Haya ndiyo matumizi sahihi ya 'dawa-tiba', unapougua (Medi Counter - Azam TV)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Je, unapougua au kupata tatizo lolote la kiafya, unawezaje kutumia dawa kwa usahihi, kabla hujatumiadawa aina yoyote, ni mambo gani muhimu unapaswa kuzingatia?, Je unafahamu vigezo vya kufungua duka la dawa?
    Hayo na mengine mengi kuhusu dawa, Dkt. Deus Mruma kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, anatoa elimu.
    Ni kupitia kipindi cha Medi Counter kinachoruka kila Jumatatu saa 12:00 jioni, kupitia channel ya Azam TWO iliyomo ndani ya king’amuzi cha Azam TV.

ความคิดเห็น •