GARI la HALMASHAURI LAMGONGA MTOTO na KUMTELEKEZA - BABA YAKE ALIA - MWENYEKITI OMARI AKASIRIKA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • GARI la HALMASHAURI LAMGONGA MTOTO na KUMTELEKEZA - BABA YAKE ALIA - MWENYEKITI OMARI AKASIRIKA...
    kufuatia Gari ya Halmashauri ya wilaya ya kilindi kumgonga Mtoto na kumtelekeza bila ya Msaada wowote chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Tanga kimeonesha kutoridhishwa na kitendo hicho ambapo chama hicho kimeagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha inatoa Msaada wa huduma stahiki pamoja na gharama zote walizotumia wazazi wa mtoto huyo
    Maagizo hayo yametolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoani Tanga ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Ramadhani Ally Omari kwenye mkutano wa Hadhara uliofanyika katika kijiji cha kisangasa kata ya Kisangasa wilayani Kilindi Mkoani Tanga
    Changamoto hiyo imeibuliwa na Baba mzazi wa mtoto huyo ambaye amesema Mwaka 2023 mtoto wake aligongwa na gari ya Halmashauri ya Kilindi, ambapo tangu mtoto huyo agongwe hakuna msaada ambao ameweza kupatiwa na Halmashauri hiyo.
    Amesema mtoto huyo alifikishwa katika Hospitali ya Rufaa Bombo mkoa wa Tanga, alijitahidi kutafuta baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Omary Kigua bila mafanikio yoyote ambapo bado anaendelea na jitihada za kutafuta msaada ili mtoto huyo aweze kutibiwa.
    Katika Mkutano huo wa Hadhara Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Tanga aliweza kuchangia Jumla ya Kiasi cha Laki mbili kwa ajili ya Matibabu huku mbunge wa Jimbo akichangia Elfu Hamsini pekee
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 18

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 หลายเดือนก่อน +1

    Madereva wa Serikali wanaendesha magari vibaya sanaaa bila kuangalia usalama wa watembea kwa miguu.Huyu M/kiti hapanaaaa,siyoooo,MAIGIZO KAABISAAAA

  • @user-zm3jd3qv8h
    @user-zm3jd3qv8h หลายเดือนก่อน

    Hongera cde mwenyekiti uvccm mkoa wa Tanga

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mheshimiwa mwenyekiti.Wewe ni mzalendo
    na mtanzania wa kweli,sijui unaitwaje

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo sio Ccm vo Tatizo ni baadh ya viongozi wa ccm wamekua Miungu watu wanaharibu taswira ya chama

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hata miye mchozi umenitoka

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 yakitimia haya yalioahidiwa hapa nipo palee😢😢😢

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kalime tu maharage yako. Hiyo inaitwa siasa.

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 หลายเดือนก่อน

      Tena karibu na uchaguxi😅

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 หลายเดือนก่อน

      Mbunhe duu KASHIBA MAHARAGE

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 หลายเดือนก่อน

      Sasa chama hapa kinaingiaje??

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 หลายเดือนก่อน

    50k???????????😮😮😮😮😮na namba ya SIMU????????😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮😮

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo cku zote izo mlikuwa wap na mkutano usingefanyikaje acheni maigizo nyie tushachoka maigizo yenu

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c หลายเดือนก่อน

    Yan mnakuwa na maigizo.kipindi hiki cha uchaguzi kwa hiyo matatizo ya wananchi yatakuwa yanashujulikiwa kwa namna hiyo? Ujinga mtupu hzo kesi zipo nying sanaaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Halafu mnaomba kura hao ndiyo viongozi mnaoiharibia ccm na alipwe bima ya Afya

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน

    Kulindana na hamuwajibishani. Memesem a hata mayalama si mna pita tu. Mmesema mnawaadhibu upinzani tu. Halafu unasema CCM hoye. Inashangaza sana. Bado mnawapigia kura. Wananchi ni wajinga kabisa. Ujinga wao ndio unaowatesa. Wananchi Melaka sana. Ammeni piga chini ccm. Hakuna kitu hapa.

    • @garinchamkobe4582
      @garinchamkobe4582 หลายเดือนก่อน +1

      Kosa la Ccm ni lipi kaka? Hakuna Sera au Maelekezo ya Ccm kugonga au kudhuru watu kwa hili hapana ndugu yangu hata kama wewe ni Mpinzani sio Upinge kila kitu😢
      Kumbuka huyo anaetoa maelekezo ni M/kiti wa Uvccm wa Mkoa wa Tanga na kwa cheo chake ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa.Nchi hii ni yetu sote