SIMULIZI FUPI YA MAPENZI: DUNIA HAINA HURUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2022

ความคิดเห็น • 133

  • @salamabwanamoya8746
    @salamabwanamoya8746 ปีที่แล้ว +3

    Simulizi mix Asante sana kwakutuleteya mafundisho bora

  • @rizikimagret9663
    @rizikimagret9663 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay thanks kwa simulizi nzuri kiu kweli nme jifunga kitu

  • @estajoramu7970
    @estajoramu7970 ปีที่แล้ว +4

    Daah stori inahuzunishaaa hasa kwa Andrew jamani 😭daah hakuwahi frahia maisha yake daah kila simu yeye piah herieth sijapenda yani umwache mtu unaempenda na kuondoka aseee hii mbaya n huyi selestini kweri wivu mmbay lkn yeye alikuwa n wivu mmbay acha tuishi mara 1 tufrahi mara 1 n kulia ni siku zote Mpaka kifo
    Big up sana uncle J ❤❤❤basi ulivoimbaa ni burudani

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 ปีที่แล้ว +2

    Mm sichukui

  • @jnsjonas6844
    @jnsjonas6844 ปีที่แล้ว +7

    Yaniii naskiliza simulizi nasahau mbaka kula
    Ongera kak.

  • @mwanamisihamisi6594
    @mwanamisihamisi6594 ปีที่แล้ว +2

    Shukran san kwa simulizi nzuri nimeipend sn

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +8

    Late bt never
    Wapi sisi wakupitia comments be4 tuanze kuskiza

  • @jnsjonas6844
    @jnsjonas6844 ปีที่แล้ว +3

    Ankoooo ankooooo j daaah unazitoaga wapiiiiiii simulizi Kali kama hizi. Weee kiboko kak

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee xaaan anko j kwa simuliz nzuri🥰🔥🔥

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว +1

    Yaani anko jay hichi kikundi n Celine Dion waah they are my favorite

  • @agnesnduku1193
    @agnesnduku1193 ปีที่แล้ว +5

    Harlet Hakumpenda Andrew Mbali Alikuwa Muongo Kama Angemupenda Angemusaidia Na Kuelezea Wazazi Wake Ili Wawenze Kumusaidia Andrew

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว

    Asante anko Jay

  • @majaliwaalfanealfaneclemen757
    @majaliwaalfanealfaneclemen757 ปีที่แล้ว +2

    Nitapokeya kaka

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +1

    AKO JAY mwenyew simuliz mix ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ngoja kwanza nksikilize kwa maakin ila ww huna mbaya

  • @ayishaayi5205
    @ayishaayi5205 ปีที่แล้ว +3

    😂😂 anko j kwenye kuimba hapana waachie wenyewe

  • @marysamuel2401
    @marysamuel2401 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay Asante Kwa simuliz nzuri ila hapo kwenye pesa ya wizi Kwa Mimi maisha yalivo pinda nitachukua tu atajua mwenyewe huko akikamatwa 🤣🤣👌

  • @isabelaoisso5431
    @isabelaoisso5431 ปีที่แล้ว +2

    Aya bwan ngoja n enjoy simuliz mpy jamn,anko j unasimulia vzr👏👏

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 ปีที่แล้ว +1

    mmmmm yenye ndo mwizi anko jay

  • @ffed1876
    @ffed1876 ปีที่แล้ว

    Na awe pole dunia inamafunzo mengi sn asante kwa simulizi nzurii.

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +2

    THIS LIFE HAS NO BALANCE 🔥🔥🔥👍👍BRAVO ANKO JAY.

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh!!jaman Anko wey haujitiaki nyuma😂😂😂😂😂😂😂

  • @FatmaMohamed-ej4mf
    @FatmaMohamed-ej4mf 6 หลายเดือนก่อน

    Ntakataa juu mwenye kuibiwa akifanya ubaya pia mm ntapata uleubaya

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha anko jay ni 😘😘😘

  • @agnesnduku1193
    @agnesnduku1193 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Singeweza Kuchukua Nduku Edward Kutoka Kenya

  • @rahmaayubu2514
    @rahmaayubu2514 ปีที่แล้ว

    Anko J ni 🔥tunakupenda

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Supokei anko jay vya kuiba havina baraka

  • @massoudaziza4389
    @massoudaziza4389 ปีที่แล้ว +2

    Ndio sababu alikuwa riho ya kikatili kwani haluoata malezi

  • @emmanueltesha6737
    @emmanueltesha6737 ปีที่แล้ว +2

    Hii story ni moto kweli kweli

  • @suzanmassili6650
    @suzanmassili6650 ปีที่แล้ว +1

    @AnkoJay..,
    His Truly Blessed! Ukickia kuishi Taranta ndio hukuu Jomany!
    Seventh Fun.

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 ปีที่แล้ว

    Asante anko wetu

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว

    Juu Ya Pesa Ata Wwe Akoo Jey Utazikataa

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว

    Unatakiwa uzikatae sio vizuri kushirikana na mwizi

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 ปีที่แล้ว +2

    Utam kolea jamani nawapenda sana simulizi mix kwa kua makini

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️❤️❤️🥰🥰

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka jay

  • @peterxhizo7853
    @peterxhizo7853 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana simulizi mix kwa story mzuri yenye mafunzo keep up.....ila kwa swali lako hakuna mwenye atakataa pesa mtu kama mm hata kama n za wizi😂😂

  • @rizikimagret9663
    @rizikimagret9663 ปีที่แล้ว +1

    Mm sichukui ju wanasema uki shirikiana na mwizi ww pia utaitwa mwizi

  • @user-ds4mf1ml2u
    @user-ds4mf1ml2u 2 หลายเดือนก่อน

    Anko Jay tumaliziye sehemu ya mwisho ya milele tafadhali

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani dunia ni duraa😮

  • @bettywayera8501
    @bettywayera8501 ปีที่แล้ว +1

    Pesa za wizi, kama mimi Betty nitakataa, anko j,,napenda sauti yako,,uko sawa hii ni kama movie...natoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @ashahamisi2500
    @ashahamisi2500 ปีที่แล้ว

    Yani mpka nasikia kulia yani weee alafu anko jei sauti jamni weee upande wangu siwezi kutwaa pesa ya wizi ni haram 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Nakupenda anko jei weee

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +2

    Heriat Hakumpenda andrew anapesa kwann asimpeeke kutibiwa nje na alikua milionea

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 ปีที่แล้ว +1

    shukrani 🙏🙏🙏

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 ปีที่แล้ว +2

    Hyu selestina aisee yani alichomfanyia bado haitosh tuuu jamani khaa

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Seletini ilifaa aliwe nyama SI kutapeliwa TU ili na wengine wajifunze😂😂😂

  • @yusufukilua7096
    @yusufukilua7096 ปีที่แล้ว +2

    Leo.nimekubali

    • @ashajuma438
      @ashajuma438 ปีที่แล้ว +1

      Nakataa

    • @agnesnduku1193
      @agnesnduku1193 ปีที่แล้ว

      Yale Mateso Aliyopata Harlet Ni Vile Hakumjali Andrew Na Derick Kuchukua Pesa Ya Wizi NiBaya Kama UlikuwaUnajua Na Mama Andrew Pole Kwa Yale Uliyopa

    • @agnesnduku1193
      @agnesnduku1193 ปีที่แล้ว

      Pole Kwa Yale uliyopitia Na Asante KwaHuyu Mdhamini Aliyejitolea Kukusaidia

  • @mariamomar1963
    @mariamomar1963 ปีที่แล้ว +1

    Nitakata

  • @mwanajumamohammed4356
    @mwanajumamohammed4356 ปีที่แล้ว +1

    Sichukui pesa ya wizi mmi abadani

  • @Gee_Lucky
    @Gee_Lucky ปีที่แล้ว +1

    Jamani Andrew😰😪😓😓
    Kama mzazi inauma sana jamn

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว

    Ahsante anko J

  • @dionisiadionis9903
    @dionisiadionis9903 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh nimelia sana kweli walimwengu hawana huruma

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +9

    I feel pain for this woman 😭😭😭

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 ปีที่แล้ว +2

    Apo nakataa mana ukipokea itakua lenu moja

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daah

  • @zenasalum3107
    @zenasalum3107 ปีที่แล้ว +1

    Hahaah me mkojan wa 3 leo

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +3

    Jamani msukuma nimekua wa pili

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +1

    Mimi sikubali pesa za wizi

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว +1

    Cwezi kupokea pesa ya wizi Nikama mm pia nimeshiriki kuiba kwa hiyo mm pia ni wizi

  • @saudalwelo4437
    @saudalwelo4437 ปีที่แล้ว +1

    Punguzeni mziki

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 26 วันที่ผ่านมา

    Anko j mbona utuletei bint Reyana

  • @saumuhamisi9285
    @saumuhamisi9285 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nakataa😂

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 ปีที่แล้ว +2

    Pesa za wivi nikigawiwa nitazikataa Anko Jay coz ni za haramu

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว

    Pesa Kama hizo siwezi kuzichukua mimi

  • @bisunirashidi2685
    @bisunirashidi2685 ปีที่แล้ว +1

    Sasa babu ya laana halieti mbaya sana juu angemasidia Andulu

    • @saumukambi8562
      @saumukambi8562 ปีที่แล้ว

      Nitakataaa anko pesa ya wizi kuipokea

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว

    Anko Jay kumbe kithungu kinatoka hivyo 😂😂😂

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay tunakupenda simulizi nzuri da hija nairobi

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +1

    Eeee huyu selestine ananiudhi mbona asimtafute mwanamke kwa maneno yake mwenyewe anamtongoza binti na jina la mwanaume mwenzio?? Huyu ni muoga kabisa mmmmm mapenzi haya jmn tochi ya mapenzi embu isinimulike kabisa

  • @massoudaziza4389
    @massoudaziza4389 ปีที่แล้ว +1

    Mimikama mimi siwezi kupokea oesa hiyo hata kwa dawa yani !!!

  • @mariamgathumbi4238
    @mariamgathumbi4238 ปีที่แล้ว

    Mm nitachukua sio mm nimeimba

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว

    Siwezi kuzichuwa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Woii wazazi tunapitia mazito

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +1

    Anko j mm siwezi kupokea pesa ya wizi kabisa

  • @berthajustin11
    @berthajustin11 ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @ramadhanomar5143
    @ramadhanomar5143 ปีที่แล้ว

    Mimi ntakataa duuh dhulma ita cost

  • @julietmbilinyi1997
    @julietmbilinyi1997 ปีที่แล้ว

    Kamimi hela ya wizi sipokei

  • @maggemonalisa4331
    @maggemonalisa4331 ปีที่แล้ว +1

    Pesa napokea mi si nimepewa

  • @mathiasyaa8803
    @mathiasyaa8803 ปีที่แล้ว

    Npokea mzee

  • @soniahgift2311
    @soniahgift2311 ปีที่แล้ว +2

    Hakika umetushika kabisa

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +4

    Anko jay mwenyewe tunainjoi kila siku na simulizi mpyaa asantee simulizi mix 🥰🥰tunajifunza mengi sana hapa simulizi mix🥰🥰

    • @HuaweiY-wx7we
      @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว

      Mh ww umewa hii wa ngapi 😁😁😁😁

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@HuaweiY-wx7we Watatu niliwahi miee kila muda naingia you tube 🤣🤣kichungulia simulizi mix

  • @mathiasyaa8803
    @mathiasyaa8803 ปีที่แล้ว

    Dunia ni rangi rangile ,

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya zege

  • @swabrarashidi1082
    @swabrarashidi1082 ปีที่แล้ว +1

    Nilitaka kushangaa anko asiimbe

  • @janenm
    @janenm ปีที่แล้ว

    Pesa ya wizi nitamu unatani urudie Tena

  • @diddahjay2185
    @diddahjay2185 ปีที่แล้ว

    Ety macho Yale muonee 😂😂😂km namuona vile.

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

    Binafsi sichukui

  • @joycewahwai3794
    @joycewahwai3794 ปีที่แล้ว

    Hakuna anaye kataa pesa

  • @elizabethbarasa5832
    @elizabethbarasa5832 ปีที่แล้ว

    Anko J na wewe,since when starring kafa?

  • @eca-mlondanyiabokyo4416
    @eca-mlondanyiabokyo4416 ปีที่แล้ว

    Kaka Anko Jay hata kutudanganya kwa wimbo vipo?

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว

    Kwan leo nimewahi wa ngapi🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

  • @ericgodlizen7020
    @ericgodlizen7020 ปีที่แล้ว

    Kaka vp anko j unaimba unaongea jmn mechek San san

  • @user-jf1hn3qs4n
    @user-jf1hn3qs4n 4 หลายเดือนก่อน

    Msema ukweri ni mpenzi wa MUNGU mimi napokea napia natumia kawaida namaisha yanaendelea

  • @michealjoseph796
    @michealjoseph796 ปีที่แล้ว

    kifo Cha Andro kinauzunisha sn kwani chalii alikuwa na akili sn darasan kiasi kwamba mbeleni ndie angekuwa msaada Kwa mama yake kweli binadamu wabaya sn asnt anko jay Kwa simuliz za maisha

  • @ayubuabdallah2977
    @ayubuabdallah2977 ปีที่แล้ว +1

    Nitakataa

  • @michealjoseph796
    @michealjoseph796 ปีที่แล้ว

    Jax unachukua Kwa sbb pesa Haina uharamu

  • @saudalwelo4437
    @saudalwelo4437 ปีที่แล้ว

    Sizipokeii anko j

  • @brenndazlopez5818
    @brenndazlopez5818 ปีที่แล้ว

    Aty mwone nicheke mie😹😹

  • @frankbrownbrown7432
    @frankbrownbrown7432 ปีที่แล้ว

    Sem nn kamekuw kafup san

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว

    Anko mm nisiwe mnafki shida hutuma mtu apokee chochote cha wizi 🙂alfu watu wengine bwan wanamuona akitapeliwa lakin hawawezi mtahadharisha wanamwambia wakati katepetiwa.🤣🤣🤣eti watapeli yeye kama yy hatari