Marko alikufia tu operation room sioni kama alikufia ICU ,waliona wamuweke ICU ndio wasigundue alikufaje juu mbona hakuna hata mtu moja alienda kumuona after operation??juu hiyo masaa yote mtu kuwa operation room ni ngumu mtu kuwa uhai juu dawa ya operation haidumu zaidi 3-4hrs na aliongezewa zaidi ya mara 3
Mama mdogo umeongea ukweli lakini inauma sana marco hayupo nasi tena ,mungu awajaze nguvu wana zebron kwa huu wakati mgumu ,jameni inauma sana hiyo sauti haipo tena .Marco ameniuma utadhani ni ndugu yangu wa damu.🕊️💔
I don't trust the particular hospital coz if indeed he ws serious why didn't they took him to Nairobi yet they were at kisumu a few kilometers to Nairobi...something it's not adding up there
Kama umemsikiliza Dr asingefanyiwa angekufa usingizini au popote ghafla,nami nimewaza asingefanyiwa huenda siku zingesogea lakini bado alikuwa anateseka hadi anashindwa kulala so operesheni ilikuwa ni lazima😢😢 Mungu amlaze pema nasi tusubiri zamu yetu😢😢
❤wakati ukifika KILa mtu na njia yake ,nimekupenda mama umejibu kiroho na cyo kimwili ,,poleni sana KWa mcba huu
Wakati ukifika kila mmoja ananjia yake,hakika kila nafsi itaonja mauti,Bwana ametoa Bwana ametwaa jina Bwana litukuzwe,Amina.
Marko alikufia tu operation room sioni kama alikufia ICU ,waliona wamuweke ICU ndio wasigundue alikufaje juu mbona hakuna hata mtu moja alienda kumuona after operation??juu hiyo masaa yote mtu kuwa operation room ni ngumu mtu kuwa uhai juu dawa ya operation haidumu zaidi 3-4hrs na aliongezewa zaidi ya mara 3
Ni kweli
Mama mdogo umeongea ukweli lakini inauma sana marco hayupo nasi tena ,mungu awajaze nguvu wana zebron kwa huu wakati mgumu ,jameni inauma sana hiyo sauti haipo tena .Marco ameniuma utadhani ni ndugu yangu wa damu.🕊️💔
Hta mimi nimeumia saaana😢
Shetani ni mbaya sana, Eee Yesu tujalie mwisho mwema
Mungu alitoa Mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe,pole sana ZABRON SINGERS
MUNGU akubariki mamamdogo kwa neno la faraja
Poleni Kwa familia, 😭 ni pigo Dunia nzima
Mama mdogo mungu akutie nguvu
Mwandishi swali la uzembe wa madaktari umelikariri kweli yaani tafuta maswali tofauti bana.
inaumiza san jamni mungu awatie nguvu
Maneno ya busara sana,Mungu alifanya kazi yake, Mungu aendelee kuwapa faraja
Mungu awatie nguvu kwa hiki kipindi kigum wanafamilia
Rip Marco us Kenyans loved but God loved you more
Jamani mama mdogo poleni sana kwakutokewa na Marco alikua mtu wawatu
May Almighty God rest Marco's Joseph soul in eternal peace. Mwenyezi Mungu awape nguvu
❤❤polen saana jmn
AMINA ❤❤❤kila mtu ana safari yake ,marhemu aunt alimjibu mdogo wangu akipouua sana
Sauti yake ya kipekee. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa, jina la BWANA libarikiwe🙏.
Poleni familia wrote
Presha ya kushuka nimbaya Sana! Polen Sana wapendwa
Dàah kila mtu amepangiwa kifo yake pole
Vizur avidumu 😢
Mama mdogo Mungu Akutiye nguvu umeongea vzur kihekima
Apumzike Kwa amani Marco kipenzi cha watu
Tuko safari mungu wape ngufaraja
Naama mama mdogo umeongea kitu sahihi kabisa wakat utakapo fika kila mtu ataondoka kwa njia yake 👏🏾👏🏾😥😥😥polen wafiwa 😢😢
Mama mdogo wewe ni mama mnyenyekevu sana na una maiibu yasiyoumiza mtu yeyote.
Poleni sana wanafamilia pole sana kwa mke nawatoto wa marehem
daah inasikitsha san jmn polen san ndug walioguswa inaum san apumzk kwa amn 😭😭😭
Pole sana Mama Mdogo......
😢😢poleni sana mungu awatie nguvu
Mungu atusaidiye kabisa
Poleni wafiwa wote
Amen ubarikiwe mum
Poleni sana mungu awatie nguvu
Poleni sana wana Zabron wote
Poleni jamani!!
Daah mungu awatie nguvu poleni
Eee. Mungu wape faraja familia hii Maana wanawakati mgumu sana
umeumaliza mwendo imani umeilinda
Kaz ya mungu umefanya akupokee mungi mwenyew
Very true Mama pole
Poleni sana kwa msiba mzito jamani mbele yetu sisi nyuma yake
Daah? Marco 😭😭😭
Mungu awatie nguvu zaidi ndungu wote
Polen sana jaman kwakwer kwa msiba
mama nimelia san na mwishon umeongea nimepat faraj ahsant na polen san msib ni wawot
Inauma mno
I don't trust the particular hospital coz if indeed he ws serious why didn't they took him to Nairobi yet they were at kisumu a few kilometers to Nairobi...something it's not adding up there
Mazishi marko
😂😂😂inaumiza sana jamani nimelia nimechoka
😢😢
Pole kwa family
Hapo kwenye kuwekewa chuma basi shida ilikuwa kubwa
Pumzika kwa amani😢
Pumzika kwa Amani 😭😭😭
Tangu lini chuma ikawekwa kwenye mshipa? Tzania hawasomangi . Mungeleta mgojwa kenya
Poleni jamani
Polenta sana
🙏🙏🙏💔
Kisima
NA NYIE C MNGEMWACHA KUMFANYIA OPARASHENI?MWEEE INAUMA SANA
Kama umemsikiliza Dr asingefanyiwa angekufa usingizini au popote ghafla,nami nimewaza asingefanyiwa huenda siku zingesogea lakini bado alikuwa anateseka hadi anashindwa kulala so operesheni ilikuwa ni lazima😢😢
Mungu amlaze pema nasi tusubiri zamu yetu😢😢
pumzik kwa amani
mungu ampumzishe salama
Polen sana mungu amulaze mahali pema peponi
Kwanin marco joseph asihifadhiwe kwake kama nyumba ya milele na sio makaburin i mean azikwe kwake nyumban polen sana familia ya zabron singers
Yaani shetani akiua kila mtu anachanganyikiwa
Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Avity Luuta
😭😭😭💔
Poeren wanafamiry
😭😭😭
Mwendo amemaliza lmani ameilinda àpumzke kwa amani
😢😢😢😢
Nanyie waandishi hamuoni huruma kuwachosha na maswali wafiwa?
Sasa utapataje taarifa
😢😂😢😂😢😂
Rip
Poleni sana mungu awatie nguvu
😢😢😢
😢😢😢
😢😢😢😢
😢