Nilikata tamaa baada ya kufuatilia maomb yako nimeanza kusikia aman moyon mwang mungu akubalik baba ameen nipo oman naitaj sana msaada wa mungu pekeang siwez
Ameen MTUMISHI na Leo ni mwisho wa shida zangu zote nimechoka kuchezewa maisha na huyu shetani Sasa mm Ni NURU sio Giza tena kwa Sasa na limeshindwa Giza kwa DAMU YA YESU ,BWANA wa MAJESHI NDO KIMBILIO langu Mimi sitamwacha maisha yangu yote .🙏⛪
Kila vizuizi vya kila aina vinavyo tuzuilia Kwa kila namna iwe nikutokupata kazi,kutofanikiwa,kutokuwa na amani upande wangu na wànangu popote walipo vishindwe Kwa jina là Yesu Amina
E mungu nifungue kwa hii Hari ya mikosi,kutengwa,na kutofanikwa kwa Kira ninacho kipanga vikwazo vimekuwa vikwazo na medeni e baba nimekuwa mtu wa omba omba Kira sehemu 😢 baba nimechoka na hii ari 😭😭😭😭
Allelujah nilipokua katikati ya maombi nikayaona matendo makuu ya bwana nilikua nimeeka earphones nikijiunga na apo tulikua tukipiga na bi boss ambaye ni mpinga kristo thn akawawa ansfry potato yakaungua zote alipoeka Kwa zahani zote zikaanguka nakumwagika
Nilikata tamaa baada ya kufuatilia maomb yako nimeanza kusikia aman moyon mwang mungu akubalik baba ameen nipo oman naitaj sana msaada wa mungu pekeang siwez
Naomba maombi ya kuvunja vizuizi kwenye uchumi wangu na afya
Roho ya kukataliwa naondoa kuanzia leo Amen
Ameen MTUMISHI na Leo ni mwisho wa shida zangu zote nimechoka kuchezewa maisha na huyu shetani Sasa mm Ni NURU sio Giza tena kwa Sasa na limeshindwa Giza kwa DAMU YA YESU ,BWANA wa MAJESHI NDO KIMBILIO langu Mimi sitamwacha maisha yangu yote .🙏⛪
Amen Mungu nimepokea kwa jina la yesu
Kila vizuizi vya kila aina vinavyo tuzuilia Kwa kila namna iwe nikutokupata kazi,kutofanikiwa,kutokuwa na amani upande wangu na wànangu popote walipo vishindwe Kwa jina là Yesu Amina
Najiunganisha na maombi haya navunja Kila vizuizi vinavyo nizuia kuomba 🙏 nakuwa mazito saana Mungu wa Mbinguni anitete
Shetani achia maisha yangu kwa jina la yesu kupitia haya madhabahu
Amen mchungaji umenigusa sana kupitia maombi haya naimani nimefunguliwa tarejea katika nafasi yangu katika jina la yesu 🙏🙏
Amen mtumishi mungu akubariki ninakataa kizuizi ambacho kinanizuia nisiolewe ninaamini nitafunga ndoa
Shetani toka kwenye maisha yangu namkaribisha Yesu Asante Yesu kwa kuniponya...
Mungu naomba kwa uwezo wako naomba uniondolee vifungo viote ambavyo vimefunga hatima za watoto wangu kujijenga kimaisha
Amen Baba nimepokea katika jina la yesu
Amen Amen Amen baba mtumishi napokea uzima uponyaji kwa jina ka yesu kristo🔥🔥🙏🙏
Amina kubwa pastor mungu akubariki sana
Naomba maombi ya kufunguliwa maisha yangu yapo kifungoni naomba kufunguliwa kwa jina la yesu
Naomba maobezi ya kuvunja vikwazo kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏👏🙏🙏🙏
Amina mtumish kweli kabisa nmefurai xnaa kusikie hvy mtumish
Asante kwa kuniponya maombi yako ni kiboko naomba uniombee nipone mgongo na miguu
E mungu nifungue kwa hii Hari ya mikosi,kutengwa,na kutofanikwa kwa Kira ninacho kipanga vikwazo vimekuwa vikwazo na medeni e baba nimekuwa mtu wa omba omba Kira sehemu 😢 baba nimechoka na hii ari 😭😭😭😭
Shetani achia maisha yangu kwa jina la Yesu
Naomba maobezi ya kufunguwa vizuizi katika maisha yangu Kwa jina la YESU christo amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu acha mungu akutie nguvu...ila nipo kenya na kila nikijaribi kukupigia ninakuta haiendi
Pasita wangu mungu akubaliki sana kwa maombi
Amen Amen I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
Naondoa vizuizi vyote kweny maisha yangu ktk yangu
Amen maombi nidawa🙏🙏
Nina Imani Naenda Kufunguliwa Amina🙏
Amen mungu niponye nikutumikie
Naomba maombi yakufungua kizazi changu na tumbo langu ka kina la Yesu
Ameni mtumishi
Shetani wacha maisha yangu na Familia yangu tunavunja. Mathabau ya mgojwa yashidwe Katika Jina la Yesu
Nelly kadenyi midikila mungu fungus baba mzazi ndungu zangu wapate kazi
Najiungamanisha kwa jina la Yesu.
Powerful prayer imenikuza kwa roho yangu kabisa nashukuru mtumishi wa mungu, from kenya
Mungu akui nue sana
Sharom sharom asantee kwa maombi nifarijika sana napopata maombi yako mungu akulinde milele
Mungu sio mungu
Ameen, naomb nifunguliwe katika njia na mafanikio yangu
Amen asante Yesu
Amen mutumishi wamungu nungu anibariki namiye baba nashukuru kwamaombi nungu akutie nguvu baba niko uganda
Roho ya vizuizi naikataa kwa damu ya Yesu...
nimeona udhiirisho wa mungu nashukuru sn adui alikua ananinunia bila sababu leo amenitafuta na kuniomba msamaha
naomba mungu afungue maisha yangu nadoa yangu
Amina mtumishi
amen.amen.and.amen❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naombe MAOMBI ya kufungua maisha yangu😭😭😭 katika Jina la Yesu chrito🙏🙏🙏🙏🙏
Amen and amen 🙏🙏🙏
Amen and Amen Amen Amen Amen Amen
Amen nafanikia na mwanangu atapona kwajina la yesu
Navunja vikwazo na vizuizi vya ujenzi wa nyumba yangu kwa Damu ya Yesu
Kila vikwa kwa Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏 yaani haya mafundisho yananiusu mm kwa kweli yaani chetani amepitiya watu ambao naishi nao ili iniondoe kwa Mungu
Bwana Yesu asifiwe, mtumishi kama wanasema mimi
Amen amen amen
Nimeguswa sana na haya maombi siku zote. Barikiwa Pastor Amen
Naomba maisha yangu yapate kunyook
Naomba maobezi ya vikwa JINA LA YESU christo amen baba 🙏
Eeeeeee Mungu naomba vizuizi viniondoke kwajina layesu
Amen amen
Amen 🙏🤲🙏 Duuuuh Nimepokea Kwajina la Yesu🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Fungua milango ee mungu fungua biashara
Naomba niondolewa kizuizi Cha mafanikio na afya
🙏Amen , pasta hii ni yangu kweli 🧎🧎🧎🧎🧎🧎
Amen
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki Sana baba
Amen Amen
Ulivyo kuwa unaomba nimebisikiya mikono yangu kutetemeka Sana alafu ika aciya Nika hisi moto kwenye vitanga bya mikono nasukuru Sana kufunguliwa
Ameeeen Ameeeen
Naomba maombi yakuzuia madui zangu kwajina layesu
Amen 🙏
Ashindwe shetani, na mawakala wake.aminaa!
Navunja kila vizuizi vinavyozuia mwanangu asifanikiwe kwenda masomono,eeh mwenyezi Mungu nisaidie
I received i received
Allelujah nilipokua katikati ya maombi nikayaona matendo makuu ya bwana nilikua nimeeka earphones nikijiunga na apo tulikua tukipiga na bi boss ambaye ni mpinga kristo thn akawawa ansfry potato yakaungua zote alipoeka Kwa zahani zote zikaanguka nakumwagika
Amina maombi yako yameanza kiunifungua
Ameen Ameen
Shetani hauna tena nafasi kwang damu ya yesu inifunike
Amina amina
Amen mtumishi 🙏🙏
shalom 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 be blessed paster for the powerful prayer 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Shalom pastor for the powerful prayer. Ameen
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
Jamani Mimi ninaishi kijijini huku watu wengine Ni wapaganituombeeni na sisi watu wafunguliwe na huku.
Aminaaaaa nimebarikiwa
Amen🙏🙏🙏 i receive my miracle
Ameen
I received
Amen🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen 🙏🙏
Ameeni
Amen in Jesus name🙏
Kweli kabisa,nimeguzwa sana
Amen pastor 🙏
Amen pastor
Naomba huniombee kila kizuizi hambacho kinanifanyi nisipate mtoto
Amène amen amen eeeeeeena
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina 🙏🙏
Amen🙏🙏
Shetan niondolee vizuiz kwenye risk zangu kwajina layesu
Ameeeen 👏
Ameeeeeeen