Daah! Hakika kifo chako ni ibada kubwa sana kwetu tuliobaki, hasa tunaojifanya tuko bize na mambo ya dunia, naomba MUNGU usamehe dhambi zangu na za huyu anayesoma ujumbe huu, kufa katika kristo ndilo ombi langu, amen 🙏
huu wimbo una nguvu....kuwa Mungu ndiye Daktari...Mungu amlaze mahala pema palipo na pimziko ,hamna shinda za mwili,roho ....Yeye ni DAKTARI...wewe uko hai mpe nafasi HUYU DAKTARI AKUPE MATIBABU....PIGA LIKE
This young man had such an exceptional voice ,I know his children will rise 1m times more in Jesus Name,I pray for his wife if we keep watching and liking daily ,they'll never starve, it's the best we support,
Can’t stop listening to this song. Needed the affirmation to trust in our lord. Marco Joseph may God continue blessing you and the rest of your Zabron singers family. From wintery Canada 🇨🇦 🙏🏽
Such a great song.Hakika ni dactari anayeponya . Can't stop listening to the song.May God bless you abundantly and continue using you . Trough this song I believe your going to another level 🙏🙏
Mwenzetu ameenda kwa baba kazi kwetu tuliobaki, huu wimbo unaonyesha dhahiri ni kitu gani kilikua kinamsumbua na alikua anafahamu, ila Mungu ameamua kumpumzisha mtumishi wake jina lake yy anajua sababu, Mungu aifariji familia yake haswa mke wake
Mimi kama Mkenya hii nayo nimeifeel poleni sana WaTanzania tunawapenda sana wakenya kujeni hapa wote tuwaombe pole wana Zabros Singers wakuwe na moyo wa kuvumilia Mungu aiweke Roho yake kaka mahali Pema
kama alijua jamani mbona huu wimbo 😭😭ni kama alishakwisha kujua ana tatizo la moyo😭😭😭😭😭 Mungu mpumzishe kwa amani pia tupe kuweza kuzihesabu siku zetu kwani duniani tunapita😭😭😭
Yaaani kuna muda nahisi watu wanajua wanakufa ila hawataki kusema maana wengi walio fariki wanaushara walizofanya za kuashiria hadi unaweza sema alijua .
It's been more than two weeks since we lost Marco and I am still suddened. What a great singer in the kingdom of God. So talented. His impact is felt all around the world. If this is what I feel as fan, I cannot imagine what his widow, children and family feel. May God heal his family and may he continue to sing with the angels.
Kwakweli inaumiza sana- poleni watumishi wa Mungu.Mjitie nguvu katika Bwana, endeleeni kumtumikia Mungu,MARCO ameumaliza mwendo🙏🏼Faraja ya Kristo Yesu, IWA ATAMIE🙏🏼
Huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana, maisha ya hapa duniani ni mafupi tuzidi kumuomba Mungu atutegemeze na kuyatenda yale yampendezayo Mungu na wanadamu.
He was my favourite in zabron I loved this guy songs he made me love zabron .much love from Kenya RIP my brother...his Demise has broken my heart 😭😭😭😭😭😭😭😭
Kupitia huu wimbo nimejifunza mengi nilikuw nachukulia poa kuhusu Mungu ila binadamu tunapaswa kumkabidhi Mungu maisha yetu raha ya milele umpe eee Bwana
Poleni sana zabron singers Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, through this song I feel pain😢😢, kwa mapenzi yake Mungu, Marco apumzike tu kwa aman, Amen
He wished things to go well for his heart, but knew God had a final say, and said whether God said yes or no, its ok.Marco concluded he trusted God with whatever final decision He Made😭😭😭😭🙏🙏🥺RIP son of the Most High God🥺😭
Sometimes we do things as if we know but for sure we don't,,,,marco aliimba huu wimbo tu vizuri bila kujua itahappen aki God why????? Continue resting in peace,,miss your voice😭😭😭
From Kenya can't control tears for what has happen it hurts so much God why so early taking Marco at this time God this is my special condolences to the entire of zablon singers and the family together oooh God it hurts so much its too early😭😭😭😭
Mungu akupumzishe mahali pema maan ni kama ulijua mwisho wako brother yaani wewe umekua kama mr Rimila alipoimba moyo wangu tayari umezimika na baadae ukazimika kwel RIP BROTHER HATUNA CHA KUSEMA BALI NI MUNGU AJUAE
Siku zote naamin watu wanao weza kuhisi kifo ni watu walio karibu na mungu haijalishi dini gani kikubwa kumjua mungu na nini kinampendeza maishan mwetu ,mungu akuangazie mwanga wa milele
@@nurukidakule9468it seems so. I wish he told his wife before he went for operation because it would have prepared her though painful and there would have no speculations of the cause
Mimi kama muimbaji nasemanga hakuna wimbo tunaandika from nowhere. There is always a message in every song. Na sababu ya kila wimbo. Na uzito wa kila wimbo. Pia tukumbuke kuna nguvu katika maneno. Marco aliimba moyo unauma, na akauliwa na moyo kuuma. 😭😭 Rest in peace Marco.
Ndugu hii uligonga Ngoma Moto just soo nice with great message keep up
Hakika Kenya 🇰🇪🇰🇪 tumeumia sana pamoja na wenzetu wa Tanzania poleni sana ndugu zetu
Walai 😂😂😂😂
Hakika wakenya mnatusapoti sana kwenye injili, Mungu awabariki zaidi na zaidi.
Unacheka nini sasa @@BabraWati
@@EmilyOchando Asanteni sana ndugu zetu mbarikiwe sana wapendwa.
🥊👌👌🏻👌🏻fire 🔥 inafariji sana brother shukran sana
Kama unaona baada ya kifo cha huyu bingwa gonga like tukisonga.
😢
Huwa Kila saa hapa 😢😢 nikifungua TH-cam
Huu wimbo aliutunga maalum kwa ajili yake yeye mwenyewe,,,, mwenyezi Mungu akupokee akupatie pumziko la milele...Amina
Kabisaa
Like he foresaw his death
Mungu akulaze mahali pema kaka yangu
Indeed
ukaribie nyumban kwa Baba huko napo ukaimbe hosana hosana ndiwe mfariji wetu 😘
Daah! Hakika kifo chako ni ibada kubwa sana kwetu tuliobaki, hasa tunaojifanya tuko bize na mambo ya dunia, naomba MUNGU usamehe dhambi zangu na za huyu anayesoma ujumbe huu, kufa katika kristo ndilo ombi langu, amen 🙏
Amen
Amina
Amen
nyimbo nzur san
inaujumbe mzur san🙏
Mungu naomba umpokee mwanao ktk ufalme wa mbingu..
Huu wimbo unagusa nyoyo zetu.
Hakika Yesu ni Tiba ya moyo.
Miaka 2 iliyopita nilikoment kwa furaha...leo nakomenti kwa huzuni na majonzi makubwa.Mungu akupokee
@@glorysangei5387😢
huu wimbo una nguvu....kuwa Mungu ndiye Daktari...Mungu amlaze mahala pema palipo na pimziko ,hamna shinda za mwili,roho ....Yeye ni DAKTARI...wewe uko hai mpe nafasi HUYU DAKTARI AKUPE MATIBABU....PIGA LIKE
Jamani naomba audio pliz hii nyimbo nzuri sana barikiwa
Njoo chukua
This young man had such an exceptional voice ,I know his children will rise 1m times more in Jesus Name,I pray for his wife if we keep watching and liking daily ,they'll never starve, it's the best we support,
Can't stop listening to this song..blessings all the way from Kenya ...
mungu hukuandaa mapema kukuchua bila kufahamu,jina la bwana lihimidiwe milele,PUMZIKA KWA AMANI,AMINA
Can’t stop listening to this song. Needed the affirmation to trust in our lord. Marco Joseph may God continue blessing you and the rest of your Zabron singers family. From wintery Canada 🇨🇦 🙏🏽
so painful
Bengu ya mungu uwa aiozi ichomwi na jua wala baridi ...much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Such a great song.Hakika ni dactari anayeponya . Can't stop listening to the song.May God bless you abundantly and continue using you . Trough this song I believe your going to another level 🙏🙏
😂
Mwenzetu ameenda kwa baba kazi kwetu tuliobaki, huu wimbo unaonyesha dhahiri ni kitu gani kilikua kinamsumbua na alikua anafahamu, ila Mungu ameamua kumpumzisha mtumishi wake jina lake yy anajua sababu, Mungu aifariji familia yake haswa mke wake
Kwa sote hii iko on another level..God please continue blessing kaka Macro Joseph kwa yote anayoyatenda💪💪🙏🙏🙏
Shukrani sana sifa na utukufu kwa bwana
Amen barikiwa Ndugu unanipea moyo sana
Mimi kama Mkenya hii nayo nimeifeel poleni sana WaTanzania tunawapenda sana wakenya kujeni hapa wote tuwaombe pole wana Zabros Singers wakuwe na moyo wa kuvumilia Mungu aiweke Roho yake kaka mahali Pema
Kaka wimbo u ktk hali nzuri ukiwa na ujumbe wenye kutia moyo daima kaka Mungu wa mbinguni azidikukutumia kikamilifu kaka
Nibola ww umekuwa na mwisho mwema😭😭🙏Mungu naomba namimi niipate neema hii niwe na mwisho mwea😢😢🙏🙏🙏🙏😭
Mungu tunaomba utusaidie tuwe na mwiso mwema
Mungu asikie ombi lako. Ombi hili ndilo langu pia
Kaka Marco Mungu akupumzishe na akuangazishie mwanga wa milele. Very sad but hatuna namna ya kubadili kuwa hauko nasi tena. Rest in peace rafiki yangu
Ni kweli kafariki 😢 au mnatania
It’s painful. Some news can’t just be taken easily 😭😭😭
Dah hakika
@@godsonmasseri7622nikwel
😭😭😭😭Mungu nawewe inauma
kama alijua jamani mbona huu wimbo 😭😭ni kama alishakwisha kujua ana tatizo la moyo😭😭😭😭😭 Mungu mpumzishe kwa amani pia tupe kuweza kuzihesabu siku zetu kwani duniani tunapita😭😭😭
Umeonaee
Mimi nafikiria alijua ilo tatizo hakutaka kusema tu
Yaaani kuna muda nahisi watu wanajua wanakufa ila hawataki kusema maana wengi walio fariki wanaushara walizofanya za kuashiria hadi unaweza sema alijua .
Mungu hatufichi kitu km tunaamini. Unaweza usijue direct lkn ishara lzm zionekane.
@@MariamMarco-z7r Same HERE
Sote njia yetu ni moja, Marcos katangulia nasisi tutafuata njia hiyo siku yetu ikifika. like plz
Hallelujah,,,,, wimbo wangu pendwa sana .....
Wakati wa .......
Mungu wambinguni akupe maisha marefu nyimbo hiyo minaipenda sana
😢😢😢hayupo tena
Hyupo tena😢
Kwakupitia maombi haya mungu naomba umsaidie prunnce kwe mitihani keshona alhamis
Mungu akupokee kaka Marco
Tutakukumbuka sana😭😭😭
It's been more than two weeks since we lost Marco and I am still suddened. What a great singer in the kingdom of God. So talented. His impact is felt all around the world. If this is what I feel as fan, I cannot imagine what his widow, children and family feel. May God heal his family and may he continue to sing with the angels.
me too 😭😭😭😭😭
Support his kids na likes. .. ifike 10M. Pls Kenyans 😢
Pumzika salama kaka yetu naamini tuta kutana yesu atakapo kuja mara ya pili kulicukua kanisa.
Kifo ni fumbo, Siri!!
Pumzika mungu ndo ajuae kesho ya mtu
Mungu akupiganie ufike mbali, my brother ujumbe mimeupata nimebarikiwa,
pole sana mtumishi pumzika kwa amani mbele yako nyuma yetu tuna kuombea upumzike kwa amani 😢😢
Hilo beti la pili😢,.....jibu lako Ndio au Sio nakuamini❤.....Tupambane Yesu akirudi tutakutana tena
Spiritually he was talking about himself here. Rest well marco
Kwakweli inaumiza sana- poleni watumishi wa Mungu.Mjitie nguvu katika Bwana, endeleeni kumtumikia Mungu,MARCO ameumaliza mwendo🙏🏼Faraja ya Kristo Yesu, IWA ATAMIE🙏🏼
Awesome 🥰🥰our almighty God heals every situation and storms😊😊 I'm testifying that🙏🙏
Amen
Nimelia sana mungu akupuzishe mahali pema pepone 🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana, maisha ya hapa duniani ni mafupi tuzidi kumuomba Mungu atutegemeze na kuyatenda yale yampendezayo Mungu na wanadamu.
He was my favourite in zabron I loved this guy songs he made me love zabron .much love from Kenya RIP my brother...his Demise has broken my heart 😭😭😭😭😭😭😭😭
Much love from Kenya mungu awape nguvu kweli
Jamani Aliu imba kwa ajali ya fya yake hâta kabla haja kufa bado... Marco Kipenzi chetu pumzika kwa Amani Baba yangu toka DRCongo naku samini sana🇨🇩
This song is so deep tearing.......unto thee oh lord they lift up their souls for strength and peace
Maisha yako yamekuwa zawadi kwa wengne mwendo umeupiga vita umemevimaliza mwenyez mungu akujalie pumziko la milele kaka yetu 🙏🙏
Mungu Ni Mwema Sana Kwakwelii ...Kiukwelii Nimefurah Sana. Kuona Mkiendelea kumfarjii Mke Wa Marehemu...Poleni Sana Ndugu Zetu Mung Azidi Watia Nguvu
2liorud kutazama baada kifo chake gonga like!!
😢😭😭😭😭😭😭😭jamani inauma poleni sana ndugu zetu Watanzania 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Akika huu wimbo ni kama ulikuwa unajitabiria mwenyewe mungu akupumnzishe kwa amani tumeumia sana kwa kumpoteza kumpoteza mpeleka injili ya bwana
Jamn mbon huu wimbo unamgusa yeye kabisa mungu aipumzishe roho yake Kwa aman maan kafany kazi yake Kwa ufasah San amen
ila huo wimbo ni wa miaka miwili ilopita hvo cjajua kama alikuwa anaumwa kwann hakwenda vipimo
😢😢
Ooooohhh kumbe kuna wimbo marehu alitoa akiomba Mungu amsaidiye. Mungu akupokee shujaa
Hujawai kukosea nyimbo nzur sanaaa
Jamani kifo Haina huruma inamaliza wapendwa wa Mungu! Mungu azidi kuwalinda watoto pamoja na familia yote ya Marco hiyo nyimbo imenivutia Sana.
Kukutegenea kwa Hali zote, yesu nifunze hii tabia
Kupitia huu wimbo nimejifunza mengi nilikuw nachukulia poa kuhusu Mungu ila binadamu tunapaswa kumkabidhi Mungu maisha yetu raha ya milele umpe eee Bwana
Imebidi nirudi tena kuusikiliza huu wimbo.
Naupenda sana kwakweli. Mwenyezi Mungu akurehemu
Mi pia nakupenda sanaaa
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie
APUMZIKE Kwa Amani.AMINA.
😂😂😂😂😂😂💪😂 Mungu akubarikii Saaaaaaaaànaaa 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 nabarikiwa sana 🔥😅💪
Malaya ww chokora wa ki akili ww
Hiyo comment ilikuwa ya kitambo, sio sasa. Angalia vizuri, wacha matusi.
Usimtukane,, hii comment kaandik miaka miwili iliyopita, angalia vzur @@muindimulwa2102
Kwa ukweli mungu alikupenda zaidi kuliko ss tulivyo kupenda nina imani mahali upo uko salama salamini safari njema
Kukutegemea kwa Hali zote hiyo ndio tabia uliyonifundisha😭😭😭
Farijikeni katika jina la Yesu. Shalom shalom. Kenya tunahuzuni pia
Ahsante Kwa Maisha yako ya hapa duniani MUNGU amekupenda zaidy ya sisi pumzika Kwa Amani bro Marko😭😭😭😭😭😭😭😭
Haki Marco mtunzi kweli si mungu alikupenda Sana kwa kipawa hicho !!
We all have our secret battles that we don't tell anyone about. Ulivipiga vita vizuri, mwendo umeumaliza. Lala salama kaka
😢😢😢
True ni kama alikua anajua ako mgonjwa
Sure
Poleni sana zabron singers
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, through this song I feel pain😢😢, kwa mapenzi yake Mungu, Marco apumzike tu kwa aman, Amen
Kama bado tu ngali hai tuifanye kazi ya Mungu kwa unyenyekevu na kwa moyo mkujufu sana maana siku za mwanadamu zimejaa taabu na huzuni sana,
dah kaka marco kama aliona kinachoendelea katika safari yake ya maisha ya duniani na yajayo..... Dah pumzika kwa amani kaka
Jamaaaaani Mungu wetu wakumbuke hawa watoto na mamao kila kukija 😭😭😭😭😭😭. This is extremely sad 😞😞😞😭😭😭😭😭 from USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸😭😭😭😭😭
God have mercy on me, but this young servant of God is with Jesus whenever he is now.
Mwangaza wa mbinguni ung'ae kizani Kwa jina la Yesu, Mungu tuponye tulobaki kwani wewe pekeee nsiwe daktari
AMINA
Inathamani mauti ya amchae Bwana.Onaa hatuko nawe kimwili lkn unaishi kupitia hizi nyimbo.Shine on your way
Beat ya wimbo TU haifanani na mke wa Marico...Ebu mpumzishen jaman 🙌. Hyo Hata CYO saut yake
Poleni Sana kwa Familia na kwaya nzima ya shujaa huyu. Kifo kweli ni pigo kuu. Mungu amlaze pema Marco.
He wished things to go well for his heart, but knew God had a final say, and said whether God said yes or no, its ok.Marco concluded he trusted God with whatever final decision He Made😭😭😭😭🙏🙏🥺RIP son of the Most High God🥺😭
Amen
Poleni wapendwa ni Mungu karuhusu . Mungu awatie nguvu.
Yeye kamwimbia mungu haya Mimi nawew zaid ya zambi kipi tulicho kifanya Kwa mungu tujichunguze
Sometimes we do things as if we know but for sure we don't,,,,marco aliimba huu wimbo tu vizuri bila kujua itahappen aki God why????? Continue resting in peace,,miss your voice😭😭😭
Surely😢
Poleni Tanzania 🇹🇿 kenya 🇰🇪 tunawapenda
Mungu anawaonuesha watu wake mwisho waooo. Hakika Mungu ni mwema
wengine tumemjua baada ya kifo🤔na tumo humu tuuuu waaaaaah🙆 Mungu akulaze penye wema 🙏
Kabsaa we mwenzangu
@@AvePatrice 😆 kumbe tupo wengi
Alaaaaaaaaa na mpo tu miongoni mwetu
@@WinfreyLutta yah tupo tuu
Sad
Dah tunashukulu kwa maisha yako kaka yahapa duniani mungu akupe safar iliyo njema niwakati wamungu inauma ila hatuna budi kumshukulu
From Kenya can't control tears for what has happen it hurts so much God why so early taking Marco at this time God this is my special condolences to the entire of zablon singers and the family together oooh God it hurts so much its too early😭😭😭😭
No imani yetu kwamba,tutaonana tens kaka
Mungu akupumzishe mahali pema maan ni kama ulijua mwisho wako brother yaani wewe umekua kama mr Rimila alipoimba moyo wangu tayari umezimika na baadae ukazimika kwel RIP BROTHER HATUNA CHA KUSEMA BALI NI MUNGU AJUAE
😢😢😢😢 aliutunga akiwa na Roho wa MUNGU Sana Kwa kwl 😢😢😢
Pole 😂
Ina umiza sana eemungu tufundishe kuzihesabu siku zetu marco alikijua kifo chake huu wimbo kamilisha kilichotokea pumzika shjaa wa imani
Eeh mungu kumbe mungu katupa ata uwezo wa kuona kifo chetu eeh Asante mungu wangu
Eee jamani kifo sijawai amini uliondoka ukaenda safari ya milele eee jamani marco eeee😭😭😭😭😭😭
You were my favorite ndani ya Zabron singers wote may you Rest in peace 😭😭😭
Yoooo mungu akupokeye mtumishi wamungu
Siku zote naamin watu wanao weza kuhisi kifo ni watu walio karibu na mungu haijalishi dini gani kikubwa kumjua mungu na nini kinampendeza maishan mwetu ,mungu akuangazie mwanga wa milele
kabisa😢
kabisa😢
Na Mungu amlaze Marco mahala pema.Virtual hugs to you Zabron singers
Ina wezekana wimbo huu ali utunga wala anajuwa tayari anauguwa 😢😢 poleni sana familia🇨🇩
Ndo ukweli sema tu wagonjwa wa moyo Huwa ni wasiri san
❤🎉 congratulations Marco hatuko nawe tena duniani from Kenya am say shiny on the way
Njia ya wote umetangulia tu Yesu atakufufua siku ya mwisho
Marco acha mungu akupokee hakika tumeumia😢😢🇰🇪🇰🇪 pamoja na wenzetu wa Tanzania, lala sana😢💔
Kupitia huu wimbo ni kama Marco alikua anajua ana tatizo la moyo, atakua hakutaka tu kusema, pumzika kwa amani Mtumishi wa Mungu
Kweli kabisa, atakuwa aliwaficha ndugu zake alikuwa atawaumiza
@@nurukidakule9468it seems so. I wish he told his wife before he went for operation because it would have prepared her though painful and there would have no speculations of the cause
No sister Ruth!!!The spirit of God knew but Marco didn't know,Pliz don't judge things like that,
@@junemukami140 alijua that's why even the wife didn't tell mother in-law she lied to her that he has stomach wounds
Kabisaa
Poleni sana .Kenya twawapenda ... and to Marco 's family mungu awafariji
Fare thee well brethren, you ran your race well, till that beautiful resurrection morning, ila inaumiza sana😭😭😭 🙏🙏🙏
Kama huli kuwa na kosa kwa mungu hakusamee kwa jina Lake, you are one ni her million
Huu wimbo kama vile alikua anajua aisee...😭😭😭apumzike Kwa amani mtumishi
What happened to him
He is no more😭@@mamayao-h6h
Alijijua anaumwa aliimba Kwa kumaanisha
Today is my first time to listen to this song.....wuah aki the song carries deep conversation with God.......rest in peace brother
Mimi kama muimbaji nasemanga hakuna wimbo tunaandika from nowhere. There is always a message in every song. Na sababu ya kila wimbo. Na uzito wa kila wimbo.
Pia tukumbuke kuna nguvu katika maneno. Marco aliimba moyo unauma, na akauliwa na moyo kuuma. 😭😭
Rest in peace Marco.
alikua anaumwa before haimbe wimbo huu
@@maryawino-lc3howew huelew yani ni kama alikua namaono aliimba moyo nando ulio umuua haijalish aliumwa kabla au la
Aliimba baada ya kujua ana shida ya moyo...
Don't you see he was referring to himself, some people though 😔
One of the best song ever❤😢😢