Wallahi ustadh sabas umewaangusha wanafunzi na wafuasi wako hali ya juu mnooo ! Mtoto wangu wamiaka 12 anaelewa hoja na majibu kukuliko ww. Looooo umewekwa corner mpaka hujitambui. Allah akuongoze ww na sisi sote YA RAAB. AMEEN
Wacha Kujidanga Kwenye Dini Hakuna Jibu Badala Zaidi Ya Kutoka Kwa Qur'an na Adith Sahihi Wewe Kwa Uwelewa wako Umeona Sabasi Amependa Kufedheheka No Hakupenda Bali Hakuwa Na Majibu Ya Kiushaidi Wa Adith Sahihi na Kutoka kwa Qur'an Wacha Mtto wako Wala Wewe Mwenyewe Msinge Weza Ata Kutoa Salamu Wacha Kutetea hoja No Ata Kujibu Salam Ingekushinda Usicheze Na Majibu Ya Kiushaid, Na ndio NASema Kina Siku Hakuna Masheikh Wasomi Dunian kma Masheikh wa kisuni Hakuna Masheikh Wanao Jenga Hoja Na Maswali Ya Ya Kiushaid Wa Adith Sahihi na Qur'an Kma Masheikh wa kisuni Na sio Mashabik wa kupiga Maulidi Wanao Penda Kujenga Hoja Kwa Adith Dhaifu
@@kaykastro9302 Ndugu Yngu Nakuambia Ukweli Usio Pingika Angalia Munaqasha Wowote Ule Dunian Unao fanywa na Wapiga Maulid na Masuni Kisha Masheikh Wa kisuni Wakawa Wameshiindwa Kwenye Munaqasha Uwoo Hakuna kitu Kama iyoo Haijawai Kutokea Sio Kenya Wala Tanzania haijawai Kutokea Na Wala Haita Tokea Upoga Mtu Anae Jenga Hoja Kwa Kutumia Ushaidi Wa Adith Sahihi na Qur'an Na Yule Anae Jenga Hoja kwa Kutumia Uwelewa Wake Kutoka Kichwan Hawa ni Watu Wawili Tofaut Kabisa Na ndio Maana Sheikh Mohammad Bachu Akatoa Rai Yake kuwa Kma Kuna Sheikh Yoyote Yule Anae Weza Kumsaidia Sabasi Akotee Aje Amsaidie Akimanisha Kuwa Haki Ama Ukweli Uwezi Kuubadilisha kuwa Uwongo mbona Waligoma Kuja Kumsaidia Mwezao Walijuwa Hawata Shinda Zaid Ya kupata Fedheha Usicheze Na Masheikh wa kisuni Sio Wanao Jenga Hoja kwa Akili zao No no Suni Yoyote Yule Ajengi Hoja Isipokuwa kutoka kwa Qur'an na Adith Sahihi fully stop Ndio Maana Wanakuwa Wakijiamin KUFANYA Muhadhara Na Mtu Yoyote Yule Nasio Vinginevyo 🙏🙏🙏
Wallaahi ubishi wa akina Sabas u.ewafungua watu wengi na kupata ilmu kupitia Bachu na amekuwa ubao mzuri sana kwetu tunashukuru maana upeo wa walokuwa wanaelewa tofauti hii video itasaidia wanaotaka mwangaza wa kuiendea njia sahihi.
Kwakweli Shekhe Muhammad jana dua za Waislamu wengi zili kuangukia, na tulikuombea dua Allaah akupe thabaat na shajaa'ah juu ya kubainisha hoja, na naam Allaah kajibu dua zetu. Umefanya kazi kubwa sana, na umetumia elimu kubwa. Allaah akulipe kila lakheri
@@nurdinmfamau3493 kunani famau!? Mbona mnaongea uongo bila haya nyinyi!!! Sisi twamuomba Allah hatuombi maiti kama nyinyi!!! Ndio mnaona hatuombi? 😂😂😂😂😂 ama maiti HATUOMBI KABISA!!! TUNAMUOMBA ALLAH PEKE YAKE!! Ndio maana tukashinda kihoja hapo!!!
Subhanallah mashekhe mnapambana sana vita za kiislam kwa waislam alafu makafir mnawaachia wakina mazinge tu kuwalingania mimi sioni kuna umuhimu ni kama wapoteza muda kuweka kiwanja cha UGOMVI hilo jambo kila mmoja anajua kujitetea kiupande wake asa kwanini Shekh msianzishe mdahalo wa dini ili kuwalingania makafir na kuja katika njia za haki au kuwakumbusha WAISLAM waikumbuke siku ya kufa na maisha ya bwana mtume Muhammad s.a.w ili nawao walinganie ALLAH awalipe wa kina shekh mazinge na wengine wanaofanya kazi kama wao na watu wa jaula (Tabligkh fysabilillah imechangia kwa maswahaba wameslimu na pia wametangaza Laillahaillallah Muhammad rasulullah. Na kurudi katika njia😢
Mashallha shekh Muhammad bachu uko vizuri saanha ww unatowa dalili wao maneno saanha ujuwe wa2 wengi wanawateka kwa wa2 umarufu wanatumia umarufu waoo kwakupotosha dini
Sheikh Bachu yuko sahihi zaidi maana amemrejelea Mtume s.a.w. na Allah s.w. Na Sheikh Alkubraa amemrejelea Sheikh Ibn...ambaye uzito wake si mkubwa. Quran na Sunna Tuuu❤❤
Wallahi shk bachu umewamalizahao hawanahoja wanachekachekatu hawana jibu hawana elimu wende waka uze dawa zamitishamba ndiokazizao wakuelewa wameelewa wakaidi waache naukaidiwao umeonesha elimu kubwa kwauwezo wa Allah Dunia imefahamu kuwa barazanje ni shirki Allah akuhifadhi shk muhammad
Shekhe bachu jazaakallahukhaira,,,,Hawa watu wa bidaa niwabishitu ktk midomo lakini mioyo Yao inakukubali kwamba uko ktk Haki,,,na ushidi ni kwamba,,,makundi tunayo yaona ya wsna Sunna,,,ni Yale yaliokua ktk maulifi zamani,,,na baada yakugundua kwamba maulidi ni bidaa na ni uingo na ni shirki,,,wakatoka ndio wakaingia ktk Sunna,,,lakini ni vigumu kukuta meana anatoka ktk Sunna nakurudi ktk maulidi,,,Haki haijifichi
@akram khamis. Sasa hapo. Maashallah ya ninii. Kwa kuutetea uzushii auu kuitetea shirki. Hebu fumbuamacho na masikio yako. Pia funguka kiakiliiii wacha kushadidia maovu kwa MASLAH ya kidunia auu ndio nyie munao neemeka kutokana na mifuko ya masherehe za kiduniaaa
@@rayaali7551 wewe umeona shirki wapi? Wajua maana ya shirki? Tusiwe watu wa kurupukwa na maneno kwa ajili ukona chuki nayo na niwazi vile una zungumza mafhum yako iko chini, mas ala yaku neemeka kutokamana na mifuko zaki sherehe...hii ni ishara tosha na zungumza na mtu mwenye chuki na mafhuum ilikuwa chini zadi
Kwa kweli Allaàh akikunyima maarifa na ufahamu kwenye ilmu umepata mtihani Mkubwa maana lazima utasumbua tu kwa kujiona msomi kumbe ukijuacho ni kusoma na kufasiri kiarabu ukadhani nawe pia ni miongoni mwa wasomi kumbe bado...Jamaa tusomeni hii dini haitaki usanii wa Qaala llaahu wa Qaalar Rasuul....Bali yahitajia ufafanyzi wa kina kama alivyokuwa akifanya Sheikh..Ila tatizo alikuwa na mtihani sana kujaribu kumfunza mtu anaejiona ana elimu ndio shida yote
@@akramkhamis-sg2iu Sabas elimu yake ni ndogo sana,hamfikii kabisa Bachu,na aende akawadang’anye watu waliokosa elimu,kama wewe umekosa kulifahamu hilo,itakua ni mmojawapo unaedanganywa,na ukakubali kudanganywa.Tatizo unakubali upotoshwaji.
فالدنيا والآخرة هي من الله ومن خلْقِهِ، وليست من جود الرسول صلى الله عليه وسلم وخلقه، والرسول صلى الله عليه وسلم لا يعلم ما في اللوح المحفوظ، إذ لا يعلم ما فيه إلا الله وحده، وهذا إطراء ومبالغة في مدح الرسول صلى الله عليه وسلم حتى جعل الدنيا والآخرة من جود الرسول وأنه يعلم الغيب الذي في اللوح المحفوظ بل إن ما في اللوح من علمه وقد نهانا الرسول صلى الله عليه وسلم عن الإطراء فقال: { لا تطروني كما أطرت النصارى ابن مريم، فإنما أنا عبد، فقولوا عبد الله ورسوله } رواه البخاري. 3- ما سامني الدهر ضيماً واستجرت به إلا ونلت جواراً منه لم يُضَم يقول: ما أصابني مرض أو همٌّ وطلبت منه الشفاء أو تفريج الهم إلا شفاني وفرَّج همي. والقرآن يحكي عن إبراهيم عليه السلام قوله عن الله عز وجل: { وإذا مرضتُ فهو يشفين } [الشعراء: 80]. والله تعالى يقول: { وإن يمسسك الله بضر فلا كاشف له إلا هو } [الأنعام: 17]. والرسول صلى الله عليه وسلم يقول: { إذا سألت فأسأل الله وإذا استعنت فاستعن بالله } رواه الترمذي وقال حسن صحيح. 4- فإن لي منه ذمة بتسميتي محمداً وهو أوفى الخلق بالذمم يقول الشاعر: إن لي عهداً عند الرسول أن يدخلني الجنة، لأن اسمي محمداً، ومن أين له هذا العهد ؟ ونحن نعلم أن كثيراً من الفاسقين والشيوعيين من المسلمين اسمه محمد، فهل التسمية بمحمد مُبرر لدخولهم الجنة ؟ والرسول صلى الله عليه وسلم قال لبنته فاطمة رضي الله عنها: { سليني من مالي ما شِئْتِ، لا أُغني عنك من الله شيئاً } رواه البخاري. 5- لعل رحمة ربي حين يقسمها تأتي على حسب العصيان في القسم وهذا غير صحيح، فلو كانت الرحمة تأتي قسمتها على قدر المعاصي كما قال الشاعر لكان على المسلم أن يزيد في المعاصي حتى يأخذ من الرحمة أكثر، وهذا لا يقوله مسلم ولا عاقل ولأنه مخالف قول الله تعالى: { إن رحمت الله قريب من المحسنين } [الأعراف:56] .
Shukrn shkh sabaa..Allaah akujaze ilmu zaidi.ILA TUNASIKITIKA WANAOKUELEWA APO NI WASOM TU MANA UNAJIB KTK MISING YA ILMU.ILA WATU WANAEZ KUA AWAJAKUELEW WAKAON BACHU NDIO KAJENG HOJA..UPO VZUR SHKH WASOM WAMEKUELEWA.UYO DGO AACHE MIHEMKO AKASOME LUGHA FANI KANUN NK..ZINASAIDIA KUELEW MAANA ZA MAMB MENG SN, UYO BACHU ANAJUA LUGHA YA KUTARJUM TU , 😂😂
Ndungu yngu bila ushabika utagundua kwamba sabas alikua anazunguuka Sana ktk kujibu pia alitaka kuleta complex mfano hii niqash ilipangwa na pande zote mbili na mada walichagua wote mambo yakapangwa Sasa baada ya kujibu anatafuta sababu ya kujitetea et Lete Sheria siku zote hizo hajajua km kuna sheria na niqash yeye ndo muandaaji (2) Yeye alisoma kitabu akakitaja cha shekhe uthymiyy wala hajambiwa kikowapi Nasoro bachu yeye kampa mpk kopi ya kitabu ana alikua nacho mkononi bs pia akadai original ya kitabu kaambiwa kipo mkobani (3) kaulizwa na yule muulizaji mtu akizini je ahukumiwe kwa nia yake au ipitishwe sherea Yeye km shekhe mkubwa Hakutakiwa ajibu aulizwe shekhe uthymiyy heeeeee 😊😊 yaani kalikwepa swali dah mpk nasema huyu ndo shekhe anaehishimiwa naamini anajua km hukmu km hajaolewa au kuowa bs apigwe mijeledi 100 au km kwenye ndoa wapigwe mawe mpk wafe lkn akijibu hivi atajifunga mwenyewe lkn swali kalikwepa Sasa unaona wazi km alikua ana babaisha tu nahau nyingi mie apo ndo kaniwacha hoi et aulizwe shekhe uthymiyy heeeeee alooo be serous
Tawhid tatu mbele Ibnu taimiah ومنهم: ابن جرير الطبري (ت: 310هـ) في مواطن عديدة من تفسيره، وانظر -على سبيل المثال- كلامه في معنى قوله تعالى: "فاعلم أنه لا إله إلا الله". ومنهم: أبو جعفر الطحاوي (ت: 321هـ) الذي قال في مقدمة متنه في العقيدة المشهور بالطحاوية: (نَقُولُ فِي تَوْحِيدِ اللَّهِ مُعْتَقِدِينَ بِتَوْفِيقِ اللَّهِ: إِنَّ اللَّهَ وَاحِدٌ لَا شَرِيكَ لَهُ، وَلَا شَيْءَ مِثْلُهُ، وَلَا شَيْءَ يُعْجِزُهُ، وَلَا إِلَهَ غَيْرُهُ ... )، فقوله: "إن الله واحد لا شريك له" شامل لأقسام التوحيد الثلاثة؛ فهو سبحانه واحد لا شريك له في ربوبيته، وواحد لا شريك له في ألوهيته، وواحد لا شريك له في أسمائه وصفاته. وقوله: "ولا شيء مثله" هذا من توحيد الأسماء والصفات. وقوله: "ولا شيء يعجزه" هذا من توحيد الربوبية. وقوله: "ولا إله غيره" هذا من توحيد الألوهية. ومنهم: أبو حاتم محمد بن حبان البستي (ت: 354هـ) في مقدمة كتابه: "روضة العقلاء ونزهة الفضلاء"، حيث يقول: (الحمد لله المتفرد بوحدانية الألوهية، المتعزز بعظمة الربوبية، القائم على نفوس العالم بآجالها، والعالم بتقلبها وأحوالها، المانِّ عليهم بتواتر آلائه المتفضل عليهم بسوابغ نعمائه، الذي أنشأ الخلق حين أراد بلا معين ولا مشير، وخلق البشر كما أراد بلا شبيه ولا نظير، فمضت فيهم بقدرته مشيئته ونفذت فيهم بعزته إرادته ... ). ومنهم: ابن أبي زيد القيرواني المالكي (ت: 386هـ) حيث قال في مقدمة كتابه الرسالة: (من ذلك الإيمانُ بالقلب، والنُّطقُ باللِّسان أنَّ الله إلَهٌ واحدٌ لا إله غيرُه، ولا شبيهَ له، ولا نَظيرَ له، ولا وَلَدَ له، ولا وَالِدَ له، ولا صاحبة له، ولا شريكَ له، ليس لأَوَّلِيَّتِهِ ابتداءٌ، ولا لآخِرِيَّتِه انقضَاءٌ، لا يَبْلُغُ كُنْهَ صِفَتِهِ الواصفون، ولاَ يُحيطُ بأمرِه المُتَفَكِّرونَ، يَعتَبِرُ المتفَكِّرونَ بآياته، ولا يَتَفكَّرونَ في مَاهِيَةِ ذاتِه، ولا يُحيطون بشيءٍ من عِلمه إلاَّ بِما شاء … إلى أن قال: … تعالَى أن يكونَ في مُلْكِهِ ما لا يُريد، أو يكونَ لأَحَد عنه غِنًى، أو يكون خالقٌ لشيءٍ إلا هو رَبُّ العباد ورَبُّ أعمالِهم، والمُقَدِّرُ لِحَركاتِهم وآجالِهم، الباعثُ الرُّسُل إليهِم لإقَامَةِ الحُجَّةِ عَلَيهم)، فذكر الأقسام الثلاثة. ومنهم: ابن بطة العكبري (ت: 387هـ) في كتابه: "الإبانة عن شريعة الفرقة الناجية ومجانبة الفرق المذمومة". ومنهم: الإمام القرطبي (ت: 671 هـ) في تفسيره في مواطن عديدة، قال: (الشِّرْكُ عَلَى ثَلَاثِ مَرَاتِبَ وَكُلُّهُ مُحَرَّمٌ. وَأَصْلُهُ اعْتِقَادُ شَرِيكٍ لِلَّهِ فِي أُلُوهِيَّتِهِ، وَهُوَ الشِّرْكُ الْأَعْظَمُ، وَهُوَ شِرْكُ الْجَاهِلِيَّةِ، وَهُوَ الْمُرَادُ بِقَوْلِهِ تَعَالَى: (إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَنْ يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذلِكَ لِمَنْ يَشاءُ). وَيَلِيهِ فِي الرُّتْبَةِ اعْتِقَادُ شَرِيكٍ لِلَّهِ تَعَالَى فِي الْفِعْلِ، وَهُوَ قَوْلُ مَنْ قَالَ: إِنَّ مَوْجُودًا مَا غَيْرَ اللَّهِ تَعَالَى يَسْتَقِلُّ بِإِحْدَاثِ فِعْلٍ وَإِيجَادِهِ وَإِنْ لَمْ يَعْتَقِدْ كَوْنَهُ إِلَهًا كَالْقَدَرِيَّةِ مَجُوسِ هَذِهِ الْأُمَّةِ، وَقَدْ تَبَرَّأَ مِنْهُمُ ابْنُ عُمَرَ كَمَا فِي حَدِيثِ جِبْرِيلَ عَلَيْهِ السَّلَامُ. وَيَلِي هَذِهِ الرُّتْبَةَ الْإِشْرَاكُ فِي الْعِبَادَةِ).
Alhamdulliah faida imepatikana lkn haya sio mambo muhimu sana katika dini yapo mambo muhimu mashekh wetu mmeyawacha hamutaki kuyafanya kuna watu tena ni waislamu wenzetu hawajui misingi ya dini yao ingekuwa vyema mukawafikia ili kuwaongoza kuliko kuwacha ummah muhammad kupotea kuliko kubaki kwenye maulid na mengine ambaya hayana tija kuna waislm wanalala na njaa wengine wagonjwa wengine hawajui maadil wamepotea walevi wacheza kamari waizi wazinifu n.k
Sabas muogope Allah maana unaona jua linatoa mwangaza lakin unajifanya huoni kabisa mchana kweupe na sio kipofu kabbisa Allah akuongoze katka haki na nduguyo maana haki ni mwangaza na upotof ni giza unaleta giza jamaa analeta mwanga unamulika vizuri teN kwenye giza kali ukija mwanga unamulika vizuri sana we leta giza mwanga uje tusome zaidi na utaamua mwenyewe kuendelea kuwa ubao au ubadilike halaf wajua kukwepa sana kujibu maswali na kukimbilia kulalamika na kupotezea majazi majazi hata mwishowe unaulizwa nati unatoa jibu screw vitu tofaut ukiambiwa kuhusu kijiko unajibu jembe vitu tofauti na pia hoja zako badala ya kuegemeza katika elimu unaangalia walomzika ibni Taymiya hata kama sio watu walokuwa wanasoma kwake unangangania sana vitu vya ajabu ajabu na hao wanafunzi hawakusema walikubaliana nayo
kama huna elimu huwezi kumuelewa sheikh Sabasi kubra me nimemfahamu vzr sana jamaa ana elimu hatumii nguvu kulekeza na mifano yake midg sana na myepesi inaeleweka
AIBU!! HAYA SIO MAPITIO YA WAISLAM ,KAENI FARAGHA MUELIMISHANE NA SIO KUADHIRISHANA HADHARANI,WATU WANAMOANGO WATU KUOANA JINSIA MOJA NYIE NDIO MUNA ANZA KULUMBANA HADHARANI,
ماذا تعرف عن قصيدة البردة الحمد لله رب العالمين، والصلاة والسلام على رسوله الأمين وعلى آله وصحبه أجمعين هذه القصيدة للشاعر البوصيري مشهورة بين الناس ولا سيما بين الصوفيين. ولو تدبرنا معناها لرأينا فيها مخالفات للقرآن الكريم وسنة الرسول صلى الله عليه وسلم ! يقول في قصيدته: 1- يا أكرم الخلق ما لي من ألوذ به سواك عند حلول الحادث العمم يستغيث الشاعر بالرسول صلى الله عليه وسلم ويقول له: لا أجد من ألتجئ إليه عند نزول الشدائد العامة إلا أنت، وهذا من الشرك الأكبر الذي يُخلد صاحبه في النار إن لم يتب منه، لقوله تعالى: { ولا تدع من دون الله ما لا ينفعك ولا يضرك فإن فعلت فإنك إذا من الظالمين } [ يونس: 106]. ( أي المشركين ) لأن الشرك ظلم عظيم. وقوله صلى الله عليه وسلم: { من مات وهو يدعو من دون الله نداً دخل النار } رواه البخاري. ( الند: المثيل ). 2- فإن من جودك الدنيا وضرتها ومن علومك علم اللوح والقلم وهذا تكذيب للقرآن الذي يقول الله فيه: { وإن لنا للآخرة والأولى }
Tumepata faida wenye kupata na tuwaombee na wenzetu Allah awajaalie wafungue macho maana shetan da'awa y tawheed na ya iisalaf haitaki anawapamba watu waichukie zaidi na kuwapa njia za kujiona wapo sawa wakatafsir kwa matamanio ya nafsi zao kwa kuwa hakuna alopotea kama afuataye matamanio ya nafsi yake bila ya haki. HAKINA Allah hawaongozi watu nadhalim (wenye kibri na ushabiki mbels ya haki wakaichukia haki kwa maslah ya nafsi zao) na kwa dalili tu na hoja ambaye atasimamia kutaka kujua haki akamuomba Allah atajua na ambaye ana noa ya kutetea utamu wa ubwabwa na maanadazi ya maulid atabakia katka ubwabwa hadi Allah akitaka amuongoze au afie katika sufuria la ubwabwa wa mau. Kuba kuwaombe ndugu zetu Allah awaongoze maana nasi tulikuaa huko akatutoa tumekula sana maandazi na kuimba bila kujua na kucheza na kutandika matwari lakin haki ikaja akatuokoa na hayo.
Mie sjawahi ona maulid saudia kwani yalitokea wapi,ikiwa maulid yapo sawa basi kituo kikuu ni mecca na ndio hamna hadi madina hamna.wakayatoa wapi hawa😢
Wa kwanza ku gawanya Altowhid الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، أما بعد؛ فالحقيقة أن تقسيم التوحيد إلى الأقسام الثلاثة: (توحيد الربوبية، والألوهية، والأسماء والصفات) ليس من مخترعات شيخ الإسلام ابن تيمية -كما زعموا!-، بل قال به أئمة وعلماء من السلف قبل ابن تيمية. فمِن هؤلاء الأئمة: أبو حنيفة (ت: 150هـ) في الفقه الأكبر الذي قال فيه: (وَالله تَعَالَى يُدعى مِن أعلى لَا من أَسْفَل؛ لأنَّ الأَسْفَل لَيْسَ من وصف الربوبية والألوهية فِي شَيْء). فقوله: "يدعى مِن أعلى لا من أسفل … ": فيه إثبات العلو لله، وهو مِن توحيد الأسماء والصفات، وفيه رد على الجهمية والمعتزلة والأشاعرة والماتريدية وغيرهم مِن نفاة العلو. وقوله: "من وصف الربوبية": فيه إثبات توحيد الربوبية. وقوله: "والألوهية": فيه إثبات توحيد الألوهية. ومنهم: القاضي أبو يوسف صاحب أبي حنيفة (ت: 182هـ)، وقد نقل كلامه كل من الحافظ ابن مَنْدَه (ت: 395هـ) في كتابه التوحيد. ومنهم: الإمام أبو القاسم إسماعيل التيمي الأصبهاني (ت: 535هـ) في كتابه الحجة، وأثر أبي يوسف هذا الذي رواه هذان الإمامان عظيم، القدر مشتمل على أقسام التوحيد الثلاثة: توحيد الربوبية وتوحيد الألوهية وتوحيد الأسماء والصفات
Walishaitikadi washirikina kuwa wanawasujudia masanamu sio kwa ajili ingine ila ni majaz tu wanafanya kwa ajili ya kuwakaribisha kwa Allah kupitia ibada yao ya sanamu tazama az zumara { أَلَا لِلَّهِ ٱلدِّینُ ٱلۡخَالِصُۚ وَٱلَّذِینَ ٱتَّخَذُوا۟ مِن دُونِهِۦۤ أَوۡلِیَاۤءَ مَا نَعۡبُدُهُمۡ إِلَّا لِیُقَرِّبُونَاۤ إِلَى ٱللَّهِ زُلۡفَىٰۤ إِنَّ ٱللَّهَ یَحۡكُمُ بَیۡنَهُمۡ فِی مَا هُمۡ فِیهِ یَخۡتَلِفُونَۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا یَهۡدِی مَنۡ هُوَ كَـٰذِبࣱ كَفَّارࣱ } [Surah Az-Zumar: 3] "Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri" HIZO Hao nao wanapenda kupinga aatu wa tawheed na huku wanaabudia sanamu wakiulizwa wanajibu "ni majazi" Kwanini wahirikina mnapenda sana kujifichia kwenye majaz kila ibada zenu za shirki mkikatazwa na mnakuwa mwashindana na ahlut tawheed na hapa kila kitu mkikamatwa mwasingizia majaz na hao nao walitumia sababu za uongo na kuita "majaz" kama ninyi mpaka Allah anawarudi
Wallahi ustadh sabas umewaangusha wanafunzi na wafuasi wako hali ya juu mnooo ! Mtoto wangu wamiaka 12 anaelewa hoja na majibu kukuliko ww.
Looooo umewekwa corner mpaka hujitambui. Allah akuongoze ww na sisi sote YA RAAB. AMEEN
Wacha Kujidanga Kwenye Dini Hakuna Jibu Badala Zaidi Ya Kutoka Kwa Qur'an na Adith Sahihi Wewe Kwa Uwelewa wako Umeona Sabasi Amependa Kufedheheka No Hakupenda Bali Hakuwa Na Majibu Ya Kiushaidi Wa Adith Sahihi na Kutoka kwa Qur'an
Wacha Mtto wako Wala Wewe Mwenyewe Msinge Weza Ata Kutoa Salamu Wacha Kutetea hoja No Ata Kujibu Salam Ingekushinda Usicheze Na Majibu Ya Kiushaid, Na ndio NASema Kina Siku Hakuna Masheikh Wasomi Dunian kma Masheikh wa kisuni Hakuna Masheikh Wanao Jenga Hoja Na Maswali Ya Ya Kiushaid Wa Adith Sahihi na Qur'an Kma Masheikh wa kisuni Na sio Mashabik wa kupiga Maulidi Wanao Penda Kujenga Hoja Kwa Adith Dhaifu
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 kama inakuuma burst !!!! Hakuna lolote hapo mwapigania mpunga wenuu tuu musije ukosa ..... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hamuna lolote walaa hamutishi kielmu....
@@kaykastro9302 Ndugu Yngu Nakuambia Ukweli Usio Pingika Angalia Munaqasha Wowote Ule Dunian Unao fanywa na Wapiga Maulid na Masuni Kisha Masheikh Wa kisuni Wakawa Wameshiindwa Kwenye Munaqasha Uwoo Hakuna kitu Kama iyoo Haijawai Kutokea Sio Kenya Wala Tanzania haijawai Kutokea Na Wala Haita Tokea
Upoga Mtu Anae Jenga Hoja Kwa Kutumia Ushaidi Wa Adith Sahihi na Qur'an Na Yule Anae Jenga Hoja kwa Kutumia Uwelewa Wake Kutoka Kichwan Hawa ni Watu Wawili Tofaut Kabisa
Na ndio Maana Sheikh Mohammad Bachu Akatoa Rai Yake kuwa Kma Kuna Sheikh Yoyote Yule Anae Weza Kumsaidia Sabasi Akotee Aje Amsaidie Akimanisha Kuwa Haki Ama Ukweli Uwezi Kuubadilisha kuwa Uwongo mbona Waligoma Kuja Kumsaidia Mwezao Walijuwa Hawata Shinda Zaid Ya kupata Fedheha Usicheze Na Masheikh wa kisuni Sio Wanao Jenga Hoja kwa Akili zao No no Suni Yoyote Yule Ajengi Hoja Isipokuwa kutoka kwa Qur'an na Adith Sahihi fully stop
Ndio Maana Wanakuwa Wakijiamin KUFANYA Muhadhara Na Mtu Yoyote Yule Nasio Vinginevyo 🙏🙏🙏
Amin
Wallaahi ubishi wa akina Sabas u.ewafungua watu wengi na kupata ilmu kupitia Bachu na amekuwa ubao mzuri sana kwetu tunashukuru maana upeo wa walokuwa wanaelewa tofauti hii video itasaidia wanaotaka mwangaza wa kuiendea njia sahihi.
Kwakweli Shekhe Muhammad jana dua za Waislamu wengi zili kuangukia, na tulikuombea dua Allaah akupe thabaat na shajaa'ah juu ya kubainisha hoja, na naam Allaah kajibu dua zetu.
Umefanya kazi kubwa sana, na umetumia elimu kubwa.
Allaah akulipe kila lakheri
Tangulini Nyinyi Mkawa Duaaa. Wakati Kwenu Duaaa Nibida'a.
@@nurdinmfamau3493 kunani famau!? Mbona mnaongea uongo bila haya nyinyi!!! Sisi twamuomba Allah hatuombi maiti kama nyinyi!!! Ndio mnaona hatuombi? 😂😂😂😂😂 ama maiti HATUOMBI KABISA!!! TUNAMUOMBA ALLAH PEKE YAKE!! Ndio maana tukashinda kihoja hapo!!!
@@مبغضالبدع-ع9ص ALIJUNUNU FUNUNU
@@nurdinmfamau3493nani alikwambia duwww ni badaa mwe mnasoma mjue nini answari wanakataa inamaana answari ibada ambayo mtume hakufanya wao hawafanyi
Shaikh Muhammad umemaliza kazi
Alhamdulillah da ilikua tunapotezwa na mashekh zetu tunakushukuru moto bachu kutupa ilimu maulid basi kuazia leo
Subhanallah mashekhe mnapambana sana vita za kiislam kwa waislam alafu makafir mnawaachia wakina mazinge tu kuwalingania mimi sioni kuna umuhimu ni kama wapoteza muda kuweka kiwanja cha UGOMVI hilo jambo kila mmoja anajua kujitetea kiupande wake asa kwanini Shekh msianzishe mdahalo wa dini ili kuwalingania makafir na kuja katika njia za haki au kuwakumbusha WAISLAM waikumbuke siku ya kufa na maisha ya bwana mtume Muhammad s.a.w ili nawao walinganie ALLAH awalipe wa kina shekh mazinge na wengine wanaofanya kazi kama wao na watu wa jaula (Tabligkh fysabilillah imechangia kwa maswahaba wameslimu na pia wametangaza Laillahaillallah Muhammad rasulullah. Na kurudi katika njia😢
We elim hauna jambo la munkari katka dini we wataka liachwe maono kwenye wislam hakuna kwa makafiri ndo Kuna maono wislam kwa dalili tu
Yote muhimu ndugu yangu
Ndugu ttz lako umekoment bila ya kusikiliza.. ndo mana hujafaidika na lolote.. mazingatio muhimu ndugu.. alf soma
Bachu allah akuhifadh na akubalik
MashaAllah nimemuelewa sana sheikh Sabas Allah amuhifadhi
Mungu azidi kukupa elimu kuliko baba yako sheikh nassar bachu
Sheikh muhammad Bachu anatembelea vzr na anakwenda vzr na mda wake na maneno yako yakowazi na unaeleweka vzr
Wallah mashekhe wetu allah awahifadhi kwa juhudi ya kuitafuta haki
Allah amuhifadhi sheikh Muhammad bachu
Mashallha shekh Muhammad bachu uko vizuri saanha ww unatowa dalili wao maneno saanha ujuwe wa2 wengi wanawateka kwa wa2 umarufu wanatumia umarufu waoo kwakupotosha dini
Sheikh Bachu yuko sahihi zaidi maana amemrejelea Mtume s.a.w. na Allah s.w.
Na Sheikh Alkubraa amemrejelea Sheikh Ibn...ambaye uzito wake si mkubwa.
Quran na Sunna Tuuu❤❤
Allah akuhifadhi bachu .. upande wa pili bado hoja zaifu na unakimbia hoja
Wallahi shk bachu umewamalizahao hawanahoja wanachekachekatu hawana jibu hawana elimu wende waka uze dawa zamitishamba ndiokazizao wakuelewa wameelewa wakaidi waache naukaidiwao umeonesha elimu kubwa kwauwezo wa Allah Dunia imefahamu kuwa barazanje ni shirki Allah akuhifadhi shk muhammad
Shekh Al kubra umenimaliza mashallah una elimu. Umemfanya Bachu mtoto sana
Ume eleweka vuzuri ya sheikh SABAS AL KUBRA BARAKALLAHUFIK
❤
MashaAllah Muhammad Bachu uko juu hawezi kujibu hoja yoyote, Allah akuhifadhi
Muhammad bachu 🎉🎉 mashallah Allah akuzidishie
BARAKHALLAHU FIYK AL AKHY SHEIKH WANGU MUHAMMAD BACHU
Mungu anazidi kuwaumbua nabado mtaumbuana sana kwa uongo wenu wa hadithi rudini kwa yesu
Soma acha mkumbo yesu alitumwa kwa Wana wa isirail TU wakati wake ulipita wakati huu ni WA mohamad sw lazima utafute njia ya kweli na ukiristo SI dini
Bado haujasema nwaka utakao gundua ukristu Siyo dini utakuja kujuta sana
Wallahi tumepata faida kubwa sana
Banchu uko vizur sana nimefaatilia mjadala wote nimekubali 🏋️
Shekhe bachu jazaakallahukhaira,,,,Hawa watu wa bidaa niwabishitu ktk midomo lakini mioyo Yao inakukubali kwamba uko ktk Haki,,,na ushidi ni kwamba,,,makundi tunayo yaona ya wsna Sunna,,,ni Yale yaliokua ktk maulifi zamani,,,na baada yakugundua kwamba maulidi ni bidaa na ni uingo na ni shirki,,,wakatoka ndio wakaingia ktk Sunna,,,lakini ni vigumu kukuta meana anatoka ktk Sunna nakurudi ktk maulidi,,,Haki haijifichi
Hongera Bachu pasina balbala
Sheikh Buchu Allah akuifadh ... Awa watu wanachopigania sikion wanaluka Luka tu...
Mashallah bachu Allah akuzdishie elimu
Kunasihiana ni kuzur sana swala la kuelewa tumuachie mungu tu
wallah bachu natamani nikukute karibu nikupigie Kofi Moja tu roho yangu ituliee
mashaAllah sheikh sabas al kubra
@akram khamis. Sasa hapo. Maashallah ya ninii. Kwa kuutetea uzushii auu kuitetea shirki. Hebu fumbuamacho na masikio yako. Pia funguka kiakiliiii wacha kushadidia maovu kwa MASLAH ya kidunia auu ndio nyie munao neemeka kutokana na mifuko ya masherehe za kiduniaaa
@@rayaali7551 wewe umeona shirki wapi? Wajua maana ya shirki? Tusiwe watu wa kurupukwa na maneno kwa ajili ukona chuki nayo na niwazi vile una zungumza mafhum yako iko chini, mas ala yaku neemeka kutokamana na mifuko zaki sherehe...hii ni ishara tosha na zungumza na mtu mwenye chuki na mafhuum ilikuwa chini zadi
hebu ww mwenye fahamu ya juu tujibiea japo hoja 1 hapo
Mahamad alaha akujaz her na baraka
Masha.Allah kijana mtoto wa Bachu wa mekufahamu wote hawo ila wanaonaaibu kukubali ndomana wanatumiya Akiki nyingi lakIni khaki washaijuwa
wallah watu ni marehemu Hali yakutembea
Allah akutie motion in shall mwanaharamu WA bacho
Kwa kweli Allaàh akikunyima maarifa na ufahamu kwenye ilmu umepata mtihani Mkubwa maana lazima utasumbua tu kwa kujiona msomi kumbe ukijuacho ni kusoma na kufasiri kiarabu ukadhani nawe pia ni miongoni mwa wasomi kumbe bado...Jamaa tusomeni hii dini haitaki usanii wa Qaala llaahu wa Qaalar Rasuul....Bali yahitajia ufafanyzi wa kina kama alivyokuwa akifanya Sheikh..Ila tatizo alikuwa na mtihani sana kujaribu kumfunza mtu anaejiona ana elimu ndio shida yote
Si kwel ww jamaa wa maulid,ALLAH anafuta madhambi yote ispokua shirik,Maaana ya DHAMBI ni tofauti na Maana ya SHIRIK!
QURAN na SUNNA ❤❤❤
Kwa upotoshaji na ukafirisho huu wa majazy alkubraa kama sheria ya kiislamu inafanya kazi Wallah huyu ni wa kukatwa kichwa
Barakallahu ya Muhammad Nassor Bachu,umemzidi kielimu Sabas,Sabas elimu yake ni ndogo
Ukona ushahidi gani kwa unayo dai?
@@akramkhamis-sg2iu Sabas elimu yake ni ndogo sana,hamfikii kabisa Bachu,na aende akawadang’anye watu waliokosa elimu,kama wewe umekosa kulifahamu hilo,itakua ni mmojawapo unaedanganywa,na ukakubali kudanganywa.Tatizo unakubali upotoshwaji.
فالدنيا والآخرة هي من الله ومن خلْقِهِ، وليست من جود الرسول صلى الله عليه وسلم وخلقه، والرسول صلى الله عليه وسلم لا يعلم ما في اللوح المحفوظ، إذ لا يعلم ما فيه إلا الله وحده، وهذا إطراء ومبالغة في مدح الرسول صلى الله عليه وسلم حتى جعل الدنيا والآخرة من جود الرسول وأنه يعلم الغيب الذي في اللوح المحفوظ بل إن ما في اللوح من علمه وقد نهانا الرسول صلى الله عليه وسلم عن الإطراء فقال:
{ لا تطروني كما أطرت النصارى ابن مريم، فإنما أنا عبد، فقولوا عبد الله ورسوله } رواه البخاري.
3- ما سامني الدهر ضيماً واستجرت به إلا ونلت جواراً منه لم يُضَم
يقول: ما أصابني مرض أو همٌّ وطلبت منه الشفاء أو تفريج الهم إلا شفاني وفرَّج همي.
والقرآن يحكي عن إبراهيم عليه السلام قوله عن الله عز وجل:
{ وإذا مرضتُ فهو يشفين } [الشعراء: 80].
والله تعالى يقول:
{ وإن يمسسك الله بضر فلا كاشف له إلا هو } [الأنعام: 17].
والرسول صلى الله عليه وسلم يقول:
{ إذا سألت فأسأل الله وإذا استعنت فاستعن بالله } رواه الترمذي وقال حسن صحيح.
4- فإن لي منه ذمة بتسميتي محمداً وهو أوفى الخلق بالذمم
يقول الشاعر: إن لي عهداً عند الرسول أن يدخلني الجنة، لأن اسمي محمداً، ومن أين له هذا العهد ؟
ونحن نعلم أن كثيراً من الفاسقين والشيوعيين من المسلمين اسمه محمد، فهل التسمية بمحمد مُبرر لدخولهم الجنة ؟ والرسول صلى الله عليه وسلم قال لبنته فاطمة رضي الله عنها:
{ سليني من مالي ما شِئْتِ، لا أُغني عنك من الله شيئاً } رواه البخاري.
5- لعل رحمة ربي حين يقسمها تأتي على حسب العصيان في القسم
وهذا غير صحيح، فلو كانت الرحمة تأتي قسمتها على قدر المعاصي كما قال الشاعر لكان على المسلم أن يزيد في المعاصي حتى يأخذ من الرحمة أكثر، وهذا لا يقوله مسلم
ولا عاقل ولأنه مخالف قول الله تعالى:
{ إن رحمت الله قريب من المحسنين } [الأعراف:56] .
Sabas aya hiyo hukupaswa kuihudhurisha imenifanya nijue wew n mwanafunz wa chekechea
Shukrn shkh sabaa..Allaah akujaze ilmu zaidi.ILA TUNASIKITIKA WANAOKUELEWA APO NI WASOM TU MANA UNAJIB KTK MISING YA ILMU.ILA WATU WANAEZ KUA AWAJAKUELEW WAKAON BACHU NDIO KAJENG HOJA..UPO VZUR SHKH WASOM WAMEKUELEWA.UYO DGO AACHE MIHEMKO AKASOME LUGHA FANI KANUN NK..ZINASAIDIA KUELEW MAANA ZA MAMB MENG SN, UYO BACHU ANAJUA LUGHA YA KUTARJUM TU , 😂😂
Ndungu yngu bila ushabika utagundua kwamba sabas alikua anazunguuka Sana ktk kujibu pia alitaka kuleta complex mfano hii niqash ilipangwa na pande zote mbili na mada walichagua wote mambo yakapangwa Sasa baada ya kujibu anatafuta sababu ya kujitetea et Lete Sheria siku zote hizo hajajua km kuna sheria na niqash yeye ndo muandaaji (2) Yeye alisoma kitabu akakitaja cha shekhe uthymiyy wala hajambiwa kikowapi Nasoro bachu yeye kampa mpk kopi ya kitabu ana alikua nacho mkononi bs pia akadai original ya kitabu kaambiwa kipo mkobani (3) kaulizwa na yule muulizaji mtu akizini je ahukumiwe kwa nia yake au ipitishwe sherea Yeye km shekhe mkubwa Hakutakiwa ajibu aulizwe shekhe uthymiyy heeeeee 😊😊 yaani kalikwepa swali dah mpk nasema huyu ndo shekhe anaehishimiwa naamini anajua km hukmu km hajaolewa au kuowa bs apigwe mijeledi 100 au km kwenye ndoa wapigwe mawe mpk wafe lkn akijibu hivi atajifunga mwenyewe lkn swali kalikwepa Sasa unaona wazi km alikua ana babaisha tu nahau nyingi mie apo ndo kaniwacha hoi et aulizwe shekhe uthymiyy heeeeee alooo be serous
Allah Akuhifadhi
Hapa sheikh sabas al kubra umenoa kwa hakika umedodora kidalili
Shekh bachu allah amuhifadh
Bachu mashallah
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Hakuna wa kukupata ktk hoja bacho uko juu umejibu vizuri uyo mwenzio hana elimu uyo na anatumia akili zake tu
bachu iyogope cku ambayo atakusimisha ulipe juu yakutukana mashekh nakupotosha watu unatumia nguvu nyingi sana pole sana umeangalia lkn huoni
Mbona sheikh sabas km sijuelewi vizuri unachokiongea na umekua unaruka ruka 2
Allah atuhiadhi
Amiina
Tawhid tatu mbele Ibnu taimiah
ومنهم: ابن جرير الطبري (ت: 310هـ) في مواطن عديدة من تفسيره، وانظر -على سبيل المثال- كلامه في معنى قوله تعالى: "فاعلم أنه لا إله إلا الله".
ومنهم: أبو جعفر الطحاوي (ت: 321هـ) الذي قال في مقدمة متنه في العقيدة المشهور بالطحاوية: (نَقُولُ فِي تَوْحِيدِ اللَّهِ مُعْتَقِدِينَ بِتَوْفِيقِ اللَّهِ: إِنَّ اللَّهَ وَاحِدٌ لَا شَرِيكَ لَهُ، وَلَا شَيْءَ مِثْلُهُ، وَلَا شَيْءَ يُعْجِزُهُ، وَلَا إِلَهَ غَيْرُهُ ... )، فقوله: "إن الله واحد لا شريك له" شامل لأقسام التوحيد الثلاثة؛ فهو سبحانه واحد لا شريك له في ربوبيته، وواحد لا شريك له في ألوهيته، وواحد لا شريك له في أسمائه وصفاته.
وقوله: "ولا شيء مثله" هذا من توحيد الأسماء والصفات.
وقوله: "ولا شيء يعجزه" هذا من توحيد الربوبية.
وقوله: "ولا إله غيره" هذا من توحيد الألوهية.
ومنهم: أبو حاتم محمد بن حبان البستي (ت: 354هـ) في مقدمة كتابه: "روضة العقلاء ونزهة الفضلاء"، حيث يقول: (الحمد لله المتفرد بوحدانية الألوهية، المتعزز بعظمة الربوبية، القائم على نفوس العالم بآجالها، والعالم بتقلبها وأحوالها، المانِّ عليهم بتواتر آلائه المتفضل عليهم بسوابغ نعمائه، الذي أنشأ الخلق حين أراد بلا معين ولا مشير، وخلق البشر كما أراد بلا شبيه ولا نظير، فمضت فيهم بقدرته مشيئته ونفذت فيهم بعزته إرادته ... ).
ومنهم: ابن أبي زيد القيرواني المالكي (ت: 386هـ) حيث قال في مقدمة كتابه الرسالة: (من ذلك الإيمانُ بالقلب، والنُّطقُ باللِّسان أنَّ الله إلَهٌ واحدٌ لا إله غيرُه، ولا شبيهَ له، ولا نَظيرَ له، ولا وَلَدَ له، ولا وَالِدَ له، ولا صاحبة له، ولا شريكَ له، ليس لأَوَّلِيَّتِهِ ابتداءٌ، ولا لآخِرِيَّتِه انقضَاءٌ، لا يَبْلُغُ كُنْهَ صِفَتِهِ الواصفون، ولاَ يُحيطُ بأمرِه المُتَفَكِّرونَ، يَعتَبِرُ المتفَكِّرونَ بآياته، ولا يَتَفكَّرونَ في مَاهِيَةِ ذاتِه، ولا يُحيطون بشيءٍ من عِلمه إلاَّ بِما شاء … إلى أن قال: … تعالَى أن يكونَ في مُلْكِهِ ما لا يُريد، أو يكونَ لأَحَد عنه غِنًى، أو يكون خالقٌ لشيءٍ إلا هو رَبُّ العباد ورَبُّ أعمالِهم، والمُقَدِّرُ لِحَركاتِهم وآجالِهم، الباعثُ الرُّسُل إليهِم لإقَامَةِ الحُجَّةِ عَلَيهم)، فذكر الأقسام الثلاثة.
ومنهم: ابن بطة العكبري (ت: 387هـ) في كتابه: "الإبانة عن شريعة الفرقة الناجية ومجانبة الفرق المذمومة".
ومنهم: الإمام القرطبي (ت: 671 هـ) في تفسيره في مواطن عديدة، قال: (الشِّرْكُ عَلَى ثَلَاثِ مَرَاتِبَ وَكُلُّهُ مُحَرَّمٌ. وَأَصْلُهُ اعْتِقَادُ شَرِيكٍ لِلَّهِ فِي أُلُوهِيَّتِهِ، وَهُوَ الشِّرْكُ الْأَعْظَمُ، وَهُوَ شِرْكُ الْجَاهِلِيَّةِ، وَهُوَ الْمُرَادُ بِقَوْلِهِ تَعَالَى: (إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَنْ يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذلِكَ لِمَنْ يَشاءُ). وَيَلِيهِ فِي الرُّتْبَةِ اعْتِقَادُ شَرِيكٍ لِلَّهِ تَعَالَى فِي الْفِعْلِ، وَهُوَ قَوْلُ مَنْ قَالَ: إِنَّ مَوْجُودًا مَا غَيْرَ اللَّهِ تَعَالَى يَسْتَقِلُّ بِإِحْدَاثِ فِعْلٍ وَإِيجَادِهِ وَإِنْ لَمْ يَعْتَقِدْ كَوْنَهُ إِلَهًا كَالْقَدَرِيَّةِ مَجُوسِ هَذِهِ الْأُمَّةِ، وَقَدْ تَبَرَّأَ مِنْهُمُ ابْنُ عُمَرَ كَمَا فِي حَدِيثِ جِبْرِيلَ عَلَيْهِ السَّلَامُ. وَيَلِي هَذِهِ الرُّتْبَةَ الْإِشْرَاكُ فِي الْعِبَادَةِ).
بارك الله فيك
Lahore - Pakistan Sheikh Sabas Al Kubrah , Asante saana kuelekeza ufahamu uelewa sahihi kwa ndani zaidi
😂😅😅😅😂😂😂😂 dah sikio lakufa halisikii dawa
Lisikii dawa majahili kumbe niweng xx hoja 19 amejibu ngap km sijahili sabass
@@mohamedswaleh6778 usumuonee Bure hawazijibu Hana hoja, bachu ataua Mzee WA watu hoja kama mvua
Inna lillah waina illah rajion mumewasha mashia sasa nyinyi kwa nyinyi wakati ushia unashika hatamu sasa
Dah
Mtoto wa bachu amewasuza vizuri leo😂😂😂😂
Alhamdulliah faida imepatikana lkn haya sio mambo muhimu sana katika dini yapo mambo muhimu mashekh wetu mmeyawacha hamutaki kuyafanya kuna watu tena ni waislamu wenzetu hawajui misingi ya dini yao ingekuwa vyema mukawafikia ili kuwaongoza kuliko kuwacha ummah muhammad kupotea kuliko kubaki kwenye maulid na mengine ambaya hayana tija kuna waislm wanalala na njaa wengine wagonjwa wengine hawajui maadil wamepotea walevi wacheza kamari waizi wazinifu n.k
Nacho uk vizuri
mmmhhhhh kiukweli bachuu hajasma arudi chuo akasmeshwee nahauuu pamja na fani yahadithi kwamoto washekh saidiii atasma barazanji bachoo yaan sio aibu teleeeeeeeee kwa bachooo neno languu kasme ndo mawaidha yangu yaleo kwabachuuuu😅😅😅😅😅😅😅
Majazi majazi mnapenda kula tu, mala utasikia leteni huku Kwa Mashekh Nyama nyingi nyingi....
Lete lete huku pili pili bana
😂😂😂😂 na maji ya azam
😂😂😂😂😂
Sasa sheikh Sabas mbona hutafsiri maneno yote?unatuchanganya
Mashallah Sheikh sabas ni mti hoja zilizo kwenda shule
Acha wewe una umwa
Wewe kweli mgonjwa
alhabiib sheikh sabbas nakuelewa san unavyoleta elimu hapo hakun kupuyanga ni elimu tu
naomba jibu straight ambalo shekhe wako kajibu kwa hadith sahihi au kur-ani mie naona kazonga zonga tu nahau nyingi
Sabas kasome kwa Mohamad
Watakwama Nan shkh
Sheria zenyewe hulekebishwa hata kitabu cha maulidi kinatakiwa kulekebishwa jamani kilitungwa na MTU sio mungu
Dini Kwa dalili nyie watu wa maulidi mtadanganya mpaka lini haijafika wakati mkatubia kwa Allah
@@RadhiaKasimu-so1xq hahahaa hii hapa duniani tutadanganywa mpaka
Bacho bado mtoto sana kielimu anachanganya mambo ana uwahabi wa kitoto
Hahaha wewe jahel
Huyu sheikh Abas alitakiwa apigwe mboko anapotosha Watu sanaa anajibu hoja kiakili hahaha. Bachuuu( a young lion is a lion) hongera Mohammed Bachu.
Siomboko inabidischinjwekabisaa
Sabas hoj ya kwanz dhaifu sana kuhus mazish ya ibnu taymiah
Allah akihifadhi shekhe bachu
Kwa haya hata mimi maulidini sendi tena ukweli umebainika.
maulidin hatukutaki maan hun faida yoyote
Mashallah
Bacho Mara anakubal Mara anakataaa
shekh Majazi leo kapatikana
Regeeni kwa mungu muache kufru masufi...
Sabasi muongo na Diwani wake wstu wa masilaii hao kulaaa tuu.
Sheikh sabas umejibu vizur ila uelewa wa wengine ni mdogp maana mawahab weng wanakuwa na uelewa mdogo wanatafsir neno kwa neno
kwa sababu mawahabi wanajiepusha na shubha.
Mawahabi hawampambi saaaana paka asije geuka chui kama vile masufi walivyopindukia mipaka kumsifu mtume ﷺ
Huyu Mtoto Wa Bachu Kiboko,Mtoto Anajua Sana Huyu!!
Mashallah
MaashaAllah
Bachu... kiarabu uko nyuma sana... fata haq acha unaafiq
Watu wa twariika mnajizima data lkn ukweli ni kwamba hoja zoote hamjazijibu mnazunguka zunguka tu
Mm na utwarika bac kumbe kuna shirk dooooo
Sabas muogope Allah maana unaona jua linatoa mwangaza lakin unajifanya huoni kabisa mchana kweupe na sio kipofu kabbisa Allah akuongoze katka haki na nduguyo maana haki ni mwangaza na upotof ni giza unaleta giza jamaa analeta mwanga unamulika vizuri teN kwenye giza kali ukija mwanga unamulika vizuri sana we leta giza mwanga uje tusome zaidi na utaamua mwenyewe kuendelea kuwa ubao au ubadilike halaf wajua kukwepa sana kujibu maswali na kukimbilia kulalamika na kupotezea majazi majazi hata mwishowe unaulizwa nati unatoa jibu screw vitu tofaut ukiambiwa kuhusu kijiko unajibu jembe vitu tofauti na pia hoja zako badala ya kuegemeza katika elimu unaangalia walomzika ibni Taymiya hata kama sio watu walokuwa wanasoma kwake unangangania sana vitu vya ajabu ajabu na hao wanafunzi hawakusema walikubaliana nayo
kama huna elimu huwezi kumuelewa sheikh Sabasi kubra me nimemfahamu vzr sana jamaa ana elimu hatumii nguvu kulekeza na mifano yake midg sana na myepesi inaeleweka
Amma kweli C KIO la kufa halickii dawa BACHU NI SUMMU BUKMU UMMYU haon au hataki haki
Lohhh Bachu kweli elimu ya undani hana. Elimu yake ni ya tafsiri za juu juu hana uelewa kweli
Shekh Qubra huna kipaji cha mjadala ufasaha huna brother
❤❤❤bachu point view but ans un view😅😅😅kz kweli
Muhammad bachu yupo sawa sn
Nyie watu barazanj mjueni na yesu ni mungu katika utatu
Ndio kilichobakia hicho😂😂
AIBU!! HAYA SIO MAPITIO YA WAISLAM ,KAENI FARAGHA MUELIMISHANE NA SIO KUADHIRISHANA HADHARANI,WATU WANAMOANGO WATU KUOANA JINSIA MOJA NYIE NDIO MUNA ANZA KULUMBANA HADHARANI,
ماذا تعرف عن قصيدة البردة
الحمد لله رب العالمين، والصلاة والسلام على رسوله الأمين وعلى آله وصحبه أجمعين
هذه القصيدة للشاعر البوصيري مشهورة بين الناس ولا سيما بين الصوفيين.
ولو تدبرنا معناها لرأينا فيها مخالفات للقرآن الكريم وسنة الرسول صلى الله عليه وسلم !
يقول في قصيدته:
1- يا أكرم الخلق ما لي من ألوذ به سواك عند حلول الحادث العمم
يستغيث الشاعر بالرسول صلى الله عليه وسلم ويقول له: لا أجد من ألتجئ إليه عند نزول الشدائد العامة إلا أنت، وهذا من الشرك الأكبر الذي يُخلد صاحبه في النار إن لم يتب منه، لقوله تعالى:
{ ولا تدع من دون الله ما لا ينفعك ولا يضرك فإن فعلت فإنك إذا من الظالمين } [ يونس: 106].
( أي المشركين ) لأن الشرك ظلم عظيم.
وقوله صلى الله عليه وسلم:
{ من مات وهو يدعو من دون الله نداً دخل النار } رواه البخاري.
( الند: المثيل ).
2- فإن من جودك الدنيا وضرتها ومن علومك علم اللوح والقلم
وهذا تكذيب للقرآن الذي يقول الله فيه:
{ وإن لنا للآخرة والأولى }
بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
Mzee WA Majazi usisahau NA mandazi kwa sababu unapenda kula.
Ww msenge sana
Sabbas hana uwezo wa kujib hoja
Kwa kusema ukweli huu shekh sabas anatetea musimamo wake tu , anatetea shiriki kabisa
Bachu mtoto wa Simba!
Huyo kwa hakika ni msomi tunafaa tusimame na huyu sheikhi
Tumepata faida wenye kupata na tuwaombee na wenzetu Allah awajaalie wafungue macho maana shetan da'awa y tawheed na ya iisalaf haitaki anawapamba watu waichukie zaidi na kuwapa njia za kujiona wapo sawa wakatafsir kwa matamanio ya nafsi zao kwa kuwa hakuna alopotea kama afuataye matamanio ya nafsi yake bila ya haki. HAKINA Allah hawaongozi watu nadhalim (wenye kibri na ushabiki mbels ya haki wakaichukia haki kwa maslah ya nafsi zao) na kwa dalili tu na hoja ambaye atasimamia kutaka kujua haki akamuomba Allah atajua na ambaye ana noa ya kutetea utamu wa ubwabwa na maanadazi ya maulid atabakia katka ubwabwa hadi Allah akitaka amuongoze au afie katika sufuria la ubwabwa wa mau. Kuba kuwaombe ndugu zetu Allah awaongoze maana nasi tulikuaa huko akatutoa tumekula sana maandazi na kuimba bila kujua na kucheza na kutandika matwari lakin haki ikaja akatuokoa na hayo.
Mie sjawahi ona maulid saudia kwani yalitokea wapi,ikiwa maulid yapo sawa basi kituo kikuu ni mecca na ndio hamna hadi madina hamna.wakayatoa wapi hawa😢
Niko saudia na nakubaliana na wewe.
Sheikh Hii barzanji ina shubha
Wa kwanza ku gawanya Altowhid
الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، أما بعد؛
فالحقيقة أن تقسيم التوحيد إلى الأقسام الثلاثة: (توحيد الربوبية، والألوهية، والأسماء والصفات) ليس من مخترعات شيخ الإسلام ابن تيمية -كما زعموا!-، بل قال به أئمة وعلماء من السلف قبل ابن تيمية.
فمِن هؤلاء الأئمة: أبو حنيفة (ت: 150هـ) في الفقه الأكبر الذي قال فيه: (وَالله تَعَالَى يُدعى مِن أعلى لَا من أَسْفَل؛ لأنَّ الأَسْفَل لَيْسَ من وصف الربوبية والألوهية فِي شَيْء).
فقوله: "يدعى مِن أعلى لا من أسفل … ": فيه إثبات العلو لله، وهو مِن توحيد الأسماء والصفات، وفيه رد على الجهمية والمعتزلة والأشاعرة والماتريدية وغيرهم مِن نفاة العلو.
وقوله: "من وصف الربوبية": فيه إثبات توحيد الربوبية.
وقوله: "والألوهية": فيه إثبات توحيد الألوهية.
ومنهم: القاضي أبو يوسف صاحب أبي حنيفة (ت: 182هـ)، وقد نقل كلامه كل من الحافظ ابن مَنْدَه (ت: 395هـ) في كتابه التوحيد.
ومنهم: الإمام أبو القاسم إسماعيل التيمي الأصبهاني (ت: 535هـ) في كتابه الحجة، وأثر أبي يوسف هذا الذي رواه هذان الإمامان عظيم، القدر مشتمل على أقسام التوحيد الثلاثة: توحيد الربوبية وتوحيد الألوهية وتوحيد الأسماء والصفات
الله أكبر. بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
😮
Walishaitikadi washirikina kuwa wanawasujudia masanamu sio kwa ajili ingine ila ni majaz tu wanafanya kwa ajili ya kuwakaribisha kwa Allah kupitia ibada yao ya sanamu tazama az zumara
{ أَلَا لِلَّهِ ٱلدِّینُ ٱلۡخَالِصُۚ وَٱلَّذِینَ ٱتَّخَذُوا۟ مِن دُونِهِۦۤ أَوۡلِیَاۤءَ مَا نَعۡبُدُهُمۡ إِلَّا لِیُقَرِّبُونَاۤ إِلَى ٱللَّهِ زُلۡفَىٰۤ إِنَّ ٱللَّهَ یَحۡكُمُ بَیۡنَهُمۡ فِی مَا هُمۡ فِیهِ یَخۡتَلِفُونَۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا یَهۡدِی مَنۡ هُوَ كَـٰذِبࣱ كَفَّارࣱ }
[Surah Az-Zumar: 3]
"Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri"
HIZO Hao nao wanapenda kupinga aatu wa tawheed na huku wanaabudia sanamu wakiulizwa wanajibu "ni majazi" Kwanini wahirikina mnapenda sana kujifichia kwenye majaz kila ibada zenu za shirki mkikatazwa na mnakuwa mwashindana na ahlut tawheed na hapa kila kitu mkikamatwa mwasingizia majaz na hao nao walitumia sababu za uongo na kuita "majaz" kama ninyi mpaka Allah anawarudi
BACHU ni hatari
Jeshi LA mtu mmoja
Allah ampe ikhrass amen ametufundisha vema