WACHUNGAJI WAPAGAWA WALIVYOONYESWA YESU ALIVYOSUJUDU NDANI YA BIBLIA YA KINGEREZA . MAZINGE. KENYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 398

  • @yussufbagobago6707
    @yussufbagobago6707 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezimungu akupe maisha marefu she wetu H O Mazinge na walotangulia mbele ya haki M/mungu awape Nuru kwenye makaburi Yao Amiii

  • @ismilecheseremkip361
    @ismilecheseremkip361 2 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge you're the best may you live longer ALLAH TO BLESS YOU

    • @SylvanusNgutse
      @SylvanusNgutse ปีที่แล้ว

      Angekuwa best angemfikia pesa Mwampisa

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah jazzakum kheri mashekhe wetu najivunia sana kuhusu nyie

    • @SalumuSalman
      @SalumuSalman หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉 0:00 0:00 0:00

  • @BoyTuriey
    @BoyTuriey 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akujalieni pepo firdaus ameen 🤲🏾
    Mashekhe wetu ❤

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah Sheikh YAH-YA was very tallent in reading maandiko!! Nor one till now like him in reading [ Allah amlipe thawabu]

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah sheikh mazinge mungu akupe afya na umri mrefu

  • @PirfaImanipirfa
    @PirfaImanipirfa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Eeh !!! Mwnyz mungu mjalie mjaa wako mwisho mwema na umuingize peponi na si mwengine ila habib mazinge, ameufanya uislamu upendeze zaidi, na si mamlaka yake bali kwa nehema yako ww Allah 🤲🤲😭☝️🕋

  • @saidkinyogoli6611
    @saidkinyogoli6611 3 ปีที่แล้ว +63

    Said Ricco, Yahya Hosea, Mbwana Mohamed, Muhingo Allah awarehemu awasamehe makosa yenu Amin

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaaAllah sheikh mazinge Allah akusimamie naakupe umri mrefu

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 3 ปีที่แล้ว

      Aaaamin kwa soote jamian muslimin 🤲

  • @fadhanamunishi6220
    @fadhanamunishi6220 3 ปีที่แล้ว +14

    Mashaallah Allah amrehemuShekh Yahya

  • @mikatejunior1362
    @mikatejunior1362 ปีที่แล้ว +5

    Pumzika kwa amani shekhe yahaya

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 4 หลายเดือนก่อน

    Masha-allah since the life of sheikh Yahya

  • @AbdullatifSalum-c7r
    @AbdullatifSalum-c7r 7 หลายเดือนก่อน

    Allahuakbar

  • @bilalheri9055
    @bilalheri9055 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen thumaa ameen yaraabil alaamin Mungu Ampee jannah shekh yahya kumbe alishatangulia mbele za hakii na waislamu wote waliotangulia mbele za hakii Mungu awalaze mahali pema peponi

  • @mbarackkalinge333
    @mbarackkalinge333 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah nakuonba umuhifazi shekhe wetu yahya

  • @HashilElhamdan
    @HashilElhamdan 3 ปีที่แล้ว +11

    Allah amrahamu Yahaya na atukutanishe nae pepo ya Firdaous Insha Allah....

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah ibarik fiikum..Amin ya rabii

  • @musakutisha306
    @musakutisha306 3 ปีที่แล้ว +11

    Yahaya Allah akupe Jannah 😢😢🙏

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Yahaya, Said Ricco (Mungu awafutie madhambi yenu), mliipigania dini ya Allah Kwa nguvu kubwa!! Makaburi yenu yawe ni mabustani katika mabustani ya peponi!! Amen!!

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 3 ปีที่แล้ว +6

    Maashaa Allah Tabarakallah

  • @UrmminOmary
    @UrmminOmary 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe makazi ya firdaus sheikh yahaya

  • @faizajingu5933
    @faizajingu5933 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah wape dawa shehe mazinge Allah akuzidshie mema inshallah 🙏🙏🙏

  • @munzshabby4521
    @munzshabby4521 3 ปีที่แล้ว +2

    Good work masheikh wangu mola awabariki k

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +13

    Uislaam dini ya haki subhanallah allahu akbar

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s ปีที่แล้ว

    Mansha Allah

  • @SulainahMasika
    @SulainahMasika 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asalamualeikum warahamatulahiwa barakatuh S, ❤️ A, ♥️ W, ♥️ waisilamu nawakubali takibiri Allahu akibaru 😂😂😂😂

  • @pambatec
    @pambatec 2 ปีที่แล้ว

    Allah awahifadhi nyote mnaofanya juhudi za kuitangaza dini ya uislamu

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha allahy Mashekh wetu mungu Awaongoze katikamafundisho Munaowafundisha Awawenzetu ameen . Ken Juma Ameelewa lakn Anaogopa kusemaukweli Mbelezawatu . Uwezisema Yesu ni mungu Wataki yeye ni mwanadamu kama wengine . Kaulizwa Kama yesu Ni mungu Je Alipokua Tumbona Mwa mariam Je mungu wake Mariam Nae Alikua nani Akaogopea kujibu lakn wameelewatu

  • @fathimabh1487
    @fathimabh1487 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah mwennyezi mungu amrehemu alifanye kabri lke liwenanuru inshaa Allah 😭

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว +4

    kazi nzuri jamani rudisheni mihadhara raha kweli

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s ปีที่แล้ว

    Mazinge nakupenda bure wew umeufanya w'islam upendeze zaidi

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge uko juu baba💪💪💪

  • @saidbrek9817
    @saidbrek9817 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah awasamehe awarehemu awape pepo Ameen

  • @aligmoha9015
    @aligmoha9015 3 ปีที่แล้ว

    Maa sha allah.zamani sana callif Nairobi

  • @saidaali3818
    @saidaali3818 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah Islam ni dini ya haki

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s ปีที่แล้ว

    Allah azidi kuapa afya ma professional

  • @naamanomarimohamed9364
    @naamanomarimohamed9364 2 ปีที่แล้ว +1

    Amin Thuma Amin

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallhaaa allha awalehemu

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 3 ปีที่แล้ว +1

    maashaALLAHu wahadhiri we2 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @PiliMohammed-d7t
    @PiliMohammed-d7t ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @moviekaa
    @moviekaa 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge kamvuruga pastor 😂😂😂 safi sana 👏👏👏

  • @bilalheri9055
    @bilalheri9055 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amjallie shekh Mazingee umri na afya njema

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah masheikh wetu mungu awajalie na afya njema nguvu nyingi ili mzidi kutangaza dini ya haki

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 8 หลายเดือนก่อน

    Mazingeeeeee

  • @Adamu-u9t
    @Adamu-u9t ปีที่แล้ว

    Shehe sulaiman nkata

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa Shaa Allah, Shukran Ma Sheikh.

  • @maryamsaidmuhammad7761
    @maryamsaidmuhammad7761 2 ปีที่แล้ว

    Shehe mazinge Allah akupe nguv ,afya njema na uzd kuwapa elimu ya Allah

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 4 หลายเดือนก่อน

    It was a very attractive debate

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +12

    Yahaya pumzika kwa Amani Allah akujalie janna

  • @harethojelle6485
    @harethojelle6485 2 ปีที่แล้ว

    Manshaallah Mahabibu wetu we are proud of all of u

  • @shabanathuman6848
    @shabanathuman6848 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah awarehemu

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awaifadhi pema peponi inshaallah Amiin

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mashekhe zetu Allah awatunze awape mwisho mwema

  • @AliMohamed-ny2op
    @AliMohamed-ny2op 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akujazie hasanaat nyingi shekhe letu

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akulipeni kwa juhudi mzifanyazo. Tuko pamoja inshaAllah

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว +3

    This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA

  • @PirfaImanipirfa
    @PirfaImanipirfa 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awajalie ma sheikh wangu imani petro, Yahya na wengine wote upesi ktk makaburi yao😭😭😭😭🤲🕋☝️

  • @marrymwacha9262
    @marrymwacha9262 2 ปีที่แล้ว

    Allah hawarehem

  • @jesmirmohamed3467
    @jesmirmohamed3467 2 ปีที่แล้ว

    yahaya Allah akupe jannah inshaallah kutoka kenya

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 3 ปีที่แล้ว +13

    I miss Yahya alot, Allah amrehemu

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 ปีที่แล้ว

    poleni sana wakristo

  • @Junior-rl2hj
    @Junior-rl2hj 3 ปีที่แล้ว +5

    Mazinge oyeeeee

  • @apangomombasa9230
    @apangomombasa9230 3 ปีที่แล้ว +2

    MA SHA ALLAH

  • @mudichezo8127
    @mudichezo8127 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awarehemu wote walitangulia

  • @ashaomary5558
    @ashaomary5558 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainailah rajiun

  • @YusufKithi
    @YusufKithi 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa chunge sana na hiv vitabu vya dini hapo ndo kwenye mtihani kwani tutaingia motoni kwa ujinga wetu wenyewe, hivi mwenyez mungu Alishindwa kutufanya ss bnadam kua kitu kimoja,rangi moja,imani moja ila kuna watu watafaulu kwenye huu mtihani nae ni yule alietenda mambo mema na yakumpendeza Allah .(Good deed's.vyenginevyo n bure

  • @adamjumaaa1521
    @adamjumaaa1521 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @abdidude4167
    @abdidude4167 ปีที่แล้ว

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 ปีที่แล้ว

    Allah amrehem shk yahya

  • @ghulamyassintv4825
    @ghulamyassintv4825 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @mabaazizitigermnyama5254
    @mabaazizitigermnyama5254 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah 🙏🙏🙏🙏

  • @ابنعثمن
    @ابنعثمن 3 ปีที่แล้ว +8

    Wakristo wana hila sana,toleo la zamani Luka 4:8 limeandikwa "msujudie bwana Mungu wako...."
    Toleo jipya wamerekebisha wamelitoa neno "msujudie" wameandika "utamtumikia bwana Mungu wako...."
    Wamefanya hivi kwa sababu neno kusujudu linatupa nguvu Waislamu kuwa sisi tunasujudu,hao hawasujudu.

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 3 ปีที่แล้ว

      Rashid dini isio yako unaizungumziaje?
      Hujui msingi wake wala maana yake,unchojua ni dini ya haki,hta haki yenyewe huitambui,akili yako imeenda wapi?

    • @ابنعثمن
      @ابنعثمن 3 ปีที่แล้ว +1

      @@isaacsengunda3099Nikuulize wewe akili yako imeenda wapi mpaka unafuata dini ambayo kila kukicha kitabu chake kinatiwa mikono??
      Nilidhani utaamka.kumbe ndio kwanza unavuta shuka!

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 3 ปีที่แล้ว

      @@ابنعثمن kitabu gani kinatiwa mikono,,
      Wewe ymeshikilia lugha tu,na hata kusoma hujui,umebaki kusubiri usomewe na waarabu,wakudanganye ukajitoe muhanga,ujinga huo,mara IS,BOKO HARAMU,JANJAWID,TALEBAN,nk,,nk,,huo ni ujinga na ushenzi

    • @saramss7262
      @saramss7262 3 ปีที่แล้ว

      Rashid liangaliye vizurii Tena

    • @saramss7262
      @saramss7262 3 ปีที่แล้ว

      @@isaacsengunda3099 hawaa waabudu majini hata muongee Nini hio CIO DINI HATA MSEMEJEEEEE YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU

  • @salehaltooq5829
    @salehaltooq5829 3 ปีที่แล้ว

    Allahumma ameen

  • @ismailmustafa2649
    @ismailmustafa2649 2 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum ? BAraka LLahu fiikum
    Salamui zetu toka hapa Hoima Uganda nikikumbuka wakati mulipo tutembeleya miaka ya 1990s

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 ปีที่แล้ว

    Mkristu kamili habishani Kwa sababu akishaamini kuwa Yesu ni Mungu mengine hayana nafasi.Hao sio wakristu

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli hakuna niliekua nampenda kama yahya allah ampe pepo namkumbuka sana naninamuombea mazige allah aendelee kumuweka hai nakumpa afya njema yeye na familia yake

  • @SuphianiKaoneka
    @SuphianiKaoneka ปีที่แล้ว

    Ustdhi majini

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +1

    Saimu Gwao Umafaa sana kusasupportiwa

  • @livingstoneberege3348
    @livingstoneberege3348 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH SIYE MUNGU

    • @omarymsagati2588
      @omarymsagati2588 3 ปีที่แล้ว

      toa andiko

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 ปีที่แล้ว +2

      POLE Sana, Tatizo MUNGU wako ni Binaadamu na ALLAH siye Binaadamu wala KIUMBE chochote na HAZAI wala HAZALIWI wala hana Mama wala bibi wala Babu.

    • @livingstoneberege3348
      @livingstoneberege3348 3 ปีที่แล้ว

      NINAMJUWA MUNGU KULIKO NINYI WAISLAMU NIPENI ANDIKO NDANI YA BIBLIA KUWA ALAH mungu WA AISLAMU NI MUNGA KUHUSU KUSEMA MUNGU WETU NI BINADAMU NI KWA SABABU YA UPOFU WENU KWAKUWA MAANDIKO HAMYAJUWI MNAJIFUNZA BIBLIA KWA SABABU YA KUPINGA WALA HATAKI KUELEWA (YESU NI MUNGU ) MWANADAMU NIYE MFANO WA MUNGU WALA SIYO MUNGU NI MFANO WA MWANADAMU mwanzo 1;28-28. waebrania 1:1 -3 wafilipi 2;6-9 yohana 14:7-10. 1timotheo 3; 16 luka 24;25-28. yohana 17;4-5 Ezekiel 34:11. malaki 3;1-2

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 ปีที่แล้ว

      @@livingstoneberege3348 USIKU mwema.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 ปีที่แล้ว

      @@livingstoneberege3348 🤣🤣🤣IMANI Ni HATARI SANA.

  • @kameliaalbusaidy5459
    @kameliaalbusaidy5459 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaALLAH ma shekhe wetu. ALLAH Awazidishie hiyo ilm na kuwafundisha wenzetu the right path. Naomba kama itawezekana hizi video clips zikamilishwe. Zinamalizika kabla hamjamaliza kuongea hii mada. Inatuacha kutaka kujua nini matokeo yake ya mwisho

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalipe kheir na hawasameedhabi zao waliotangulia mbele ya Aki , ayabadilishe mabaya yao kuwa mema

  • @masamasa2387
    @masamasa2387 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar

  • @JamesMatiko-i2z
    @JamesMatiko-i2z ปีที่แล้ว

    Sii kila mchungaji au askofu, aliye na uwezo wa kuwajibu hawa waislamu

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว +7

    Nilikuwa nikisikia Shee Mazinge akiwataja sn km Yahya, Ricco na wengineo na leo ndio nawaona ktk muadhara wa kitambo ktk TH-cam

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +7

    Wachungaji wamefeli kabisaaaa

  • @dullahgsm1002
    @dullahgsm1002 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Othman Mazinge
    Mimi najiuliz huyo Kennedy juma yupo hadi leo uyo alovaa suti

  • @msellemkassim2515
    @msellemkassim2515 2 ปีที่แล้ว

    Nyakati 2-7-3.

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Mtu na ni Mungu pia.
    * Mkristo kamili KAZI yake sio kubishana kwani anajua hata eweje Yesu ni Mungu*

  • @chidik3284
    @chidik3284 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @hajirinibakari25
    @hajirinibakari25 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh mazinge kunajamaa anachafua hali ya hewa kwenye tv ya davista mata anapotosha. Juu ya uislamu anadai alsha kua sheikh sasa maneno anayo yaongea anapotosha kweli kweli

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka gani hii

  • @issandayishimiye6247
    @issandayishimiye6247 3 ปีที่แล้ว

    L islam est ma religion

  • @YusufKithi
    @YusufKithi 4 หลายเดือนก่อน

    Zama hizi dini ndo zimebaki lkn imani hakuna imebaki tu masilahi si kwa wacristo wala waisilam

  • @ntandumathayo3257
    @ntandumathayo3257 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwahio waislamu mmeamua kumuhubiri yesu

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      Wanamhubiri kwa jinsi yoyote na hawapokei nguvu

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 2 ปีที่แล้ว

      wameamua kumuhubiri yesu kukwakua wakristo hamna zaidi ya kuimba kwaya na miujiza ya uongo

  • @kamanjamwenjerwa7032
    @kamanjamwenjerwa7032 3 ปีที่แล้ว

    AFADHALI NIABUDU MBWA KULIKO KUABUDU ALLAH NA KUMFUTA MUHAMMAD

    • @hassansaleh9730
      @hassansaleh9730 3 ปีที่แล้ว

      Allah akusamehe kwa hayo maneno mazito, Allah akupe uongofu wakutambua njia ya haki🙏

    • @kamanjamwenjerwa7032
      @kamanjamwenjerwa7032 3 ปีที่แล้ว

      @@hassansaleh9730 Muongofu ni Mohammed na ALLAH. MALAYA WAKUBWA ALLAH NA MUHAMMAD

    • @hassansaleh9730
      @hassansaleh9730 3 ปีที่แล้ว

      Hata kama humkubali Allah na mtume wetu basi si adabu mtu wa dini moja kitukana mitume na mungu wa dini nyengine, na vip unaemtukana akawa ndo mungu wa kweli na haki?? Unahis utakuw umetenda haki kwa hilo?

    • @kamanjamwenjerwa7032
      @kamanjamwenjerwa7032 3 ปีที่แล้ว

      @@hassansaleh9730 KWETU WAKRISTO HATUTAMBUI MUHAMMAD.
      MUHAMMAD SI MTUME WAMUNGU
      NAHESHIMU MITUME WOTE WAMUNGU.
      LAKINI ALLAH NA MUHAMMAD KUMAMAZAO WAKWENDE WAFIRANE WAWILI

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa angekuwepo Christian Prince pangekuwa bomba sana

  • @msellemkassim2515
    @msellemkassim2515 2 ปีที่แล้ว

    Mathayo 21-12

  • @SalimHamad-so3ns
    @SalimHamad-so3ns ปีที่แล้ว

    A

  • @mwesi527
    @mwesi527 ปีที่แล้ว

    Alianguka akubon,goa