Siku hizi ulizi wa anga ni jambo kubwa sana na muhimu sana,maana adui siku hizi huanza angani kabla ya kutua chini,ningeshauri jeshi letu kujikita pia katika ulinzi wa anga.pia makombora ya masafa marefu,maana adui hukupiga kutokea kwake kabla ya kuingia nchini mwako. Mungu ibariki nchi yetu Mungu ailinde TANZANIA.
Hilo shirika la nyumbu liwezeshwe Zaidi tuweze kutengeneza silaha zetu wenyewe nyingi Zaidi na fighter jets kama F16 ingependeza sana jeshii letu likawa nazo
Una akili sana una wazo ya juu mno kweli hapa ukilinganisha na vita vya Israel na urusi sisi bado sana pia nilikua nashaur pia wanajeshi waajiriwe zaid tena wale watu wabunifu siyo kujuana
Ila usiwe unalinganisha na uwezi wa jeshi la bala nyingine tu linganisha na jeshi la M23 jeshi lenu kwenye maonesho linawaonesha ya kwamba ni imara ila uliza kule DRC utajibiwa kuwa likifika kwenye Frontline mbele ya M23 uwezo wake haupo kwani ni karibu ya sufuri wanaadivansi hawarudi M23 inawatoa uhai wanaleta vifaa vimeunguzwa ila silo jeshi lenu tu na la Afrika ya kusini sufuri mbele ya M23 SADEC nzima mbele ya M23 inakuwa sufuri naweza nikasema eti wafanye mazoezi ya kuwa imara kwenye Frontline kwanj hayo yanamalizia kufurahisha shabiki wao tu
Kwa nini tunataja idadi ya silaha zetu? Tumekuwa kama wamarekani walipokwenda Somalia na kujinadi na vifaa vyao, adui zetu wanatusikiliza tusiwe tunasema mabo yote ya uwezo wa silaha zetu! Hapo ni kujianika. Tulishinda vita ya Kagera kwa sababu mataifa mengi hayakujua uwezo wetu kivita, Nyerere hakuwa mjinga, alizijua mbinu nyingi za adui zetu. Tukumbuke Waingereza na Wajerumani walisema hata kama Tanzania ingefanyaje haingeweza kumtoa Idd Amin Tanzania, lakindu nduli alitoka kwa muda mfupi sana! Hili ni somo tunahitaji kulielewa!
Uzeni vyote , Kwa bei rahis Kwa Malawi, Zambia, na nchi nyingine ndogo ZA Afrika, Tanzania Ni nchi inayojulijana Sana barani Africa, Bora muwe na siraha chache ila hatari, Kama, SU 57, at least tuwenazo kumi, Shahid drone at least tuwenazo 500, siraha ZA Korea kaskazini ZA kawaida atleast 30,000/ na ZA kirusi 20000/, na rada 50, ZA kisasa ZA mrusi. Nadhani Africa nzima watatuogopa
Hizo drone unazozisema za Shahed hazina chochote kipya, sasa hivi silaha ni zile zenye uwezo wa ki-electronic na kuweza kufanya silaha zako zote kutokuwa na athari zozote zile, hiyo ndiyo next gen combat!
Maoni yangu majeshi yote ya Tanzania yapewe kozi za kikomando tena iwe za utendaji sio story za maneno tunaomba inchi imara jeshi imara na utendaji imara kwa maslah ya taifa enzi za sasa nchi ni nguvu za kijeshi na kutanua nchi na kulinda mipaka kuongeza mawasiliano ya ya anga na ulinzi wa anga
Ninavyojua jeshi letu hivyo vifaa vipo lkn vimefichwa maana haya ni maonesho tu hivyo hutakiwi kuweka zana zako zote hadharani kwa ajili ya usalama wa nchi.
Ki ukweli jeshi la Tanzania muko ngufu na wakubali. Personally na penda Tz .Toka Congo Dr🇨🇩
Siku hizi ulizi wa anga ni jambo kubwa sana na muhimu sana,maana adui siku hizi huanza angani kabla ya kutua chini,ningeshauri jeshi letu kujikita pia katika ulinzi wa anga.pia makombora ya masafa marefu,maana adui hukupiga kutokea kwake kabla ya kuingia nchini mwako.
Mungu ibariki nchi yetu
Mungu ailinde TANZANIA.
❤
Na proud kazi ya Jeshi eee Mungu tujalie kila lilio Jema katika kazi hii ya kuiongoza nchi yetu tz
Following from Kenya, I personally never knew Tanzania had powerful and sophisticated weapons.
These weapons are nothing compared to North Korea .. lol
Pole
Those A100 multiple rocket its only tz in East Africa
Those missiles looks like an air defence iam not sure if kenya we have these. I have never seen any.
The rocket launchers are not smthing to ignore.. this is a surprise 😮
Mimi sijapenda hii style ya kutaja na idadi , zingepita unaeleza kazi zake lakini kwenye kutaja idadi ni kuweka wazi siri zako na sio sawa
Wanataja zilizokuja maonesho sio idadi tulizonazo na kumbuka hanaoneshi zana zote
@@aaronmwakilembe604 sure
Tanzania is ours there fore we are the one to protect it!Mungu ibariki Tanzania.Amina
Safi Mama kazi nendesha ukosujaa n'a umejiamini kabisi
Safi sana jeshi letu liko vizuri sana mungu ibaliki nchi yangu
Aaaaa kumbe nitembee kifua mbele jesh lang la ulinz kiko vzur🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Jidanganye uone
@@Nassibmpupa 😂😂😂😂😂
Hata Mimi nimeona nisipite #kanyukatv hata niwape like Tz
Hongera jeshi la Tanzania
Ongera watoto wetu tunawategemea sana Tena sana na bado tutazalisha wanakeshi wakulinda Tanganyika yetu
Tunalitakia mema jeshi letu kwakiwa tayari muda wote Hongera Rais wetu na vyombo vyote vya ulinzi tunawapenda na tunawatakia kazi njema mungu awalinde
TZ BABA. LAO. VIVA TTANZANIA.
WE ARE VERYSTONG . TRY UONE . WEIYE UTAJUTA.
Silaha za kawaida sana hatuna hata mifumo ya ulinzi na kwa staili hiyo silaha zaifu ila kwa anayejua atanielewa
Mzee hakuna anaeweza kuonesha kla ktu chake...yan unachokifikiria ww sasa...washafikiria wataalam kitambo sana
Vifaruu vya ww2😂😂
Home of the Umkhonto Wesizwe guerillas from SA ✊✊✊
ilikuwa ndoto yangu kujakuwa mwanajeshi nawapenda
Tanzania daima mbele🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wow TANZANIA has move so far
Yas. Its my country
Hilo shirika la nyumbu liwezeshwe Zaidi tuweze kutengeneza silaha zetu wenyewe nyingi Zaidi na fighter jets kama F16 ingependeza sana jeshii letu likawa nazo
Beyi ya F16 moja nisawa nakutengeneza, Mkapa nyingine.
Tanzania nchi yangu naipenda
Tupo vizuri
Beni umekosea.
Kamwe hatutajaribu hilo. Maana mziki Huu . Kenya wanaujua kupitia IddAminDada
Hongera na mpo vizr
I'm like it
Shukrani lakini tukilinganisha Vita ya Israel na Ukraine na rushia tuwekeze kwenye anga na teknoroji ya juu.
Una akili sana una wazo ya juu mno kweli hapa ukilinganisha na vita vya Israel na urusi sisi bado sana pia nilikua nashaur pia wanajeshi waajiriwe zaid tena wale watu wabunifu siyo kujuana
Ndio mana Rais Samia alikuwepo uturuki kwa swala Hilo usiwi nachaka izo ni hasilimia 2 ya sila ziliyopo
Ila usiwe unalinganisha na uwezi wa jeshi la bala nyingine tu linganisha na jeshi la M23 jeshi lenu kwenye maonesho linawaonesha ya kwamba ni imara ila uliza kule DRC utajibiwa kuwa likifika kwenye Frontline mbele ya M23 uwezo wake haupo kwani ni karibu ya sufuri wanaadivansi hawarudi M23 inawatoa uhai wanaleta vifaa vimeunguzwa ila silo jeshi lenu tu na la Afrika ya kusini sufuri mbele ya M23 SADEC nzima mbele ya M23 inakuwa sufuri naweza nikasema eti wafanye mazoezi ya kuwa imara kwenye Frontline kwanj hayo yanamalizia kufurahisha shabiki wao tu
Unaona hiyo A100 na BM30, hata Urusi bado anazitumia ni hatari
Naipenda tanzania
Saludos y felicitaciones a Tanzania,desde República Dominicana 🇩🇴😊, tienen un ejército envidiable para toda latinoamérica
Masha-allah hili jeshi raha nitajiunga kwa lazima 😅maana vita ikitokea mnasema vijana wabaki mzigoni wanawake waende nchi jiran 😢😂😂
😂😂
TUOMBENI VITA NA KENYA MAANA HAKUJA CHANGAMKA KABISA😊😊😊😊
Akili auna Kenya ni ndugu zetu
Nili shauli jeshi liwekeze kwenye tecnorojia zajuu
Safi sana Jeshi la Tanzania Ningependa kuona fighter jet like F-7, F-5, F-6 or mile Mig21
Hizo ni za zamani, sikuizi wana za ufaransa
@@jasonwatz7457 Sawa kiongozi sijabahatika kuziona
wanatumia F-7.
@@eng.makolal1367 nazikumbuka hv still zipo on service zile?
Sikuz hawatumia hayo ndugu
Kwa nini tunataja idadi ya silaha zetu? Tumekuwa kama wamarekani walipokwenda Somalia na kujinadi na vifaa vyao, adui zetu wanatusikiliza tusiwe tunasema mabo yote ya uwezo wa silaha zetu! Hapo ni kujianika. Tulishinda vita ya Kagera kwa sababu mataifa mengi hayakujua uwezo wetu kivita, Nyerere hakuwa mjinga, alizijua mbinu nyingi za adui zetu. Tukumbuke Waingereza na Wajerumani walisema hata kama Tanzania ingefanyaje haingeweza kumtoa Idd Amin Tanzania, lakindu nduli alitoka kwa muda mfupi sana! Hili ni somo tunahitaji kulielewa!
Ardhini tupo vizuri
Maadhimisho yajayo tunataka Kamikaze drones,Submarine.
Nimechek hahaha
Zipo lkn huwez kuonyesha nguvu yko yote,hzo n mfano tu
Taka yako ni taka taka.
Hakuna uzuri wowote ardhini. Mnatumia kifaru cha mwaka 1959 kama kifaru chenu kikuu.
We vp mnataka kuonyesha Kila kitu uwez toa zote bos
Jeshi la tanzania no hatari sana
Drone ziko wapi
Nijambo jema ila tusiweke wazi Sana vyote tutarahisha maadui kugu dua Siri zetu
Powerful
Ndio maana . Tanzania nchi yangu
Ni super in EA. VIVA
MY COUNTRY
TANZANIA. HUREEEEEEEEEEEE
Tuombe vita ya kilafiki na urusi😊
Au sio tukkuombee ww hako ka mechi ka urafik inaonekana umemis kutoka dam kdg
Hahaha kapambane ww
Ushindi sana
si Tz ikuje friendly na wana skauti wa kenya...
Njoeni nyiny nyote pamoja na kdmavi wenu tutawafira wote 😎😎
@@walterngowi5835Cha ajabu ni kwamba utakuta kuna wajomba zako, shangazi, shemeji, binamu na kadhalika. Wote hao utawafira?
Nice stadion
Tanzania iko vzr
Nakubali ndugu yettu ( TZ) Tanzania
Jeshi fhaifu duniani Tanzania
😅😅😅😅jaribu uone kama dhaifu au uharo utaokujia na kuzimia papo hapo
Strong security and development
Strong army 🎉🎉🎉
Kwani na sisi tanzania tuna vifaru vya merkava leopad na ablams?
Tanzania military👍
Silaha za zamani
Tanzania iongeze nguvu za kijeshi ili ipate heshima kitaifa na kimataifa na kuongeza ulinzi kwa Raia wake na na kulinda maslahi ya taifa lake
Siku hizi bila drone hauna uimara wowote hivyo vifaru vinaweza kuchakazwa na drone
Uposahihisana
Drone lazima zitakwepo
IN WAR..
HAKUNA ALIE ZALIWA. EA. DHID YA TZ.
Tuombe vita ya kirafiki na Kenya sasa😀😀
😅😅😅
😂😂
Someone will raise your children don't try🇰🇪😹♥️
umenichekesha sana
Idumishe ulinzi na usalama ndani na nje ya nchi amani itawale
Daaa kumbe vyombo vimefichwa daaaaa hongeren sana jw
Hapo hawajaonyesha zote bana ,haziwezi toshea huo uwanja ,hizo ni za dar tu na si zote jameni,mikoa zingine wako na zao
Hapa bado bado sana silaha hatuna nilijua tuna mifumo ya anga tuna hitaji. Mifumo ya anga droon za kushambili bila lubani
Acheni ujinga vifaa vya jeshi vinakaa jeshini. Sisi raiya wa kawaida vinatusaidia nini? Vkatuletee waliyotekwa!!
We akili kubwaa
Hizi ni sherehe za kijeshi na sio zakiraia
Hii mizigo yote ya nini ingieni kwa uraaa awape ndege bila rubani😂😂
😂...YOU WISE WHAT ARE THEY GOING TO DO WITH ALL THESE ALUMINIUM TOYS
Naomba Kuuliza Hio Idadi inayo tajwa ni zote kwa Ujumla Tanzania Nzima au ni hapo uwanjani zinazo Pita.
Ivyo vya maonyesho tu mizigo kamili ipo camp
Tonybrighter hizo akili zako sio hahahaaa umenifanya nimecheka sana hizo vifaa inawezekana ndio hivyo tuu mzee
Siri
ikitajwa idadi ndo vyote tanzania apo vinaonekana@@ndorobo205
Ni zilizopo uwanjani ndugu yangu!
❤
Hee kwa vifaru hivyo rabda isutumwe nyuklia....Wenzetu wanaosoma kwa vitendo sis tunamezeshwa hatimaye kazin hayatok.
Vipi kuhus ulinzi w anga??
Tunataka match friendly fight ya Rwanda na Tanzania
😅kwann uchaguwe Rwanda❤ au Rwanda imekuwa super power in Africa
Ndugu yangu don't dream at day if you want to know the power RDF ask what it has done in gobodergado in mozambique country.@@MeshaMgumya
Why not with the uganda😢
Rwanda in fighting is super power
@@Armace563There's no superpower in real war. Russia thought they were, they invaded Ukraine & more than two years now they're still fighting.
Kama vip Tuwanze kuwapiga kama Russia tuchukue nchi zao😂😂😂😂
Jesh hua halitoi sil
Mngu aitangulie Tanzania na raia wake,,
Yaani hayo ni maonyesho alafu maonyesho siyo kitu kamili nenda barracks ndo utaona vitu
Tukisema Tukapige ka Rwanda dakika 4 tumekapoteza tunarudi kula upepo baharin
Silaha za Tanzania silaha sake ni zakujuia wandamaji
Eeh Bwana, Vifaru mnavyo lakini za kale.
Jaribu uone kama za kale au laa 😂😂😂😂utakua wakwanza kujiarishia
Kenya Uganda kwisha kabisa Mama hacheki😂😂😂
😂😂😂
@@HasnaHasan-x8rkiongozi wa upinzani akija kujificha Kenya tuna mkataa kabisa, Mama ametangaza kukabiliana na mpinzani wowote.✌️
😮😮😮@@reubenmugo8895
Tusijisifu kwa hilo, hivi mfano Urusi ivamie Tz tunaweza kupigana nao na kuwashinda?
Vita mara nyingi ni majirani na waasi wa msituni. Mrusi hawezi kutoka huko aje kupigana huku, atapitaje?
Tuombe pambano hata la kirafiki na Ukraine aisee tutesiti mitambo yetu
Utitiri wa vikosi lazima ufanyiwe marekebisho na vijiidaza tele nibora kuchanganyiwa
NA vifwaru itashomda vita ya wenyewe kwa wenyewe tu. Kamuulixemi JAMAA YENU WA RUSSIA
URUSI AKIJIPENDEKEZA. HAPA HANA BAHATI.
They look like toys compared to western countries armor.
murakomeye
Vifaru second hand
Uzeni vyote , Kwa bei rahis Kwa Malawi, Zambia, na nchi nyingine ndogo ZA Afrika, Tanzania Ni nchi inayojulijana Sana barani Africa, Bora muwe na siraha chache ila hatari, Kama, SU 57, at least tuwenazo kumi, Shahid drone at least tuwenazo 500, siraha ZA Korea kaskazini ZA kawaida atleast 30,000/ na ZA kirusi 20000/, na rada 50, ZA kisasa ZA mrusi. Nadhani Africa nzima watatuogopa
Hizo drone unazozisema za Shahed hazina chochote kipya, sasa hivi silaha ni zile zenye uwezo wa ki-electronic na kuweza kufanya silaha zako zote kutokuwa na athari zozote zile, hiyo ndiyo next gen combat!
Tusikiri idadi ilio tajwa hapo n do iko stoo. Kiibo mbura. Stoo kumejaa.
Akisema 5 zidishax1000 msee wangu.
Maoni yangu majeshi yote ya Tanzania yapewe kozi za kikomando tena iwe za utendaji sio story za maneno tunaomba inchi imara jeshi imara na utendaji imara kwa maslah ya taifa enzi za sasa nchi ni nguvu za kijeshi na kutanua nchi na kulinda mipaka kuongeza mawasiliano ya ya anga na ulinzi wa anga
Haya yote ni kwa ajili ya mwanadamu
Ninavyojua jeshi letu hivyo vifaa vipo lkn vimefichwa maana haya ni maonesho tu hivyo hutakiwi kuweka zana zako zote hadharani kwa ajili ya usalama wa nchi.
izi bado n analogue kuja kenya muone zenye tulinyanganya alshabaab
Najivunia nchi yangu kuwa na jeshi imara lakini nashauri liongexewe bajeti ili kudumisha amani
Kwan nchi yetu haina drone?
Mi naona tuitishe friendly
Hv tz hatuna hypesonic missile?
Kumbe kifaru kinaeza pita kwenye lami
Vidogo dogo vizito ndo vimebebwa
Hivyo ni vya kutupigia Raia wanyonge waTZ ila Kimataifa hatuwezi. Twende tukawasaidie Waparestina Kama Tunaweza
They still have world war 2 tanks wow 😮😮😢
What's wrong with that. Even the very developed nations have those weapons along with the new ones
Ni silaha nzuri but ingependeza tuw na ndege jama su37 na drones pia submarines
Si lazima uonyeshe kila ulichonacho! Kumbuka siri kubwa ya nchi yetu kumshinda idd Amin ilikuwa hawakujua Tanzania tuna uwezo upi wa kijeshi!
🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅@@kambamazig02024
Tupo vizuri lakini si vizuri kuonyesha uwezo wetu ikitokea vita imeanza tayari adui ameshatusoma atajipaga zaidi ni wazo tu
Unadhani waoo hawana akili unaambiwa hzo nibaadhi tu ila vifaa kamili vipo
@@Benjamin-r8g sawa Mkuu
T59 Na T70 Imesha Tolea kazini
High time Africans countries to upgrade their arsenals.
Mbona amtaki kutoa zile nyuklia?
Kumbe izo nazo ni silaha ,wanatengeza wenyewe au
Aah kumbe tupo vizur san