SISTAHILI MSAMAHA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มี.ค. 2023

ความคิดเห็น • 45

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 ปีที่แล้ว +4

    Anko Jy asant sana adisi yamafunzo mwisho waumbaya ni ayibu Musfaf mujinga ipuuuuu

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +4

    Asante anko Jay 🤩🤩🤩🤩

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 ปีที่แล้ว +1

    Anko jay Simulizi mzuri sana always number one we❤Asante

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kisicho n mwisho, n mabaya ulipa kwa mabaya pia wema kwa mema,shukrani Anko

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli maamuzi yako ni matokeo ya mwisho

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +3

    Hi Anko Jay?asante Anko Jay nainjoi kabisa 🤭😂 Mungu akumbaliki sana 🙏

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho wa ubaya ni aibu simulizi tamu ❤❤❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤ Asante sana Anko Jay kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo mengi sana 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @saddamrashidi-xq9rx
    @saddamrashidi-xq9rx ปีที่แล้ว +1

    Unayastahili hayo yote Mustafa😔😔

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 ปีที่แล้ว +1

    Sophia mjinga kweri sana

  • @hassanhawa9954
    @hassanhawa9954 2 หลายเดือนก่อน

    Experience is the best teacher in life

  • @hnaf6279
    @hnaf6279 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana uncle

  • @dorocasndunge1829
    @dorocasndunge1829 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana muko poa

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +1

    Malipo hapa hapa Duniani

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +3

    Sophia una moyo mi siyawezi 😊

    • @justinebitariho1129
      @justinebitariho1129 ปีที่แล้ว +1

      Kachezea kichapo mpaka katia talaka tatu mara moja!!! Uwiiii.... acha tu nicheke😛😛😛

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz ปีที่แล้ว +2

    Sophia ni mke mjinga sana 😢😢😢😢

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +1

    Tunainjoi tuu na simulizi tamuuu 🥰🥰🥰anko jay mwenyewe

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Sophia
    Umekataa utumwa wa mapenzi

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 7 หลายเดือนก่อน

    Simulinzi nzuri ❤

  • @mahirgeri7682
    @mahirgeri7682 ปีที่แล้ว +1

    Mh uko vizuri San anko j

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +2

    Nikizurisana hichi kisa

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +2

    Kinafunza pande zote

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +2

    Asate sana simlizi mix ako j wetu ubalikiwe sana

  • @Marykemunto-wy4qm
    @Marykemunto-wy4qm หลายเดือนก่อน

    daaaah Kali hiyo kumtenda mwanamke wako hadi mama yako wa kukuzaa😮😮 jamani kweli usistahili msamaha hata wa kiumbe chochote dunia hii jinga sna weeh.

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 ปีที่แล้ว +1

    Aisee watu wanawahii

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Mustaph kalishwa Limbwata

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 ปีที่แล้ว +1

    Anko.j❤❤❤

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 ปีที่แล้ว +1

    😋😋🙏🎧

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Dah inaniuma😔
    Pole soph🤔

  • @bashirushabani6726
    @bashirushabani6726 ปีที่แล้ว +1

    Unajua San bro anko

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +1

    Tusonge zote Kwa pamoja

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว

    Aki kuna wanawake wana roho 🥲😢😥 doo kama ni mimi nafa maskini lakini huo ujinga siwezi hata na pesa piya wacha ikae mimi ni maskini jeuri bwana Lo 😢😢😢

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +1

    Asiye funzwa na mameye hufunzwa na ulimwengu

  • @margaretmabishi8297
    @margaretmabishi8297 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wengine ovyooo

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 ปีที่แล้ว

    😢😢😢❤❤❤❤

  • @user-wp4sk2hn1f
    @user-wp4sk2hn1f 4 หลายเดือนก่อน

    Yani hadi sheko😂😂huyo mwanaume nihatali

  • @SaraUmalila
    @SaraUmalila 6 หลายเดือนก่อน

    Sophia hana akili jaman du ningekuwa ndomm

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 ปีที่แล้ว +1

    Kitu kipya jaman nime wahi kiasi leo ntarudi kukomment one love wana simulizi mix 💙💜💚.

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Bora kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtumwa😔

  • @slyla2565
    @slyla2565 ปีที่แล้ว +1

    Tusonge wote Kwa pamoja

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Mwanakulitafuta
    Mwanakulipata 🤔