Amen hadi chozi lanidondoka kwasababu nampenda Yesu. Yaan Yesu ni mkuu sana kuliko vitu vingine vya aina yoyote. Yaan Bwana Yesu ni mkuu kuliko Miungu yote. Wala hakuna wa kumfananisha na Yesu ulimwenguni mwote. Amen.
Peter Rashid,ubarikiwe kaka, lugha fasaha sana,wewe pia karama ya utangazaji pia unayo. Yesu ni Bwana,majini walizuiliwa wote,ujumbe wa Yesu ukakufikia. Hakuna kama Yesu,Atukuzwe milele.
HALLELUJAH AND Glory be to God the Lord Jesus Christ may God bless you and Protect you and your family 👪 very interesting we need more of your Testimony
Huyu mtumish ana ushuhuda mrefu tu,kaka Jaktan umesahau kumuuliza alisema walikuwa 8 wenzake 7 wte wamekufa amebaki yy peke yke,nini kiliwauwa hao wenzake?na hajaeleza jins walivyokuwa wanapinga ukristo na kutaka kuwauwa wale watumish wakubwa waliokuwa wakimtumikia Mungu kweli na wamesimama lkn walishindwa kuwauwa. Ushuhuda huu mmeukatisha kaka Jactan bdo huyu mtumishi wa Mungu alikuwa na mengi ya kutueleza ili tujifunze na kuuthamini wokovu🙏
Bwana Yesu asifiwe. Ushuhuda mzuri ningeomba kama angerudi tena atoboe siri yote. Pia ushuhuda wa Omar jojo tungeomba bwana Jactan utuletee majaliwa. Asante
Jamani jamani kwa YESU kuzuri jamani hata mimi nilikuwa muisilamu lakini nilipomkimbilia YESU na kupata wokovu mimi ni hai sio mfuu tena maana nimekombolewa kwa damu ya YESU na sasa nimekuwa mtoto wake.
Mungu ni wa watu WOTE. Kwaio usiadaike ata wewe unaesoma text hii mungu anaweza kukusikia na kukutendea. Kikubwa ni IMANI.... dini nyingi ni UTAFUTAJI wa pesa. Cha zaid utanunua mafuta. Utatoa sadaka. utafulia na ndugu mchungaji anatajirika. SHITUKA. God is rich he dosen't need money. He need BELIVE. take that. Peaceeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Mtumishi, Je, unakumbuka huko miaka ya nyuma wakati unatoa ushuhuda wa chanzo cha wokovu wako ulishuhudia kwamba Mke wako wa ndoa ndiyo chanzo na siyo hivyo unavyoshuhudia (sijui kama bado ungali na mkeo wa kwanza ktk ndoa; maana nalikuona ktk TH-cam ukifunga ndoa na kimwana mwingine kule SA). Ubarikiwe Mtumishi.
Haya mambo yanafanywa baadhi ya uchawi na Mashia wahindi Khoja wakifanya sehemu yao ya dini na hakuna anaweza akapambana nao kwa uchawi wao na itikadi zao mbaya na pesa walizanazo walizopata kwa uchawi. Wenyewe wanachukia na wanaweza wakaniua zaidi ya kunitenga kwa kuwafichua wenyewe wakiona hayo wakiyaona lakini wanafurahi wenzao kama hawa serikali ya Zambia kama hapa nilipo wanapambana na mimi wakiwa na uadui na mimi kama wale watu wa Afrika Kusini na uchawi na mabaya yao, na ukatili wao, kwa sababu ya mimi kuzaliwa kwa kasoro ya hulka za kike na jinsia mbili, na vile nilivyobakwa na watu utotoni, na vile nilivyosoma dini na nikasomeshwa kwa mwenyewe kutaka na Mungu kuniteua nikiwa nina jinsia mbili, na kwa mafundisho ya kweli ya Mungu inayoenda na maandiko niliopata ambayo nayofundisha na mafundisho ya upendo na ya kumrudia Mungu inayoendana na maandiko na imani ya kweli ya Manabii
Jacktan yuko makini sana hasahau kabisa,ina wezekana ume someya utangazaji,nakama hawu kusameya basi uko vizuli kabisa uwa una wauliza yale ambayo tungetaka kuwa uliza.
Swali ni mbona Yesu huwa hawatokei akaawaambia hubiri Uislamu achana na uchawi.Ama Muhammad hawatokei kuwakanya? Yesu huwaambia acheni uchawi hubiri Injili nitumikie mimi.
Sasa kimatamshi hiyo herufi ndogo unaitamkaje na hiyo ya herufi kubwa unaitamkaje? Yes Allah amekataza kumshirikisha ila uchawi ni mashaka ya kishetwani. Wewe ulizaliwa kwenye mashaka na umeenda kwenye mashaka tena.
Waefeso 4.5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja. Amna dini yyte duniani wala mbinguni zaidi ya Yesu kristo...kwaiyo ukiona mtu ni muislam au muhindu jua uyo anamtumikia shetani na mbingu zao ni kuzimu then motoni milele....kama misukule saiz ipo kuzimu inateseka jua ndo ivyo maana awapo ktk nuru Bali ni giza
Majini wabaya wanatolewa kwa uwezo wa Allah pekee anaposomewa Quran wanaunguzwa kwa ukali wa maneno ya Allah wala hakuna kiumbe chochote kinachoweza kudhuru au kunufaisha siyo yesu wala muhammad kiumbe bora kuliko wote duniani
Allaah siyo lucifer bali lucifer ni mkubwa wa mashetani wote.Allah ni Mungu wa viumbe vyote ukiwemo na wewe piya na yesu piya na sote tutakuja tutarudi kwake kwa Allah atatuhukumu motoni au peponi .Allaah akuondolee giza la ukafiri uingie katika nuru ya uislamu dini ya haki siyo ya ubabaishaji
Wewe Acha ujinga wewe uongo huo umeupata wapi ngoje tukukamate uje uthibitishe maneno mbele ya Sheria uje useme na huo ujinga wa jina lako unalotaka kudanganyia watu
Yaani 1hata kupangilia majina kashindwa eti Rashidi shehe sharif Abubakar kasoma Quraan hata kuiigizia hujui lakini kwa vile unazungumza na kondoo hamna shida huwa wanaamini kila jambo Hao najua mwanzo wa kutafuta njia ya kuanzisha kanisa ule sadaka za kondoo
Mungu yuko na ww atakuukum, kuzalilisha dini ya wengine, labda mnakuwa mumelipwa, maana taha alhamdulilah ww kama ulikuwaga sheikh haujuwi ku itamka, muongo ww
Kaka Jacktan hulali???naona ndio umepost😅😅😅😅 Sasa naomba umtafute mtumishi Jamal jojo yupo mombassa na alikuwa pamoja na sheikh omari mnyeshani pls wahoji hao wagu wana ushuhuda mzito mnooooooo
Mnapohoji hawa watu Tafaadhali muwe mnawapa pia nafasi ya kuflow freely,washuhudie bila kuwa interrupted na maswali mengi sana ila waulizwe maswali ya msingi na pia uwepo ushahidi wa wanayoyasema sababu walinga Kristo uwa hawaamini wao wanatetea lidini lao tuu na wanawakana kuwa hawakutokea kwao,,
Naam huyu alikuwa mchawi aliyezaliwa katika uislamu kama ambavyo kuna wachawi waliozaliwa katika wakristo. Muogope Allah SW na ipo siku Allah atafanya watu wajue ukweli wako.
@@Mhandisi2008 sio kweli. Quran haina maneno ya kiuchawi hata kidogo. Wewe hujawahi hata kusoma sura moja ndio maana unabisha kitu usichokijua. Hawa waleta story wenye njaa wanawaponza sana. Mbona hasemi namna gani alifanya akachukua akili? Anasema tu
Mpumbavu mmoja unamzalilisha mzaziwako alieluwekatumboni.kwa njaazadunia akuna laukweli hata moja labda kwa matahila ndo wataamini make wapowengi mjini...nabiasharahio inalipa na inawateja kikubwa nikujiita nabii namtume nakuliita jina layesu basi
YESU NI MFALEM WA wafalme...MUNGU WA miungu...BWANA WA mabwana! ❤❤❤❤❤YESU❣️❣️❣️❣️
Amen hadi chozi lanidondoka kwasababu nampenda Yesu. Yaan Yesu ni mkuu sana kuliko vitu vingine vya aina yoyote. Yaan Bwana Yesu ni mkuu kuliko Miungu yote. Wala hakuna wa kumfananisha na Yesu ulimwenguni mwote. Amen.
Amen tunampenda sote
BWANA YESU ASIFIWE SANA.
NAWASLIMU NYOTE .
NIMEBARIKIWA SANA NA HUO USHUHUDA, MUNGU AWABARIKI.
Amen 🙏🏿
Nani kama YESU hakuna bwana. ..
YESU akikuhitaji anakupata popote pale... Barikiwa mtumishi
Yesu ni njia na uzima nitakuwa nawe Yesu wangu siku zote za uhai wangu
Kwa ushuhuda huu wakristo tumshukuru sana Mungu wetu Maanandiyo Mungu wa kweli wapendwa tuongeze biidi tuta,barikiwa sana
Hongera kaka kwa kupata Neema ya Wokovu. Bwana Yesu apewe sifa.
Peter Rashid,ubarikiwe kaka, lugha fasaha sana,wewe pia karama ya utangazaji pia unayo.
Yesu ni Bwana,majini walizuiliwa wote,ujumbe wa Yesu ukakufikia.
Hakuna kama Yesu,Atukuzwe milele.
Yesu tufunike na damu ya yesu hii dunia imejaa maovu😢
Yesu wewe ni Bwana.Utukufu ni wako Jehovah...ahsante kwa kutuokoa🙏
Hizi ni nyakati za Mungu wetu kujifunua kupitia maombi ya wana wa Mungu kupitia yesu kristo
Hongera saana kwa kumpata YESU. Kumbe tuache bla bla za wokovu.
Amen, Yesu ni muweza🙏kwa Yesu kuna raha tele
Nimekukubali mtumishi unazidi kuniongeza Imani Kwa ushuuda mzuri
Mungu atuepushe na atufunike na damu yake!🙏🏽🙏🏽
HALLELUJAH AND Glory be to God the Lord Jesus Christ may God bless you and Protect you and your family 👪 very interesting we need more of your Testimony
Huyu mtumish ana ushuhuda mrefu tu,kaka Jaktan umesahau kumuuliza alisema walikuwa 8 wenzake 7 wte wamekufa amebaki yy peke yke,nini kiliwauwa hao wenzake?na hajaeleza jins walivyokuwa wanapinga ukristo na kutaka kuwauwa wale watumish wakubwa waliokuwa wakimtumikia Mungu kweli na wamesimama lkn walishindwa kuwauwa.
Ushuhuda huu mmeukatisha kaka Jactan bdo huyu mtumishi wa Mungu alikuwa na mengi ya kutueleza ili tujifunze na kuuthamini wokovu🙏
Ni kweli,ndio maana nikasema tutakuwa na mwendelezo
@@PromovertvTz sawa kaka Jackan🙏
@@joylynenalija4795 🛤️🏃🤲🤲🤲
Hongera sana Mchungajii kwa kipata neema ya wokovu.
Bwana Yesu asifiwe. Ushuhuda mzuri ningeomba kama angerudi tena atoboe siri yote. Pia ushuhuda wa Omar jojo tungeomba bwana Jactan utuletee majaliwa. Asante
YESU NI TAA YA UZIMA DAAH ,NIMEBARIKIWA SANA NA HUU USHUHUDA
Damu ya Bwana Yesu mtakatifu, naomba utuokoe kutokana na maofu ya shetani Amina,
Waisilamu watapinga hii ushuhuda kwa sababu inalenga Imani yao
Ninachukuru kumuonatena mtumiski wa Mungu uchuhuhda wakemtamusana ubarikiwe
Jamani jamani kwa YESU kuzuri jamani hata mimi nilikuwa muisilamu lakini nilipomkimbilia YESU na kupata wokovu mimi ni hai sio mfuu tena maana nimekombolewa kwa damu ya YESU na sasa nimekuwa mtoto wake.
Thank you very much Jactan God bless you.
Amen
Asante kwa ushuhuda umenijenga sana.Hakika Mungu mwema
Natamani kwenda kanisani aliko Hakika Yesu Kristo atosha tu
Asante Yesu kwa wokovu
Power full testimony! Praise Lord God of Israel for might name of king Jesus Christ 🙏🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU kwa maswali uko poa sana
Yesu ni Bwana
Karibu katika jamaa takatifu
Barikiwa sana kweli damu ya yesu usafisha kabisa amen
Yesu yu hai
Damu ya Yesu inaokoa Amen 🙏🙏🇰🇪
Yesu atosha tu,, Hallelujah🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen YESU ANAWEZA
Amen tupee ushuhuda wote jamani tujue ujanja wote
Hii kama story
Asante Yesu kwakua wewe ni kweli yote
Ubarikiwe sana kwa ushuhuda wako na tunahitaji zaidi kuskiliza zaiidi
Mungu ni mwema
Mungu ni wa watu WOTE. Kwaio usiadaike ata wewe unaesoma text hii mungu anaweza kukusikia na kukutendea. Kikubwa ni IMANI....
dini nyingi ni UTAFUTAJI wa pesa. Cha zaid utanunua mafuta. Utatoa sadaka. utafulia na ndugu mchungaji anatajirika. SHITUKA. God is rich he dosen't need money. He need BELIVE. take that. Peaceeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Thank u Juses
Aaah Groly be to God
Nikisoma baba na mama nitapata nini?
Chekesha sana Peter.😂😂😂😂❤
Hongera mchg wangu
Powerful testimony
Thxs so much mchungaji jactan kwa watumishi tofauti tofauti wanatufundisha mambo ya manufa kwa roho zetu endelea hivyo hivyo Amen
Yani we need more episodes
Mungu akubariki kwa ushuhuda mzuri
Apostle una ushuhuda mrefu sana mbona kuufupisha
Mungu asingeweka msamaha,sijui ingekuwajewachawi watu wabaya saana
Endelea ndugu ushapokelewa kwa YESU ni uzima
Mtumishi, Je, unakumbuka huko miaka ya nyuma wakati unatoa ushuhuda wa chanzo cha wokovu wako ulishuhudia kwamba Mke wako wa ndoa ndiyo chanzo na siyo hivyo unavyoshuhudia (sijui kama bado ungali na mkeo wa kwanza ktk ndoa; maana nalikuona ktk TH-cam ukifunga ndoa na kimwana mwingine kule SA).
Ubarikiwe Mtumishi.
Nilijua kuwa labda ni ndo tu nakumbuka hilo,Hii dunia bwana
asante yesuu🙌
Mungu akuongose k wa maisha yako
Nimejifunza mengi sana barikiwa sana Mtumishi
Mungu anakusikia kwa kuwadanganya wenzako
We need more this is not even close to what we wanna know
True
YESU NI BWANA AZIDI KUHIMIDIWA MILELE.
AminA kubwa
Huyu jamaa tapeli! Ukimcontact ataanza kumwambia umpatie majina yako kamili. Atakunasa na uchawi wake!!!!😊😊😊😊😊
God bless you
Yesu ni BWANA
Mungu akuinue zaid
Amen
Nimejifunza kitu ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Hakika Mungu ni mkuu sana
eeh yn miaka 8 mtu anasoma uchawi kweli tunahitaji maombi jaman
Yesu ni wangu
KWELI KWA YESU KUNA RAHA
MTUMISHI ANASIMULIA NA FLOW NZURI NA AMANI YA KRISTO.IMETAWALA
ASNTE KAKA JACTAN KWA USHUHUDA HUU
Haya mambo yanafanywa baadhi ya uchawi na Mashia wahindi Khoja wakifanya sehemu yao ya dini na hakuna anaweza akapambana nao kwa uchawi wao na itikadi zao mbaya na pesa walizanazo walizopata kwa uchawi. Wenyewe wanachukia na wanaweza wakaniua zaidi ya kunitenga kwa kuwafichua wenyewe wakiona hayo wakiyaona lakini wanafurahi wenzao kama hawa serikali ya Zambia kama hapa nilipo wanapambana na mimi wakiwa na uadui na mimi kama wale watu wa Afrika Kusini na uchawi na mabaya yao, na ukatili wao, kwa sababu ya mimi kuzaliwa kwa kasoro ya hulka za kike na jinsia mbili, na vile nilivyobakwa na watu utotoni, na vile nilivyosoma dini na nikasomeshwa kwa mwenyewe kutaka na Mungu kuniteua nikiwa nina jinsia mbili, na kwa mafundisho ya kweli ya Mungu inayoenda na maandiko niliopata ambayo nayofundisha na mafundisho ya upendo na ya kumrudia Mungu inayoendana na maandiko na imani ya kweli ya Manabii
Kama nakuelewa hivi ndugu yangu ila okoka
JESUS IS GOD
David Richard pia alisema shetan I ni kijana handsome boy hajabadlika toka alipofukuzwa mbinguni
Jactan huu ushuhuda ndio uliishiaga hapa hapa.mpendwa haukuendelea??
Ndio umeishia hapo kwa sasa, mwendelezo bado
Hii dini haki haifai kabisa
Dah watu wanaumbuka
Jacktan yuko makini sana hasahau kabisa,ina wezekana ume someya utangazaji,nakama hawu kusameya basi uko vizuli kabisa uwa una wauliza yale ambayo tungetaka kuwa uliza.
Fundisha jinsi ya kukabiliana na uchawi wowote ule.
Swali ni mbona Yesu huwa hawatokei akaawaambia hubiri Uislamu achana na uchawi.Ama Muhammad hawatokei kuwakanya?
Yesu huwaambia acheni uchawi hubiri Injili nitumikie mimi.
Alete ushuhuda zaidi.🏃🏃
Haeleweki
Kwingine kote sawa. Hapo penye kukausha kuni hapo, na huyo mama hakuuwawa baada ya watu kumshuhudia ni mchawi....badala yake wakamshtaki, mmmmh.
Yaani wanaweza kutoa pepo? Kivipi?
Fanya basi kwa uhakika tone kama kweli au fanya lote
Sasa kimatamshi hiyo herufi ndogo unaitamkaje na hiyo ya herufi kubwa unaitamkaje? Yes Allah amekataza kumshirikisha ila uchawi ni mashaka ya kishetwani. Wewe ulizaliwa kwenye mashaka na umeenda kwenye mashaka tena.
Katika uislam, kuna mbingu baada ya Kifo kama sisi tulivyoandaliwa makao yetu na Yesu?
Waefeso 4.5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
Amna dini yyte duniani wala mbinguni zaidi ya Yesu kristo...kwaiyo ukiona mtu ni muislam au muhindu jua uyo anamtumikia shetani na mbingu zao ni kuzimu then motoni milele....kama misukule saiz ipo kuzimu inateseka jua ndo ivyo maana awapo ktk nuru Bali ni giza
Siyo kweli hakuna mbinga baada ya kifo lete ushahidi wa hayo maneno ikiwa weye ni mkweli?
Makao yenu mliyoandaliwa yapo ni kweli ni jehannam milele
@@fadhiliswalehe9286 wewe inashida kijana, unasahau nyie waislamu mnasema mungu wenu atawapa wake kibao huko ahera, onana mnavyoendekeza zinaa😀
Hizo hela zinavyoshuka inaogopesha
Naomba Uwaulize hao waislam ili kutoa majini Kwa watu huwa wanatoa Kwa nini? Jina la mtume au? Kama sisi tunavyoharibu nguvu za Giza Kwa jina la Yesu
Majini wabaya wanatolewa kwa uwezo wa Allah pekee anaposomewa Quran wanaunguzwa kwa ukali wa maneno ya Allah wala hakuna kiumbe chochote kinachoweza kudhuru au kunufaisha siyo yesu wala muhammad kiumbe bora kuliko wote duniani
Tunaomba mwendelezo
......mungu wangu Lucifer hivi kwamba huyo ndiye mungu wa waislamu ama vipi huyo ndiye wanamuita allah?
Hapana
Allaah siyo lucifer bali lucifer ni mkubwa wa mashetani wote.Allah ni Mungu wa viumbe vyote ukiwemo na wewe piya na yesu piya na sote tutakuja tutarudi kwake kwa Allah atatuhukumu motoni au peponi .Allaah akuondolee giza la ukafiri uingie katika nuru ya uislamu dini ya haki siyo ya ubabaishaji
Mungu mmoja kwan mungu wangap
hukusama dini ya uhakika ulisoma mambo ya majini
Hayo masomo syako kwa kurani
Usipagawe rudia tena kumsikiliza
Sorry achakufindisha watu mabaya
NDUGU JACTAN TUNAOMBA UMTAFUTE TENA UYU NDUGU UMUHOJI ZAIDI
Wewe Acha ujinga wewe uongo huo umeupata wapi ngoje tukukamate uje uthibitishe maneno mbele ya Sheria uje useme na huo ujinga wa jina lako unalotaka kudanganyia watu
Sasa mumkamate kwakosa gani mbona unalipuka
Haha hahahahaaa, acha mpewe dozi
Yaani 1hata kupangilia majina kashindwa eti Rashidi shehe sharif Abubakar kasoma Quraan hata kuiigizia hujui lakini kwa vile unazungumza na kondoo hamna shida huwa wanaamini kila jambo Hao najua mwanzo wa kutafuta njia ya kuanzisha kanisa ule sadaka za kondoo
Mhuuu
Mungu yuko na ww atakuukum, kuzalilisha dini ya wengine, labda mnakuwa mumelipwa, maana taha alhamdulilah ww kama ulikuwaga sheikh haujuwi ku itamka, muongo ww
Kwa kweli mnachokitafuta kwa waisilamu mtakipata hasa haka kachanell kamichongo
Ungeokoka ungekuwa huru shida Yako Umekariri na una hasira ukiwa duniani soma vitabu tafuta ukweli utapata uzima Toka gizani rafiki
Kaka Jacktan hulali???naona ndio umepost😅😅😅😅
Sasa naomba umtafute mtumishi Jamal jojo yupo mombassa na alikuwa pamoja na sheikh omari mnyeshani pls wahoji hao wagu wana ushuhuda mzito mnooooooo
😆hakuna kulala
@@PromovertvTz Please, bring more testimony from him. Please, please.
@@PromovertvTz Good catch brother Jacktan. You reminded him about misukule
@@PromovertvTz Please brother, bring him more and allow him to talk more.
Mnapohoji hawa watu Tafaadhali muwe mnawapa pia nafasi ya kuflow freely,washuhudie bila kuwa interrupted na maswali mengi sana ila waulizwe maswali ya msingi na pia uwepo ushahidi wa wanayoyasema sababu walinga Kristo uwa hawaamini wao wanatetea lidini lao tuu na wanawakana kuwa hawakutokea kwao,,
Naam huyu alikuwa mchawi aliyezaliwa katika uislamu kama ambavyo kuna wachawi waliozaliwa katika wakristo. Muogope Allah SW na ipo siku Allah atafanya watu wajue ukweli wako.
Huwezi kuchukua sura za biblia ukafanya uchawi, lakini quran linawezekana Hilo..
@@Mhandisi2008 sio kweli. Quran haina maneno ya kiuchawi hata kidogo. Wewe hujawahi hata kusoma sura moja ndio maana unabisha kitu usichokijua. Hawa waleta story wenye njaa wanawaponza sana. Mbona hasemi namna gani alifanya akachukua akili? Anasema tu
Mpumbavu mmoja unamzalilisha mzaziwako alieluwekatumboni.kwa njaazadunia akuna laukweli hata moja labda kwa matahila ndo wataamini make wapowengi mjini...nabiasharahio inalipa na inawateja kikubwa nikujiita nabii namtume nakuliita jina layesu basi
Hahahaha.....Daaaa hizi injili hizi.