Hawa ndio wamemletea maumivu ya moyo tu, kila mahali palimuumiza moyo wake.hawa baadhi ya watendaji wake walimkosea sana.mungu ampumzishe kwa amani baba yetu.
Uhuru plz nakupenda Sana lakini plz angalia kazi ya raisi wa Tz riu acio uhete wira umakiragira nikii mekaga uria mekwenda tuture na thina nimetumia hiyo language ndio ujue nivipi
RIP, Rais Maguli for the good job done, for you respected the rule of law and fought endlessly against corruption. You showed a very good example for the rest of the other African leaders to follow but all in vain.
Well conversed President who is well informed of all malpractices everywhere in his country....spot on. Really none of this kind in the whole world!.💞💖❤👍👌🇰🇪
Tanzania is the only country in Africa where officials are humiliated in public by failing to do their job to the expected by Tanzanian authorities but praised by being effective and do the correct work
Naona mm ndio wa kwanza kukomenti Rais Kazi nzuri unafanya ila mikusanyiko hio itasababisha kusambaa kwa ugonjwa huu wa kigeni nibora ukatumia muda mchache kuuliza na kutoa maagizo yako kabla watu hawajajaa
@@gracejohn886 USIOGOPE DADA ANGU UNAJUA HATA MFALME DAUDI KTK BIBLIA ALIPATA MADARAKA YA UFALME WAKATI WA TAARUKI YA KIFO CHA MFALME SAULI, WAISRAELI WALIPAGAWA. HATIMAYE BWANA MDOGO TU! DAUDI AKAWATAWALA...AKAFANYA VIZURI SANA NA WATU WAKAFURAHI. NINA MUAMINI MUNGU MAKUBWA YATAFANYIKA TANZANIA KUPITIA MAMA YETU RAIS SAMIA.S.HASSAN.
Iko siku Mungu atawapa ila mumuombee sana Africa hatuna bahati emagine tumeshindwa kumtunza mtu huyu. Africa tunashiriki sana kupunguza muda wa kuishi wa watumishi wetu. Hatuwaombei ila kuwapa stress. Hatukujua tulichonacho.
Hawa ndio wamemletea maumivu ya moyo tu, kila mahali palimuumiza moyo wake.hawa baadhi ya watendaji wake walimkosea sana.mungu ampumzishe kwa amani baba yetu.
Wametunyanganya tunu yetu
Alifanya KAZI n
Mzito Mzee Magu ata hakupata nafasi yakupumzika hapa duniani akipigania wakanzania maskini.mungu mpe pumziko la milele
Baba tutakukumbuka sana kwa kazi kubwa uliyoifanya kwenye inchi hii na ulikuwa mzalendo wa kweli kwenye inch yako
Sidhan kama kuna rais jasir kama huyu ee mungu utupe uvumilivu
YARABI TUSHIKE MKONO PEKE YETU HATUWEZI RIP MH JPM MWENDO UMEUMASLIZA IMANI UMEILINDA
Uhuru plz nakupenda Sana lakini plz angalia kazi ya raisi wa Tz riu acio uhete wira umakiragira nikii mekaga uria mekwenda tuture na thina nimetumia hiyo language ndio ujue nivipi
RIP, Rais Maguli for the good job done, for you respected the rule of law and fought endlessly against corruption. You showed a very good example for the rest of the other African leaders to follow but all in vain.
Babaaaaa lala babaaaaa tushaanza kukumic😭😭😭😭💔
Rest In Peace my Great President 🙏🏾🙏🏾
I hope Suluhu takes it up like this. God bless Tanzania.
@Duncan hawezi kuwa magufuli
@@edwinalexander1170, ni ukweli hakuna mtu anaweza. Magufuli alikuwa mtu wa aina ya kipekee barani Afrika.
Kwa udhalilishaji huu mama yetu usiwe hivi
@@jicholafursa7058akuna kubembelezana viongozi wa Africa bila ukali ni uzembe tuu utafanyika
Well conversed President who is well informed of all malpractices everywhere in his country....spot on. Really none of this kind in the whole world!.💞💖❤👍👌🇰🇪
Dah mzee kaomba msamaha wazir .mungu mlipe mema rais
Tuta kukumbuka daima kwa utendaji wako makini
Sasa mm kaniuliza je mama yangu au shemeji yetu ataweza vishindo hivyo maana mweshimiwa alikuwa engineering mtata kumdanganya ufanye kazi
RIP Mheshimewa Rais.
Utakumbukwa katika historia ya Afrika Mashariki.
Mungu ampee kipumuziko salama muhesimiwa Rais Maguli
Rest in power Jonh 👏
Allah akupunguzie adhabu y Qabli.....camander wetu
R.I.Power Hero of Africa..President of Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli...(Magufulification of Africa )
Hongeraaa Raisi wetu
Tulikupenda sn baba etu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 moyo bado hauamini kama ndo atukuoni tena?
Tanzania is the only country in Africa where officials are humiliated in public by failing to do their job to the expected by Tanzanian authorities but praised by being effective and do the correct work
Yes, true, sasa tumelowa kabisa!!
Wonders
RlP mzee magu
Magufuli 50;year tena
Who had thought he will be gone soon
😭😭😭😭😭😭the best president
😢 I miss him
Naona mm ndio wa kwanza kukomenti Rais Kazi nzuri unafanya ila mikusanyiko hio itasababisha kusambaa kwa ugonjwa huu wa kigeni nibora ukatumia muda mchache kuuliza na kutoa maagizo yako kabla watu hawajajaa
Maguful oyeeeee
Hii siku ilikuwa tumbo joto shenzi sana huu ndio mwendo unaotakiwa
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😆😆
Wananenepa kwa kodi zetu hawa. Sisi tunakonda kwa kuwaza kodi nailipaje
Mzee wetu lala salaama
Best president
Yes the best indeed. Tanzania was Fastest growing African economy in 2020. MHDSRIEP!!!
Hii hali inaleta mashaka hapa tz kila sehemu uozo pamoja na utumbuaji ni yaleyale
Mwamba anapelekea watu moto wa kifuuu,🎉🎉🎉🎉
Nakubali jeshi
Sijui kama atapatikana Rais kama huyu tanzania.Rip Dr Magufuli
Pumzika kwa amani mwamba wa africa napenda kukuxikiliza hutubazako lakini naumiaxana najikuta machaz yatoka tuuuuh 😭😭😭
Ni nafwata uku DRC moyo kuma ni mubenda sana raisi uyu mungu a WE n'a wa tazanien ôté tuko pamoja 😭
Dah Tanzania tunaingia gizan tena
HAPANA KAKA SAFARI NDO IMESHAANZA HIVYO WALA HATURUDI NYUMA.
Yaan tunaogopa
@@gracejohn886 USIOGOPE DADA ANGU UNAJUA HATA MFALME DAUDI KTK BIBLIA ALIPATA MADARAKA YA UFALME WAKATI WA TAARUKI YA KIFO CHA MFALME SAULI, WAISRAELI WALIPAGAWA. HATIMAYE BWANA MDOGO TU! DAUDI AKAWATAWALA...AKAFANYA VIZURI SANA NA WATU WAKAFURAHI. NINA MUAMINI MUNGU MAKUBWA YATAFANYIKA TANZANIA KUPITIA MAMA YETU RAIS SAMIA.S.HASSAN.
@@Jamie-zp7bb Amina na iwe hivyo tumtangulize MUNGU
Ila ndio basi tena jamani mmh!
I wish we had such a president in kenya sisi tukona fisi tu RIP Magufuli
Iko siku Mungu atawapa ila mumuombee sana Africa hatuna bahati emagine tumeshindwa kumtunza mtu huyu. Africa tunashiriki sana kupunguza muda wa kuishi wa watumishi wetu. Hatuwaombei ila kuwapa stress. Hatukujua tulichonacho.
Magufuli kwenye maswala ya ujenzi hasa bara bara huwz kumdanganya
Daaah!!!
Acha mafisadi wafurahie kwa sasa dah
Tqtatizo unataka kz alafu haina hqkkli ya kufikilia mijitu km I ndo inayo rudisha moyo. Warais nyuma
Lini utarudiiii babaaa
Alikua mfanyakazi kweli kweli
Magufuli😥😥😥😥
😭😭😭😭😭😭😭
Nakupenda sana baba, umetuacha ktk kipind kigumu sana inch inakutegemea kwa kujenga inch na umepambania wanainchi wako tujike malengo
Hakika ni zaidi ya uchungu
Bonjour
Na kweri raisi tibuwa huyo maerezo yake hayatoxhi bona.
Yn hawa wasaidizi ndo walo kuwa wanampa mawazo HD moyo. Kuharibikq maana inqjishibsha tu kz haifanyi mapaka hawa
HATOKEI KIONGOZI NCHINI KAMA WEWE BABA
Hatutapata rais kama huyu mh!
Uuuuuwi naliamie jamani kwanini kwanini sasa hapakazitu hakuna nivicheko namakongamano uzembe yamsingiyameachwa
paschal charles
WIZI TU HAWA NA WALIONA ULILALA HAJUWI KAMA UNAWAONA KWA JICHO JENGINE WAPUMBAVU HAWA KUKUFANYA WEWE MJINGA
Mangufuli amubananisha muchina
Siku iyoo sitokuja sahau wadau walisema kimeumanaa... 😄😄
Atuna jinsi tutqbqki kuangalia tu matukio. Yk bqbq nq kiyqfqnyiqkz
Mi sisemi
Atukusaau miaka yote
Huyu mzee ulikuwa ukisema "NIMEKOSEA NAOMBA UNISAMEHE" unakuwa umemmaliza
T
Mwaposa
Hgk
Pv
Humiliation
Magufuli ni dictator wa hali ya juu
HAPANA LAZIMA WALIPA KODI WAONE FEDHA YAO JINSI INAVYOTUMIKA.
Kwa wazembe wataona hivo
Nenda shujaa wetu mungu akupokee kwake Amina
Dictator come from word dictation,So not badly.
U talk ain't shit bitch !!
Tulikupenda sn baba etu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 moyo bado hauamini kama ndo atukuoni tena?
Mwaposa