CHRISTINA SHUSHO APEWA MILLIONI 10 NA NABII MKUU - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2023
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 218

  • @suleimanismail8414
    @suleimanismail8414 ปีที่แล้ว +13

    Mungu aendelee kumtia nguvu huyu mwamba hana taabu na watu maskini ni anatoa tu hata hawaziii na am sure kila anapotoa anajaziwa mala mbili zaidi

  • @ReginaMolleli-dh1qy
    @ReginaMolleli-dh1qy ปีที่แล้ว +2

    Laiti mngejua mazabau mnayoikandamiza ni madhabau ya tofauti Sana na jinsi mnavyozani kazi yenu mmebaki kusema siku za mwisho embu jaribuni kutafakari mnayoyaongea kwenye vinywa vyenu mnajinenea mabaya wenyewe mungu was geordavie azidi kuinuliwa

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio anaweza miguu namna hiyo mbele za Mungu kweli au kwakua utukufu anachukua mwenyewe

    • @pandendele9458
      @pandendele9458 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa jina la yesu Ulegee kabisa unatumiwa na Ibilisi pasipo kujitambua

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว +5

    Open your eyes Christian Shusho 😥😢😥😢😢😢

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว +5

    God have mercy upon this generation 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Christian Shusho 😥😢😥😢

  • @deuscosmas793
    @deuscosmas793 ปีที่แล้ว +6

    Kidogo kidogo from dark to darker then into darkness until get lost forever usidanganyike ubillionare ni kuwa na Roho Mt utaenjoy milele sio pesa

    • @irinechemutai6788
      @irinechemutai6788 2 หลายเดือนก่อน

      Amen kakangu ukiwa na roho mtakatifu umapata yote.sio nguvu kutoka kwa mtumishi

  • @ruthnzilani4295
    @ruthnzilani4295 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi WA Mungu Christina chenye umepokea may God help you

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana Baba yangu barikiwa sana

  • @honhonhaule9232
    @honhonhaule9232 ปีที่แล้ว

    You are a wonderful prophet no one can catch you wonderful amazing fantastic

  • @mimijj-nr2cb
    @mimijj-nr2cb ปีที่แล้ว +8

    Mungu awafungue hawa watu macho waone ukweli jaman siku ZA mwisho hizi

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 ปีที่แล้ว

    Alitakiwa kuelezea uzinduzi wa album yake na kuomba kanisa limsaidie na yoyote atakae guswa na mfalme ni Yesu katika kanisa na shukrani ziende kwake binadamu hupitisha Baraka Amen

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Glory to God

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni caroline Gakii from Kenya nitapata njia ya kufika kwa pastor davi

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 ปีที่แล้ว +9

    Oooh Jesus Christ....Jamani ..tumeshampoteza Dada😓😓

  • @mussatete2618
    @mussatete2618 ปีที่แล้ว +14

    Tuendelee tu kusikiliza nyimbo za kisabatho, na za ambassadors of Christ Choir😅😅😅

  • @paulwainaina8761
    @paulwainaina8761 ปีที่แล้ว +1

    Mungu. Mwabie haya christiiiina 🤔🤔🤔sio hao😳😳😳😳pesa twaiacha ulimwenguni lkini neno halitaisha 😟😟😯tumepoteza mwenzetu 😮😮may you be redeemed once again by lord

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 ปีที่แล้ว +2

    Nabii mkuu Mungu akupe maisha marefuuuuuuu zaidi baba yangu.
    Wanaosema vibaya tumeona maisha yakiwapiga nakuja kutubu wenyewe kwa hiyo hawatusumbui na comments zao sisi tunasonga mbele pamoja na wewe baba yetu.🙏🙏🙏🙏

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 ปีที่แล้ว +1

    Nimesoma comments za watu walivyo na chuki na watumishi wa MUNGU na shetani Yuko bise kuwaaminisha kwamba watumishi wa MUNGU c wakweli lakini iko siku watatamani kuwaona watumishi wa MUNGU lakini haitawesekana MUNGU akubariki popote ulipo Prophet GEODAVIE 💯🙏🙏

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 ปีที่แล้ว +2

      Kipofu wewe funguka kwa jina la YESU

  • @dorianemanirakiza5482
    @dorianemanirakiza5482 ปีที่แล้ว

    Choucho wee hangaroya vizuri yakwamba unashimama na mungu miye Dada yako gutoka rwanda

  • @mbegumwikwabe1583
    @mbegumwikwabe1583 ปีที่แล้ว +1

    Geo devi WEWE SIO MUNGU NAKUPINGA KATIKA JINA LA YESU YAANI WEWE NI MPUMBAVU ETI NABII MKUU NA YESU UMWITE NANI

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว +2

    Romans 12:2
    2 And do not be conformed to this world, but be transformed by the renewing of your mind, that you may prove what is that good and acceptable and perfect will of God.

  • @JonathanTave-zt9qf
    @JonathanTave-zt9qf ปีที่แล้ว +1

    Hivi nyie mnao paniki mnatoka wapi na wakati hawa wanajuana mda mrefu ko acheni kupaniki ,....Mungu awabariki sana

  • @FrenkmarcoKabushi
    @FrenkmarcoKabushi หลายเดือนก่อน

    Hongera baba yetu nabii mukuu

  • @eliudnjenga9385
    @eliudnjenga9385 ปีที่แล้ว

    From 254 kile kimenishangaza zaidi ni kwamba baba nipe nguvu shusho ameomba support apeshapewa hela ni nguvu gani hizi??? Je mwenye kupeana nguvu si YESU CHRISTO au Joe Davie mimi sielewi sihukumu ila wachristo tuwe macho maamuzi yangu music ya shusho sitasikiza tena hadi huyu dada atumbu hatuombi nguvu kwa wanadamu bali kwa YESU CHRISTO ndio sababu 🇰🇪🙏

  • @jovinmwesige8520
    @jovinmwesige8520 ปีที่แล้ว +6

    Christina,Christina,Christina........Dada yangu umepotea.Kristo hana ushirika na beriali

    • @adamfundikila
      @adamfundikila ปีที่แล้ว +1

      Beriali ni baba yako

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว +1

      Kwan kipi kibaya amekifanya?

    • @emmanuelmtonyole9958
      @emmanuelmtonyole9958 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @annasilayo1405
      @annasilayo1405 ปีที่แล้ว

      Amtegemeaye mwana damu amelaniwa sasaivi anaishia vyamwilini

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว

      @@annasilayo1405 saw ni binadamu na sis tunamtegemea kwa sababu ni mtumishi wa mungu

  • @user-it8vi8ok4o
    @user-it8vi8ok4o 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana shusho ❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JosphatKasoloj-k
    @JosphatKasoloj-k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Woooowe 🎉🎉

  • @vickymeikasi1628
    @vickymeikasi1628 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu kuwasuport waumini wake , Yupo sawa kabisaaa

  • @hannajoseph645
    @hannajoseph645 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ametuonyesha waimbaji wanaowategemea kwa wanadamu ooii pole Dada mmmmhhh naendelea kusoma Biblia kuhusu kuwanabii mkuu.Mungu tusaidie kuendelea kuzitambua roho hiz

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว

      Ndio unaona injili ya kutubu dhambi na kuishi maisha matakatifu mbele za Mungu, haiwezi kunenwa hapa

  • @danielimalaki
    @danielimalaki ปีที่แล้ว +1

    Pole sana pesa hizi hatari sana

  • @EmmanuelKipwasa-hv1lq
    @EmmanuelKipwasa-hv1lq ปีที่แล้ว

    Kutoa ni Moyo Wenye mioyo yakutoa Mungu awabariki nakuwazidishia kwenye hazina zao zilipo mbinguni

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 ปีที่แล้ว

    Daaaaah! Dada Christina huo wimbo WA NIPE MACHO NIONE uliwahi kuimba,SAA unaouhitaji wimbo huo sio kuwatumbuiza wengine Bali kuuimba Kwa machozi mbele za Mungu wako ilikuwa ni Sasa! Omba macho ya roho,upate kurejea ktk njia ielekeayo Sayuni Zb84:11

  • @elia5475
    @elia5475 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidie sana kwa mazebu sahihi ya dunia

  • @giftm314
    @giftm314 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe maisha tele Baba yangu , ninakuekewa mno 🙏❤️Yesu ni Mwaminifu

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 ปีที่แล้ว

      Wajinga kujielewa inaomba sana ole wako

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 ปีที่แล้ว +1

      Mentioning of Yesu to a devil worshipper.. lets repent Jesus is coming.... everything we see was prophesied

    • @angelvii113
      @angelvii113 ปีที่แล้ว

      Baba yenu wa kuzimu

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 ปีที่แล้ว +3

    One thing nimegundua Hapa Christina na huyu Jamaa wanajua Siku nyingi.

  • @jobmunyali7229
    @jobmunyali7229 8 หลายเดือนก่อน

    God is good

  • @marianguli7994
    @marianguli7994 ปีที่แล้ว +5

    Dada Christina sijui amepatwa na nini? me nalia jamaniiii!!! Unajua shetani anazopesa na anatenda miujiza, mteule usipokuwa macho lazima pesa zikudanganye

  • @lizelizabeth6467
    @lizelizabeth6467 ปีที่แล้ว

    Shusho I was thinking you are a women of integrity but I be come to realise that uwepo wa Mungu umekutoka, unaita mwanaume mwa mtu mwingine Baba na ukiongea na babako more than 10 seconds na you can call him baba mara mbili ndani ya 10 seconds, fungua macho shusho

  • @apaikundambise1244
    @apaikundambise1244 ปีที่แล้ว +1

    Duh mmmh Hela Hela Hela shkamoo hela

  • @jenifaqoqona
    @jenifaqoqona ปีที่แล้ว

    Mmelaaniwa mnaoteta watumishi wa Mungu! Ole wake amsemaye vibaya mpakwa mafuta wa Mungu! Wewe ni Nani unayehukumu! Hukumu ni ya Mungu

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙌

  • @carolnjeri8773
    @carolnjeri8773 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeskia ampe nguvu,mungu Tu ndiye hupeana nguvu dadangu.when Esther get money establish pesa wewe😢

  • @victornzowa5138
    @victornzowa5138 ปีที่แล้ว +2

    Ni nguvu gani ambayo Christina anaomba hapa

  • @praykyara2604
    @praykyara2604 ปีที่แล้ว +2

    Mh yani sitaki ata kusikiliza nyimbo zako tena ufay yani unamuacha mungu wako kisa pesa

  • @sylviaphilipofficial
    @sylviaphilipofficial ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nimependa sana shusho but hili amemwangusha Mungu wake

  • @samwelilulandala2384
    @samwelilulandala2384 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanapenda ubahasha

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว +2

    Glory to God Jesus Christ

    • @deusdedthutenga408
      @deusdedthutenga408 ปีที่แล้ว

      Wachungaji walafi

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 ปีที่แล้ว +1

      You mention Jesus here where He is mocked... shusho bowing down to worship Geordave to be given money for albam launch.... Christ is coming lets repent no more time to waste.

  • @christopherpetro-qi6hw
    @christopherpetro-qi6hw ปีที่แล้ว

    Muimbaji wa Mungu binadamu unamtukuza ivyo

  • @user-di7ph2wf4q
    @user-di7ph2wf4q 11 หลายเดือนก่อน

    Nîme furai sana kuona TV yanabi

  • @Pihansmo1129
    @Pihansmo1129 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana Christina😥😪😢🙉

  • @teddyjohn7054
    @teddyjohn7054 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @BestLeonardtumba
    @BestLeonardtumba 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo dada❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius ปีที่แล้ว +3

    Nilikua nahisi shusho anaongozwa na Roho wa Mungu lakn kwa hili ni kipofu tu

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 ปีที่แล้ว +1

      Wwe unamacho ya mwilini tu mwenzako anayo macho ya rohoni ndio mana amefika hapo

  • @dorianemanirakiza5482
    @dorianemanirakiza5482 ปีที่แล้ว

    Mimi naumiya tena sana kiki vrm kwanini umekamatwa na nini kiwukweri mungu wangu anaguceka ngoyimba impe maco nione sawasawa yesu baba naomba yesu agupe maco tena uwone sawasawa kiristine ni bara sana kiwukweri

  • @godlywaziri335
    @godlywaziri335 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kila anaekuja mbele lazima apewe pesa hakuna kingine cha kumpa zaidi ya hela jaman,

    • @rachaelmbindyo6349
      @rachaelmbindyo6349 ปีที่แล้ว +2

      Nguvu za ngiza🤣🤣🤣Acha yesu arudi ,,waaah !!!
      Na wahurumia

  • @paskalimaneno1684
    @paskalimaneno1684 ปีที่แล้ว +1

    Aheli wawili mmoja akiaguka mwigine atamwinua olewake aliye pekeyake

  • @dariuskasitu4083
    @dariuskasitu4083 ปีที่แล้ว

    Mmmmh jamaaah ana hela sana duuuh

  • @ezekielkandonga9238
    @ezekielkandonga9238 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Dada nilimuona Muda mrefu tangu Kipindi Cha Corona sio yule Christina Shusho wa zamani,Dada siwezi kuhukumu hila rejea kwa Mungu Wa Kweli sio atua uliyofikia

  • @frsophonieofficial
    @frsophonieofficial ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Baba

    • @josephhaule4653
      @josephhaule4653 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe nyinyi waimbaji hamtuimbii kwenda mbinguni mnatafuta ubirionea hatununui kazi zenu tena

  • @francismaina8652
    @francismaina8652 ปีที่แล้ว

    Daaah, nabii mkuu ampe nguvu Christina tena kamwimbia nipe macho nione. Kipaji hiki si zaidi ya support ya milioni kumi? Rudi kwa MUNGU Christina

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว +1

    1 Timothy 6:9-10
    9 But those who desire to be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and harmful lusts which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is a root of all kinds of evil, for which some have strayed from the faith in their greediness, and pierced themselves through with many sorrows.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 ปีที่แล้ว

    Yaani yesu rudi jamani tunaenda wapi huyu nyoko naye kaenda uwiiii mungu fanya jambo kama Brazili

  • @sifasikubalikiponda3472
    @sifasikubalikiponda3472 ปีที่แล้ว

    NAMNA YA KUTHIBITISHWA

  • @vickymeikasi1628
    @vickymeikasi1628 ปีที่แล้ว

    Nyie watu mnaocomment upumbavu, mim naona hamjielewi kwani hapo shusho kafanya kosa Gani, ni kupewa million 10, acheni wivu, dhen mbona manabii wa zamani Wana pesa sana, tukimuangalia mfalme Suleiman , mfalme Daudi, Mungu wetu ni Tajiri acheni ushamba

  • @inamahoroyvette3057
    @inamahoroyvette3057 ปีที่แล้ว +4

    Shusho...you have backslidden😭😭😭😭woe unto you

    • @rachaelmbindyo6349
      @rachaelmbindyo6349 ปีที่แล้ว +1

      I see the prophecy of darkness here in this church😪😪,,,uku ni wasanii wanaitwa kuzibwa macho aki....

    • @carolinewanjiru8361
      @carolinewanjiru8361 2 หลายเดือนก่อน

      One year later...

  • @gaudiosamweha1792
    @gaudiosamweha1792 ปีที่แล้ว

    Kosa kubwa kumfata huyo nabii.Jamani Mungu Muokoe Christina.Msimfate huyo nabii mkuu.Pesa zake mnajua chanzo chake? Mtu anajiinua kuliko Mungu.Jmn tumuombee tu Christina kavamiwa tatar rohon.

  • @justinjunior5352
    @justinjunior5352 ปีที่แล้ว +2

    Mnafiki ww utadanganya watu wa MUNGU mpaka lini achilia watu wa MUNGU wakamtumikie MUNGU wakweri

  • @pr.aaronlimo1807
    @pr.aaronlimo1807 ปีที่แล้ว

    A horizontal life has destroyed the children of God remember this is a serious crisis

  • @NeemaKawogo-dp8dj
    @NeemaKawogo-dp8dj ปีที่แล้ว +2

    UMEISHAAAAAAAAAA

  • @frsophonieofficial
    @frsophonieofficial ปีที่แล้ว +2

    Tunasoma matendo Yako mpaka hapa Mjini Kongo, acha Bwana akuongezee mamlaka Juu ya wote wenye kukutakiya Mabaya

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 ปีที่แล้ว

      Acha kutuaibisha wewe mjinga kweli

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว +1

    Uongezwe sana na Mungu

  • @monalisahenry2625
    @monalisahenry2625 ปีที่แล้ว +6

    Unapotea dada Christina 😢

  • @christopherpetro-qi6hw
    @christopherpetro-qi6hw ปีที่แล้ว

    Daaah kama unajizalisha

  • @revocatuskato9474
    @revocatuskato9474 ปีที่แล้ว

    hapo ndo panamstahili haswaa,ukiona mwanamke anaolewa alafu anajitenga na ndoa kwasababu yeye ni maarufu ujue ibilisi ameisha mchukua na ni vigumu kumrejesha tena kwa Mungu

  • @saxisarinah7425
    @saxisarinah7425 ปีที่แล้ว

    Alafu tuu style yenye nabii amekaaa kwa kanisaa😢Jesus himself is humble he can’t even sit like that😅😂mguu kwa ingine jamani😅sihukumu but is a bad example kaa mtumishi wa mungu..The God i know he humbles his children😢huyu hata muniwekee bunduki kwa kichwa😂😂hakunaa cha unabii hapa😢

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 ปีที่แล้ว +50

    laiti mzee kolola angeamka umwone Christina binti yake aliko fikia. labda angemrejesha . Christina rudi kwa Yesu.siku za mwisho izi

    • @ebenezermachange1073
      @ebenezermachange1073 ปีที่แล้ว +3

      Mzee kulola angeamka angempongeza sana nabii mkuu kwakua anahubiri kwa vitendo kwamba Yesu alikufa maskini ili sisi tuwe matajiri.

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 ปีที่แล้ว +1

      @@ebenezermachange1073 Hapo hapahubiriwi Yesu. kwahiyo washirika wote hapo ni matajiri?

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      EEEEE hela zimetuteka aaaa Basi MUNGU ATUHURUMIE SS NA WATOTO WETU

    • @manassehswale
      @manassehswale ปีที่แล้ว +1

      Kwani hapo yuko wapi??

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 ปีที่แล้ว +1

      @@manassehswale mlango wa kuingia Jehanam

  • @jedielkareithi4966
    @jedielkareithi4966 ปีที่แล้ว

    Baba ni mungu

  • @michaelkarisa5270
    @michaelkarisa5270 ปีที่แล้ว +2

    Aki shusho walai, skua naamini unaeza ingia mahali kama hapa, sai imba kwa ajili ya ufalme wa Giza xasa, I will not listen your music anymore from today

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 ปีที่แล้ว

    😢

  • @douglasochieno3358
    @douglasochieno3358 6 หลายเดือนก่อน

    Wacha kuabudu mwanadamu wewe unasujudia mwanadamu mungu anakuona

  • @violetshekibula919
    @violetshekibula919 ปีที่แล้ว

    Aiseeeee mmmmmmmm

  • @florencerono7150
    @florencerono7150 6 หลายเดือนก่อน

    I don't understand what are security men for at the Alter just make me understand are these the end times signs?

  • @ibenembassy
    @ibenembassy ปีที่แล้ว

    Tulikutegemea sana Shusho lakini Unahitaji maombi umepotea uko kwa dira ya kuzimu

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 ปีที่แล้ว

    Hehehehehehehe aiseeeee hiiii Ni MAAJABU

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 ปีที่แล้ว

    1 Timothy 6:9-10
    9 But they that will be rich fall into temptation and a snare, and into many foolish and hurtful lusts, which drown men in destruction and perdition. 10 For the love of money is the root of all evil: which while some coveted after, they have erred from the faith, and pierced themselves through with many sorrows.

  • @obadiayusuph7096
    @obadiayusuph7096 ปีที่แล้ว

    Watu wengi tusishambulie bila kuangalia Hali unapoingia ktk utumishi omba na Nyota ya utajiri la sivyo utalamba makombo kama LAZARO WA BIBLIA.

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 3 หลายเดือนก่อน

    Eti anasema amamwacha mume wake kwa ajili ya huduma kweli nilifikiri msada mkubwa aliopaswa kupewa hapo ni kutokewa mapepo na kurejezwa kwa ndoa yake

  • @jonathanhamadi
    @jonathanhamadi ปีที่แล้ว +1

    Nipe macho nione sawa sawa,aliimba mwenyewe

  • @EliasiMasanja-uc3zt
    @EliasiMasanja-uc3zt ปีที่แล้ว

    kwakwel mungu atuhurumie

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 ปีที่แล้ว

    Itamfaa nini mtu akaujaza ulimwengu kisha akaukosa ufalme wa mbinguni. Mafundisho na yatuelekeze kufikia mbinguni (our destiny) na siyo kuongeza mapambo duniani (huyu ndiye babeli) katika kitabu cha ufunuo wa yohana

  • @OtienoAdigo-jg8iw
    @OtienoAdigo-jg8iw ปีที่แล้ว

    Mteule uwe macho hizi ni siku za mwisho Christina be careful with your faith do not call a man your father your is high that created you only

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 ปีที่แล้ว +4

    Mimi najiulia swali kuna tatizo gani shusho kuenda hapo na kuomba support ?? na kuna shida gani huyu mtumishi kumpa pesa huyu mtumishi wa Mungu ?? Kupiga magoti nikuonyesha unyenyekevu ni mila na desturi za mwafrika, na tazana kwa biblia watumishi walipiga magoti kupata baraka kwa wakuu . YESU ALinyenyekea akajishusha akabatizwa na yohana, jamani jamani Mbona mawazo yetu nimabaya sana kuliko kumuombea na kumsupport huyu Mwimbaji wa nyimbo za injili zinazotubariki??

    • @josephemmanuel388
      @josephemmanuel388 ปีที่แล้ว

      anasema baba ampenguvu gan alafu anasema mfalme uyo nabii nimfalme au mungu ndio mfalme

    • @victornzowa5138
      @victornzowa5138 ปีที่แล้ว

      Nguvu anayoomba ni nguvu gani hapo maana ameomba support pamoja na nguvu sasa nguvu ni ya nni anayoomba.... Maaa yake huyo mhubiri ana nguvu gani ambayo anaweza kumpa shusho

    • @musaliaeugene7975
      @musaliaeugene7975 ปีที่แล้ว

      Ukweli kabisaa wanadamu Wana vinywa lazima waongee

    • @wachimara
      @wachimara ปีที่แล้ว

      Uyo mbwa mchawi ..manabii wote walikua waarabu

  • @eliashibundabalinze2217
    @eliashibundabalinze2217 ปีที่แล้ว

    "Yote uliyo yaomba kwa mfalme umepata" maneno ya huyu nabii....
    Shusho aliimba "nipe macho nione" hapa Shusho aliomba macho gani? Au alituimbia sisi tupate macho tuone yeye hayamhusu?
    Ukisikiliza mwanzo hadi mwisho ukipata neno "sifa na utukufu ni kwa Yesu Kristo" niite mbwa nimekaa hapa...
    Sasa hivi imebaki "fuata maneno yangu ila matendo yangu usifate"
    Huu ni ujinga

  • @mbegumwikwabe1583
    @mbegumwikwabe1583 ปีที่แล้ว +2

    NILIKUA NASIKILIZA NYIMBO ZAKO ILA KWA UPUMBAVU HUU SITAWEZA MUNGU AKUSAIDIE

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

      Sikiliza maneno yake na ujumbe ola achana na tabia yake

  • @maasairecordsqualitysound_506
    @maasairecordsqualitysound_506 ปีที่แล้ว +2

    KWELI BABA NABIII MKUU MH DKT GEORDAVIE MUNGU ANATUMIKA NDANI YAKOOO

    • @clarisbanza6066
      @clarisbanza6066 ปีที่แล้ว +1

      Kipofu kweli wewe😢

    • @lugelongoi
      @lugelongoi ปีที่แล้ว +1

      Sio kipofu ila ni kenge kbsa

  • @shinemakenzi8101
    @shinemakenzi8101 ปีที่แล้ว +2

    Pesa haimuachi mtu salama huyu dada kwa sasa ni jitu la kuzimu

  • @marianguli7994
    @marianguli7994 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee anachofanya ni kuwateka walioamini ili maandiko yatimie, wateule tuwe macho shetani yupo kazini tena waziwazi

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 ปีที่แล้ว +2

    Sijawahii. Kuoana mtumishi kama wewe

  • @omanqqwe4061
    @omanqqwe4061 ปีที่แล้ว

    Dada wangu sio sawa kabis 😢😢😢

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 ปีที่แล้ว

    Pesa ngumu jmn