LIFE WISDOM : MADHARA YA KUWA NA KIBURI - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @RonaJumanne
    @RonaJumanne 9 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU MUNGU....MUNGU WANGU ASANTE

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli kabisa kaka. Kiburi ni miongoni mwa vikwazo (miba,) vya mtu kuendelea kusonga mbele. Natamani watu wote tungekuwa na ufahamu huu. Neno la Mungu limeweka wazi kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi na anawapa wanyenyekevu neema. Asante kwa somo zuri mtaalam🙏

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie viongozi wengi huangukia hapo😢

  • @RamadhaniMpwatile
    @RamadhaniMpwatile 9 หลายเดือนก่อน +4

    Na unyenyekevu pia ukizidi sana. Unaonekana unajipendekeza. Kilakitu Kwa kiasi. Unyenyekevu Kwa kiasi kiburi Kwa kiasi

  • @JoyicMwangende
    @JoyicMwangende 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtu WA Mungu nimefatilia nikaona sain nyingi zipo ndani yangu bila kujua ila nimechukua hatua ya maombi

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 9 หลายเดือนก่อน +1

    Niko huru kwa Yale uliyoyaelezea simo nashukuru Mungu.

  • @EDMUNDSOSPETER
    @EDMUNDSOSPETER 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila binafsi najitahidi kukiepuka kiburi huwa nashindwa Mr Joel naomba ushauri kitu gani bado hakijakaa sawa hapo #joelnanauka

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli kiburu nimbaya sana na hufanya ukakosa baraka.na piakijifunghia hata watu wakakuonghopa pia

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 2 หลายเดือนก่อน

    Be blessed Always Ameen

  • @EmayNgayda-in9gx
    @EmayNgayda-in9gx 9 หลายเดือนก่อน

    Vita mbalimbali katika maisha huwafanya maadui kuwatuhumu wahanga wao kuwa 'wenye kiburi'.

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uzuri nimejifunza mengi sana toka nikujue na sikitambo huu mwezi tu watu 2024 lkn nimepona aliyo kuwa yananisumbua na bado,ee MUNGU mbariki huyu mtumishi wako

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io หลายเดือนก่อน

    Kiburi ni vazi la Mungu, tujiepushe sana na kiburi.

  • @mazwichannel2120
    @mazwichannel2120 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka @joelnanauka yan leo unenigusa mimi aisee,mtu wa aina hii ninae naishi nae yani ni shida sifa zote apo anazo yan kuna muda mpaka unamuurumia maana kuna vitu ananjifanya anajua kumbe ajui ila kwakuwa ataki ushirikiano wala ushauri ye kilakitu anahisi anaweza.Daaah ni hatari sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezimungu pia hampendi mtu mwenye kiburi..na mwenye kibuli mungu kamuahidi moton..Kuna lafiki zangu walikuwaga ivyo nimewablok na kufuta namba zao

  • @shukuranirebecca4877
    @shukuranirebecca4877 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye kuvaa joha la kiburi ni mwenyezi.mungu tu.na atakaevaa joha hilo ni motoni tu.

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU nisaidie mimi mwanadamu nione kila mtu akiwa na thamani.

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 9 หลายเดือนก่อน

    Exactly kaka uko sahihi ❤❤

  • @upendofuraha
    @upendofuraha 9 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana kaka Joel.
    Mungu nisaidie ktk jitihada nifanyazo kuondoa Kiburi

  • @EmayNgayda-in9gx
    @EmayNgayda-in9gx 9 หลายเดือนก่อน

    Kiburi ni ukinzani dhidi ya dharau na maumivu ya kihisia dhidi ya watu wengine.

  • @tsongokauta5911
    @tsongokauta5911 9 หลายเดือนก่อน

    Unyenyekevu ni Siri kubwa ya kuenda mbali maishani

  • @MSHINDICLEMENCE
    @MSHINDICLEMENCE 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki kwa hii kazi yako inanisaidia sn

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 9 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

  • @jacksontumaini9108
    @jacksontumaini9108 9 หลายเดือนก่อน

    See you at the top JAN 🇹🇿

  • @khajirmussa
    @khajirmussa 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe xanaaa , xomo nzuri sanaaaa

  • @NTC-LIMITED
    @NTC-LIMITED 9 หลายเดือนก่อน

    Boss kama boss😊

  • @tawakaliramadhani1352
    @tawakaliramadhani1352 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka swadacta..

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏 shukran sana kwa somo zuri sana
    Acha nijichunguze kiburi changu kipo wapi

    • @mohamededdi7527
      @mohamededdi7527 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kiburi chako wewe ni ukishiba tu ndio unakiburi.

    • @janetmbwana553
      @janetmbwana553 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@mohamededdi7527 😅😅😅jamn em nihakikishe kwanza baada ya ftari nitakuwa nacho au lah

    • @mohamededdi7527
      @mohamededdi7527 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@janetmbwana553 wee jiangalie baada ya ftari utakiona kiburi.

    • @janetmbwana553
      @janetmbwana553 9 หลายเดือนก่อน

      @@mohamededdi7527 sio kweli bhana acha nikague maeneo mengine 😁

  • @veronicawangari8089
    @veronicawangari8089 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ak Mimi Niko na kiburi tena sungu kira siku najaribu itoke Dani yangu sai Niko na 29 years. Cjawai ingia Kwa usiano na mtu tukaa mezi ata miwili . Nifunze jisi kiburi itatoka Dani yangu Niko tayari kujifuza juu ni kitu nayaribu itoke Dani yangu paka nimeshindwa sazingine na kaa mbali na watu

    • @lizybethpeter6124
      @lizybethpeter6124 9 หลายเดือนก่อน +1

      Jitahidi na maombi ukiona kitu unajaribu kukiacha na unashindwa jitihada Kama binadamu unashindwa ...inaitaji msaada wa Mungu kwa sababu linakuwa Jambo la kiroho zaidi

  • @andrew0502
    @andrew0502 9 หลายเดือนก่อน

    I'm not i the first!

  • @oscarj....5979
    @oscarj....5979 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna maisha yanatulazimisha kutumia kiburi kama silaha,mfano huku uarabuni bila kuwa na kiburi hutoboi 😂😂

  • @MikwaloSalehe
    @MikwaloSalehe 9 หลายเดือนก่อน

    See you at the top

  • @SamKanono
    @SamKanono 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa kaka ila naomba namna ya kutoka kwa kiburi

  • @IbrahimDaudi-bo7ke
    @IbrahimDaudi-bo7ke 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran kaka ila ni namna gani yakutoka kwa kiburi?????

  • @azizabakarimsologoni.49
    @azizabakarimsologoni.49 9 หลายเดือนก่อน

    Thanks a lot

  • @paulmayombe4336
    @paulmayombe4336 9 หลายเดือนก่อน

    Nikwel kabsa kuna muda mtu anakuwa na kiburi kwa kutotaka majadiliano hii nimeliona kabsa kwa mtu Flani

  • @BestinaCleti
    @BestinaCleti 9 หลายเดือนก่อน

    Njia ya kumsaidia mtu mwenye kiburi.?

  • @andrew0502
    @andrew0502 9 หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @cutieprecious7809
    @cutieprecious7809 9 หลายเดือนก่อน

    Mmh