#TBC1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 เม.ย. 2024
  • Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania kinakupeleka Site ukashuhudie uwekezaji mkubwa uliofanywa katika Bandari ya Karema mkoani KATAVI ambapo inafanya Bandari hiyo kuwa ya kisasa zaidi Kwa upande wa bandari za maziwa makuu.
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

ความคิดเห็น • 2

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna barabara, hakuna crane za kupandishia na kushushia mzigo

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน

    SAMIA MITANO TENA HIYO N 100%