DOTO MAGARI AONYESHA UPANDE WAKE WA 2 ALIOWEKEZA MILL 70 DODOMA, AWAVAA WANAOSEMA FEDHA SIO ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 224

  • @aflofemagriservice7295
    @aflofemagriservice7295 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naitwa DR MGISA
    Kiukweli Hawa watu wanaoonekana kirahisi katika media wangetumia vizuri huo wakati Ili kusaidiwa wengine, Kwa wakati mwingine Wana amsha hari Kwa vijana lakini watafute taarifa sahihi. Nina project naanza kufanya dodoma ikikupendeza karibu

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 2 หลายเดือนก่อน

      kaka naomba namba kuna kitu nataka niulize unaweza nisaidia

  • @bakarially253
    @bakarially253 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ndio shida ya Elimu Yani muwekezaji hajui mradi unaendaje. Isas magari akuachishe kazi

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mmea za utapeli, hayo mambo kwa Tanzania bado mifumo ya kusaidia wtu wanufaike hakuna,

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 3 หลายเดือนก่อน +11

    Uyu anafanyia matangazo wenye nguruwe zao

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu ni Ambassador

    • @aflofemagriservice7295
      @aflofemagriservice7295 2 หลายเดือนก่อน

      Hata kama ni barozi tafakari maneno unayokwend kuongea mbele ya media, pata ABC ya unachotaka kukizungumzia, that's all

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King 3 หลายเดือนก่อน +7

    Millard Ayo umeanza kuyumba... Habari gani izi

    • @selector728
      @selector728 หลายเดือนก่อน

      acha kiherehere

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 3 หลายเดือนก่อน +6

    Eti anamshauri na reporter wa Millard aache kazi aanze kufuga 😂😂

  • @bokakassimkhojakhoja3208
    @bokakassimkhojakhoja3208 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nguruwe wa mke wa professa jay,,hizooo

  • @user-po7ik4zz1l
    @user-po7ik4zz1l 3 หลายเดือนก่อน

    Zamahero 😂😂 kumbe kijiji cha nguruwe ni Dotto ✅🤗

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 3 หลายเดือนก่อน +12

    Doto acha bangi ngurue 1 anakula laki 3 Ahya ngurue 1,000 ×laki 3 ni ngapi kwa mwezi na unalipwq ngapi na Issah😂

    • @dextech2023
      @dextech2023 3 หลายเดือนก่อน +1

      Atawadanganya wagugaji wenzake wa Dar😅😅

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 3 หลายเดือนก่อน

      @@dextech2023 😅😅😅😅

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 3 หลายเดือนก่อน +1

    Musjaji imani ya doto. Kwamba yeye imani gani fikilieni mazaifu yenu kama Kuna mtu Hana zambi Kati yenu. Anajiongopea. Nafisini mwake. Mungu akujuen sana. tu. Jutien mazaifu yenu. Ndipo mtoe ushauri wa meme.

  • @thomasardoph
    @thomasardoph 3 หลายเดือนก่อน +1

    Content😮😮😮

  • @antonyngairo3306
    @antonyngairo3306 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwamba akiongea maneno 20 la kweli ni neno 1

  • @Mgema001
    @Mgema001 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dotto namashaka na uraia wako, nahisi utakua mnazareth maana kiswahili kwako shida😅😅

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 หลายเดือนก่อน +1

    We si muislamu we askafirullah

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa boss acha mringe tuuu tutafanyaje na ushajipataaaaa😂

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera kaka kwa kufuga nguruwe wenzako

    • @idrisaseiph3499
      @idrisaseiph3499 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 kenge kabisa

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nguruwe mama ako 😂😂
      Kenge wa chooni 😂😂

    • @dafrosamonko8254
      @dafrosamonko8254 3 หลายเดือนก่อน

      Shkamoo bro

    • @aflofemagriservice7295
      @aflofemagriservice7295 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu anakuona

  • @Hasnspop
    @Hasnspop 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani amkeni huu ni utapeli huyo jamaa mugopeni mwenye hiyo gari nyeupe Dotto utapotea acha kufungamana matapeli😂😂😂😂😂😂

    • @edwinntabwa5451
      @edwinntabwa5451 3 หลายเดือนก่อน

      Ñi matapeli Kivip mkuu hebu nisanue

    • @Hasnspop
      @Hasnspop 3 หลายเดือนก่อน

      @@edwinntabwa5451 Ndugu yangu ni story ndefu sana ila kwa kiufupi epuka sana hakuna pesa inapatikana kiurahisi hivi hawa wako kwenye mambo ya vanilla pia wameliza watu sana naona wamekuja na mbinu zingine tena za nguruwe

    • @Trey2k365days
      @Trey2k365days 2 หลายเดือนก่อน

      Si wale jama waa vanila

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikua nadhani huyu Doto ni muislamu,Uislamu wa Tanzania mi siwaelewi Subhanallah

    • @HashimuHashboy-bo2wl
      @HashimuHashboy-bo2wl 2 หลายเดือนก่อน

      Uislamu unatoka wap hii ni biashara weka Mbali na imani, haya maisha muache apambane hilo game tuu udini tuu😊

    • @Abu-Hamza254
      @Abu-Hamza254 2 หลายเดือนก่อน

      @@HashimuHashboy-bo2wlWw una Imani gani?

  • @donaldmutegeki9669
    @donaldmutegeki9669 3 หลายเดือนก่อน

    Nguruwe wao tofauti na wa Africa wametoka ulaya huko Namibia wapi wapi.....

  • @gmdigitostore8550
    @gmdigitostore8550 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona sielewi. Serikali... nani amekuambia mradi ni wa kitapeli...hivi Mr kuku bado yupo.
    Kuweni makini..

  • @christopherdiu7851
    @christopherdiu7851 3 หลายเดือนก่อน

    Kijiji cha Nguruwe❤❤

  • @salumukevin957
    @salumukevin957 3 หลายเดือนก่อน +6

    Muwekezaji anauliza panaitwaje hapa 😂😂😂yani umewekeza sehemu usiyo jua jina Doto kaka😅😅

  • @pantaleomcha1795
    @pantaleomcha1795 3 หลายเดือนก่อน +2

    TRA is typing and deleting...😂 Isije ikafika muda ukapelekwa mahakamani kama Mr Kuku boss

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwamba bangi sana

  • @stevenmkami2333
    @stevenmkami2333 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmewatapeli watu kwenye vanilla mmeamia ngurue inaumiza sana 😭😭

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 หลายเดือนก่อน

    Inaalillahi Wainaa Ilayh Raajiun

  • @MajaliwaMajaliwa80
    @MajaliwaMajaliwa80 3 หลายเดือนก่อน +1

    Doto bwana wasio kujua wanapata shida sana

  • @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni
    @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni 2 หลายเดือนก่อน

    Mfanyakazi ndyo mfafanuzi zaidi kuliko mkurugenzi..hahaha alafu mkurugenzi hata haelewi anang'oa macho tu acha kutuchora doto. Yani unapewa nafasi unaanza kujisifu ulivovivaa badara ya kudadavua mladi hahaha alafu mfanyakazi ndyo anadadavua yani unashindwa hata kuuvaa uhusika!!!? We kweli kutoboa kazi IPO!!!!!!!!!

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 3 หลายเดือนก่อน

    Hata wilaya haijui Dah

  • @fatumahossein754
    @fatumahossein754 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo Huyo ngurue a nakula laki 3 atauzwaje? 😂😂😂😂 Acha uongo. Hata wilaya hujui hahaha

  • @user-dk6gm3vg9n
    @user-dk6gm3vg9n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kharamu ngurue

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmm

  • @user-eo4pv8zy2o
    @user-eo4pv8zy2o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo hakuna uwekezaji wa Ml 70 Wala hakuna nguluwe anakula chakula cha lak3 kwa siku 1 Acha uongo

  • @hamzermahundu6371
    @hamzermahundu6371 2 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @daudpius130
    @daudpius130 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa vanilla

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂mtoto wa kiislam amefuga nguruwe aaah bana dotto 😂😂😂😂😂

  • @augustineanney4239
    @augustineanney4239 3 หลายเดือนก่อน +4

    Eeh,,,,eeh,, wanapigwa watu siyo mda

    • @aflofemagriservice7295
      @aflofemagriservice7295 2 หลายเดือนก่อน

      Alikuwepo mwamba aliitwa Tariq au Mr kuku wakawaulize wawekezaji hapo

    • @suzanambatta1126
      @suzanambatta1126 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Muislamu unaguga nguruwe maajabu hayooo

  • @user-fs4zg6te2b
    @user-fs4zg6te2b 2 หลายเดือนก่อน

    Nguruwe anakula laki tatu Kwa siku mwongo sio mfugaji huyo

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar 3 หลายเดือนก่อน +1

    Milard ayo unazingua sana hizi habar gani unaeka

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂
      Ukiumwa figo unawekewa ya nguruwe ohoo 😂😂

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂muwekezaji hajui amewekeza Wilaya gani. Alafu nguruwe 1 anakula laki tatu kwa siku😂😂 bange hizi

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu sio mtanzania amejifunza kiswahili tu

    • @vt-kn6qf
      @vt-kn6qf 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe unawivu tuu , Kwani wewe ni kabila gani

    • @WilliamIbrahim-dt5nb
      @WilliamIbrahim-dt5nb 3 หลายเดือนก่อน

      @@vt-kn6qf sina hata wivu ndugu mimesikiliza kiswahili chake tu

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe unaenda tukukosa sisi waislamu wote .. kwa biashar. Yako Harajuku hiyo😊

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 sisi tupo

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 tusifosiane principle ya maisha
      Kula nyama nyamaza 😂😂

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 3 หลายเดือนก่อน

      @@fredducaunt kelele waachie mbwa

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu. Fipi. Doto. Magari mtiani. Kweli

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye laki 3 ndipo unaonekaka mpuuzi tu laki tatu kwa miezi sita no sh ngapi Hugo ngulue unauza billion ngapi

    • @selector728
      @selector728 หลายเดือนก่อน

      Nguruwe sio ngulue

  • @thomasardoph
    @thomasardoph 3 หลายเดือนก่อน

    Sio muda atapigwa mtu, mambo ya Kuku poa haya😂😂😂😂😂

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unatuzingua Milard ayo sasa kutupeleka kwenye nguruwe

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ikihitajika utaitwa
      Na nguruwe wapo

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe doto akilia ana .awekeza ngurue

  • @antonyngairo3306
    @antonyngairo3306 3 หลายเดือนก่อน

    Kilo 400 nguruwe mmoja Mungu anakuona

  • @salumsaid7301
    @salumsaid7301 3 หลายเดือนก่อน

    Dotto Manguruwe tena...

  • @injili90
    @injili90 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 huyu sio muwekezaji eti mmoja anakula laki tatu hahahaha jichanganye huyu tapeli kama tapeli

  • @marthamvanga8028
    @marthamvanga8028 2 หลายเดือนก่อน

    Amezoea kuongea kwa kishindo

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 3 หลายเดือนก่อน

    We mwongo,anakula lakitatu utauza sh ngapi,hujui unachosema

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 3 หลายเดือนก่อน

    Mfundisheni kuzungumza basi maana kuna vitu aviitaji mmasihara

  • @igulug5450
    @igulug5450 3 หลายเดือนก่อน

    Wezio tumewekeza ng'ombe erofu 1000 mbn hatujisifii tatizo wazaramu munaonge sana siyo kama sisi wasukuma

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muhimu mkono uende kinywani😂

  • @user-yn6om2lz9e
    @user-yn6om2lz9e 3 หลายเดือนก่อน

    Mabanda yenyewe yanavumbi Kama nini acheni utapeli sisi niwafugaji acheni kuinia watu

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 2 หลายเดือนก่อน

    Nguruwe Mmoja ale Laki 3😢 huu utapeli, atangaze tu matangazo yeye kawekeza mwaka jana lakin mwingine anasema miez minne iliyopita mradi haukuwepo sasa unamuelewa nani hapo 😂 😂 , Huyu akaririshwe kwanza kabla hajaongea

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuuh ngurue ana kilo 480 nusu tani oyaaaaa acheni ufala

  • @eliakusaja1955
    @eliakusaja1955 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha yani mtu amewekeza sehem ambayo hapajui ni wilaya gani?

  • @tinomangi6487
    @tinomangi6487 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu sindio yule jamaa wa vanilla

    • @suzanambatta1126
      @suzanambatta1126 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio wa vanila huyu yupo na huku pia?😅😅😅

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wabongo bwana weacha tu

  • @allysulymani1110
    @allysulymani1110 3 หลายเดือนก่อน

    Ukzaji gani huo unachafua mazingira mzewetu mungu arehem mzee mwinyi alipiga marufuku wewe nizuzu kweli

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 3 หลายเดือนก่อน

    Mhhh wapi

  • @damianbahati5081
    @damianbahati5081 3 หลายเดือนก่อน +1

    Millard wajinga watakupoteza. .unarusha habari gani hizi za kitapeli

  • @barakamutabazi2824
    @barakamutabazi2824 3 หลายเดือนก่อน

    Achauongo nguruwe gani anae kula laki 3 kwa siku, mimi pia ni mfugaji na nivema kusema ukweli

  • @husseindumwala3431
    @husseindumwala3431 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesikia nguruwe mmoja anakula laki tatu...

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน

    Nyama ya nguruwe ni magonjwa tu unaweza kupata minyoo Hadi kwenye ubongo

  • @joumarajab5307
    @joumarajab5307 3 หลายเดือนก่อน

    Utapeli wa peli huu after mr kuku here we go again

  • @godfreymasabwida4064
    @godfreymasabwida4064 3 หลายเดือนก่อน

    Mke wa professor j kawekeza hapo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 3 หลายเดือนก่อน

    nguruwee😂😂

  • @stevenngota6400
    @stevenngota6400 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 acha nicheki tu ngurue mmoja anakula laki tatu

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 2 หลายเดือนก่อน

    N muislam kweli uyu

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 2 หลายเดือนก่อน

      Uoslam sio nongo kama kila mtu anazo

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hakili tiziii hajierewii ilaa anapiga hela

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 หลายเดือนก่อน

    Majitu maongo haya

  • @vom84
    @vom84 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa wa vanilla kahamia huku Tena, vanilla za million moja kilo hazijalipa nn?😂😂 Bongo nyoso😂

  • @user-mt4ro9yz5s
    @user-mt4ro9yz5s 3 หลายเดือนก่อน

    Waambie hao

  • @charlesmsuya220
    @charlesmsuya220 3 หลายเดือนก่อน

    Harufu ya utapeli ipo wazi dhahiri mbio ziwaokoe

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 3 หลายเดือนก่อน

    Dec hii au Mr Kuku ?

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂
    WATU WA JATU MPOO MJE NA MAELEZO YENU HAPA

  • @user-cb1rj5jr9o
    @user-cb1rj5jr9o 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Sasa Namibia ipo wapi jmn

  • @dayanamsuya6516
    @dayanamsuya6516 3 หลายเดือนก่อน

    Millard huna habari yakugwa au😢

  • @emmanuelsiwale7100
    @emmanuelsiwale7100 3 หลายเดือนก่อน

    Huu mradi ni wakitapeli

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 หลายเดือนก่อน

    Hadi urithi wa makaburi 😂

  • @simonjovin1885
    @simonjovin1885 3 หลายเดือนก่อน

    Kijiji cha nguruwe😂😂

  • @ProsperMlati
    @ProsperMlati 3 หลายเดือนก่อน

    Acha uonge nguruwe mmoj anakula 300000

  • @user-ny7oq2oy8r
    @user-ny7oq2oy8r 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 Wazee wa uwekezaji wee jichanganye kama hujalia mchozi 😢
    Watu wanafosi kutafuta hela za wajinga na wavivu wakufikiri kila siku.

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 3 หลายเดือนก่อน

    ambassador wa nguruwe ALafu anasema mtoto wa kislamu

    • @issaabdallah5142
      @issaabdallah5142 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo Kaka ndipo nilipo shangaa

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka adi makaburi 😅😅😅

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar 3 หลายเดือนก่อน

    Ngurue 1000x 300000 sawa na mil3 mwezi ni mili900 sasa italipa vip doto acha kuzingua

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lake anaongea bila kupangilia

  • @sadickshabankiloya4622
    @sadickshabankiloya4622 2 หลายเดือนก่อน

    Hadi nguruwe

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน

    Ngurue na mwenye nguruwe

  • @rogmassay4010
    @rogmassay4010 3 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu sana, nguruwe anakula laki 3 kwa siku???

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo ametumika kama ICON
    ILA WAPO WATU WENYE MRADI
    SASA INGIA HAPO WEKEZA UCHANGE HELA ZAKO😂😂😂
    PITA HIVI NA HAPA IPO 🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @kelvinkinabo8001
    @kelvinkinabo8001 3 หลายเดือนก่อน

    JATU 😂😂😂😂

  • @MajaliwaMajaliwa80
    @MajaliwaMajaliwa80 3 หลายเดือนก่อน

    We doto muisilam unafuga nguruwe pumbavu

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂umewekeza hujui hata wilaya uliyowekeza wewe kenge kweli hakuna nguruwe anaekula laki tatu kwa wiki mlo wa nguruwe ni moja kwa siku twende na hesabu nguruwe 20 wanakula debe 4ya mashudu ya alizeti yenye thamani ya 12000 fanya mara 30 mwenyekiti nae chawa tu

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unadhani bil70 matako eti?

  • @user-ye4iy8jy2z
    @user-ye4iy8jy2z 3 หลายเดือนก่อน

    Ngurue moja anakula laki 3 wapo elfu moja ok ngurue elfu moja wanakula milioni mia 3 kwa cku doto manguruwe acha ujinga wa kifala

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo kakosea nguruwe awezi kula laki 3,nayeye utamuuzaje?