#PART1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #PART1: SABINA -"MIMI SIYO KICHAA -NILIKUWA BILIONEA -MUME KANIDUHULUMU MALI na KUOA MKE MWINGINE"..
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 56

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 วันที่ผ่านมา +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @FatmaMlawa
    @FatmaMlawa 6 วันที่ผ่านมา +9

    Pole sana historia yako inaniumiza mwanamke mwenzio M Mungu atakulipia hapa hapa duniani

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana asee, sijui kama utanikumbuka

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 วันที่ผ่านมา +2

    Pole Sana ndugu yangu. Mimi bora nitafute yangu sitaki kutegemea vya mume wangu naogopa isinitokee km hii.

  • @vincej9275
    @vincej9275 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Global TV kwa interview nzuri, punguza mziki kwa background tafathali. Thank you.

  • @marymrema9700
    @marymrema9700 5 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu data hajawai sahau anarudia hivyo hivyo hajawah sema kakutwa na Mali pia anatoa kichwan hasom popote ukwel inauma

  • @user-ek6yx4fq3c
    @user-ek6yx4fq3c 6 วันที่ผ่านมา +1

    Pole dada MwenyeziMungu akulinde

  • @MjengoniClub
    @MjengoniClub 4 วันที่ผ่านมา

    Pole Sabina nitafute nikubust best

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 6 วันที่ผ่านมา +4

    Ndio maana sasa hivi hakuna anayetaka kuoa au kuolewa

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 6 วันที่ผ่านมา +4

    Nilitaka nijenge na mwanaume wangu lakin kwa hili acha nipambane mwenyewe

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 6 วันที่ผ่านมา +1

      Usilogwe

    • @MalaikaBright-rv6yb
      @MalaikaBright-rv6yb 6 วันที่ผ่านมา

      Never try
      Kwa usalama wa afya Yako ya akili na mwili pia .Mimi nilijenga mabanda ya kuku na ngombe huu mwaka wa tatu nimakatazwa hata kufanya huo mradi ulogarimu mamilion ya pesa 😢 nimeacha yanateketea na mchwa Bora ningefungua duka wanaume
      Ptuuuuuuuu

  • @peacemollel5344
    @peacemollel5344 5 วันที่ผ่านมา +1

    Sijengi na mwanaume.....yaani sijaribu

  • @malakimollel5961
    @malakimollel5961 4 วันที่ผ่านมา +1

    Herbon fatilia vizurclip zote kaka mkweli tena anahofu ya MUNGU

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 6 วันที่ผ่านมา +1

    Global@Kolumba🫶🏻🫶🏻🫶🏻Nawaombea kheri mzidi kuyaweka bayana vitu km hivi vitasaidia sana jamii .

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 6 วันที่ผ่านมา

      Kweri kabisa

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaume

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 6 วันที่ผ่านมา +4

    Presenter hongera, jitahidi kujiandaa kabla ya kukutana na mteja wako,ujue nini kinatakiwa kijulikane kutoka kwake.😮

  • @MerryJoseph-b8x
    @MerryJoseph-b8x 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ila kweli wanawake wanasahau kwao wanajenga kwa waume tu sasa kama mmekuwa mabilionea mume hatak kuinua familia bora umwache

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 4 วันที่ผ่านมา

    Pole

  • @HebronGready
    @HebronGready 6 วันที่ผ่านมา +8

    Dada pole sana ila kumbuka sisi binadamu ni watunzaji wazuri wa kumbukumbu, mm nakumbuka apo awali ulivyokua ukiomba kuonana na mkuu wa mkoa makonda kuna chombo cha habar ulifanyanacho mahojiano maelezo ya kule na kuku kuna utofauti kidogo, kule ulisema mwanaume alikukuta na mali ndo mkanza kuziendeleza, jitaidi kua mkweli na kunyosha maelezo usifiche ata matatizo yako na ww yaliyosababisha mpaka mkafika kwenye mgogoro huo

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa. Alisema kuwa mwanaume alimkuta na mali kwahiyo amemdhulu,nashangaa Leo kabadilisha maelezo. Mhm! Bora huyo mwanaume ajitokeze azungumze

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 5 วันที่ผ่านมา +3

      Huyu alikuwa mwalimu mjueeee subili yawakute kujifanya wajuwaji

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 5 วันที่ผ่านมา +1

      Ndo anaruhusa ya kutembea na mke wa mtu kisa mwalimu

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@marymanoni5536Kwani waalimu wanashida gani hadi yawakute.😂😂😂😂 Wanao utafundishia sebuleni kwako

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe nimpambambaji pambana utakua sawa

  • @neemamacha7481
    @neemamacha7481 5 วันที่ผ่านมา

    part 2 iko wapi

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Background voice kubwa kuliko sauti ya muulizaji maswali

    • @vincej9275
      @vincej9275 4 วันที่ผ่านมา

      kweli kabisa, hakuna haja ya sauti kubwa kwenye background music.

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 4 วันที่ผ่านมา

    Sijengi nae kwanza nikimkuta tu haeleweki siongei nae tena apite hivi unakuja kujenga na likunguru likutoe macho pole mwaya😢

  • @malakimollel5961
    @malakimollel5961 4 วันที่ผ่านมา +1

    Cha msingi mite aongelee kesi tu si story asaidike.chanzo ni maradhi.asaidiwe magar yataoza hamna mwenye uchungu zaid yake.

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmmmh........why kila kitu kiwe na majina yako wewe?
    Inaonyesha ni mwanamke unaependa umiliki.
    May be hapo ndipo tatizo lililoanzia

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 6 วันที่ผ่านมา

      Alie tengenez cheni Bandia nae aliandaliw cheni Bandia

  • @WilliamVenance-f2j
    @WilliamVenance-f2j 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwana kama hajitokez tumuone hana haki

  • @MtahengerwaFelician
    @MtahengerwaFelician 4 วันที่ผ่านมา

    Fatilia millard ayo sabina mkwel kabisa ww ndo unakurupuka

  • @WilliamVenance-f2j
    @WilliamVenance-f2j 3 วันที่ผ่านมา

    Sabina uwe unaongea hapo mbele kana ulivyosema JAMBO TV kama ulivyosema

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@WilliamVenance-f2j afu nyie ndugu wa mume mnagubu kweri nenda kwa kk yako tapeli ww

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kila kitu kilkuwa na majina yako.....

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 6 วันที่ผ่านมา +1

    mwanaume kawa shetani, yani mmetafuta wote leo hii humtaki mwanamke basi gawaneni mali kila mtu aende zake. ila unataka jasho lake ukale na mwanamke wa ndoto zako,

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 4 วันที่ผ่านมา

      @@ombeniMassawe hata wanawake wapo wanao kuwa mashetani. sija sema "wanaume mashetani" nime sema "mwanaume kawa shetani" niki manisha huyu mwanaume kwenye hii case yao kawa shetani. hata kama mwanamke ana makosa alimfanya nini, wagawane mali, mali walichuma wote, hata kama alibaki nyumbani kulea watoto, hiyo ni kazi kubwa tena isiyo heshimika.

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 4 วันที่ผ่านมา

      soma na sikiliza kuelewa, sio kusikiliza au kusoma ili ujibu.siku njema.

  • @MtahengerwaFelician
    @MtahengerwaFelician 4 วันที่ผ่านมา

    😅

  • @daveogonda3192
    @daveogonda3192 4 วันที่ผ่านมา

    ķwel

  • @gracemartin1670
    @gracemartin1670 6 วันที่ผ่านมา +1

    Neva trust men jmn 😅

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 6 วันที่ผ่านมา

    Mwanammke ukiolewa suala la kusema “kwenu” linakuwa limeisha. Nashangaa huyu anaongelea kufanya kitu kwao kivipi!?

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 6 วันที่ผ่านมา +3

      Wewe ndo tukushangae cha ajabu nini hapo

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 5 วันที่ผ่านมา +2

      @@HawaAhmed-yj8wo mwanammke akishaolewa hana kwao. Wewe hujaolewa bado dungaembe haya mambo huwezi kuelewa.

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 4 วันที่ผ่านมา +1

      @@Hamy1109 yaani ndo unazidi kushangaza kuliko mwanzoni 😂😂😂😂😂😂 hakuna mambo hayo dunia hii

    • @Siasia209
      @Siasia209 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@Hamy1109 wewe umeutoa wapi huo ujinga😂😂😂Dunia kweli inawatu waajabu sana

  • @WilliamVenance-f2j
    @WilliamVenance-f2j 3 วันที่ผ่านมา

    Sabina uwe unaongea hapo mbele kana ulivyosema JAMBO TV kama ulivyosema