DEBATE | Sheikh Mazinge Jibu Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 193

  • @hajathhajiselemani3019
    @hajathhajiselemani3019 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah sheikh wangu nimpendae kwa ajili ya Allah,,,,sheikh mazinge I love you from the moon and at the back sheikh

  • @hassanmohamedi7585
    @hassanmohamedi7585 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashaallah sheikh Mazinge mwenye mungu akupe umrii mrefu uendelee kuitangaza Dini haki na ya kweli hakika mkristo mwenye ufaham na kujua baya na zuri akikuskilza atajua kweli ni ipi

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +20

    Mungu tuwekee mazinge.. Kiboko ya makafiri

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 3 ปีที่แล้ว +16

    This time around professor Mazinge we are watching you from Lusaka zambia, it's very interesting professorجغق ،you making us feel okay, you make us grow in loving Islam

  • @hassansumera7818
    @hassansumera7818 3 ปีที่แล้ว +13

    Professor toa lecture wataelewa tu. Allah akupe umri mrefu tuendelee kunufaika zaidi kizazi Hadi kizazi.

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 3 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah TabarakaAllah i love this professor, i remember watching him since 1996 in mombasa Kenya when he use to come, Allah anijaliye to invite him n to be my VIP guest.

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 3 ปีที่แล้ว +10

    Mazinge Allah akupe umri mrefu na hekma ya kupambana na hawa makafiri

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว +15

    yaaan mazinge wallah nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @bahatisaid5435
    @bahatisaid5435 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah tabaraka Allahu Akibr ❤️ mazige Allah akuhifazi wallah

  • @kochantv8554
    @kochantv8554 3 ปีที่แล้ว +7

    Wallah Dr mazinge nakupenda kwa Ajili ya Allah🙏

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 ปีที่แล้ว +6

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mazinge Allah akujaalie uhai mrefu wenye manufaa kwetu nakwako pia

  • @tatumbaruku2727
    @tatumbaruku2727 ปีที่แล้ว

    Mashallah ustadh mazinge ,Allah akujaze afya njema uweze kuutetea uislamu daima.

  • @fatumamuya2139
    @fatumamuya2139 3 ปีที่แล้ว +4

    Maa shaa Allah shukran wote mlioshiriki

  • @alilalila5035
    @alilalila5035 2 ปีที่แล้ว

    MA Sha. ALLAH. MAZINGE. ALLAH. AKUPE. AFYA. NA UZIMA Aameen

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaah Allah ukupe umli mlefu shekh wangu mazinge na a2pe mwisho mwema inshaallah

  • @samxx411
    @samxx411 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama football, Mazinge ni Ronaldo na kama wrestling Mazing ni John Cena (Anajuwa hadi anakera) Mungu akuzidishie

  • @hassanounAbdul
    @hassanounAbdul 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah alhabib Ust.prof Othman Mazinge Allah akulipe kwa Kila utoapo na uvutapo pumzi yake ❤

  • @ahmedabdirustu2193
    @ahmedabdirustu2193 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah sheikh Mazinge barakallah, unaeleweka kabisa, Anaye taka haki, Haki hii hapa.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 ปีที่แล้ว +11

    MAZINGE wallahi Allah akubariki Sana!

    • @salumunanguva9127
      @salumunanguva9127 3 ปีที่แล้ว

      Mazinge

    • @hirammbugua7593
      @hirammbugua7593 3 ปีที่แล้ว

      kwanini mazinge ndiye anaongea tu na ni kuongea na kujibu.waislamumko na ujanja furani.

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu ni Bwana, ni Mungu ni mwana ni mtume ni Mchungaji ni mwalimu na yote katika yote

  • @MkBoneface-dl4hn
    @MkBoneface-dl4hn ปีที่แล้ว

    Allah akujalie maishabora duniani Na ahera profeca mazinge

  • @thomasalchannel1135
    @thomasalchannel1135 3 ปีที่แล้ว +3

    Yesu Ni Mwana wa pekee wa Mungu;nasi Ni Mfano wa Sehemu za mwili wake kwa kuwa Yeye Ni kichwa nasi viungo.Waisilamu fahamuni Hilo.Yusufu Ni Baba Mlezi wa Yesu.Amin Amin

    • @jumanasoro8903
      @jumanasoro8903 3 ปีที่แล้ว

      Hujitambui

    • @fatumabakari1480
      @fatumabakari1480 3 ปีที่แล้ว

      Mung amezaaa Wap broo Thom😂😂😂

    • @hadiyamohamed594
      @hadiyamohamed594 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni binadamu kama mimi na wewe slivyoubwa ila kspewa unabii .

    • @thomasalchannel1135
      @thomasalchannel1135 3 ปีที่แล้ว

      Mungu hazai kwa mwanamke huzaa kwa NENO.Kabla ya misingi ya Dunia(Issa) apo na Mungu Baba

    • @athumanzahir8316
      @athumanzahir8316 2 ปีที่แล้ว

      Nyie mnabisha waislam hawampend yesu

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe afya na umri mrefu professor

  • @nassarrostom1919
    @nassarrostom1919 3 ปีที่แล้ว +7

    Mazinge unatetea dini ya Allah ❤❤

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Mungu wetu sisi hana dini,yeye huiangalia lmani ya mtu juu yake tu.
      Dini ni Mpango wa MWANADAMU ili kumtafuta MUNGU.
      Mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu ni WOKOVU tu!!

    • @nassarrostom1919
      @nassarrostom1919 3 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 ivi mpaka Leo ujui dini gani ya kweli,? Polee

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@nassarrostom1919 Kwa Mungu hakuna dini,kuna Imani.
      Imani ya kwanza duniani ni Christianity.
      Ukristo upo duniani toka miaka ya 200,na hiyo dini yako imeanza miaka ya 600.
      Labda nikupe definition ya Dini;
      DINI ni mpango wa mwanadamu ili kumtafuta MUNGU,lakini mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu ni WOKOVU..
      Sasa Ukristo siyo dini ni IMANI,sasa wewe kama unadhani dini yako itaku fikisha MBINGUNI,wait and see👀.
      Imani ni AMANI na UPENDO lakini dini ni VITA na CHUKI kati ya wanadamu,mna tabia yenu kwenye hiyo unaayoiita dini ya kweli,kuua watu wasio na hatia eti ndio unaenda ahera. Wonderful!!!
      Eti uue mtu uione mbingu mbona ni formula ngumu ya kishetani??
      Badilikeni Mungu anaangalia IMANI ya mtu na matendo yake,pia jinsi mtu anavyozishika Sheria na Amri alizoweka tu.
      Hayo mengine ni yenu watu wa dini.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@nassarrostom1919 problem is that Mungu hana dini

    • @nassarrostom1919
      @nassarrostom1919 3 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 Kwani ukristo ni nini!

  • @deqamoha7001
    @deqamoha7001 3 ปีที่แล้ว +10

    Umewaosha Hawa mazinge

  • @halinishibakari5402
    @halinishibakari5402 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalinde mashekhe wetu muzidi kupambana nao hao makafiri

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 ปีที่แล้ว +7

    Mazingue frofessa kwa waubir

  • @ngusacharles475
    @ngusacharles475 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Debate hii Sana Hawa jamaa wanaondoa chuki za Udini na ni faida kwa taifa,,letu.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 ปีที่แล้ว +4

    Professional mazinge

  • @modinakshy6276
    @modinakshy6276 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah inshaallah watafamu tu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +3

    shekhe mazinge 🥰🥰🥰kiboko ya wakiristo

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallhaaa

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 3 ปีที่แล้ว +8

    Masha allahy Baba mazinge Wamekuelewa

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 3 ปีที่แล้ว +5

    Ndacha Kaa chini kabla hujakutana na mazinge huwezi kumshnda mazinge maana anatetea dini ya haki

  • @Catherine-s4x
    @Catherine-s4x 2 หลายเดือนก่อน

    Allah amuwekeye wepesi mazinge anabaweza kweri kweri

  • @MkBoneface-dl4hn
    @MkBoneface-dl4hn ปีที่แล้ว

    Allah akubariki kwakazi kubwa unaifanya mazinge

  • @rajabhamis8272
    @rajabhamis8272 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge Allah, akupe mwisho mwema na kauli thabiti,,

  • @selemanendemangandemanga
    @selemanendemangandemanga 4 หลายเดือนก่อน

    Big up PROFESSOR Mazinge.

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah sheikh mazinge

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shekhe mazinge

  • @salehsuleiman8519
    @salehsuleiman8519 3 ปีที่แล้ว +3

    She mazinge jinsi ninavokupenda nataman siku moja tuonane Allah akupe afya njema

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahahaha wallah asie kuelewa Mazinge huyo hana FIGO

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah big bro mazige

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps ปีที่แล้ว

    Mazinge mashaallah wafunze ❤❤❤❤

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallaah Allhamdullaah

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @leadyl5757
    @leadyl5757 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu juuuuuu

  • @halinishibakari5402
    @halinishibakari5402 2 ปีที่แล้ว +1

    Vidume WA Allah.Allah awalipe.

  • @mastermacheni932
    @mastermacheni932 3 ปีที่แล้ว

    Yes yes yes yes

  • @hirammbugua7593
    @hirammbugua7593 3 ปีที่แล้ว +2

    kwangu mimi mazinge hana point. ni ujinga tu.

    • @hadiyamohamed594
      @hadiyamohamed594 3 ปีที่แล้ว

      Huyo ni professor Dacha wenyewe anapikwa 🤣🤣🤣

    • @alsamali6964
      @alsamali6964 3 ปีที่แล้ว +1

      Toa point ww bc

  • @Bimariam-qn2gm
    @Bimariam-qn2gm ปีที่แล้ว

    Download

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza หลายเดือนก่อน

    😮mazinge ulamaa wa

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa nini inaharibika sauti pindi akismama bwana mazinge?????..

  • @maukadekandege6617
    @maukadekandege6617 3 ปีที่แล้ว

    Ila hii midahalo mnajichanganya sanaaa

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m ปีที่แล้ว

    Mazinge waeleweshe ma a na hawajui kiswahili

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 ปีที่แล้ว +1

    Naon kuna mdada kasmama hapo hat haon haya najisket lake 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tinnoaugusto7779
    @tinnoaugusto7779 3 ปีที่แล้ว +2

    Shida n kwamba Biblia Ina mafumbo mazito ambayo n magumu kuyaekelewa kirahisi... Shekeh anatafiri kilaini tu sio kitabu Cha hadhi hiko... Em fanyeni hiyo midahalo na watu waliosomea SoMo la Biblia takatifu sio na walio kariri tafadhali

    • @fatumabakari1480
      @fatumabakari1480 3 ปีที่แล้ว +1

      We ndo huelew sa Ina mafumbo gan mnagusaa Gus tu mnaruka mambo

  • @fatumabakari1480
    @fatumabakari1480 3 ปีที่แล้ว +1

    Akii nyiee tuwaombee ndug zetu makufar Allah awaongoze coz Ile itakapofika khalidiina fiha abaada n mtihan 😩😩😩🤲🙏

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      Hivi wakristo ni ndugu zetu?. Nielimishe

  • @jumashabani8474
    @jumashabani8474 3 ปีที่แล้ว +1

    Muone huyo dada alivyo vaa hata mshipa wa haya hana duuh au ndio Rohomtakatifu yumoyoni

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwanamke mbele hapo anafanyann

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤸wahubir wa kikirsto

    • @ummuswaleh6550
      @ummuswaleh6550 3 ปีที่แล้ว +1

      huyo mwanamke mwambieni aondoke hapo yupo uchi

    • @ummuswaleh6550
      @ummuswaleh6550 3 ปีที่แล้ว

      mazinge tanga sehemu mpo?

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 3 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 na mskert wake hata haya haoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anawap nguvu mapastor wao

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      @@suleymanally4729 toka lini mwanamke wa kikitisto akawa na aibu 😂😂😂😂😂

  • @suedahmadi9091
    @suedahmadi9091 6 หลายเดือนก่อน

    Iko njia ionekanayo njema machoni pa mtu lakini mwisho wake ni njia za mauti

  • @Rashidi-zt9wj
    @Rashidi-zt9wj 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ana pwent na ajawahi kujibu swali tokea nianze kufatilia mihadhara uwa analopoka tu uyo ndacha na sidhani kama aliwahi kwenda hata shule

  • @johnayanga9880
    @johnayanga9880 3 ปีที่แล้ว +1

    Huna la kuamba si adi Quran iansema Isa alizaliwa bila baba

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 ปีที่แล้ว +1

    Itakua mapacha

  • @amblozambloz8812
    @amblozambloz8812 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mazinge mnafiki alihaidi kubatiza kama kuna Aya ukristo ni dini... Alipewa na kitu alichofanya ni kunyamaza kumblock mwalimu ndacha kila mahali ndio wasikutane naye kwa mtutano yeyote

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini anaitwa Issa Bin Mariam na asiitwe Issa Bin Yusuf? Kwa hiyo kwa mujib wa Qur'ani Mariam ni mama wa mtoto na baba wa mtoto? Kama ni hivyo Issa baba yake ni nani?

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 3 ปีที่แล้ว

      Na mie nnakuuliza Nabii Adam baba yake ni nani?

    • @fatumabakari1480
      @fatumabakari1480 3 ปีที่แล้ว

      Isa amezaliwa bila baba😂😂

  • @adammj6258
    @adammj6258 ปีที่แล้ว

    Hadi hapo bado tu hamstuki!!?

  • @kashindiidi8259
    @kashindiidi8259 3 ปีที่แล้ว

    Debate ambazo ampost na za wa kristo! Ni vizuri mna post zote ili tujuwe oja

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mwanmke mm nilijua dume kumbe jike mwandishi au mchukua kamera t

  • @CharoHarrison
    @CharoHarrison 11 หลายเดือนก่อน

    Uislam dini ya shetani

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Hubirini Quran,kama ww unajua, nenda Vatican ambapo ndicho kiini Cha ukristo

  • @yohanekitenge
    @yohanekitenge 3 หลายเดือนก่อน

    jambo ninyi hote wapendwa

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza หลายเดือนก่อน

    Ndacha mbishi kama

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge unashangaza sana,yaani wewe na ushehe wako unashindwa kuelewa kuwa YESU ni Mungu??
    Hata wewe ni Mungu au hijui??
    YESU ni MUNGU na haibadiliki,na pia kwa utoto pia ni mwana wa MUNGU na hata wewe ni mwana wa MUNGU.
    Vyeo hivyo unavipata ukikubalika na MUNGU mwenyewe kwa kufuata amri na sheria za MUNGU.

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 3 ปีที่แล้ว

      Sasa yesu kama ni mungu nani ku
      Kamuumba mama yake Mariam aca ujinga wewe tumikusha akili Mousa na yesu na kaja mbele

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzafishten9560 Mjinga wewe usiyeijua KWELI ili ikuweke huru.
      Pmbvsnxsz👹😈👺🙀💀💩

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzafishten9560 You don't know even writing.

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 3 ปีที่แล้ว +2

      You to u don't know what u believe wewe ni mswaili aca kijifanya kama wewe ni mzungu ongea kiswaihil kafiri wewe

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzafishten9560 Kafiri atakuwa wewe,mwenye imani ya mashetani na malaika zake,kuzuri zaidi l know what l believe and end of my journey.
      So l don't care whatnyou'll say about my Faith,so get lost with your religion👹

  • @qerysir4410
    @qerysir4410 3 ปีที่แล้ว

    Not impressive 🤪🤪

  • @seifmziray2551
    @seifmziray2551 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashalakh