maneno ya kushindwa hayo fanya kazi yako, mwamposaa saf anatuponya kwa jina la yesu, na wew ipo siku utamkimbilia ndio mtajua...huchok kumsema mtumish wa Mungu, na hana mda na watu kama nyie..injili lazima ifike sehem zote kupitia mwamposa mwamba
maji au mafuta yapo kwenye biblia mwamposa endelea kupiga injili hadi shetani ashangae waache ambao wapo kwaajili ya kuichambua injili mm napokea upako
WEWE MTUMISHI MASKINI, HUNA MAAJABU MTUME ANAPONYA WATU HADI WATU WAKO WANAPONA,WEWE UNA MAAJABU GANI AU MANENO NA HUSDA? MWENZIO YU NA DINI YAKE WEWE NI MAPAMBANO TU! UNASHANGAZA USHINDWE KWA JINA LA YESU.
@@arkasonlinetv2370 anauliza et yule mdudu chungu aliowaambia wenzake waingie katika mapango yao wakati nabii Suleiman anapita ni (kabila gani) Sasa hapo swali ni lipi?
@@MuslimChannelTZ nafikiri alikusudia lugha gani .cha kumsaidia nikua nabii Suleiman Allah alimpa miujiza ya kusikia lugha zote zinazoongelewa na wanyama na wadudu pamoja na miti
Mungu akupe mwisho mwema napiy akupe umri mrefu
Allah akuifadh sheikh Mazinge
Mazinge Mingus akupe umri uzidi kutufahamisha InshaAllah
Mashaallah mazinge,unasema ukweli mtupu
nakupenda sana mzee wang
Mashaallah
Mpaka useme
Alla SW akujalie Kila la kher kwa kutufumbua wakrsto kumjua n kumtambua mhamd s,w n mtume wake AMEEEN
Basi msinge soma shule za wakritu si wana mashule. Mavyuo msiwapelelke basi watoto wetu
Hongera sana shekh?
❤❤❤
Mashallah Allah akuweke. Akupe mahitajiyako
Mbona mashekh wenzio wanauza maji uwasemi,baba mwamposa kaza buti tupo nyuma yako daima,.mwendo uleule maji,mafuta,keki,ukombozi wa ardhi,watapigwa nawataendelea kuropoka kama hivyo
Ikiwa wewe ni muhubiri usiwe na wivu ubiri la MUNGU, la Qurani wacha kushambulia na urongo,kwa jina la yesu
Allah akbar Mungu awajalie nakupenda sanaaa shekh Mazinge🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika mazinge ukristo niutaperi tu mm nimkristo rakini sitaki nasiupendi matameri tu
@@leonardmwayeya13 njoo katika dini ya haki bro, Uislam
Jina la yesu lina nguvu likitamkwa miamba ina pasuka.🔥🔥🔥
We mwehu kweli
Ndio miamba unapasuka sababu mnasema yesu ni mungu na yesu mwenyewe hataki kuitwa mungu,tena mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
Hapo Mazinge Anasema Kweli Mwamposa Ni Litapeli
Nawewe mjinga Kama wajinga wengine hubirini Quran mm muislam lakin sisapot mtu kuacha kuhubir Mungu na mema anamjadili mtu acha umaskini waakili
Acha wivu
YESU NI JIBU
Jibu la baba ako
Acha uongo
Allah akujalie mwisho mwema ila mbona unakwangua ndevu sana mazinge hujui hiyo ni auna?
Unawivu Jenga lako na wew tukuone
Acha kumsema mwenzako acha izo shehe mzima kwani ww mungu acha izo acha izo kwani uyo mwamposa ashakukukufatilia ww acha izo
Yesu anaweza
Eloi Eloi...
Baba mwamposa kaza buti achana na uyo mwenye njaa
Kwaniukiwa mtumishi ndio uruhusiwe kuwa mali njaa inakusumbua
Wivu TU hakuna mafundisho hapo mtumishi wamungu,umejisahau
Sema Mazinge ni Muongo Kinoma Hakuna Kitabu cha yakobo chenye sura 32 katika Biblia yetu sisi wakristo huyu jamaaa ni Muongo wa kutupa
Huyo bibilia zote zipo kichwani na ana ongea na mapasta wakubwa duniani na Wana muelewa sembuse ww
assalamu alaikum sheikh mazinge
napenda sana mafunzo yako
mbona mnamwandama sana mwa mposa sana amebalikiwa na mungu
Na shetan
Yani kujenga hotel mazinge kaumia sana
kwa unavyohisi hiyo hoteli mazinge itamsaidia nin?Au ataipeleka wap
Aliye msomi siku zote apambani na mjinga hata shule ukwenda
Ni wivu tu
Umemloga umeshindwa na ndio maama unamchukia sana unamdema. Vibaya mwamposa amekuona wewe mwehu mdio maana ama muda nawe
Subhanallah mtihani
Na ww jenga hotel I acha wivu mnamfatilia mwamposa utazani anawaita waislam waislam hao hao wanaomfata mwamposa wanapona kwani hapo msikitini huchukui swadaka ww unakula nini nahuna kazi acha uchokoz kumtukana mwamposa acha izo kukashifu wenzako
Mhhhhh chuki binafsi
maneno ya kushindwa hayo fanya kazi yako, mwamposaa saf anatuponya kwa jina la yesu, na wew ipo siku utamkimbilia ndio mtajua...huchok kumsema mtumish wa Mungu, na hana mda na watu kama nyie..injili lazima ifike sehem zote kupitia mwamposa mwamba
Mwehu kweli
Neno la mungu siyo ushindan hoteli inakutoa roho nabado atafanya mambo makubwa kuzid hiyo hotel unayo ijua ww na ww kafanye maji ya kislam
Kwenda 😄😄😄
Mbwa wew
Mzee mazinge umenena leo ukweri mini mkristo ila hapo safi
Wewe ndo tapeli unamatatizo ya akili acha wivu
😂😂😂😂😂😂 eti mtume mnyakyusa mtume anajenga hoteli!!!😂
😂😂😂
Hata ww ni tapeli pia.
Wew je
Tapeli ni ww
Mazinge panbana na DINI yako isiyo na mwelekeo,na wewe ukitaka kajenge hoteli kama una pesa,unaskini umekuzidi Acha wivu.
Unamuhubiri mungu ama unaimba taarabu tumezoea vjrmbe kwenye taarabu sasahapo vijembe vyanini???ulimwengu mzima umemuona mwamposatuuuu km anatapeli nawe tapeli ujenge hoteli inayokuuma mbn Mnawivu hivyo????? Tunachojuasisi nikupona ya hoteli ya kanzu yako hayatuhusu muhubiri mungu ww Kwani wwe nani anajua ukweliwako???? Achawivu
maji au mafuta yapo kwenye biblia mwamposa endelea kupiga injili hadi shetani ashangae waache ambao wapo kwaajili ya kuichambua injili mm napokea upako
Pokea ujinga huo
@@ushindiushindi5749 Bblia ipi unasema kanyanga mafuta acha kupotosha nipe mimi madiko kukujibu
WEWE MTUMISHI MASKINI, HUNA MAAJABU MTUME ANAPONYA WATU HADI WATU WAKO WANAPONA,WEWE UNA MAAJABU GANI AU MANENO NA HUSDA? MWENZIO YU NA DINI YAKE WEWE NI MAPAMBANO TU! UNASHANGAZA USHINDWE KWA JINA LA YESU.
Shekhe kuna swali kama waendesha vipindi watakufikishia wanauliza mdudu chungu wakat wa nabii suleiman walimuona akipita bas mdudu chungu akaawambia wenzake jaman ingie kwenye mapango yenu asije nabii akawakanyaga ,swali yule mdudu chungu aliongea kabila gani??wabillah tawfiq
Sasa shekh swali lako ni lipi hapo! Kwa sababu Kila mtu Timamu anatambua wadudu hawana ukabila kama sisi...Sasa sijajua ulitaka kuulije?
Aliongea kabila gani au lugha gani ?
@@arkasonlinetv2370 anauliza et yule mdudu chungu aliowaambia wenzake waingie katika mapango yao wakati nabii Suleiman anapita ni (kabila gani) Sasa hapo swali ni lipi?
@@MuslimChannelTZ nafikiri alikusudia lugha gani .cha kumsaidia nikua nabii Suleiman Allah alimpa miujiza ya kusikia lugha zote zinazoongelewa na wanyama na wadudu pamoja na miti
@@arkasonlinetv2370 Allah akulipe kheri inshallah
Jenga hoteli yako
Wivutu unakuuma mwamposa Hana kosa ananza na hudumayako na wewe
lahaula lakwata we mazige unaona wivu kisa hotel ??? jiandae mengine yanakuja utasema sana na bado
Aliye msomi siku zote apambani na mjinga hata shule ukwenda