Akuna dawa kwa iyi dunia kama maombi asanate kwa kuniombeya ni likuwa ni kifungwa myaka mingi lakini ku pitiya maombi yako mutumishi wa Mungu ni mefunguliwa na sema asante pastor
Amen maombi yako inanisaidia sana ubalikiwe paster nimepata jibu sana nilikuwa nashida yakukaa pekee sitaki wato kalibu yangu lakini mungu alinisaidia ivi nakaa pamoja nawo naskia furaha tena nilikuwa na maumivu mengi sana🙏🙏
Amen Mungu anisaidie sana nikifikia kuomba napata usingizi nikiacha usingizi unaisha . Usiku kuamka saa 8 kusali siwezi napitiwa usingizi mpaka asubuhi naomba Mungu nisaidie
Ninaomba mtumishi uniombee naitwa maria samweli sulley mwanafunzi wa chuo kikuu Cha udsm mwaka wa kwanza.napitia magumu nimeota nimepata mkopo Ili nisome lakini nimefika chuo cjapata mkopo nasahivi Sina hela roho yakukata tamaa imenifika mungu anisaidie na pia naumwa Kila saa naomba msàada
Naombaa uniombee masomo yangu yaende vizuriii
Akuna dawa kwa iyi dunia kama maombi asanate kwa kuniombeya ni likuwa ni kifungwa myaka mingi lakini ku pitiya maombi yako mutumishi wa Mungu ni mefunguliwa na sema asante pastor
Wapendwa tuandike jina la Mungu kwa herufi kubwa. Maana ukiandika mungu unamaanisha miungu,,,,
Hakika maombi ni dawa. Asante pastor kwa maombi yako. Namuona Mungu. Amina.
Ameen 🙏🙏
Amen 🙌🙏 Mungu nisaidie matatizo yote najua umenitendea mengi Mungu wangu napitia kipindi kigumu mutetezi wangu niwepee
Amen maombi yako inanisaidia sana ubalikiwe paster nimepata jibu sana nilikuwa nashida yakukaa pekee sitaki wato kalibu yangu lakini mungu alinisaidia ivi nakaa pamoja nawo naskia furaha tena nilikuwa na maumivu mengi sana🙏🙏
Rubisa napokea kibali ushindi uzima Nuru mm na watoto wangu Rashid asma kupitia maombi ni sawa kwa jina la yesu amen
Mungu nakushukuru Sana kwa yote, EE Mungu nakuomba Neema na ushuhuda mwaka huu. Nimechimba Kisima ni wewe Mungu
amen mtumish nazid kuomba mungu anisaidie nifikie hatima yangu, mroho y kunirudisha nyuma yashindwe
Bwaba Yesu asifiwe Mtumishi Naomba maombu yako,najikuta nimelala bila kupmba nashindwa ni roho gani amenikujilia naomba msahada,Asante mrumishi
Naitwa Emiliana Nyamwasa mtumishi naomba uniombee nasumbuliwa na wasiwasi hofu nawoga nateseka sana mtumishi wa Mungu
Asante Mungu akubariki, naomba niombee niweze kufanikiwa ktk maisha nimepitia magumu kwa kipindi kirefu sana
Amen 🙏 hakika maombi dawa ikawe na mwanagu akapokee uponyaji nakataa roho mshtuko juu ya mwanagu na kwangu 🙏
Mungu akubariki sana pastor hakika unaniinua kiimani kupitia maombi haya.
Ameen. Pastor.mungu.akubari.sana.kwa.kutuma.haya.maobi.kwa.mitadao.inanisaidiya.sana.asate.pastor.....
@jak Roho ya maombi iwajaze watoto wangu na wajukuu wangu katika Jina la Yesuna roho ya rehema kutoka kwa Bwana
Mungu baba pokea maombi yangu na famlya yangu AMINA
Mungu wangu naomba unipe ujasiri wa kuomba na nakuwa na usingizi sana Mungu wangu nisaidie Amen
Mungu nikumbuke unapotembelea watu usiku huu...
Amen barikiwa pastor 🙏🙏🙏
Bwana Yesu asifiwe mpendwa, naomba uniombee ninasumbuliwa na nguvu za giza na ninauhitaji wa watoto Amina
Amina barikiwa san mtume
Ameen Mungu nakuomba utulinde tulale.salama
Maombi nidawa asante mungu uwenami kwa maisha yangu Nina vituko mingi pasta nitiye kwa maombi jina langu volonté kyalwahi
Kupitia maombi haya nmeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu....ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
mtumishi naomb uniombee mchumba wangu anabadilika badika kila siku sina ninachomkosea
Amina nimemuona mungu kupitia maombi yako
Asante Mch. umenibariki na maombi haya namshuku sana Mungu
Yesu naomba nguvu ya kuomba na nijibiwe maombi yangu yote Ameeen🙏🙏🙏🙏
Amen kweli mtumishi wa Mungu bila maombi nishida sana 🙏🙏🙏
Nafutahiya sana haya maombi nasikiya amani lakin sijuw na shida gani maana mwili wangu ni kama kuna vitu vinachom asante mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
Ameeen
Asanti mtumishi wa Mungu.kwa maombi
Amen Amen Naitwa mariyamu mm ni mwisilam Napenda san kuomba Ata usiku naa 9 pia nakua Naota na mka naomba pia🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu akusaidie Mariam
Mungu akulinde Mariyamu🙏🙏
@@bingwa.Artist Amiin Ubalikiwe baba
@@annatemu4488 Amiin Nawe pia
Amen
Mungu anisaidie sana nikifikia kuomba napata usingizi nikiacha usingizi unaisha . Usiku kuamka saa 8 kusali siwezi napitiwa usingizi mpaka asubuhi naomba Mungu nisaidie
Amen mungu nirinde usikuu huu waleo
Amina. Baba. Naomba. Unisaidie. Kuniombea. Ili. Nipate. Shauku. Lakuomba
Amina mungu akubaliki tuombe pamoj
Amen. Mungu Ni mwema ❤kwetu kila wakati
Amina ubarikiwe mtumishi
Maombi ni dawa Amen❤
Hakika mungu amenihudumia ...Ameeen 🙏
Amen Amen, mungu ni mwema
mungu niponye nilinde swasaw na mapenzi yako
Ninaomba mtumishi uniombee naitwa maria samweli sulley mwanafunzi wa chuo kikuu Cha udsm mwaka wa kwanza.napitia magumu nimeota nimepata mkopo Ili nisome lakini nimefika chuo cjapata mkopo nasahivi Sina hela roho yakukata tamaa imenifika mungu anisaidie na pia naumwa Kila saa naomba msàada
Polee ama,,,Mungu ni mwema ata kuvusha usikate tamaa
Amen Amen 🔥🔥🙏🙏 napokea ulinzi wa mungu baba kwa jina la yesu krosto Amen 🙌🙌🙏🙏
❤barikiwa mtumish
Amina mtumishi ubarikiwe
Amen Amen 🙏nimepokea barakah kwa imani hakika maombi ni dawa🙏🥺
Ee mungu nisaidie nipate shauku ya maombi ya kumiminika moyoni mwangu uwe pamoja nami
Amina tuombe mtumishi
Ameeen Mungu nipee iii neema
Amen mtumishi wa mungu kwakweli nimebarikiwa nawe
Mungu ni mwema ❤❤
Asante sana mtumishi wa mungu
Amena mtumishi Wangu
Amen 🙏 Mungu tuonakuomba utulinde katika ucku huu 🙏
Asante mtumishi ubarikiwe
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Amen barikiwa saana Shalom
Amen naomba niinuke kiimani nmeshuka mno nisamehe Mungu wangu😢
Ee Mungu nirejeshee kila kilicho iibiwa kwangu
Asante Mch Mungu Kubariki niombee mimi na watoto wajukuu nawaume watoto wangu ameni
Ameen Mungu utulinde Ucku huu ubarikiwe Baba mtumishi wa Mungu Ameen🙏🙏
Asante Sana mtumishi wa Mungu kwakweli namuona Mungu akinihidumia
Thanks God the saviour of my life
Amen asate mungu akubariki sana mutumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏❤❤❤
Amen yesu nisaidie nipate nguvu ya maombi
Amina pasta mungu akubariki saaaana
Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU akulinde na akubariki sana
Bwana yesu nitienguvu ya kuomba
Amina mtumishi❤❤❤
Asante mtumishi naomba uniombee
Maombi ni dawa God bless you 🙏🙏
Aaamina mtumishi 🙏
Amen mtumishi wa mungu nashukuru nimebarikiwa
Naomba Mungu unipe nguvu ya maombi.Nakataa uzito wa kuomba katika Jina La Yesu.
Bwana yesu naomba ni zingire kwa nguvu moto na damu ya yesu
Ee mwenyezi Mungu tusaidie amen,
Mungu naomba nirudishie nguvu ya kuomb amen
Amen nimepokea kwa jina la yesu kristo aliye hai🙏
Amen Amen mchungaji napokea uponyaji kwa jina la yesu amen roho ya maombi Eee mungu wangu naomba nisaindie
Barikiwa sana mtumishi wa Mwenyezi Mungu, barikiwa sana
Mungu akubariki, nabarikiwa sana na huduma hii ya maombi
Mungu naomba unisaidie niweze kuomba Kila siku nimekuwa mdhaifu Sana 🙏🙏🙏
Napokea uponyaji wa kiroho kwa jina la yesu naomba nguvu wa maombi mungu wangu 😢😭🧎♀️🙌🙏💥💯👩👧👦
Kwa kwelu maombi yako mtumishi yananisaidia sana sana najiona napata mabadiliko
Naomba mungu unipe roho ya maombi
Mungu nipe nguvu
Asante pastor maombi ni nguzo ya imani Mungu akubariki sana
Bwana Yesu asifiwe , Amina mtumishi
Mungu akubariki sana sana amina
Asante sana kwamahombi yako ubarikiwe sana
Amen mumgu nikinde usiku huu karibu bwan keakitanda karibu na malaika wako nakwalika mungu wangu 🙏🙏
Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Mungu akubariki
Amina mtumishi Mungu akupiganie zaidi ya hapo
pastar naomba uniombee miguu inakufa ganzi naitwa maria paulo zengwa 🤲🤲🤲🤲
Amen Acha mungu atu funike kwa damu ya mwanawe yesu
Asante sana Mungu kwa kumwinua Mtumishi Godwin nakuona Mungu kupitia maombi yake
Amen 🙏 🙏 🙏 be blessed 🙌