ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
NITAOLEWA LINI: simulizi ya sauti.
ความคิดเห็น • 91
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
LOVE AND PAIN: SIMULIZI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 17K
MOYO MPWEKE: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 20K
BIG DADY: SIMULIZI YA KUSISIMUASIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 38K
ครัวไรอ่ะ! EP.190 : ทำอาหารตามหน้ากล่องohana clip
มุมมอง 749K
TAJI LA USALITISIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 18K
CHOZI LA MNYONGE. SEHEMU YA 01SIMULIZI TULIVU
มุมมอง 1.2K
TINA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 27K
DADA WA KAMBO: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 9K
NORAH; SIMULIZI FUPI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 14K
LUCY (rafiki wa utotoni) : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 24K
NATALIA ( PENZI LA GENERALI ) : SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA.Simulizi Mix
มุมมอง 219K
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZIAnkojay Simulizi
มุมมอง 49K
SIMULIZI FUPI YA SAUTI:" NA WEWE DANDASIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
มุมมอง 16K
ไม่ได้นอนมา 5 วันแล้ว - RobloxTOR Torpedo
มุมมอง 283K
Cool Items!🥰 New Gadgets, Smart Appliances, Kitchen Tools Utensils, Home Cleaning, Beauty #shortsCool Items Official
มุมมอง 19M
แมนเชสเตอร์ ยูไนเต็ด 0-3 ลิเวอร์พุล | ไฮไลต์เกมอุ่นเครื่อง ปรีซีซั่น Pre-Season friendliesbeIN SPORTS Thailand
มุมมอง 647K
Her Survival skills will Fry 🔪 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehackMarusya Outdoors
มุมมอง 35M
ผจญภัยสร้างเมืองรังกระดาษกลางน้ำ!! (พายุถล่มเมืองพวกเรา!!)OAUJUN HI-END
มุมมอง 978K
Shukran Anko Jay, Mwandishi na SM kudos kwenu nyote
Daaa simulizi nzuri sana yani mpaka machoz yanalenga sante sana SIMULIZI MIX
I'm no.1 thanks Smix kwa kibao chengine
Kiburi sio jambo zuri hatakama mtu kwenu kuna pesa cz heshima kwa mwanamme sio mpaka pesa bali ni heshima kwanza what a nice story
💯 true
Daah ni kweli nitaolewa lini jmn 🤭😅😅shukrani anko jay wetu 😍😍
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤sant kw simuliz yak nzr🌺🌺🌺nimejifunz kwel ank Allah awe nany🙏🔥🤗😍🇧🇮
But thank you simulizi mix for being with us every time and be blessed
Wow mashallah amaizing story big up uncle jay❤❤
Hongera samira kwa kupata mme na watoto
Daaah simuliz nzuri xaan jomon😘🥰❤️🙏🙏 na pia inafundisha xna asante anko j na mtunzi pia🙏🙏🥰
Bado nipo nipo kwanza 😂😂 asante sana msimuliaji mr.Anko jay ❤❤ tunaenjoy tu sana
😢
Asante Anko J kwa simulizi nzuri yenye mafundisho
Waaah tumejifunza sana shukran sana Mwandishi msimulizi Anko Jay na crew nzima ya Simulizi Mix muwe blessed tu sana
Anko jay 😊let m listen
Mm jaman nimechoka kuolewa ndoa tatu ndo mpaka najiogopa😊😊😊
Woww😊inafundisha sana pongez kwako mwandishi na msimuliz🥰
🎉asante sana anko jay 🎉🎉🎉🎉
Pole sana majivuno na pesa za kwenu na elimu yamekugharimu mno
thanks anko jay Nakupenda mungu aendelee kkuweka tena simulizii jina langu Recho achatusonge nayo nitarudi kucomment badae
Asante, ulimwengu ulikufunza dada,nivizuri lakini ilikua namwisho mzuri,
Asante sana sana Anko Jay kwa simulizi hii Bora ya maisha!
Asante simulizi nzuri sana
Hi Anko Jay?achakwa niikae Yan Anko asante kwakweli 🙌🙏
Asante sana anko j kwa simulizi tam ❤
Nitaolewa lini 🎉❤
Kwa kweli nitaolewa lini simulizi hii inahusu kwa kweli anko jay mwenyewe tunainjoi tu 🥰🥰🥰🥰
😂😂😂😁 ww shad bd unasugua hamam jmn usiwaz kuolew
Mbona inatuhusu wengi tu
@@fatmaalbahri1846 🤣🤣🤣tamaniii miee kuolewa kipenzi umri unaenda mbio sana🤣🤣huna kaka kipenzi aje anioe🤣🤣🤣🤣🤣
@@rahmamohamed6912 umeonaeee umri unaenda ndoa bado najiuliza ata jibu sina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂tupo wengi mpenz acha tuendelee kusugua hamam
anko j tena napenda sana saut yako
Wewe anko uko poa kwa simulizi❤❤❤
Safi Sana, simulizi tamu kabisa,
Nice ❤
Story nzuri ila hakuna minyanduano😂😂😂
Asante sana Ankojay ❤️🥳🎉🎉🎉🎉
Thank so much Anko jay ❤
Asanteee saaana anko j
Oh! Ma chère soit forte.. La prochaine fois ilfaut être serieuse.
Simulizi ni nzuri na imemalizika vizuri ila hujatuambia aliyekata utepe
Lisa mwala mbona Kimya mama tuletee kigongo napenda mno simulizi zako na zisimuliwe na Anko J tu
Thx ank jay😍😘
LISSA MWALLA tumekumis hukuu hatujaona simulizi bado 🥰🥰🥰
Umeonaee hd tunamuota
@@fatmaalbahri1846 Yaani anatuchelewesha LISSA na simulizi tamuu
Respect anko j 🙋♥️
Hiyo ni mtihani kweli nitaolewa lini
Safi sana🎉🎉🎉
Wadada viburi vinagharama hata kama kwenu kuna Pesa hazita kupatia furaha. Utu wema unyenyekevu ndio vinatoa heshima. Hata Mume na familia vinaanzia hapo. angeolewa na Bodaboda angepata furaha tu ameletea familia maafa sababu ya Kiburi tu. Big ups Anko J
Kabisa
Asante sana
Nami.nitaolewalini😂😂
Allahu akbar😢
unaweza kuwa na pesa na mali lakini usipate mapenzi ya kweli au ya dhati ndoa za wagaga siku zote azidumuji ndoa inayo dumu ni ya kutoka kwa mungu tuu
❤❤❤
Thanks
Anko jay please naomba nikutume kwa LISSA MWALA umlizee antufikiria ajee sisi madem wa gulf na wafuwasi wako wakubwa zaidi mimi huianza mwanzo hadi mwisho hata kama inasaa 10 huwa siiachii njiani ila nasonga nayenyewe hadi mwisho maana nilipo wakati wakulala nimchache mnoo ila mda mwingi niko macho hivyo simulizi nikila kitu kwangu pia stress hazipatikani simulizi zikiwemo
❤
❤❤❤❤
Dhaaas😢😢😢kwa kweli nitaolewa lini 🤔🤔🤔
Amakweli usimdharau mtu mana hakuna ajuaye kesho unaeza lala maskini uamke tajiri ama ulale tajiri uamke maskini
😂😂😂ila mawaitha ya marafiki usipo fikiria mara ya pili utasoma namba 😅atembee na mlevi si mtoto atakuwa mlevi pia
❤❤🙏🙏🙏🇰🇪
Jamani tumuombe mungu sana😭😭💔💔🙏🙏🙏
Ngoja niisikilize ila nakukubali San anko jjjjjjjjj
Wadada tujifunze kitu hapa
Nyie mnaulza mtaolewa ln wakat mkataba mnazdsha 😂😂😂😂
Mungu ni mkubwa
mwanaume km othman walaaniweeeeeee
Kumbe una kiburi mamy kisa pesa haya ebu niendeĺee kusikiliza
Nimemiss za lisa jamn mana hata kulala nachelewa
Hellow
Aki anko j unanipamba jinsi sauti ya mlinzi
Anko siyo kwa michapio hiyo
Maneno ya kwambiwa changanya na yako
😂😂😂
Wa 15 leo😂
Twende nalo samira ww😜😜😜😜
Anko j wapi lissa jamnii tumemmis
Majivuno ya kuringa na pesa za kwenu na elimu yamekugharimu mno
❤️❤️❤️