MEDICOUNTER - AZAM TV: Zijue dalili, tiba ya ugonjwa wa Tongue-tie (Udata) kwa mtoto
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Pindi Mzazi anapojifungua, masaa kadhaa baadae anashauriwa kumchunguza mototo katika maeneo mbalimbali ya mwili, hii itamsaidia kugundua magonjwa au ulemavu ambao unaweza kutibika haraka.
Ungana na mtaalam huyu atakayekujuza namna ya kugundua ugonjwa wa Udata kwa watoto(Kwa rugha nyingine unaitwa Tongue-tie).
Ahsante doct illa kliniki zingine za wa watoto hawakagui watoto
Doct mie mwanangu anamiaka 3 ajui kuongea utamka kwa shida hadi huruma toa namba
Udata wa juuu unamadhara gani
Ndo upoje uo wa juu ndugu
Tutapataje msaada zaidii??
Namba za simu tafadhali
Tunakupataje dokta
Tunaomba namba ili tupate msaada maana hapo kwa comments watu namba, hilo tatizo lipo kwa mwanangu miaka miwili haongei lkn kiliniki za watoto hawakuwahi ongea hii,
Dada kliniki zingine hazikagui watoto kabisa
Naomba namba mwanangu miaka 3 anaongea kwa shida
Docta mtoto hajui kuongea nisaidie
Kwetu tunaita utata.....