Part 3_USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEKUFA NA KUFIKA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Mawasiano ya mtoa ushuhuda mpigie kwa namba:+255743443230 Au +255 719 024 564
    JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 276

  • @favouredbygod4163
    @favouredbygod4163 3 ปีที่แล้ว +26

    Jactan na timu yako mnafanya kazi kubwa ya Mungu kuwafikishia watu wa Mungu ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu. Msisahau kuombea kazi hii maana adui hapendi. Ushuhuda ni silaha kubwa ya kiroho kwa watu wa Mungu maandiko yanasema walimshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 ปีที่แล้ว +3

    Very young Pastor, but deeply rooted in Jesus👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽

  • @theunstoppabletips
    @theunstoppabletips 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen,,hakika nimebarikiwa sana na uchumbe huo

  • @frolacharles6788
    @frolacharles6788 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu Akubariki sana nimejifunza vitu vingi sana

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @klo8580
    @klo8580 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza mambo mengi asanteni sana pastor jactan

  • @carokobaai5372
    @carokobaai5372 3 ปีที่แล้ว +5

    A big amen, tumebarikiwa kabisa na tumejifunza mengi amen.

  • @queenmwaweya9691
    @queenmwaweya9691 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubarik mtumishi kwa ushuhuda mzur umefanya niipende kazi yamungu na niifanye kwa bidii mungu nisaidie kumaliza vyema kama nilivyoanza

  • @eunicepilly802
    @eunicepilly802 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza sana Mungu anisaidie ubarikiwe sana Mtumishi

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa ushuhunda umeniwezesha kujiadaa jinsi nitachunga laini zangu na Mungu nisimukosee na aniwenzeshe in Jesus Name Amen

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 ปีที่แล้ว +4

    Ushuhuda huu umetufungua wengi sana. Mungu awabariki sana wapendwa

  • @patrickalexander1177
    @patrickalexander1177 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, kwa maana kwa utumishi huu umewafungua macho wengi sana, umenifanya hata mimi niifanye kazi ya Mungu kwa bidii kwa maana imeandikwa "Amelaaniwa yule aifanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu" Ooh ahsante sana Bwana Yesu kwa kunipenda hata nimepata kuona na kusikiliza ushuhuda huu, jina lako litukuzwe na kupewa sifa milele, Amen.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Na mimi nikiwemo,maana nilianza kukata Tamaa

    • @happykazungumenzamenza1277
      @happykazungumenzamenza1277 9 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe Kwa ujumbe Mzuri wakutuelimisha nakutuhimiza Tuzidi kudumu Katika wokovu nautakatifu

  • @olooasa3478
    @olooasa3478 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi umenijenga sana,Mimi pia sikufa Bali nilipelekwa juu nikakuta watu wanachomwa sana hakika tunahitaji wokovu wa kweli,mungu atusamehe sana

  • @magrethedson7445
    @magrethedson7445 3 ปีที่แล้ว +20

    Ninawaombea watazamaji wenzangu waliosikia na kutazama ushuhuda huu mpaka mwisho, wote kwa pamoja tumwamini huyu Yesu Kristo kwa kumaanisha maana yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele, ili siku moja tukaishi naye katika ule Ufalme ujao.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +4

    Ushuhuda huu nilishausoma sasa nimeisikiliza na kumuona mwenyewe kupitia promover na mtumishi Jactan Msafiri mbarikiwe wote imenupa nguvu ya kuzimu kutengeneza maisha yangu na kuwasaidia wahitaji na kufanya kazi ya Mungu na kusoma neno la Mungu na kulitafakali na kuliamini na kuliweka kwenye matendo na kubatizwa maji mengi nk

  • @celinenene7974
    @celinenene7974 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen Kaka Mungu akubariki unaninjenga sana Mungu akubarikisana unaneemakweli unanifuza mengi sana

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo1892 3 ปีที่แล้ว +4

    Mafunzo mazuri Sana Mwenyezi Mungu atuelekeze na kutuzaidia tuende mapenzi yake

  • @sautiyayesuministry7172
    @sautiyayesuministry7172 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina ubarikiwe sana Kwa kweli cjui nisemejeee zaidi MUNGU atuongezee nguvu tuyashinde ya duniani

  • @janesuday4175
    @janesuday4175 3 ปีที่แล้ว +7

    Kaka jactan kazi yako ni njema sana Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @janesuday4175
    @janesuday4175 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki watumishi huu ushuhuda umenihamisha sehemu moja kwenda nyingine,Mungu anisaidie na atusaidie tuyaishi mapenzi yake.ni hasara sana kuikosa mbingu.

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni yuleyule jana leo na hata milele. Hatabadilisha standard zake za utakatifu na haki ili aweze kuaccomodate kizazi flani na style zao za maisha. Mungu tusaidie tufikie mwisho mwema

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +2

    Amen,Mwenyezi Mungu akubariki sana mchungaji.🎉❤

  • @barakamanu1514
    @barakamanu1514 2 ปีที่แล้ว +3

    asante kwa ushuhuda ndugu Jacktan. Nimetiwa moyo kwamba alipokuwa anajitoa kuwafundisha wengine Neno, mbinguni walifurahia na kunakili juhudi zake zote. Hata wewe Jacktan ujue kwamba unachokifanya kinathaminiwa sana mbinguni. Tungesubiri wachungaji pengine wasingewapatia watu hawa muda wa kutosha kama unavyofanya.

  • @julianajoseph5772
    @julianajoseph5772 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana, nimejifunza kitu

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie tuishi maisha matakatifu yanayo mpendeza yeye, ubarikiwe kaka endelea kumuamini na kumtumikia Mungu katika jina la Yesu Kristo

  • @edwardsinkonde9878
    @edwardsinkonde9878 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumish mungu akutie nguvu

  • @philiprupia6076
    @philiprupia6076 3 ปีที่แล้ว +5

    Duniani hata kama ungeish miaka mia14:20 300..lkn ile siku ya mwisho ni mbaya sana kwa mwenye dhambi na ni nzuri kwa aliye okoka(big point my Brother)🙌🙌🙌

  • @paulinekamau7618
    @paulinekamau7618 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza kusaidia wenye hawana au wanaotuomba msaada tuwasaidie.mungu tusaidie kusaidia.namalipo ni hapa hapa.

  • @ruthstephen2791
    @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Mungu akumbuke utumishi wako Jacktan. Ubarikiwe

  • @noelsanga6711
    @noelsanga6711 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah Amen..

  • @sophianahinja1018
    @sophianahinja1018 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu kwa ushuhuda huu nimejifunza kitu.Amiin

  • @mariamkisoma1988
    @mariamkisoma1988 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen, nimebarikiwa na nimejifunza mengi sana kupitia huu ushuhuda

  • @violachelangat7411
    @violachelangat7411 3 ปีที่แล้ว +7

    Thanks brother to give us another chance kupenda mungu saidi,, may God bless you and your family members

  • @shadrackjames108
    @shadrackjames108 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi nimebalikiwa kupitia ushuda ubalikiwe

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mzuri sana 🙏 wakunifanya nizidi kumtumaini MUNGU wambinguni 🙏🙏 ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU wambinguni 🙏

  • @deogratiousfaustina375
    @deogratiousfaustina375 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @happywillim579
    @happywillim579 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tupe mwisho wetu mwema Amen

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 ปีที่แล้ว +6

    AMEEN USHUHUDA WAKUTUJENGA..MUNGU TUREHEMU TUFANYE NAKUFWATA YALIYO HAKI

  • @jack-mx8et
    @jack-mx8et 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen, namini kwa jina la Yesu nimejifunza nimebrikiwa

  • @pastorjamesmajaliwa7843
    @pastorjamesmajaliwa7843 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubalikiwe Sana mtumishi maana kwaayo umenipa kusonga mbele na kuwamini na kuishi maisha matakatifu na kuendelea kutumika katika nguvu mpya

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 ปีที่แล้ว +3

    Jactan kazi yako n njema mnooo

  • @luckylucas2125
    @luckylucas2125 3 ปีที่แล้ว +4

    Bwana Yesu asifiwe sana kwa kazi zake kubwa.. Nimefurahi kuskia maneno mazuri

  • @sweetberthacharles6960
    @sweetberthacharles6960 3 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah utukufu kwa Mungu aliyeumba mbingu na Dunia 🙏

  • @florakalumbilo6206
    @florakalumbilo6206 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli huu ushuhuda ni fundisho kubwa sana Mungu tusaidie ili tuweze kuishi maisha matakatifu ili mshitaki wetu asiweze kutushtaki.

  • @user-ec4br4pd3o
    @user-ec4br4pd3o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @mc-vick-p4615
    @mc-vick-p4615 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu atusaidiye tushinde majaribu ,kwasababu roho ni radhi lakini mwili ni zaifu.

  • @florencemuasya2629
    @florencemuasya2629 2 ปีที่แล้ว +2

    Jina la bwana libarikiwe sana mwenyezi mungu ni mwaminifu 🙏

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen!!! Nimebarikiwa sana na ushuhuda huu jmn!!!

  • @theresiakasambala4080
    @theresiakasambala4080 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi kiukweli nimebarikiwa sana

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina Mungu azidi kututoa gizani na kutufungua ufahamu tuzudi kumtumikia 🙏🙏🙏

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwel mkono wa MUNGU ni mkuu sana!💪💪💪💪💪💪

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru kwa ushuhuda mzuri unaofundisha sana 🙏🙏

  • @daemmy3685
    @daemmy3685 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu 🙏🙏🙏 aturehem na atusaidie kufanya mapenzi yke

  • @patrickalexander1177
    @patrickalexander1177 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimefuatilia ushuhuda wake mpaka hapa nilipofika aisee amenibariki sana na amenifanya nianze kuzitafakari njia zangu. Jamaan Mungu yupo na kuna maisha baada ya kifo, tafakarini njia zenu.

  • @annstersianganga6772
    @annstersianganga6772 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa yoooote nasema Mungu atukuzwe asante kwa kushea ma sisi. No mimi kutoka Kenya

  • @kashindyedaudkisinza183
    @kashindyedaudkisinza183 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki ufanye Kaz ake kikubwa kuombeana ktk safar hii in gmu sana bila kuongoxwa na ROHO wa mungu hatuwez

  • @daniele.kossan5994
    @daniele.kossan5994 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimefurahi sana ujumbe huu maana nimepata kitu kikubwa.

  • @kashindimwaliasha9546
    @kashindimwaliasha9546 3 ปีที่แล้ว +4

    My Lord Jesus Christ be with you my brother. Ushuhuda wako humenisaidia naamini ninakwenda ku correct Yale nilikuwa sifanyi

  • @selemanmwaisela4733
    @selemanmwaisela4733 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi kwa kutufundisha

  • @josephenemuthuri5351
    @josephenemuthuri5351 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana kaka , Mungu akulinde

  • @bikyeobewalo8730
    @bikyeobewalo8730 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana mtumichi unajuwa kuelewecha mtu na akaelewa🙏❤

  • @exaudbraison23
    @exaudbraison23 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi Mungu akubariki

  • @joylynenalija4795
    @joylynenalija4795 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen,nashukuru sn kwa ushuhuda mzur kaka Jactan. Nmeuckiliza kuanzia mwanzo,nmejifunza mengi ikiwemo utoaji,kusaidia wenye uhitaji,kutimiza mapenzi ya Mungu hapa dunian lkn pia kujikana na ya ulimwengu huu ili kuupata uzima wa milele na kwamba hakuna andiko litakalositirika,haki itatendeka cku ile🙏

  • @lainacemwasote7670
    @lainacemwasote7670 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi,ushuhuda mzuri na unajenga mno.

  • @anethkabelinde5350
    @anethkabelinde5350 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapa KWENE sauti hata Mimi nikimlilia Mungu kwa jambo flani jibu linakuja bila kuelewa limekujaje na unasikia sauti inakusemesha kabisa..Roho mtakatifu n mwema sana..mda mwingne ukikutana na gum mpk unashindwa ufanyeje Mungu antoa maelekezo ch kumfanya..sema watu wengi hatujui kupambanua sauti Ila Mungu anasa nasi Sana

  • @janeysemagogwa2670
    @janeysemagogwa2670 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu🙏 Mbarikiwe sanaa

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +4

    Jactan good job to bring the man of God to give out the testimony. God bless you 🙏🙏

  • @jeremiahkausi2987
    @jeremiahkausi2987 9 หลายเดือนก่อน +1

    True story am blessed

  • @priscillambingu7399
    @priscillambingu7399 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli sauti iko nakumbuka mimi nikiwa mdogo niliitwa na. sauti kubwa sana ikiniambiya kunanyoka itatuuma iko ndani sauti iliniita maratatu sauti yakutisha kubwa ikaniita mara tatu ikanisukuma niende kwenda dani nikaona nyoka kubwa nikapiga nduru sana nikiitaji msaada na huko ilikuwa msitu kulitokeya mzee anaiuwa na akaenda zake kwahivo mungu yuko kweli

  • @reginanamukuru3283
    @reginanamukuru3283 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante ssna mtumishi wa Mungu, ushuhuda wako Umenifungua macho ubarikiwe

  • @IreneCremece
    @IreneCremece หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu akupe maono mengi utufundishe na sisi

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen brother nimebarikiwa sana mungu azidi kutuinuwa sana

  • @charitykadzogambo7758
    @charitykadzogambo7758 3 ปีที่แล้ว +2

    Kusema ukweli.. toka nianze kfatilia, shuhuda zako, zimenifungua sana..na nasaidika kiasi kikubwa asante sana, Mungu aizidishe huduma hii.

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa yeyote ausikiaye ushuhuda huu na apate kuamini kuwa yesu nimuweza wa yote.

  • @essaumabigi669
    @essaumabigi669 3 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa Sana mtumishi najifunza mengi🙏🙏🙏

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sn mtumishi kwa ushuhuda mzuri umetujenga hakika, ingawa mtu kupata toba haingalii wakati uliopo; au unapitia kipindi gani? toba huangalia utayari wa moyo mtu mladi itoke ndani ya moyo, MUNGU husamee, mfano mzuri ni wa yule mnyang'anyi pale msalabani pamoja na YESU alipata kibali cha msamaha ktk mazingira magumu sn

  • @waithirajohnny6502
    @waithirajohnny6502 3 ปีที่แล้ว +3

    Wooow thenkyou so much...I'm so much edified... God bless you & Rich out to many more in Jesus Name 🙏

  • @nestorypeter8127
    @nestorypeter8127 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nimwema nimejengwa pakubwa nami namtukuza mungu

  • @nzogyamkumbo1654
    @nzogyamkumbo1654 3 ปีที่แล้ว +4

    asante kaka jactan, GOD be with you

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 3 ปีที่แล้ว +14

    Mwenye masikio na asikie, Amina.

    • @imki8031
      @imki8031 3 ปีที่แล้ว +1

      Jina labwana nalihimidiwe

    • @orverfredy2694
      @orverfredy2694 3 ปีที่แล้ว

      Amina, yaani ninavo soma baadhi ya comments naona shetani alivyo funga watu jamani dah.😔😔😔

  • @khadijahfrfranciss5101
    @khadijahfrfranciss5101 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana kwa ushuhuda.wa.kuinua.imani mungu awabariki sana nimejifunza mengi kupitia huu ushuhuda

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unaushuhuda mzuri,
    Lakini njoo hapa,
    Matendo 2:37-39
    Matendo 8:14-17
    Matendo 10:47-48
    Matendo 19 :1-7.
    Ndio ubatizo sahihi,
    Utubu kisha ubatizwe katika jina lake Yesu Kristo, ili upate undoleo la dhambi zako. Ubatizo wa maji mengi.

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Mungu ni mwema sana, sala zamarehemu na sala za toba tunapoteza muda, tuishi Mungu alivyo. Kaka ubarikiwe sana, sasa nataka kubatizwa kwa maji mengi na sio ubatizo nilioupata wakikombe. Naendelea kujirekebisha maisha yangu nauzao wangu. Amen Amen

  • @michaelkibonaofficial9150
    @michaelkibonaofficial9150 3 ปีที่แล้ว +6

    Aiseeee Amejibu vema sanaa swali la kwamba je? Ni sauti gani alikuwa anaisiki....yan amejibu vemaaaaaaaaaaaa hakika ni Bwana

  • @beatricelucas7936
    @beatricelucas7936 3 ปีที่แล้ว +2

    daah mtumishi ata nguvu yakuandika chochote nakosa kumbe mimi sikitu kwa mungu sijaona nilofanya zuri mbele ya mungu nahitaji niitafute njia yake kwa nguvu zote asante mungu kwa hiki nimefunguliwa hakika

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +6

    John 11: 25-26 Jesus said to her, I am the resurrection and the life, those who believe in me will live, even though they die; and those who live and believe in me will never die. Mungu alikurudisha ilikupitia ushuhuda wako wengi waokoke and so that you may countine preaching His Gospel. JESUS your able.

    • @joybek1614
      @joybek1614 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyo atusaidie kuhusu kujiremba kwa Wamama ni sahihi?

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 3 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimekuelewa sana hujaongopa hata kitu kimoja. Ukiona na wewe umeelewa na umeamini basi hata wewe ni mteule, sina cha kujazia ila amini tu mbingu ipo na uzuri hakuna mfano. Shida ni tu "mpweke" unakuwa unawapna ndugu Zako huku Duniani utatamani kurudi uwahuburi ila hutWeza

  • @jecintachemtai9580
    @jecintachemtai9580 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen nimejifunza mengi

  • @sifandayishimiye1929
    @sifandayishimiye1929 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nibwana

  • @doreenmgiz5213
    @doreenmgiz5213 3 ปีที่แล้ว +5

    Be blessed man of God for you have told us we didn't knew and every Christian should hear this and take a step to repent and prepare the way for the coming of the Messiah.

  • @emmanuelfrancis4777
    @emmanuelfrancis4777 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameni nimefurahishwa na ujumbe huu umenijenga maana unaelezea habari za mbingu maana mambo ya dunia ni ubatili

  • @elizabethmuthike9623
    @elizabethmuthike9623 3 ปีที่แล้ว +8

    Huu ushuuda umenijenga sanasana

    • @maggyjefwa7552
      @maggyjefwa7552 3 ปีที่แล้ว +1

      Ushuhuda huu umenifunza mengi na Mungu anisaidie kutambua sauti ya Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @desmonddickson410
    @desmonddickson410 3 ปีที่แล้ว +1

    watu wanasemaga mtu akifahawezi kurudi sasanduguyetu amerud nakutushuhudia yote alioyaona lengo lamungu hataki kumchoma moto mwanadam tuyafanyie kaz tulioyasikia amen

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mungu anatupitisha njia nyingi

  • @medardjackson9155
    @medardjackson9155 3 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimekuwa na ibada njema huu ushuhuda nimefuatilia tokea mwanzo umenifungua sana

  • @paulojohn2580
    @paulojohn2580 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @geniegesture9432
    @geniegesture9432 3 ปีที่แล้ว +1

    Jesus is lord....naye ndiye njia ya kufika mbinguni

  • @eliafabiano1067
    @eliafabiano1067 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa Sana namtumishi wamugu nashukuru Sana mg nibadirishe mtoto wako niwe kiumbe kipya

  • @jenniferbarongo6431
    @jenniferbarongo6431 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina barikiwa sana

  • @josephhizza8004
    @josephhizza8004 3 ปีที่แล้ว +1

    UJUMBE HUU NI WA MUNGU. NIMEBARIKIWA SANA NA NIMEJIFUNZA KWELI NYINGINE MUHIMU. UBARIKIWE NDUGU NA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE UAMINIFU KWA MUNGU. MUNGU AKUWEZESHE KATIKA YOTE. HALELUYA!!!!!!