SIMULIZI FUPI: MAPITO YA FLORA, By Anko Jay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2023
  • Matatizo tumeumbiwa binadamu, mda mwingine wengi ukata tamaa kabisa kwa fikra za kwamba wao ndio wenye manyanyaso na mateso tu.
    Karibu usikilize simulizi Hii upate kujifunza

ความคิดเห็น • 144

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +17

    Siku zoote binadamu ndiyo wanaoturudisha nyuma kimaisha kumuomba mungu na yatapita 🥰🥰🥰🥰

  • @jawahirkahinmadar1459

    Mjinga eti nilimwacha mtoto mchanga pekeake lo

  • @jamlihbashir2660
    @jamlihbashir2660 ปีที่แล้ว +5

    Inatufundisha usimtendee mwenzako mabaya.hujui wewe mungu amekupangia nn baadae.tuweni makini na mioyo yetu

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +2

    We ukiamua kufanya uovu wako Mungu anakuvutia pumzi muda mrefu ili utubu,na ukizidi tu bila kubadilika,hicho kipigo utakachopewa utajua hujui

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 ปีที่แล้ว +6

    Simulizi nzuri sanaaa!❤ pia inasikitisha..😢 Anko j naipenda sauti yako,👌🏻 unasimulia vizuri! Mimi mshabik wako kutoka Zanzibar..👍🏻😉 tuko pamoja Sanaaa!!

  • @user-sp9tq8mq6q

    maripo ni hapa hapa dunia mbinguni ni maesabu tuu tupendane sana Sisi binadamu km mungu wetu anavyoo tupenda sisi ❤

  • @sheilanaliaka
    @sheilanaliaka ปีที่แล้ว +4

    Simulizi nzuri lakini inasikitisha kujua binadamu tuna roho ngumu sana

  • @AngelMongi-pc1ed

    Mateso ya mwenye haki ni mengi lakin Bwana humwokoa katika yote

  • @SheilaApondi-dn5lh

    Flora amepitia mengi tena nimvumilivu sana na ana moyo, mungu pia hakumuacha

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +3

    Hakika msaada wa wanadamu ni Mungu peke yake

  • @KelvinSamola-sl4ps

    Hongera xna kaka nimejifunza kitu

  • @DorcasMuomba-gd3sw

    Mungu ndiye mtetezi wawenye shida (maana wanadamu wanafurahia kuteseka kwa wengine ( Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humuponya nahayo yote

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +5

    Hi Anko Jay? asante Mungu akuzidie hafya Jemma Anko Jay tuna ❣️

  • @jumannemassegesse7270
    @jumannemassegesse7270 ปีที่แล้ว +3

    Anko jay wake weweeee Sasa hivi ni bandika nandua uwiiiii ,❤️❤️❤️❤️❤️

  • @SheilaApondi-dn5lh

    Mim binafsi napenda simulizi zako anko j na tena hua najifunza mambo mengi. Mungu akubariki! Kenya

  • @judithkithukaj3753
    @judithkithukaj3753 ปีที่แล้ว +7

    Nimefika Wa kwanza Leo hureee always waiting for notification❤❤❤lots of love from kenya

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +2

    Haya maisha haya Mungu atutie nguvu kwel ila yote yanawezekan

  • @AngelAgusitine

    😢😢😢😢😢 ilabina damu si tunalohoo mbaya sana pole sana dada

  • @MuzdatHashim
    @MuzdatHashim 21 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mpendwa

  • @MuzdatHashim
    @MuzdatHashim 21 วันที่ผ่านมา

    Heee mtihan kwa kweli jmn watu wana roho ngumu