @ElishaLameki
    @ElishaLameki 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaknkemwa Mungu akubarik I

  • @bramzkelly
    @bramzkelly 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubaliana na Ndacha kwamba wakita ni unafiki.

  • @EmanuelPeter-i6l
    @EmanuelPeter-i6l 7 วันที่ผ่านมา

    Acheni kubishana nendeni kwa maombi Muuulize kwa Mungu atawajibu au hamna imani ?

  • @NicodemusMutua-pf8kp
    @NicodemusMutua-pf8kp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukikataa amri za Mungu ata roho wa Mungu huwezi kuwa naye.Yesu kasema .Yohana 14:15-17 mkinipenda mtashishika amri zangu,nami nitamuomba Baba naye atawapa msaindizi mwingine ili akae nanyi ata milele ndiye roho wa kweli

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  3 หลายเดือนก่อน

      Nioneshe mahali ndani ya Biblia mahali ambapo Yesu Kristo baada ya kufufuka kwa siku zile 40 baada ya kufufuka aliwahi tena kuitunza Sabato ili nionekane sina Roho wa Mungu?

    • @shirikaniyonkuru5573
      @shirikaniyonkuru5573 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTVmwalimu hapo una puuzia. Matayo24:16 haya Ali ya sena kabla ya kufa kwake. Na baada ya kufa Ali wa ambia ku hubili hayo aliyo wa ambia Matayo 28

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  3 หลายเดือนก่อน

      @@shirikaniyonkuru5573 nimetaka nioneshwe fungu baada ya Yesu kufufuka aliendelea kuiadhimisha sabato. Basi. Mimi sijaona fungu hilo

    • @jeffrankjeff1433
      @jeffrankjeff1433 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTVkaka Muonbe Mungu akuzawadie roho wake ili ufungukie, hizi theology schools zitazidi kufanikisha malengo yake tu ya kunywesha watu mafundisho gushi, sai umekauka tu na after resurrection hakushika sabato aliongea hivyo kwenye kitabu gani. Mbona unataka aya ya kuwa alishika na hautoi aya ya kuwaambia wanadamu achaneni na sabato nimeifuta? Sasa naona unaanza kumfanya yesu kuwa mtutuku kwa baba yake, Mbona avunje sheria za babake Mungu? Na hata akuna mahali alisema ni wewe unamusemea

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  2 หลายเดือนก่อน

      @@jeffrankjeff1433 yaani unazidharau shule za biblia ili tuuamini ujinga wako usio hata na ushahidi wa maandiko? Mpaka sasa unaongea kijinga tu bila kunitolea fungu nililokutaka ulitoe. Nakukumbusha jwa mara ya mwisho; je unalo fungu kwenye biblia linalosema Yesu baada ya kufufuka aliendelea kuishika sabato yeye mwenyewe au mitume wake? Kama unalo fungu hilo toa kama huna kaa kimya.

  • @GEOFREYABISI
    @GEOFREYABISI หลายเดือนก่อน +1

    Neno la Mungu lieleweke Ki Roho si kimwili

  • @VincentObureokongo
    @VincentObureokongo หลายเดือนก่อน +1

    Basi Niko na maswali na nyenye walimu 1 katika mchadala huu wenu roho Yuko upande ngani
    2. Kwani sisi wenyewe tunabishana kuusu mambo ya yesu Kristo maana ukweli ni kwamba roho mtakatifu ayupo ndani ya dini ya sda kabisa ayupo .na kitu chochote kisicho na roho kimekufa

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sa sa mwalimu wetu Daniel,wapi ulionesha yesu alienda fundisha mengine mafundisho kwenyesinagogi yenye hayakuwa sabato? Baada yayesu kufufuka hakufundisha tena alikuwa ameachia kazi mitume,mathayo 28:16_18

    • @JohnKibajamdoe
      @JohnKibajamdoe 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa Daniel ni wapi baada ya Yesu kufufuka alienda kwenye sinagogi akafundisha hizo amri tisa? Haya tuambiwe waebrania 4:9-10

    • @JohnKibajamdoe
      @JohnKibajamdoe 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Daniel Yesu msalabani alisema Imekwisha. Unataka afundishe nini baada ya hapo?

  • @alfredwangondu8712
    @alfredwangondu8712 หลายเดือนก่อน +1

    MOTO SANA. Lakini hoja za Ndacha ziko na uzito zaidi. Sabato ni muhimu kwa Mungu, HADI MALAIKA HAWANGEWALETEA WANAISRAELI MAANA SIKU YA IBADA

  • @thiswayministy
    @thiswayministy 4 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtumishi;John 8:32
    [32]And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.
    tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

  • @venancemwakibete9763
    @venancemwakibete9763 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hili Mwankemwa umeeleweka vizuri nawashauri wote wawili muungane ili kuwakabili waisilamu (siku haimwokoi mtu achani kupoteza mda kujadili siku)

    • @mazulacelestine3038
      @mazulacelestine3038 3 หลายเดือนก่อน

      @@venancemwakibete9763 Mungu akupe muda mrefu ushuhudie umuhimu wa ibada na utajua. Mungu alimaanisha nn ktk ibada, amri za Mungu hazipunguzwi na mwanadamu hata yodi moja

    • @charlesheswa2140
      @charlesheswa2140 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna muungano hapo hata ingekuwa wewe ungeweza kuungana na mwankemwa?

    • @jeffrankjeff1433
      @jeffrankjeff1433 หลายเดือนก่อน

      @@venancemwakibete9763 kama haingekuwa ya .aana Mungu haingeitaka akaibariki na kuitakasa na kuiweka siku yake, unless ausomj bibilia inavyofaa, kama siku aingekuwa inaokoa basi ungenambia kanisa amabalo unaendanga kwa ajilj ya kumuabudu Mungu ni unaenda Tuesdays

  • @Moteswa
    @Moteswa 3 หลายเดือนก่อน

    Best decision ever. Acheni kugombania siku. Focus on what is key to bring people to Jesus.

  • @ICIRORETV-v9x
    @ICIRORETV-v9x 8 วันที่ผ่านมา

    Anayetimizwa kwa Yesu Kristo Mwana wakondo

  • @kitumainikubatu3182
    @kitumainikubatu3182 5 วันที่ผ่านมา

    Ndacha ,anamatatinzo ya kutokuelewa sahii kuhusu juu ya sabato, na utofauti ya maandiko kwa vipindi.

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 4 วันที่ผ่านมา

      Je kuitunza sabato ni amri ya mungu? Kama ndio ,je amri za mungu kwenye agano jipya amri za mungu bado cko

  • @GipsnJacob
    @GipsnJacob หลายเดือนก่อน

    Mimi naamini mungu mmoja ambeye ni BWANA YESU KRISTOR

  • @AmriJastini
    @AmriJastini 4 หลายเดือนก่อน

    Yote ni sawa tuu ilimladi usivunje sheria ya mungu. harafu hiyo habari ya kusema kwamba mungu anafanya kazi kwa vipindi siyi kweli mungu anafanya jinsi apendanyo siyo kwa vipindi. Ama bora useme ali wakati ule tulisoma agano katika vipindi tofauti

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 หลายเดือนก่อน

      Je Mungu hajasema atafanya Agano Jipya si kwa mfano wa lile la kwanza? Hapo si maagano mawili? Yer 31: 31-33

  • @FrederickBarongo
    @FrederickBarongo 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu tunaomwamini Yesu. Yesu alikuja kuwa kielelezo chetu. Yeye akawa njia kweli na uzima. Amri zote za Agano la Kale akazirekebisha akaziweka kwenye amri ya upendo kwa Mungu na jirani. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote ,...., na jirani yako kama nafsi yako. Akaiweka amri mpya Yohana 13:34-35. Akaivunja sabato. Amri ya nne ni amri ya kutofanya kazi yoyote siku ya sabato wewe wala wanao wala mtumwa nk. Ni siku ya kupumzika. Yesu ambaye ni Mungu hakupumzika akafanya kazi.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu Mungu ulisikia wapi kama Yesu ndio katuma mitume 25 akiwemo yeye mwenyewe aliyetumwa kwa wana wa Israel. Yesu si Mungu

    • @EliasEdward-ge7ii
      @EliasEdward-ge7ii 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo unavyo amini kwa maan hiyo hata kuiba basi tuibe tuu kwa sababu alituachia hizo mbili kwanza elewa alikiwa ana manisha zire amri kumu kwa maan Musa alipewa amri mbili mja Mungu dhidi ya mwanadamu na nyingine mwanadamu dhidi ya mwanadamu yani kwa maan hiyo namanisha zire mbao mbili ambazo alipewa mbao mja ilikuwa na amri nne zinazo muhusu Mungu pamja na mwanadamu mfano amri ya kwanza hadi ya mwisho utasoma kile kitabu cha kutoka 20:1-17 utazitabua vizuri na kuanzia amri ya tano ndo mbao ile ya pili hadi kumi ndio jumla amri zinakuwa kumi
      Hata mbinguni hadi Leo hizo amri zipo Mungu hawezi kubadilisha mamuzi yake acha kumshuhudia Yesu uwongo hajabadilisha

  • @AmosKivulenge-rg3cx
    @AmosKivulenge-rg3cx หลายเดือนก่อน

    Ktk amri kumi za Mungu amri moja ya nne imezaa dhebu.
    Utakuta ktk hizi kumi bado tisa zitazaa au zilisha zaa madhehebu.
    Ila tuangalie agano la kale ni nini na agano jipya ni nini.
    Agano la kale ni mkataba wa Mungu na wanadamu zamani
    Agano jipya nimkatsba wa Mungu na wanadamu kwa sasa.
    Sasa je kwanini tuishi kwa mkataba wa zamani wakati mya ulishatolewa?
    Na kama kunakung'ang'ania mkataba wa zamani je masharti ya mkataba wa zamani utauweza?
    Siku ya sabato usiende umbali wa kutupa jiwe.
    Mtu akizini adipokamatwa hana dhambi ila akokamatwa apigwe mawe hadi afe. Na amri zote kama hizo. Ke wasabato wanafuata haya?

  • @RobertKasunga-v3n
    @RobertKasunga-v3n 7 วันที่ผ่านมา

    Naomba kwenye mjadala huo mueleze habar za uwakita tujuwe uwakita ni kitu gani , ili kila msikilizaji na mtazamaji ajuwe kabisa juu ya Jambo Hilo.

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 2 หลายเดือนก่อน +2

    shikamoo ndacha Leo nimekuelewa aise barikiwa
    Sasa huyu Danieli umetupotosha Sana Baki na wanawake wasio jielewa

  • @JescaEdward-k5k
    @JescaEdward-k5k หลายเดือนก่อน

    Jpili ni siku ya saba kwangu mimi na nimeokolewa kwa neema,sasa mliokolewa kwa sheria endeleeni kubishana na kuhukumu watu na ndio wavunjaji wa amri za Mungu nakukumbatia jmosi

  • @PetroTaris
    @PetroTaris 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki .

  • @tbwoy216
    @tbwoy216 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha Yuko kweli kabisa10 commandment was even before Abraham.

    • @NovatiMkusu
      @NovatiMkusu หลายเดือนก่อน

      Unajua biblia kweli, amri 10 alipewa Musa. Musa na Abraham nani aliwahi kuzaliwa?

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 4 หลายเดือนก่อน

    Enzi ya Yesu hapakuwepo siku hizi za J3 hadi J2 ila palikuwepo cku ya kwanza hadi siku ya saba, hizi J3 hadi J2 zimetegenezwa na watu sio Mungu

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 28 วันที่ผ่านมา +2

    Wasabato ni wapingamizi wasiku nasio watubu thambi tena Wana roho ngumu na ujukizi sana,hapa yesu alikuja duniani kwasababu ya thambi zetu wana damu lakini sio siku, Na katika kitabu kitakatifu jameni watusome wakolosai.2:16_19,

    • @miligwasanzu2292
      @miligwasanzu2292 20 วันที่ผ่านมา

      Kama unaziamini amri kumi za mungu n lazima ujue siku gani inakupasa uabudu n sio kwamba nakuhukumu kwaajili ya siku lkn unatakiwa ujue kwann Yusufu alizika mwili siku ya maandalio?

  • @Pauli-fr9id
    @Pauli-fr9id หลายเดือนก่อน

    Anaeikataa sheria ya Mungu anafanya kazi ya shetani.ufunuo 12:17.

  • @cavoo4get649
    @cavoo4get649 10 วันที่ผ่านมา +1

    Maji Au siku havimuokoi Mtu wokovu nikwa yesu tu

    • @ICIRORETV-v9x
      @ICIRORETV-v9x 8 วันที่ผ่านมา

      Rudiarudia nyuma ukasikie vizuri pako siku mbili za ibaada; yakwanza niyamuvuta kristo=sunday mwingine niya Kristo =Sabato ya jumamosi Zaburi 119:152;158

  • @ICIRORETV-v9x
    @ICIRORETV-v9x 8 วันที่ผ่านมา

    Naona wa Tazanian wote na Kenya batabadilika wakuwe wa Sabato members Ndacha wewe unaweza mutuakikusikia vizuri ataokoka

  • @JERRYISSAYA
    @JERRYISSAYA 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalimu Daniel anashindwa kuelewa agano lililozungumziea ktk Ebrania 8. Pale muktadha wa damu au kafara za wanyama

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา

    Kwamaelezo hayo huwezi kueleweka isipokuwa wale wazaifu kama ninyi watakao mafundisho yasawasawa natama zao tu.

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed หลายเดือนก่อน

    Tumewapenda sana walimu natowapiya ongerasana kwaiyo kauli ya mwalimu ndacha

  • @richardlyamungu
    @richardlyamungu หลายเดือนก่อน

    Ndacha mungu akubaliki tufundishe

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed หลายเดือนก่อน +1

    Swalilangu nihili mtu akishika sabato hatakama hakumwamini Yesu ataokoka?

  • @WilsonSanare-m6k
    @WilsonSanare-m6k หลายเดือนก่อน

    Asanteni.kwa.mafundisho.yenu.swali.lanqu.nauliza.je?.Dhabi.nini.nikufunja.amri.za.munqu.au.yesu.aliposulubishwa.ndipo..Amri.za.munqu.iliisha.maana.kifo.cha.yesu .kama.ndio.imeleta.aqano.jipya.naomba.jipu

    • @IzackMakole-ul5tt
      @IzackMakole-ul5tt หลายเดือนก่อน

      Dhambi Ni uasi wa sheria za Mungu.Amri za MUNGU hazikuishia msarabanii bali baadhi ya amri Kama amri ya kuchinja kondoo ili kupata kafara ya damu kuwa Kama ondoleo la dhambi .

  • @Lesaramba
    @Lesaramba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naona ukweli wa kubadilishwa Sheria kwa nini wasabato mnaupiga hili itabidi mueleweshwa tena

    • @ahadimalamso4155
      @ahadimalamso4155 หลายเดือนก่อน

      Sikuja kuitangua torati Wala manabii . . .

  • @jeffrankjeff1433
    @jeffrankjeff1433 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aaah baaas kumbe hadi naona colifications zako mchungaji Daniel za kuwa shekh, yani ukifuata sheria za Mungu utakuwa chini ya laana jameni, kwaivyo watu wawndekee na kuzini kuiba kuivunja sabato na kuzilinga sheria zote za Mungu kwa ajili ya kuiepuka laana, hayaee umetufikisha hapo, endelea, kiama kipo njiani

  • @sophiakemunto6121
    @sophiakemunto6121 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalimu mtz basi ondoa agano la kale lote kuanzia mwanzo hadi Malachi kwa sababu kulingana na wewe agano la kale halifai tena yaani nimepitwa na wakati.Nabii Isaiah alitabiri kuzaliwa kwa yesu katika agano la kale na huo unabii ulitimia wakati Yesu alipozaliwa.M tz Yesu akiwa msalabani alisema yote yamekwisha yaani alikuwa amemaliza kazi aliyotumwa kuifanya na babake ambaye ni Mungu wetu ndio maana hakuenda tena sinagogi kuabudu siku ya sabato.walipokuwa wakiumega mkate Yesu aliwaambia wanafunzi wake hatashiriki tena chakula nai bali Hadi watakapokusanyika tena mbinguni.M tz wewe ni mpinga kristo mkubwa sana sabato haikuondolewa ndio maana tukifika mbinguni tutaabudu Mungu sabato Hadi sabato.

  • @kefaongera192
    @kefaongera192 หลายเดือนก่อน

    Kwa ufupi mwalimu ndacha anasema mungu, anadai kumtii tu.
    Abraham alijaribiwa na mtoto wake .
    Adam na eva walikosa kutii na this resonates well with siku zote n sawa lakini ya mungu imesemwa.
    Vile vile miti yote n sawa lakini ya katikati ilikataswa.

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 4 หลายเดือนก่อน

    KRISTO yesu ndiye Bwana wa sabato; 1 corr 5:7_8.Amen and amen

  • @PetersonJohn-o2k
    @PetersonJohn-o2k 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha ulikosa mtu wa kujadili naye????
    Huu ni mziba.

  • @KatabaziEustom
    @KatabaziEustom 5 วันที่ผ่านมา

    Mwankwema hajui kuwa agano la kale kulikuwa na Sheria makundi 4
    1.Sheria za maadili,
    2. Sheria za vyakula
    3. Sheria za kafala.
    4. Sheria za utawala
    Akizijuwa Sheria hizi atagunduwa kuwa anakwama wapi ama anajuwa lakini anatamani tu kuendelea kupotosha watu.

  • @acolliesibuor
    @acolliesibuor 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mw. Daniel, hizi sharia mpya ni ngapi kwa jumla?

  • @Martin-h2d7v
    @Martin-h2d7v 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha misikiti ya Wayaudi nikweli wafwasi Wa Yesu waliendelea kuhudhuria Ibaada Wakati Wa Yesu kufufuka?

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 4 หลายเดือนก่อน

    Amri za Yesu ni hizi:-
    1. Amri mpya mpendane(Yohana 13:34)
    2. Amri ya kutoa pepo( Marko3:15; 6:7)
    3.Amri ya kusamehe dhambi(Marko 2:10; Mathayo9:6-8)

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 5 วันที่ผ่านมา

    WASABATO SIO WAKRISTO, HAPO MNAPOTEZA MUDA TU!.

  • @FikiriChilingo
    @FikiriChilingo หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie ndacha

  • @Pauli-fr9id
    @Pauli-fr9id หลายเดือนก่อน

    Sabato ni ya Mungu nayo ni takatifu.Warumi 7:7-12.Mwanzo 2:1-3

  • @PeterSegire
    @PeterSegire หลายเดือนก่อน +1

    Amiri kioo cha kutowa uchafu wapi nimekosea

  • @mwesi527
    @mwesi527 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwamkemwa kama amuelewi ndacha basi duh ,awezi elewa kitu chochote asee ,pastor ndacha naomba kubatizwa nawe,

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา

    Jambo waalimu wetu nilitaka niseme hivi agano lakale haikuwa sabato Bali ilikuwa amri kumi zote na hukumu za haki maagizo na sheria nzuri

  • @AmosKivulenge-rg3cx
    @AmosKivulenge-rg3cx หลายเดือนก่อน +1

    Mwisho wa siku hatuwezi kubishania siku ya kusali kila mmoja ajitahidi kumwanini Yesu ili aokoke
    Aurithi uzima wa milele
    Naamini hakuna mtu atahukumiwa kwaajili ya siku ila kuyafanya mapenzi ya Mungu

    • @WAREENG1
      @WAREENG1 หลายเดือนก่อน

      Tuendelee kujifunza tu, yawezekana hayo yanayosemwa ni sehemu ya kumwamini Yesu

    • @DaimonMwapelele-g1d
      @DaimonMwapelele-g1d หลายเดือนก่อน

      Yesu ni neno ukiliacha neno unakuwa umemuacha yesu YESU kwahiyo tutafute ukweli

    • @bramzkelly
      @bramzkelly 23 วันที่ผ่านมา

      True let us not worship a day.

    • @DaimonMwapelele-g1d
      @DaimonMwapelele-g1d 23 วันที่ผ่านมา

      @@AmosKivulenge-rg3cx katka amri kumi za MUNGU ndio kiin Cha Ibada ya kweli bas ukishika Tisa ukaacha moja umekosa juu ya yote yakobo 2:10

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  20 วันที่ผ่านมา

      ​@@DaimonMwapelele-g1dkama Amri ya Sabato ingekuwa ya muhimu, mbona Wasabato mlimfukuza Yesu Bwana wa Sabato kwenye Sinagogi lenu siku ya Sabato? Tangu mlipomfukuza mliwahi kumuomba msamaha ili arejee tena kwenye Sabato yenu?

  • @DAVID-hc1ov
    @DAVID-hc1ov 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu D Mwankemya mbona unaruka na kutua mle mle kwenye amri za Mungu? Kwenye mwiba yaani amri ya sabato unakimbia na kwenye amri zingine unzijubali?

  • @gmalipula1
    @gmalipula1 หลายเดือนก่อน

    Ukisoma Hosea 2:11 Haikupi mwanga wa kujua kitu gani kinaongelewa. Kujua nini kinaongelewa ni lazima usome Hosea 2 yote au usome Hosea 2 kuanzia fungu la 10-12 hapo utapata jibu kama hilo analohitaji kulielewa huyo mwalimu wa Lutheran kwamba neno "sabato zake" na huyo "zake" ni nani

  • @medytsuut3543
    @medytsuut3543 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu nakukubali mungu akutangulie nimejifunza vingi

  • @ICIRORETV-v9x
    @ICIRORETV-v9x 8 วันที่ผ่านมา

    Vitu vinatakiwa kuvutwa ni sheria au aghano kale?

  • @charlesheswa2140
    @charlesheswa2140 2 หลายเดือนก่อน +3

    Umezidiwa huna hoja rafi unabishana mpaka na maadiko mwalimu danieli ni mwalimu wa vipofu na viziwi na wenye mtindio wa ubongo pole mwalimu saoma sana biblia acha kuweka hisia zako.

  • @RAZALOCHUMA
    @RAZALOCHUMA 2 หลายเดือนก่อน

    Amli ziko palepale shida tunajifunza neno la mungu kwa ushabiki mimi nimejifunza hapo

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi Daniel acha kujizima data ili usiwapotoshe watu

  • @DavidMujimba
    @DavidMujimba 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nyote ,mwafanya kazi ya Mungu ,nawashukuru nyote

  • @amonfaustine4371
    @amonfaustine4371 หลายเดือนก่อน +1

    We muinjilisti daniel we ni muingo nacha hajahamisha sabato kutoka kwenye mbaombili za mawe kwenda moyoni Bali aliye hamisha ni mungu mwenyewe ndacha yeye kasoma TU,ila wewe unamshutumu eti kahamisha .

  • @StephenMwijage
    @StephenMwijage หลายเดือนก่อน

    Hivi kuna mtu anayeweza kupinga kauli ya Yesu. Na kusema Luka 16 : 17. Yesu amesema hata nukta isibadilishwe

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed หลายเดือนก่อน

    Naulizaswali piya upi ubatizo ulosahihi? Wamija wana batiza kwa jina la Yesu nawengine kwa jina la baba n'a la mwanamuke n'a laroho mtakatifu upiwakweli? Kwasababu somo iyo piya nisawa naiyo yasabato

  • @eddymassawe253
    @eddymassawe253 4 หลายเดือนก่อน

    Yohana 9.16 .Yesu hakuishika sabato.hivyo sisi wafuasi wake hatupaswi pia kushika sabato

    • @mazulacelestine3038
      @mazulacelestine3038 4 หลายเดือนก่อน

      We jamaa nakufananisha au ni yule wa tazara by then

    • @stephen-S7n
      @stephen-S7n 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani unasema Yesu alivunja amri na alikuwa mtakatifu. Ufunuo 14:12

    • @paulmutuajustus5277
      @paulmutuajustus5277 4 หลายเดือนก่อน

      Mbele ya hii kitabu hakuna ingine na imemaliza ufunuo14:12

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha pambana kuokoa roho za waislamu pengine na waromani ambao wako vuguvugu hachana kabisa na watu walio okoka au hujapata kusoma andiko Bwana Yesu akisema kondoo wengine ninao ambao siyo wa zizi ili.

    • @goldenshadrackmsungu3664
      @goldenshadrackmsungu3664 4 หลายเดือนก่อน

      Waromanu mumesha wahukumu..😂

    • @Aggreymbugano
      @Aggreymbugano 4 หลายเดือนก่อน

      Yuko kimwili zaidi

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 4 หลายเดือนก่อน

      Unabii huo kwenu nyie Amri kumi zipo ukikosa moja wavunja zote James2:10

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka hata yesu hakutanguwa torati au manabi Bali alikuja kutimiza

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 4 หลายเดือนก่อน

    Walimu wangu nawapenda nyote.natumai kuna muafaka sasa.

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninakupenda sana mwalimu Daniel Mimi ni mkenya

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 4 หลายเดือนก่อน +1

      Penda Kristo maana Yeye yu hai..tena utashika Amri zake Jhn14:15 amtegemeaye mwanadamu amelaniwa..Akifa utapenda nani??

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 หลายเดือนก่อน

      Anapenda mwakemwa

    • @tumpaleakim825
      @tumpaleakim825 15 วันที่ผ่านมา

      Mimi nampenda Yesu , nimeelewa sabato, nipo tayari kubatizwa, asante mwl Ndacha

  • @AmriJastini
    @AmriJastini 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nirudie tena comenti ndacha endelea na kufundisha unajua sana mwenzetu aelewe kwa kuwa amesha sababisha tuache kuamini agano jipya

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 หลายเดือนก่อน +1

      @@AmriJastini Unataka ung'ang'anie Agano la Kale ambalo lilitoweshwa? Unaipenda photocopy kuliko original? Pole sana

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTV swali mtumishi Yosefu alijuwaje kuzini ni Dhambi??

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 หลายเดือนก่อน

      @@OLUNGAJOSHMAH Alijifunza toka kwa baba yake wa imani Ayubu (Ayubu 31:1-3). Na hili nimelijibu kwenye somo hili. Lakini inaonekana unaposikiliza unakuwa na majibu yako ytayari kiasi kwamba hauko tayari kusikiliza kwa kuzingatia nilijibu nipoulizwa swali hilo hilo na Ndacha.

    • @PeterKasilati
      @PeterKasilati 3 หลายเดือนก่อน

      Nimefuatilia mjadala ni vema kila upande utoe hoja vizuri ili tunapo fuatilia tuwe na uamuzi mzuri, msifanye ushabiki tu sisi sote tupate uzima Yesu ajapo.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  3 หลายเดือนก่อน

      @@PeterKasilati Hapo kuna ushabiki gani zaidi ya kutoa maandiko ndugu Kasilati?

  • @FrederickBarongo
    @FrederickBarongo 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo ukiisha vunja sehemu ya amri umevunja yote.Huwezi kuishika sabato kwa kufanya kazi. Ukifanya kazi umeivunja sabato. Yesu alikuja ili Yeye awe yote katika yote ndiyo maana alitaka fahamu zetu zote zimwelekee Yeye wala si siku au vyakula au mwandamo wa mwezi maana hivyo ni vivuli na hatuhesabiwi haki kwa kushika vivuli.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 หลายเดือนก่อน

      Nani kavunja wakati maandiko yanasema ilikomeshwa na Mungu?

  • @ICIRORETV-v9x
    @ICIRORETV-v9x 8 วันที่ผ่านมา

    Watu wamekubaliana kutenda dhambi :kuvuta Sabato ya Mungu😢😂😂😂😂😅😅

  • @peteretlawe6269
    @peteretlawe6269 หลายเดือนก่อน

    Uumbaji wa mungu umeondolewa ?

  • @METHODDIOS-du8jp
    @METHODDIOS-du8jp 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona unajadili na msimamo wako badala kujifunza una misimamo, hapo kuna kazi ya ziada

  • @elsonmuyinga
    @elsonmuyinga 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ufikie vizuri kenya kuna wakati wa baridi au Tanzania kunawakati wabaridi hao wayahudi kwao kuamsim wa baridi sisi mataifa tuko hapa
    Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
    Wakolosai 2:16

  • @felixniyungeko1284
    @felixniyungeko1284 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mw Daniel kweli
    Sabato niya wayahudi sio sisi wamataifa tena kinacho waponza wasabato nikuona kila muntu kama hasali siku yasabato wanasema ni mufwasi wa antikrito kweli wame isha potea wawoo nusu niwayuda nusu nyingine ni wakriso

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo uislamu ni wa waarabu

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 4 หลายเดือนก่อน

      Kataa Sabato,Umekataa Mungu aliye Muumbaji tena umevunja yote James2:10 wewe nenda Ziini,kuwa mwizi..Penda Mali ya jirani yako..maana Agano la kale lilitoweka pamoja na Amri zake

    • @AdamusonKomba
      @AdamusonKomba 3 หลายเดือนก่อน

      Sabato dining.....?

    • @AdamusonKomba
      @AdamusonKomba 3 หลายเดือนก่อน

      Ninini

  • @AsaphSimba
    @AsaphSimba 4 วันที่ผ่านมา

    Ndacha baba tumemusikia sio wewe pekeako hâta sisi sio wasabato ils hajafaulu kutueleza kama siku yakwanza Juma ni sabato uongo uo

  • @GEOFREYABISI
    @GEOFREYABISI หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ndugu ndacha Bwana yesu alikuja akatukomboa kutoka wapi na ni kwanini alitukomboa ?

    • @bramzkelly
      @bramzkelly 23 วันที่ผ่านมา

      Patia Ndacha jibu.haelewi Hilo

  • @GodwinNgassa
    @GodwinNgassa 29 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu jamaa was tz nimpumbavu saanaa asee ata vitabu hajui

  • @Thepresentruthsministry270tv
    @Thepresentruthsministry270tv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daniel ata ciku moja huwezi kutoka kwa Sunday na mafundisho yake .. unatanguliza misimamo badala ya neno endelea kupiga hela na chanbel yako hakuna kitu mnafanya apo ila mnatafta muwe wamoja katika misimamo.... Mwisho upo

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

      😂 ila Ndacha ni mkweli

  • @kilonzomuthoka1716
    @kilonzomuthoka1716 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha mwambie mw Daniel achukue mda na kuisoma Biblia vizuri .kwanza aombe Mungu ampe roho wake amfunulie.kwanza ajuzwe tofauti kati ya Amri na sheria.kama amri haipo,je Yesu mbona alizinukuu kwa aliye muuliza kuhusu wokovu?

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV  18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ​@enochonsomu1924 Ok, but Apostles of Jesus broke the fourth commandment by distancing themselves from observing it. I imitate them