MEDI COUNTER: Usichokijua kuhusu chanzo, aina na tiba ya maumivu ya kichwa.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025
- Imekuwa ni kawaida kwa watu kupuuzia tatizo la maumivu ya kichwa bila kujua maumivu husika yamesababishwa na nini.
Kutana na Dkt. Shaaban ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya upasuaji kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili, (MOI) akieleza kwa undani aina, chanzo na tiba ya maumivu ya kichwa.
Ni katika kipindi cha Medi Counter, kinachoruka kila Jumatatu saa 12 jioni kupitia Azam TWO.
Hongera Doctor maelezo mazuri sana
Kumwa na kichwa masikio na sikia kelele na kichefuchefu
Mtangaza weka namba za simu ktk hicho kitengo
sasa jamani mm kichwa kinaniuma kwenye ubongo wamwanzo nawakati nawamwisho napiya pembezoni kwenye misuli yakalibu namasikio nodalili gani izi mbona sielew dactar napiya inatokana namafua lakini nikipona mafua kichwa lazm kiniume
🙏🙏🙏
Dr naomba tofauti kati ya kipimo cha MRI na CT SCAN ya Kichwa kichwa
No Yako napataj mi nashida yakichwa
Docta me naitaj msaada wa namba
Ungefanya vizuri kutuwekea namba yake ilo tupate ushauri
Maelezo mazuri sn
Docter ntakupataje nikulize nagarama