ACHA NIFE: SIMULIZI FUPI YA MAPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2022

ความคิดเห็น • 65

  • @irenemacool6491
    @irenemacool6491 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana anko J Kwa Hadith nzurii sanaa haswaaa Ile ya MY BOSS pamoja na SHADRACK NA RAHMA ni nzurii sanaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @queenlee2701
      @queenlee2701 ปีที่แล้ว

      Yaan hata mimi zili nigusa ila kama huja iskiliza My Doctor itafute nayo nitamu sana 😘

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 ปีที่แล้ว +6

    Wow Anko Jay kuskia Sauti yako kwa Mara nyingine Nice one,,,,,,,thx simx🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว +7

    Woow! Anko J kwa mara nyengine. Nice one,,, thanks Smix. I'm no.1

  • @halmejo5907
    @halmejo5907 ปีที่แล้ว +5

    Hadi nimeirudia mara mbili walai asante sana ako j kwa simulizi nzuri

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi nzuri sana lna mafundisho hasa kwa wazazi wake na Abduli kumpata mtoto wao pia usimfanyie mtu vibaya ujui mipango ya mungu asante Anko J

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa simulizi Mpya anko jay

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +4

    Ahsante anko jay

    • @marryrudovicky3847
      @marryrudovicky3847 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa simulizi nzuri iliyojaa mafundisho masikini wa leo ndiyo tajiri wa kesho

  • @queenlee2701
    @queenlee2701 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂uo utani wako wa leo Anko jay ahhahaha ipo siku tuta sema ukwel kua tuna kupenda vp 😁natania bn Nawapenda wana familya wa simulizi mix.💚❤💛

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว +2

    Asante saana Anko Jay kwa simulizi yako nzuuri.Thanks Smix

  • @happydeo8164
    @happydeo8164 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda san Sema una sauti nzuri san anko j

  • @marysamuel2401
    @marysamuel2401 ปีที่แล้ว +1

    Wow anko jay Asante jamani sauti nzuri jamani

  • @precociousjk2266
    @precociousjk2266 ปีที่แล้ว +1

    Thanks anko jay for good xtory God bless all smix...

  • @ayishaayi5205
    @ayishaayi5205 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah anko jay nakupenda kwa ajili ya Allah maana unatupa vitu vizur na masikha yako ndio unanikosha kabisa😂😂

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 ปีที่แล้ว +3

    Waoooo ank j

  • @fatumatsuma2204
    @fatumatsuma2204 ปีที่แล้ว +1

    Wow 👌👌❤️❤️❤️sana

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli Anko j kumuambia mwanaume unampenda sio shida ila mwanamke akitangulia kumuonyesha mwanaume kwamba unampenda hp umejiwekea kaa la moto kichwani mwako

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 ปีที่แล้ว +1

    Yan story asiposimulia ako j au yule fantastic sisikiliz ng'ooo mtanisamehe 😢😢😢

    • @jackbujimu3220
      @jackbujimu3220 ปีที่แล้ว

      Mike uncle j tu 🤣🤣 ngoja nianze kumsikiliza uyo fantastic

    • @faridaikussi
      @faridaikussi ปีที่แล้ว

      Hahaha nami

  • @happygissy7693
    @happygissy7693 ปีที่แล้ว +2

    Jamani abduli anao bila ye kujuwa jamani😀😀😀😀

  • @giftfrances9083
    @giftfrances9083 ปีที่แล้ว +1

    Nice my

  • @hassansalim227
    @hassansalim227 ปีที่แล้ว +3

    Miaka 37 anazaa

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂ank j ww mung anakuona ntatok burund nije nikwambie live🥰🥰🥰🥰

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +1

    Asante Anko J

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂 pagumu .hapo kutamka

  • @user-ty9pp2rl1i
    @user-ty9pp2rl1i 4 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ghm1711
    @ghm1711 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰👌

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 ปีที่แล้ว +1

    Yani Anko Jay jamani umenifanya nicheke kwa sauti!eti kama wanasema Anko Jay sauti yako nzuri,si wafunguke tuuuu! hahahaaaa!

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +4

    Yap twakupenda sana anko J kwasababu uko Sawa sana💋💋💋

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Anko jay wangu sauti ya ninga

  • @furaham9685
    @furaham9685 ปีที่แล้ว +1

    Thx dj

  • @sharifahkechere1600
    @sharifahkechere1600 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 ปีที่แล้ว +1

    hahahaha anko wajua sisi wanadada tuko n zile za nkikuambia utaona mh n malaya ndo maanake tunabak n siri ya moyo tukiumia

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Diana anamuharibia mwenzie kibarua

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 ปีที่แล้ว +1

    Duuh kitu kumoyo

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 ปีที่แล้ว +1

    Si ni Surayina

  • @sharifamassud8187
    @sharifamassud8187 ปีที่แล้ว +1

    Yaliyomkuta Abdul ameyataka. Hakutaka ushauri wa wenzake, majuto mjukuu

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 28 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @rashidbisumbakutila6096
    @rashidbisumbakutila6096 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @veronicanyenze8377
    @veronicanyenze8377 ปีที่แล้ว +3

    🥰

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว +1

    🙋‍♀️

  • @mariamndayishimiye1324
    @mariamndayishimiye1324 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️l

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +5

    GREAT STORY ANKO JAY

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Mwenye pesa sio mwemzio
      Pamoja na makosa aliyonayo Abdul alitakiiwa kutoa onyo kwa mwanawe kwanza

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Kama ipo ipp tu

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Alitakiwa amkopeshe mwanae ambae ndiye alikuwa na kiranga

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Malipo ni Duniani
      Usimdharau usiyemjua

    • @aminaomarimaidi
      @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

      Sio vzuri kumdharau pia kumdhalilisha binadami.mwenzio kwani hata
      mbuyu ulianza kuota kama mchicha

  • @user-di5td5gt4u
    @user-di5td5gt4u 29 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    M,mungu ndiye mwenye kuhukumu
    Mr Zungu
    Umeyamwaga maji yamekushinfa kuzoa
    Hayazolekk tena hapo ni udeki tu

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว +5

    Anko Jay kwann sikuhiz husimulii simulizi ndefu jmn tumekumis aty jmn😔

  • @sharifamassud8187
    @sharifamassud8187 ปีที่แล้ว +1

    Abdul amekuwa kivuruge

  • @sammy-b6281
    @sammy-b6281 ปีที่แล้ว +3

    😂

  • @saudalwelo4437
    @saudalwelo4437 ปีที่แล้ว +1

    Anko j ni mkoja tuu

  • @mtumwajuma3906
    @mtumwajuma3906 ปีที่แล้ว +6

    Anko j nakuita nitafute ukipata mda

  • @hawaalbalushi6189
    @hawaalbalushi6189 ปีที่แล้ว

    🙋‍♀️🙋‍♀️👌👌😭😭👂💞💞💞🙏🙏

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️