MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Ibada ya Jumapili Ya Mitende || Kanisa Kuu Lushoto - Tanga || TAREHE 24|3| 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Ubarkiwe sana Mwalim pamoja na timu nzima ya huduma ya Mana,Mungu amekuweka kwa ajili ya tanzania na ulimwengu wote,nitazidi kuwaombea Mungu awatunze daima
Mungu akubariki Baba
Ee Mungu usinitie majaribu mana majaribu ni magumu tunahitaji msaada wako Mungu bila wew sisi hatuwezi Chochote Mungu tunahitaji nguvu zako Kwa wingi wa neema Yako na Fadhili zako Ee Mungu sikia kuomba kwetu tupitapo kwenye dhiki , taabu na shida Mungu uwe ngao yetu na Nuru Yako ikamulike Kila sehemu kwenye shida ,taabu na dhiki mbalimbali na mko wako Mungu ukaonekane kwetu .na utukoe na majaribu Kwa Jina la Yesu kiristo Amen
Amin
Tunàkuombea baba MUNGU azidi kukulînda, na azidi kukutumia kama apendavyo, kwa wewe tunazidi kustawi ndani ya NENO LA MUNGU
Mimi najiweka mikonon mwa Yesu pamoja na familia yangu Mungu aniepushe na majaribu yasiyoyalazma yanayonichelewesha kufika
Nimebarikiwa Mno na Neno la Mungu na Maombi, hakika nimevuka, Mungu Yesu Azidi Kukueka Baba Na Mama Mwakasege, YESU YHWH BARIKI, TANZANIA, BARIKI KANISA LAKO NA BARIKI MANA MINISTRY Hakika Kazi Na Neno la Mungu Litadumu Miyoyoni Mwetu In Jesus Christ Name Amen Hallelujah
MUNGU Asante kwa NENO la wakati.nimefiwa na mtoto mchanga nilijifungu tarehe 11march akafariki tarehe19 march sikujua hata namna ya kuomba ili nivuke jaribu langu 😢 Asante mwalim kwa mtaji wa maombi eeh Yesuuu neema Yuko yanitosha naomba nguvu yakuhimili hili zaidi naomba na mlango wakutokea.ameen
Utiwe nguvu dear....
Mungu anakupenda jipe moyo utavuka katika hilo
Mtumishi wa Mungu mshukuru Mungu kwa Kila Jambo. Mungu hajakuacha
Pole sana, Mungu akawe mfariji wako.
Mungu Mfariji wa kweli na Akufunulie Neema Yake tena katika Maisha yako
This is a very powerful preach. Thank you Jesus our Lord for Anointing him to preach us for the sake of our salvation. We honour your Lordship Jesus Christ.
Hongera sana baba askofu msafiri hakika Kuna mbegu unaipanda Tanga na itazaa kwa wingi sana ndani ya tanga na Tanzania 🇹🇿 nzima itamjua Yesu.
❤amen amen mtumishi wa MUNGU tazania ibarikiwe sana naimebarikiwa sana
Mwenyezi Mungu na aendelee kukutumia kuwaelimusha Wa Tanzania juu ya kumtukikia .
Usinitie majaribuni ee Yesu naomba uniokoe na yule mwovu.Pia naomba unitoe majaribuni nilikoingia na kujaribiwa na yule mwovu.Ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu.
Namshukuru Mungu kwa zawadi ya mtumishi wake mwalimu Mwakasege Mungu akutie nguvu uzidi kutulisha neno la Mungu
Naipenda MANA MINISTRY N OMBI LANGU KWA MUNGU AWATUNZE MPAKA YESU ARUDI JAMAN TUNASAIDIKA SANA NA HUDUMA HII WORLDWIDE
Amen nimebarikiwa sana na Somo Hili Sasa ni kazi yetu kutendee kazi Mungu utuvushe na tuvuke ng'ambo nyingine hatutaki kubaki palepale Mungu tutie nguvu Amina
Mungu Asante kwa mafundisho haya kwa mwalimu uliyo mtuma kwetu
Asante kwa neno Mtumishi wa Mungu.Naomba nami Mungu anisaidie kunitoa katika hili jaribu la madeni .Yananiumiza.Yananidharaulisha.Yananitukanisha .Yananikosesha amani.Eee Mungu naomba unisaidie.
Asante kwa neno majaribu hukatisha tamaa kiimani lln kwa nenonla Bwana tutavuka.Mungu naomba nisaidie mtoto wangu Peter aelewe masomo yake yote na mume wangu akujuwe wewe na kukuabudu
Amen❤❤❤ mtumishi
MUNGU AKUBARIKI SANA MWALIMU WEWE NA FAMILIA YAKO MUNGU AWAPE WINGI WA SIKU NA UHERI KWA AJILI YA TANZANIA NA DUNIA NZIMA SHALOOM SHALOOM
Mungu wa mbinguni awatunze kwa ajili ufalme wake.Mmekuwa baraka kwetu.
Mungu awabariki na kuwatunza sana watumishi wa Mungu Amen
Am happy to meet you pastor in your you tube channel,there is one thing i like you from fanuel zedekiah's death......kuwa mungu atabaki kuwa mungu ingawa mungu hakujibu maombi yako jinsi ulivyotarajia.what an encouraging message.
May God bless and protect you as he does the same to me.
Asante Mwalimu kwa kutufundisha mbinu hizi.Mungu aendelee kukutunza pamoja na familia yako kwa kusudi lake.
Ubarikiwe sana na Mungu mtumishi wa Mungu, Asante sana Kwa masomo Yako, umekuwa baraka sana Kwangu nimejifunza vingi kupitia jina lako Mungu azidi kukulinda na familia Yako.
Mungu naomba usinitie majaribun niokoe na ule muovu amen
Baba Mungu azidi kukupaka Mafuta na Akupe Haja ya Moyo Wako. Umefanyika Baraka kwa Taifa na Dunia. Barikiwa Sana wewe na Mama na Timu Yote ya Huduma ya Mana
Asante kwa neno lako baba nilipata ajali ya kutisha tarehe 17.03 2024 hakika nilipoteza kbs tumaini la kuinuka tena lkn ninaamini mungu aliyeliachilia hili atanifanya kuwa imara zaidi ktk kulitumikia kusudi lake
Amina mungu akusaidie sana
Mungu Akutunze
Amen
Pole sana mwana wa Mungu usigope yupo na anakujua atakuinua tena songa mbele shujaa wa bwana yesu
Asante kwa neno hili limenibariki sana na kunitia moyo wangu
Mungu akubariki sana Mwalimu kwa huduma unazotoa wewe na team mzima ya Amana... akupe umri mrefu na afya njema mtumishi...🙏🙏🙏
Amen🙏
Mungu naomba uwaondolee majaribu yanayodidiniza uchumi na furaha ya familia yangu.
MUNGU AENDELEE KUTUKUZWA SANA KUPITIA WITO WAKO MTUMISHI WA MUNGU. ASANTE KWA MAARIFA YA ZIADA. MUNGU AINULIWE KUPITIA MANA MINISTRY PIA. HALLELUJAH.
Amen 🙏 tumefunguliwa na kuachiliwa katika majaribu
Barikiwa kwa neno baba nimepata kitu hapa
Mungu niepushe na hili jaribu
Namshukuru Mungu kanioa neema ya kusikiliza neno lake ,limenitia nguvu na naamini Mungu kanikumbuka
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu naomba uniondolee majaribu yaliyoko ndani ya wazazi wangu na ndugu zangu.
Amen mtumishi wa mungu mwl mwakasege
Asante sana mwalimu kwa mafunzo haya,,,binafsi nimezoea kuomba hivi....Mungu nipe nguvu ya kushinda majaribu,,,,Sasa nimepata mbinu nyingine.ubarikiwe
Asante Kwa Neno Mwl mwakasege
Mwenyezi Mungu, akutunze sana "Baba"nimebarikiwa na somo hili💥🙏
Ooh haleluyaa...Amina mwalimu...Barikiwa sana jamani...
Barikiwa sana Mtumishi kwa kupanda mbegu njema kama Hii
Ameen Mungu azidi kuwapa afya njema watumishi wake 🙏🙏🙏
Ahsante Mungu kwa kutupa Mwalimu wa Neno , Christopher Mwakasege
Mungu ametupendelea sana kutupa mtumishi huyu wa Mungu hakika tunakushukuru sana Mungu wetu yesu❤ ❤❤❤❤❤
Aaamen Baba yangu wa koroho Mungu azidi kukutunza na Familia yako,nimebarikiwa na somo 🙏
Haleluya Kwa Bwana Yesu. Mungu akubariki sana Mwalimu na Mtumishi wa Mungu.
Mungu Akubariki Sana Mwalimu kwa kuifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu, Naamini hata jaribu hili ninalopitia mwisho wake upo,🙏🙏
Nimekuelewa Mwalim waswahili wanasema gombe hanenepi siku ya mnada
Mungu naomba uzidi kumuweka mtumishi wako kwa faida ya vizaz vijavyo
Mtumishi Mungu akubariki sana jaribu la kukosa mtoto limekuwa mwiba kwangu najiungamanisha na madhabahu hii Kwa jina la yesu na Mimi nitoke kwenye jaribu hili
Amen, Asante Yesu kwa ajili ya neno hili, nimejifunza kitu kikubwa, ninaomba uendelee kumlinda Mtumishi wako na kumtunza sawasawa na mapenzi yako.
Asante mwalimu,nakuelewa sana
Barikiwa Sana mwl Mungu azidi kukuinua
Ameeen, neno la wakati hili mwalimu.
Bwana asifiwe Baba mtumishi wa Mungu Bwana akubariki sana akutunze akupe maisha marefu.akuzidishie ufahamu na hekima yake
Bwana atukuzwe
Mungu naomba unisaidie
Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na hili somo. Barikiwa mwl
Asante MUNGU kwa kunivusha ktk jaribu kubwa, Imani yangu haikutindika, nilikiri Neno la MUNGU na kumsifu katikati ya vita
Mungu akutunze sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na SoMo hili
Asante kwa neno nzilu
Baba napenda sana mahubiri yako huwa yanagusa moyo wangu,Mungu akubariki sana
Thank you for your teaching
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki baba akuweke kwa ajili ya kulisha watu wa Mungu mkuu.
Namshukuru Mungu kwa somo hili limefika kwa wakati
BWANA ASEMA NAMI. LEO SAA 10:55 TAR 02.04.2024 KWAMBA MIMI NDIYE NINAYEWEZA KUPAMPANA NA ZITTO JIMBO LA KIGOMA MJINI. KUMB 17: 14-15 KWA AWAMU YA MARA YA 4. NABII SOSPETER KABANGUTSE, KANISA ANGLIKANA MWANGA PARISHI KIGOMA MJINI TANZANIA. Naomba maombi c/o to Mwl Mwakasege
Asante Mungu umenifundisha kuleta udhaifu kwako,Mungu akubariki mwalimu.
MUNGU NI Mwemaaaa, Mbarikiwe- Somo ni Zuri hasa kwa nyakati hizi,
Asante sana mtumishi wa Mungu,kwa mafundisho mazuri,endelea kutufundisha
Nabarikiwa Sana Mungu akutunze
Mungu naomba unisaidie Mimi na familia yangu
MUNGU akulinde mtumishi wa MUNGU
Mungu akubariki sana baba
Mungu tusaidie kuvuka salama katika majaribu yanatukatisha tamaa.
Mwalimu Somo limenisaidia sani limeniongezea imani Mungu akutumie zaidi
baba ubarikiwe huduma yako imenikomboa maana imani yangu irikuwa imekufa rakini masomo yako yamenipa misuri yaimani mngu anzidi kuku rinda
MUNGU akubariki Sana mwlm somo ili limekuja kwa wakati AMEEEEN
Asante sana Mtumishi wa Mungu ubarikiwe mno
Nimejifuzna kutokuta tamaa ya kuomb hata kama unaludia kutenda dhambi ile ile ni kuomba bila kukoma 🙏🙏🙏
Ahsante teacher nitajitahidi kusali Kila asubuhi Mungu asinitie majaribuni plz maombi Yako nkumbuke kuomba
Yesu check maisha yangu na uyalekebishe
hakika hii imeniinua sana. MUNGU akutunze mtumishi
Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Kila nachokufanya kina kufa Baba miombee
❤❤glory to God
Nivushe salama eee Yesu
Mungu bariki huyu mchungaji nimejifunza vitu mingi sana
Aminaa ila sio mchungaji
Ubarikiwe baba yetu
Somo la Wakati nipo uarabuni Kwa kweli utulivu hata wa kukaa kwa maombi sina hili ni jaribu la kutishia Imani yanguYesu nisaidie 😮😢🇸🇦🇸🇦🤔🇰🇪
Huyu baba Mungu amembariki sana
Glory to God. Mungu azidi kukutunza na kukutumiia kwa Utukufu wake
Ameni baba yangu
Aminaiii 🇹🇿🇰🇪🌍🌲🙏
Eeh Mungu naomba niondolee udhaidu wa kubeba vitu moyoni.
Hakika Munguakutue huo mzigo, nami nauondoa mzigo begani mwako na kuivunja nira shingoni mwako kwa kupakwa mafuta kwa jina la YESU Ameni
Amen🙏🙏🙏🙏
God connect with me here, as I seek YOU in your Word!
God of Nazareth Jesus Christ of Israel Holy Spirit I pray for Mwalimu Mwakasege that he will live long and continue teaching us because he is the only one for us Holy Spirit make him more powerful God give him more years of living
Amina namungu atusaidie tuyashinde majaribu hayo
Kwa kweli hii mana Mzee Mwaka na Mama Mwaka mbarikiwe
Amen Amen Amen.
Amina
Asnt sana mtumishi neño limekuja wakati sahihi
Hhm hekima hii umejaliwa baba yangu duh nakosa hata maneno ya kujieleza..maana umenivusha saana tangu nitambue huduma ya Mana itoshe tu kusema UISHI MIAKA MINGI ❤❤🇰🇪🇸🇦
Amina👏
Amen