HIVI UNALIJUA JUKWAA LILILO IMARA KWA WATU WA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024
  • Kanisa la Wadventista Wasabato (SDA) limekuwa likikumbwa na wakosoaji juu ya Imani zake za msingi na hivyo watu wanaojiita Masalia(SDA REMNANT) wamejitoa kwa madai kuwa halikosawa kimafundisho. Na hivyo naona ni vyema kuwaambia kulingana na maagizo ya Mungu warudi na kwamba hili ndilo Jukwaa lililo Imara.
    Ni muda wa kujiandaa kumpokea Yesu siyo wa manung'uniko.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 3

  • @KefaJumanne
    @KefaJumanne หลายเดือนก่อน +1

    Umenena vyema lakini umesoma upande mmoja soma Tena upande wa pili wako Tena lioingia kwa sili wakabadili msingi wetu 1selected message 204....imeingiza shirika jipya sda

    • @ADVENTURE-vs1zb
      @ADVENTURE-vs1zb  หลายเดือนก่อน

      Ahsante ngoja niifanyie kazi.

    • @danielthomasmsigwa31
      @danielthomasmsigwa31 22 วันที่ผ่านมา +1

      Watu maarufu kwa kujipendekeza kwa madhehebu mengine ndio waliojaribu kuondoa ujumbe wa malaika watatu, nabii anasema "ujumbe wa malaika wa tatu ni nanga kwa watu wa MUNGU"