#TBC1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania kinakuletea mahojiano maalum na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamis akidadavua uwekezaji unaofanyika ndani ya maziwa Makuu.
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

ความคิดเห็น • 5

  • @wusuchan_taiwan
    @wusuchan_taiwan 10 หลายเดือนก่อน +1

    謝謝上帝保佑!阿們!

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 10 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa,kwa mwendelezo wa kazi za kampuni ya huduma za meli. Swali; tofauti ya cherezo na ship yard ni ipi?

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 10 หลายเดือนก่อน

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao miradi mingi mikubwa ya maendeleo inatazamiwa kukamilika.

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 9 หลายเดือนก่อน

    Kujenga meri zetu Si tunahitaji chuma ? Vipi muchuchuma chuma kinaanza kuchimbwa lini ??

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 10 หลายเดือนก่อน

    imechubuka rangi hio alipiga rangi nan