Fahamu kinachosababisha ugonjwa wa goti na matibabu yake (Medi Counter - Azam TV)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Je, ni kweli ulaji wa nyama kwa wingi unasababisha tatizo la maumivu ya magoti? Katika kipindi hiki, Dkt. Felix Mlita kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) Anafafanua kwa kina suala hilo pamoja na mambo mengine mengi yanayohusu tatizo la uginjwa wa magoti.
    Ni kupitia kipindi cha Medi Counter kinachoruka kila Jumatatu saa 12:00 jioni.
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 164

  • @Digital_Security_Tz
    @Digital_Security_Tz 28 วันที่ผ่านมา +1

    Moja kati ya video iliyonipa matumaini ya kupona na kitimiza ndoto yangu ya kuwa mwanajeshi. I hope kwa sasa mbinu ni nyingi zaidi katika kutatua matatizo haya so nina imanai nitapona

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana Dr,

  • @laickrichard7218
    @laickrichard7218 6 ปีที่แล้ว +6

    Asante nimejifunza vingi kuhusu goti

  • @sakinasakina2314
    @sakinasakina2314 2 ปีที่แล้ว +8

    Dr nina shida ya magoti yana uma san na nikikunja yana maumivu makali san tena niki tembea ama kupanda ngazi yana sauti

    • @exaudyjm5170
      @exaudyjm5170 6 หลายเดือนก่อน

      Kalibu tukusaidie SSI Afya

  • @GodlistenElietha
    @GodlistenElietha 5 หลายเดือนก่อน

    Asante doctor

  • @YUSTOONESMOMUSICMINISTRY
    @YUSTOONESMOMUSICMINISTRY 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kutuelimisha.

  • @jacquelinengaku3671
    @jacquelinengaku3671 5 ปีที่แล้ว +3

    nzuri sana elimu safi

  • @FatmaSaid-kq7ku
    @FatmaSaid-kq7ku ปีที่แล้ว

    Nakubali doctor

  • @emanuellatarimo8280
    @emanuellatarimo8280 18 วันที่ผ่านมา

    hello ndugu zangu poleni mwenyew nina tatizo kama hilo Mungu atusaidie kwa kweli. Mimi nimeona hapo juu kwenye video wameandika medi counter so nimewatafuta insta nimepata medi nimeona ni hospital ipo dar inahusika na maradhi mengi ikiwemo magoti. Unaeza kuchek pale utapata namba

  • @HamidCanho
    @HamidCanho 2 หลายเดือนก่อน

    Dr watu wote wanalalamika namb tunaomb izo namba pls

  • @abdilahiriyami
    @abdilahiriyami 10 หลายเดือนก่อน +1

    Namba yai sim ya doktaa

  • @hassan12ali56
    @hassan12ali56 6 ปีที่แล้ว +1

    Asnte sana doctor nimejifunza kitu. Ila. Nilikua nasubiri nione jinsi ya kutibu legament ya pembeni Coz mimi ni mgonjwa Wa goti Nilikua nahitaji matibabu Kwahio naomba maelekezo. Nitawapataje

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @khamisomar-eh2ob
    @khamisomar-eh2ob ปีที่แล้ว +1

    Habari nilipitia ajali nikaumia mguu ila sasa goti siwezi kutembea linajikunja naki kulinyosha mpaka mwesho siwezi naweza pata matibabu Na pia Monalisa ndani

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon ปีที่แล้ว +3

    Mimi nna miaka 27 ndo nmepata mtoto wa kwanza now ila sjaumia wala nn lakn nashangaa sana nnapata maumivu ya got mguu wa kulia yan swez kulikunja maumivu adi kwenda choon ni shda yan naumia napata shda jamn mtusaidie

  • @HamisiMohamed-mx8mz
    @HamisiMohamed-mx8mz 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa huduma hii inapatikana wapi naomba namba yako ya simu kwa mawasiliano

  • @khamisomar-eh2ob
    @khamisomar-eh2ob ปีที่แล้ว +1

    Hospitali yenu iko wapi

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 3 ปีที่แล้ว +1

    Docta ungeweka no za sm jaman.mm baba yangu kaathirika na huu ugonjwa kalazwa hospital yaan nataman mngetoa no za sm walau angepata msaada😩😩

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 22 วันที่ผ่านมา

    Weka namba

  • @GraceMambasa-sy4uj
    @GraceMambasa-sy4uj ปีที่แล้ว

    Dr mimi nasumbuliwa na nyonga na goti ni mda mref sana naumia sana nyonga please nlikua naomba mawasiliano yako na wapi hosptal zen zilipo

  • @abdallahmrisho652
    @abdallahmrisho652 4 ปีที่แล้ว

    Dr vidole vya mkono vyote vinauma ukikunja kuvifungua vinakwama mpaka ulazimishe hapo maumivu makali KIMOJA cha kushoto ndio kama kimechomoka kwenye njia yake je nifanyie nini?

  • @gaspar7391
    @gaspar7391 ปีที่แล้ว

    Dr ninashida ya goti nikilikunja linapitiliza na nikilikunja mguu ukiwa juu kulikunjua linakuwa km linaanguka na mifupa inalia iv kwaiyo nahitaji ushauri Mana mara ya kwanza lilijaa maji no tatizo la mda mrefu sasa

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 หลายเดือนก่อน

    Unapatikanaje Dkt?

  • @OliviaChristopher-om8vz
    @OliviaChristopher-om8vz 5 หลายเดือนก่อน

    Hbr Mimi ni a miaka 45 ninaumwa magoti sana maumivu ni makali pia yanavimba nitumie nn?

  • @Rahma-pu2iz
    @Rahma-pu2iz 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alykm yaani me kanimaliza yote aliyoyaongea nahisi yote ndiio shida yangu me nimuslim yaani napata shida atakusali cwezi nakaa kwenye kiti

  • @abdullahaldhawi4413
    @abdullahaldhawi4413 2 ปีที่แล้ว +3

    Dr watu wengi sana tunataka namba yako tumetuma msg siku nyingi sana lakini hadi Leo hii hatujapata namba yako ya simu tunakuomba weka namba yako ya simu

  • @AyoubAlly-lw8wf
    @AyoubAlly-lw8wf ปีที่แล้ว

    Doctor naomba namba yako mimi niko hapa dar ila nasumbuliwa na goti nataka tuwasiliane .

  • @rashidamour7060
    @rashidamour7060 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm ni muhanga wa Maradhi ya goti niliumia mpiran Miezi 8 iliyopita nahitaji matibabu

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @AyoubAlly-lw8wf
    @AyoubAlly-lw8wf ปีที่แล้ว

    Please nakuomba nimejaribu kutafuta namba yako nimeshindwa.

  • @husseinhassan977
    @husseinhassan977 5 ปีที่แล้ว +1

    ss doctor nawezaje kupata matibabu nami goti linasumbua sana, hadi kufikiria kuacha kucheza mpira kabisa hii ni shiida

    • @daybakari1883
      @daybakari1883 4 ปีที่แล้ว

      Mbona nimesikia ni kitengo cha moi

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

    • @yow_its_me8348
      @yow_its_me8348 2 ปีที่แล้ว

      Shida yako ni gani bro

  • @NehemiahNganga-m3n
    @NehemiahNganga-m3n 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nauliza njinsi Gani ya kulenjesha kofia lagoti ilio hama

  • @ChinaBoy-gp9zj
    @ChinaBoy-gp9zj 4 หลายเดือนก่อน

    Dr mm nataka kujuwa unapatikan wapi

  • @frankmnyawami6187
    @frankmnyawami6187 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba mawasiliano kujua gharama na mnapatikana wapi?namba za simu

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว +1

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @meryabel4769
    @meryabel4769 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hujaweka namba za cm xaxa tutakupataje watu tunateseka na magoti hapa

  • @annysamwel9669
    @annysamwel9669 ปีที่แล้ว

    Namb za cm plz aisee nateseka sana

  • @barakambise1970
    @barakambise1970 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Dr mbona haweki namba zake???

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @selemanomary3582
    @selemanomary3582 3 ปีที่แล้ว +1

    Habari doctor na vp kama mtu ana maumivu tu shida ina kua wapi

  • @MwamvitaRashid416
    @MwamvitaRashid416 6 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali doctor naomba kujua mko wapi

  • @BARAKACharle-b4c
    @BARAKACharle-b4c 7 หลายเดือนก่อน

    Dr samahan mie nliumia mpran naomba no zako za simu

  • @aishahussein9361
    @aishahussein9361 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako ya simu doctor nna ndugu yangu anatatizo ilo

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 7 หลายเดือนก่อน

    Naweza pata namba yako kiongozi plz

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nikilalala usiku goti moja linaniuma sana mchana haliniumi na sana ikiwasha ICE au fen , nikienda ktk joto afadhali

  • @boscomgema5558
    @boscomgema5558 3 ปีที่แล้ว +1

    Mna patikana wapi jamani mimi nuna sumbuliwa sana

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 3 ปีที่แล้ว

    NUMBER YA DR PLS SANA.NAOMBAA

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 ปีที่แล้ว

    Naomba number za doctor

  • @alisonso4194
    @alisonso4194 3 ปีที่แล้ว

    Mm nataka no yke ya sim goti lnanisumbua

  • @sharifusalumu-iq4bs
    @sharifusalumu-iq4bs ปีที่แล้ว

    Nilipata ajali lakini goti halikunjwi Hadi mwisho! Niganyeje??

  • @mariakainga7005
    @mariakainga7005 2 ปีที่แล้ว

    Dr snapatilana wapi

  • @Josephmallya-t2b
    @Josephmallya-t2b 2 หลายเดือนก่อน

    Dr samahani na mm niliumia goti wakat nafanya mazoez nilikuwa natuka kamba nakupataje kwa msaada zaidi

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahasante sana ila tatizo lipo kwenye gharama zinakuwa nikubwa sana kuliko

  • @jack-mx8et
    @jack-mx8et ปีที่แล้ว

    habari naomba number ya simu

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 2 ปีที่แล้ว

    Dr nitakupata je mimi ni mhanga wa goti

  • @oficialybwaki5240
    @oficialybwaki5240 3 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba yako

  • @AbdulAme-rp8fb
    @AbdulAme-rp8fb ปีที่แล้ว

    Mm abdul Shakur dokta mm mgonjwa goty Niko Zanzibar naomba hospital yako Iko wp na namba ya cmu nataka nifke hapo ulipo

    • @FatmaSaid-kq7ku
      @FatmaSaid-kq7ku ปีที่แล้ว

      Uyu doctor yupo muhimbili moi ipo dar

  • @waceysbaraawe4018
    @waceysbaraawe4018 5 ปีที่แล้ว +1

    Naomba number yako ya siimu dr nataka nikueleze maumivu yangu ya goti hata kukaa chomi siezi yani sina raha hata kuswali nikitembea tu yashtuka yenyewe

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @EmmaNicoTz
    @EmmaNicoTz 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ninatatizo Hilo je nitapataje hayo matibabu?

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @abdullahaldhawi4413
    @abdullahaldhawi4413 4 ปีที่แล้ว

    Samahani dicta naomba namba yako ya simu

  • @nancybonareribonareri6977
    @nancybonareribonareri6977 4 ปีที่แล้ว +1

    Dakitari Mimi Niko nashinda ya got nimekua like nine years naenda hisi patiwa painkillers lakini Sija bona nafura sana nashinda kutembea most of the time

  • @abushiriabdu1951
    @abushiriabdu1951 2 ปีที่แล้ว

    Boss wang munapatikana wap

  • @linetkikin4023
    @linetkikin4023 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm naomba kujua kwanini magoti yangu hutoa Sauti kama kuvujika nikitembea ama nikichuchuma Na kuinuka alafu goti la kushoto linamaumivu sana

  • @sakinasakina2314
    @sakinasakina2314 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

  • @YUSTOONESMOMUSICMINISTRY
    @YUSTOONESMOMUSICMINISTRY 2 ปีที่แล้ว

    Naomba mniambie ni wapi hospitali yenu ilipo nije kupata matibabu.

  • @deogratiusmmao7645
    @deogratiusmmao7645 9 หลายเดือนก่อน

    Doctor number

  • @japhetlungu8636
    @japhetlungu8636 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako dr

  • @oficialybwaki5240
    @oficialybwaki5240 3 ปีที่แล้ว

    Samahan docter nashida na namba yako maan goti langu linasumbua sana yan

  • @khamismohd7445
    @khamismohd7445 6 ปีที่แล้ว +1

    Docta na mie nime umia goti una patikana wapi

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @naimaally6306
    @naimaally6306 5 หลายเดือนก่อน

    Nina umri wa miaka 60 naumwa sana na magoti kilo zangu ni 107 nimama Niko nyumbani tu

  • @narasostenes5873
    @narasostenes5873 2 ปีที่แล้ว

    Napenda kufatia vipindi vyenu elimu ya mifupa kunamambo nanjifunza kutoka kwenu lakini nashauli nanyinyi mnjifunze kutoka kwenu tunao tibu kutumia dawa asilli lengo ni kuboresha ili watu wapate matibabu mazuri mfano Mimi MTU aliye vunjika mguu au mkono ninauwezo was kumtibu ndani ya siku 15 au 20 mpaka 25 MTU kawa mzima.

  • @samweledwine747
    @samweledwine747 ปีที่แล้ว

    Samaan naweza kupata mawasiliano ya uyo dokta

  • @rajabutwaha7425
    @rajabutwaha7425 4 ปีที่แล้ว

    Namba zako tunazipataj

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 ปีที่แล้ว

    Sijazeeka wala sijaumia ila yanauma mpaka basi

  • @hassanwembe5548
    @hassanwembe5548 5 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Mbona hutoi majibu sis tuna matatizo

    • @boscomgema5558
      @boscomgema5558 3 ปีที่แล้ว

      0766803083 naomba tuwasiliane

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

    • @violahema178
      @violahema178 2 ปีที่แล้ว

      Nilivyoeewa huyu Dr anapatikana muhimbili kitengo cha mifupa moi, lakin hayupo kibiashara mtaan hio ni serikali ndio mana no yake imekuwa ngum kuitoa huenda hairuhusiwi mpaka ufike hospitali.

  • @alexmapunda8501
    @alexmapunda8501 3 ปีที่แล้ว

    Dokta naomba namba yko

  • @barakambise1970
    @barakambise1970 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii kitu ilitolewa miaka 2 iliyopita na waliotoa n watu wenye elimu wametoa somo ila hawajatoa mawasiliano yao sasa hii inaonyesha kabisa hawajatumia elimu yao ipasavyo kabisa!

  • @manyamamc3734
    @manyamamc3734 6 ปีที่แล้ว

    Unapatikana vipi doctor...?

  • @Habiba-tb8iv
    @Habiba-tb8iv 4 ปีที่แล้ว

    Doctor mm naumwa Sana goti na niko mbali naomba Ushauri nifanyaje niko nnje ya nchi

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @OliviaChristopher-om8vz
    @OliviaChristopher-om8vz 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani naumwa sana maumivu siwezi kukunja goti nikipanda ngzi maumivu naomba no Dr

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 ปีที่แล้ว

    Nisaidie dawa mm ni mjamzito nina maumivu makali kwenye magoti

  • @furahamadati5140
    @furahamadati5140 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani naomba namba yako maana ni muhanga wa goti yani goti limejaaa ata kukunjika hali wezi yani unacho kiongea hapo ndo ninavyo jiskia kabisaa

    • @furahamadati5140
      @furahamadati5140 5 ปีที่แล้ว +1

      0624081036 nakuomba ata ukinitumia namba yako itakuwa imenisaidia sana

    • @japhetv6157
      @japhetv6157 4 ปีที่แล้ว +1

      Ninatatizo +255765057895 whatsp

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว +1

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @BettyBellah510
    @BettyBellah510 ปีที่แล้ว

    Mbona hamjibu maswali jamani

  • @augustinowhite1435
    @augustinowhite1435 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kama ina niuhusu kabisa Dr unapatikana hospital gani nije?

  • @PeninaKagendo-kb8rw
    @PeninaKagendo-kb8rw 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka number yako

  • @pendorichard2630
    @pendorichard2630 2 ปีที่แล้ว

    Daaa yaaani Mimi yananiuma sana

  • @nasrajumanne3498
    @nasrajumanne3498 3 ปีที่แล้ว

    Na nitarudishaje ankle ya mguu iliyokaa upande 1

  • @myreendicksondonald2104
    @myreendicksondonald2104 3 ปีที่แล้ว

    Namba za uyo doctor Mimi naumwa got uu mwaka wa saba

    • @DaudySamwely
      @DaudySamwely 9 หลายเดือนก่อน

      Nasumbuliwa na goti dctor

  • @salmakashau-ib9fq
    @salmakashau-ib9fq ปีที่แล้ว

    Km mm magoti yananisumbua sn

  • @thomaslaitayo1846
    @thomaslaitayo1846 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm naumwa goti

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว +1

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @maximiliannanyaka821
    @maximiliannanyaka821 2 ปีที่แล้ว

    Mi nasumbuliwa na miguu inachaanga balaa sijui tatizo ni Nini nahitaj kujua

  • @paulokalele6543
    @paulokalele6543 5 ปีที่แล้ว

    Kwahyoo kutibiwaaa tunafanyajee

  • @emmanuelmbanda2801
    @emmanuelmbanda2801 3 ปีที่แล้ว

    Jamani matibabu shilg gap pia mnapatikana wap

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 ปีที่แล้ว

    Uko wap doctor nateseka

  • @isayatalented3326
    @isayatalented3326 4 ปีที่แล้ว

    Naomb msahad wako dokta ninasumbuliw na got ugonjw uwo ulio Utaj mala ya kwanz napataj mawasilian yako..

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @hassanwembe5548
    @hassanwembe5548 5 ปีที่แล้ว +1

    Dk naomba namb yako tuwasiliane hali yang mbaya

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @shufaaiddi1569
    @shufaaiddi1569 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsant doctor namm nasumbuliwa nichek wastp kw namba hii 94469477

  • @hassanwembe5548
    @hassanwembe5548 6 ปีที่แล้ว

    Sasa dk gharama zake vp

  • @emmanhosalamba6434
    @emmanhosalamba6434 5 ปีที่แล้ว

    P/se braza Docter naomba unitafte namba yangu ni 0677 314 708 nasumbuliwa sana na goti na Nahitaj kucheza mpira

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 5 ปีที่แล้ว

    Doctar naomba no. Yako,yangu ni 0767969457 naumwa sana naitaji matibabu

  • @abdallahabdallah1956
    @abdallahabdallah1956 4 ปีที่แล้ว

    Dr naomba namba yako nataka tuwasiliane kwa matibabu namba yangu 0773060993

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo la kuwasha goti

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว +1

      Nichecki whatssap +255628317970 au piga simu nikusaidie

  • @ibra.mstudingfile8584
    @ibra.mstudingfile8584 6 ปีที่แล้ว +1

    Doctor nimefurahi kwa kuona videi hii kwan mm imenipa hamu iman ya mguu wangu kujakupona
    doctor kama unavojua ss vijan tunapenda mpira na mm nimeumia mpirani upande wa kushoto wa mguu wa kulia hapo ndipo panapo niuma na kwa maelezo yako nimekatika "LATERAL or MEDIAL COLLATERAL "
    one of that has problem but I expect midial bcoz of pain arising .
    doctor mm mguu wangu mpaka ss hauja unga
    I want communication with you, just text me sms to get your number.
    naomba doctor unisaidie kwa hilo kipitia namba
    0778655287
    I come from Zanzibar.
    nataka unisaidie kama your fellow health personnel but I'm student instead of personnel.

    • @kidaumtumbwi1128
      @kidaumtumbwi1128 6 ปีที่แล้ว

      Jee aliekuwa na maumivu ya goti anaweza kutembea?

    • @harounramadhan2831
      @harounramadhan2831 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kidaumtumbwi1128 BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA
      Tuna bidhaa hii iitwayo
      ARTHROEXTRA TABLETS
      Hii
      -Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa
      -Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga,magoti na mgongo n.k
      -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage)
      -Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
      -Huondoa tatizo la athritis
      -Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio
      Pia kuna
      ZAMINOCAL PLUS CAPSULES
      Hii
      -Mchanganyo wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini)
      -Huboresha mifupa na meno
      -Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka
      -Husaidia sana mfumo wa fahamu
      -Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri
      -Huongeza hamu ya kula
      -Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua.
      Pia kuna GLUZOJOINT-F
      -Huzuia maumivu ya viungo
      -Huzuia kulika kwa maungio
      -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage).
      Ushauri zaidi wasiliana nasi pia +255712126669
      +255765084330

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 3 ปีที่แล้ว +1

      @@harounramadhan2831 vinapatikana wapi tunataka

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      @Swaum Jumaa Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

    • @edendehazard5416
      @edendehazard5416 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmamsiliwa8485 Piga simu +255628317970 au whatssap nikusaidie

  • @josephpascha4730
    @josephpascha4730 5 ปีที่แล้ว +1

    Docta nilipasuliwa got ni wiki sita sasa goti limevimba naalikunji naitaji msaada wako namba yang 0767388732