Kusema za ukweli viatu vyako ni vizito mno,eee Mungu ulie baba wa wajane nakuomba simama na mke wa marco Mungu wa mbinguni mbariki na kumfariji yeye pamoja na watoto wake na ndugu wote amiina
Pole sana Mke wa Marco Mungu akupe nguvu imani na tumaini .Bwana Yesu akuongoze akujalie nguvu uweze kuwalea watoto maumivu ni makali sana pokea kwa Imani
Naye Mungu akiwa juu mbinguni azidi kumpigania dada huyu n wanawe..inauma tena sana kumpoteza rafiki,kipenzi na mzee wa boma..May the Lord stand with her forever 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hawa waandishi ni hovyo yan the same story wanauliza kwa kila mtu yan mtu kafiwa na mume unamhoji iyo nguvu anatoa wapi ebu kuweni na utu ndugu waneshaeleza ilikuaje hamtoshe😢😢ki@RebeccaBhoke
Yesu wangu ,yaani alijijua eti funga KWa ajili yangu ,omba na watt ucku ,kumbe ndo safari yake alishaanza kiroho ,kimwili haupo nasi ila kiroho upo nasi ,pumzika salama na pole sana dada KWa kumpoteza mume wako,,dada unajua kumpa maneno mazuri mfiwa barikiwa sana
Daah pole Sana dadangu, kwa mtu Ambae amepitia Hali Kama hii yako anajua unachomaanisha , Ila kwa mtu Ambae hajawahi kupitia mapito yako hawezi kukuelewa, binafsi najaribu kuvaa viatu vyako, kiukweli vinanibana mno, pole Sana na mungu atakusimamia vyema, kwani kinachoumiza zaidi ni mazoea ambayo hua tumeyaweka kwa wenza wetu.
This is so touching 😢😢,may the Almighty God richly continue councils you mama and the whole family including the zabron singers group.May his soul continue resting in eternity peace ✌️
Pole sana binti, pole mtumishi wa Mungu, maumivu yako ni Mungu pekee anayajua, unajihisi nafsi imegawanyika! Lkn Mungu atakutia nguvu na kukufariji.😭😭🙏🙏
Duuuh! Nimelia Tena Kwa mara nyingine! Mungu awape nguvu sana ni maumivu makubwa sana nakuelewa, poleni sana wapendwa. Marco kamaliza mwendo na kazi zake hapa Duniani amekamilisha. Apumzike Kwa amani. 😭😭🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
Haki Nimelia Sana, Mungu akupe Nguvu Ma'am,😢 la Muhimu Joseph Marco Ayakufa Ni Mwili Amatuaga Yuko Mikononi mwa Babayetu Yesu Kristo, my condolences to the family 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole sana sana sana binti yangu kipenzi. Poleni familia yote ya Zabron. Mungu Baba yetu, awe mfariji wenu. Mrs Marco weka maisha yako mikononi mwa Rafiki yetu YESU, huyo ndiye mume wako aliye baki ambaye aliyashinda mauti. Kitambo kidogo tutamwona akija nautukufu juu yamawingu. Kufumba nakufumbua maandiko yanasema walio lala wataamshwa. Utamwona Marco kwa umbo lakutokufa. Jipe moyo mkuu binti yangu kipenzi. Imarisha watoto wako ktk kumjua Mungu. Pambana kishujaa usilie sana. Wewe ndiye uushike usukani ukiongizwa na yeye atakaye kuja, YESU MWOKOZI WETU. Nakupenda sana binti yangu kipenzi.
Wakati mwingine mbengo TV muwe mnavaaa viatu vya watu hata kama haziwatoshi Mtu Ana machungu makumbwa mnamhoji vipi. Tuwe na utu wakati mwingine. Pole sana dada Mungu akutie nguvu
Shenzi kabisa yaani mtu anahali iyo mnashindwa hata kumpa muda kwanza,mnamuhoji tu.Hamjitambui,Yaani huu ni ushenzi wa wazi.Mm binafsi ninalilaani hili kwa nguvu zote.Gonga like kwa mweye kulaani ushenzi huu.
Kutukana siyo njia nzuri sanaaa bali kuhujiwa ni jambo la kawaida ,uchngu upo lakini hakuna anaeweza kutoa taarifa kamili zaidi ya mke wake ,rafiki yake wa karibu sanaaa kuliko unavyojua , halafu siyo wa kwanza kufariki na watu kwa kawaida ndivyo inavyokuwa mwenyezi mungu aliweka kila kitu sawa halafu alitujenga ktk kutufariji na kisha kuishi bila mtu huyu tena basi ndivyo hivyo ,kikubwa mwenyezi mungu awafariji tu kila nafsi itaonja mauti ,tuombe wamalize vizuri na ktk kipindi hiki kigumu cha msimba ,
Watangazaji hamna huruma hata kidogo mtu huu bado ana maumivu makali na mnamusumbuwa tu. Mungu amuraze mahali vema nandoa yao ilijuwa ya nachamungu jmn😢😢hii intavyu inaniliza sana
😭😭😭Sina la kusema Mimi nimelia Hadi watoto wamenisaidia kulia aki,pole dadangu 😭😭😭 Mungu akufariji pamoja na watoto kwa jumla,Marco amelala tu, Yesu akirudi hakika tutamuona tena,pata pole zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
So sad but kitu inanipa faraja n kwamba haya yoote mlikua mkiomba mungu mpka dakika ya mwisho. Jitinyie moyo familia just shukuru kwa yenye yametendeka sababu yy anajua vyema kabsa
MUNGU awe pamoja nanyie kipindi hiki cha majonzi yenu kazi ya MUNGU haina makosa MUNGU awatie nguvu na kuwafuta machozi sifa heshima na utukufu tumrudishie MUNGU anayestahili kuabudiwa milele yote ameni ameni ameni
Pole sana Mamdogo Mwenyenzi mungu huchukua kilicho chake kwahiyo kilicho baki ni umwoombe tu kwa Mwenyenzimungu ampokee tu na amuweke mahali patakatifu 😢😢😢😢
Pole sana mdogo wangu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu dada. Jikaze mama, baba Mungu tawala, tawala maisha ya mama huyu na watoto wake, ambao wameachwa na Marco. Baba Mungu tunajua hakuna kama wewe, mpe ujasiri mama huyu. Pole sana dada
Dah pole sana my mungu akutie nguvu dada pole kwakweri unapitia kipindi kigumu sana pole sana kipenzi ni kweri chema akidumu pole my sisi sote njia yeti ni Moja pole kipenzi tizama watoto dajh ingaw ngum lakini atuna jinsi 😭😭😭😭😭😭😭😭 pole
Mungu akawe faraja kwako mwanamke mwenzangu. Jipe ujasiri sana ktk kipindi hiki ili uweze kuimalika na kufanyika faraja hata kwa watoto pia. Ni kweli viatu vyako haviwez kumtosha mtu yeyote lkn kuwa naiman kuwa ck moja parapanda itakapolia tutamuona Marco Zabron . Jipe moyo kipenzi
Oh! Jamani pole mdogo wangu damu ya YESU ikutetee na watoto 😢😢😢p'se msimhoji jamani muacheni kwanza eeh! MUNGU mshike binti huyu Zaburi 125 iwe faraja kwake na familia nzima nasi tulioguswa na msiba huu😢😢😢😢
😭😭😭😭😭😭hyo video iko so emotional pliz mm naomba ifutwe ju mm ileniliza 🫶🫶🫶kwa mke w marehemu n watoto wke aki mamake ndugu marafiki pole kwa msiba much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani ii usimuliwe tu jamani inauma sana umenikumbusha machungu mume wangu aliniaga anasafili jumatano alhamis naletewa maiti kapata ajari pole sana Mungu akutie nguvu
I'm Crying 😢 😭 😭 brother wangu pia alikufa kwa same problem hiyo hiyo alipelekwa maskini mpk India pia lakini bila mafanikio wakarudi nyini kwetu na tukaendelea matibabu hospital huku tena.alikuwa kijana umri takriba miaka 28,nimemkumbukia sana alipokuwa mgonjwa na mpk dakika za mwisho tuko nae hospital 😢😢.mola awaweke pahala pema inshallah amin. Dada huyu mola ampe subra kwa maumivu makali anayo makini 😢😢mola ampe faraja ampe wepesi ktk moyo wake yarabi😢😢😢pole sana dada
Inaitwa healing therapy ...anapo endelea kunena zaidi kuhusu tukio Hilo anapona kutoka ndani ingawaje ni mazito kweli. It's good to talk infact anafaa akae na WATU wanao mtembelea KWA wakati mwingi ili aongee zaidi apone . Pole sana dada take heart ❤️❤️❤️. Poleni sana kwa all the families and friends en wa Tanzania wote kwa jumla poleni 🙏🙏🙏
Dada yangu pole sana jmn😭😭tumeumia sote ila ww ndo unamaumivu kutuzidi😭😭Mungu akutie nguvu🤲🙏🏻
Poleni Sana mungu awatie nguvu
@@Jaza2036 asante 😥😭🙏
Mungu akutie nguvu dadangu na awafariji familia..
Pole mamaa😭😭😭😭😭😭tunajua maumivu unayo pitia mungu😭😢😭 akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭😭😭
Poleni sana , so painful but Mungu atawawekea mkono zaidi zidi kumtumaini sana hakika hatawaacha waja wake.
Mungu akufariji dada wewe Na watoto wako Na pia familia.... Pole Sana twashukuru alijua Mungu . Mambo YA Mungu haina kasoro. Take heart
Pole sana mum mungu ni mume wa wajane umebaki na yeye jitie nguvu mwache marko apumzike kwa amani
Pole dada Mungu akutie nguvu na akupe hekima ya kutunza wanao ,,,mwombe Mungu siku zote na mtumikie daima anayo mazuri kwa maisha yetu ,,pole sanaaa
Kiatu chako ni kizito saaana... Polee sanaa! Pole dada na familia yako.Mungu akutie Nguvu.
Kusema za ukweli viatu vyako ni vizito mno,eee Mungu ulie baba wa wajane nakuomba simama na mke wa marco Mungu wa mbinguni mbariki na kumfariji yeye pamoja na watoto wake na ndugu wote amiina
Pole sana Mke wa Marco Mungu akupe nguvu imani na tumaini .Bwana Yesu akuongoze akujalie nguvu uweze kuwalea watoto maumivu ni makali sana pokea kwa Imani
Bwana Yesu akutie nguvu dada...Mungu akawe faraja yako
Pumuzka kwa Amani Marco naumwa sana 😭😭😭😭
Naye Mungu akiwa juu mbinguni azidi kumpigania dada huyu n wanawe..inauma tena sana kumpoteza rafiki,kipenzi na mzee wa boma..May the Lord stand with her forever 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mjane hafai kuhojiwa jamani,mpeni nafasi ya kuomboleza.... It's not easy...Pole sana dada
Kweli kabisa ndugu yangu
Wamuache tu maana anamaumivu makubwa sana
Waambie
Hawa waandishi ni hovyo yan the same story wanauliza kwa kila mtu yan mtu kafiwa na mume unamhoji iyo nguvu anatoa wapi ebu kuweni na utu ndugu waneshaeleza ilikuaje hamtoshe😢😢ki@RebeccaBhoke
Very true. Angepaswa kuachwa aomboleze kwanza😢
Kweli kabsaa wasihojii mfiwaa jamani maumivu ni makubwa snaa
Yesu wangu ,yaani alijijua eti funga KWa ajili yangu ,omba na watt ucku ,kumbe ndo safari yake alishaanza kiroho ,kimwili haupo nasi ila kiroho upo nasi ,pumzika salama na pole sana dada KWa kumpoteza mume wako,,dada unajua kumpa maneno mazuri mfiwa barikiwa sana
Daah pole Sana dadangu, kwa mtu Ambae amepitia Hali Kama hii yako anajua unachomaanisha , Ila kwa mtu Ambae hajawahi kupitia mapito yako hawezi kukuelewa, binafsi najaribu kuvaa viatu vyako, kiukweli vinanibana mno, pole Sana na mungu atakusimamia vyema, kwani kinachoumiza zaidi ni mazoea ambayo hua tumeyaweka kwa wenza wetu.
Mimi nikitoka kazi nikapata wangu amejitia kitanzi 😢last month mpaka saizi Nina machungu nalia Kila siku
@@edarjoan9002pole sana jmn Mungu akutie nguvu
@@edarjoan9002oh pole sana
Pole sana dada maumivu uliyonayo Mungu akupe ujasiri
Pole kipenz mungu akutie nguvu
This is so touching 😢😢,may the Almighty God richly continue councils you mama and the whole family including the zabron singers group.May his soul continue resting in eternity peace ✌️
Pole sana mama. Marco apumzike kwa amani.Amina. Jipe tu moyo!!!
Pole sana binti, pole mtumishi wa Mungu, maumivu yako ni Mungu pekee anayajua, unajihisi nafsi imegawanyika! Lkn
Mungu atakutia nguvu na kukufariji.😭😭🙏🙏
Duuuh! Nimelia Tena Kwa mara nyingine! Mungu awape nguvu sana ni maumivu makubwa sana nakuelewa, poleni sana wapendwa. Marco kamaliza mwendo na kazi zake hapa Duniani amekamilisha. Apumzike Kwa amani. 😭😭🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
Jipe moyo dunia ni mapito
Mungu aendelee kua faraja kwako mpendwa
😢😢inauma sn roho mtakatif awe faraja yako
Haki Nimelia Sana, Mungu akupe Nguvu Ma'am,😢 la Muhimu Joseph Marco Ayakufa Ni Mwili Amatuaga Yuko Mikononi mwa Babayetu Yesu Kristo, my condolences to the family 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole sana sana sana binti yangu kipenzi.
Poleni familia yote ya Zabron.
Mungu Baba yetu, awe mfariji wenu.
Mrs Marco weka maisha yako mikononi mwa Rafiki yetu YESU, huyo ndiye mume wako aliye baki ambaye aliyashinda mauti. Kitambo kidogo tutamwona akija nautukufu juu yamawingu. Kufumba nakufumbua maandiko yanasema walio lala wataamshwa. Utamwona Marco kwa umbo lakutokufa. Jipe moyo mkuu binti yangu kipenzi. Imarisha watoto wako ktk kumjua Mungu. Pambana kishujaa usilie sana. Wewe ndiye uushike usukani ukiongizwa na yeye atakaye kuja, YESU MWOKOZI WETU.
Nakupenda sana binti yangu kipenzi.
Kasi ya Mungu aina makosa, mwanangu wacha tukubali ingawa silaisi lakini ni sawa tu.
Pole
Wakati mwingine mbengo TV muwe mnavaaa viatu vya watu hata kama haziwatoshi
Mtu Ana machungu makumbwa mnamhoji vipi. Tuwe na utu wakati mwingine.
Pole sana dada Mungu akutie nguvu
Ukweli
Shenzi kabisa yaani mtu anahali iyo mnashindwa hata kumpa muda kwanza,mnamuhoji tu.Hamjitambui,Yaani huu ni ushenzi wa wazi.Mm binafsi ninalilaani hili kwa nguvu zote.Gonga like kwa mweye kulaani ushenzi huu.
Imagine hawa watu kutafuta viewers and subscribers si waache mama alilie bwana wake kwanza
upumbavu kabisa
Woiye hawana huruma jamani haja yao ni views tu 😭😭
Hawajitambui kwel
Ukweli huo
Pole sana dada najua viatu vyako ni vikubwa mno hawezi kuvivaa mtu yeyote yule ila tu Yesu awe mfariji wako 😢😭😭😭😭
Dah kiukwel mungu akutie nguvu kipnz nimejikuta nalia aisee omba yasikukute
Mungu wa mbinguni akawe nanyi dada yetuu maana yeye ni baba wa yatima na hata ni mme wa wajane hata sisi tunaishi ni kwa neema yake pekee 🙏
Pole sana dada angu mm mwenyewe nasikia uchungu mno mungu akulinde dada akulinde dada angu
Machozi yananitiririka pole sana mdogo wangu.Bwana Yesu awe mfariji wako ktk kipindi hiki kigumu unachopitia
Pole sana dadangu,,,,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina🙏🙏🙏be strong 💪 my dear sister
Pole I Sana. Ufunuo 21:4 iwafariji. Tunaomba faraja ya Mungu Baba Mwenyezi itawale. Amina
Pole sana Dada yangu mungu akupenguvu may his grace be upon you.
Si jameni angekimbiswa hapa tu Nairobi Kenya tuko na madaktari wa moyo ni wengi . Jameni pole sana mama.
Dah inauma sana umeniliza sana dada najua maumivu yake nimeyapitia niliachiwa watoto wadogo sana jipe moyo Mungu akawe mtetezi wako
Kutukana siyo njia nzuri sanaaa bali kuhujiwa ni jambo la kawaida ,uchngu upo lakini hakuna anaeweza kutoa taarifa kamili zaidi ya mke wake ,rafiki yake wa karibu sanaaa kuliko unavyojua , halafu siyo wa kwanza kufariki na watu kwa kawaida ndivyo inavyokuwa mwenyezi mungu aliweka kila kitu sawa halafu alitujenga ktk kutufariji na kisha kuishi bila mtu huyu tena basi ndivyo hivyo ,kikubwa mwenyezi mungu awafariji tu kila nafsi itaonja mauti ,tuombe wamalize vizuri na ktk kipindi hiki kigumu cha msimba ,
Poleni sana kazi ya mungu Haina makosa mlipenda ila mungu kampenda zaidi
Pole sana dada yangu Mungu ndiye ako na jibu hilo.. atakuwa nawe pamoja na watoto
Huu msiba umenitoa machozi kwakwel pole sana dada mungu akupe faraja kwakwel kiatu chako ni kizito kwakwel
Pole sana mpendwa wangu dah!! kibinadamu inauma sana sana maumivu yako hayaelezeki ni MUNGU pekee awezae kuponya majeraha yako, MUNGU akutie nguvu
Mungu akutie nguvu dada angu na akupe ujasiri uwalee watoto wako wakue jmn
Watangazaji hamna huruma hata kidogo mtu huu bado ana maumivu makali na mnamusumbuwa tu. Mungu amuraze mahali vema nandoa yao ilijuwa ya nachamungu jmn😢😢hii intavyu inaniliza sana
pole sana dada yangu hii imeniumiza sana nili kuwa nime penda sana nyimbo zake wacha mungu atawale na mungu akufinike na watoto
Pole sana mke wa marco nimeumia sana ila Tushukuru kwa kila jambo
😭😭😭Sina la kusema Mimi nimelia Hadi watoto wamenisaidia kulia aki,pole dadangu 😭😭😭 Mungu akufariji pamoja na watoto kwa jumla,Marco amelala tu, Yesu akirudi hakika tutamuona tena,pata pole zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
So sad but kitu inanipa faraja n kwamba haya yoote mlikua mkiomba mungu mpka dakika ya mwisho.
Jitinyie moyo familia just shukuru kwa yenye yametendeka sababu yy anajua vyema kabsa
MUNGU awe pamoja nanyie kipindi hiki cha majonzi yenu kazi ya MUNGU haina makosa MUNGU awatie nguvu na kuwafuta machozi sifa heshima na utukufu tumrudishie MUNGU anayestahili kuabudiwa milele yote ameni ameni ameni
Pole sana Mamdogo Mwenyenzi mungu huchukua kilicho chake kwahiyo kilicho baki ni umwoombe tu kwa Mwenyenzimungu ampokee tu na amuweke mahali patakatifu 😢😢😢😢
Pole sana mdogo wangu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu dada. Jikaze mama, baba Mungu tawala, tawala maisha ya mama huyu na watoto wake, ambao wameachwa na Marco. Baba Mungu tunajua hakuna kama wewe, mpe ujasiri mama huyu. Pole sana dada
Pole dada.... Mungu ni mume wa wajane.... Baba wa yatima...... Farijika ndani ya yesu mama....
Waoh...am grateful of the comforting Madam..Mungu awatie na nguvu zaidi...
Bwana Yesu mama huyu anakuhitaji wewe peke Yako sisi tunalia tu hatumsaidii kitu....watoto wake jamani oooh Mungu hakika wewe ni Mungu
Mama mzazi wa Marco, pole sana mama, Mungu akutie nguvu mpendwa, familia poleni sana, tuendelee kuomba na kushukuru.😭😭🙏🙏
😭😭😭😭
Dah pole sana my mungu akutie nguvu dada pole kwakweri unapitia kipindi kigumu sana pole sana kipenzi ni kweri chema akidumu pole my sisi sote njia yeti ni Moja pole kipenzi tizama watoto dajh ingaw ngum lakini atuna jinsi 😭😭😭😭😭😭😭😭 pole
Pole sana dadangu, Mungu ni baba wa wajane na atakufariji
Wuuuuueeeeeee aki nikama yamefanyoka sahii,Mungu akufariji mamake
Mungu akawe faraja kwako mwanamke mwenzangu. Jipe ujasiri sana ktk kipindi hiki ili uweze kuimalika na kufanyika faraja hata kwa watoto pia. Ni kweli viatu vyako haviwez kumtosha mtu yeyote lkn kuwa naiman kuwa ck moja parapanda itakapolia tutamuona Marco Zabron . Jipe moyo kipenzi
Oh! Jamani pole mdogo wangu damu ya YESU ikutetee na watoto 😢😢😢p'se msimhoji jamani muacheni kwanza eeh! MUNGU mshike binti huyu Zaburi 125 iwe faraja kwake na familia nzima nasi tulioguswa na msiba huu😢😢😢😢
Pole sana dada Mungu wa mbinguni akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.😭😭😭R.IP Marco
Pole sana. Dada mungu atakutia nguvu hiyo nikazi ya mungu bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Pole Sana dada angu najua unayo pitia tumuombee tuu udongo auchagui mtu yoyot wote tutakufa tumuombee bro Marko
Inauma sana 😭😭😭😭😭Damu ya YESU ikawaponye mioyo ya hii familia 🙏🙏💔 Apumzike kwa Amani Marco🙏🙏🕯️🕊️
Mngekuwa watu wema Mngempa huyu Mama Privacy Aomboleze mume wake, Mnamuumiza zaidi, Mngemwacha kabisa bila mahojiano kabisa 😢😢
Akii 😭😭😭
I agree with you . This was not a good time for an interview. Let her mourn. May God give her strength to continue raising their children.
Pole sana mdogo wangi naomba mungu akutie nguvu kweli inauma sana sikia tyuu kwa mwenzako😢😢😢
Pole sana dada, mwenyez MUNGU akutie nguvu.
Nimelia sana sijui kwasababu Mimi ni mhanga wa kumpoteza mtu muhimu sana kwasababu ya moyo.pole sana
Pole sana mwanangu Mungu akutie nguvu sana jipe moyo mkuu
Hakuna kitu kinakuanga na uchungu kama kifo weee poleni sana mungu awape faraja
Tena na ukuwe ni kifo ya ghafla
Pole sana dadangu Allah akupe subra na akutie nguvu,sote njia ni hiyo😢,,kazi ya mungu haina makosa yy anajua zaidi,,ni uchungu sana.
Polé sana dada yangu, apana Ku Liya, mungu ata Kusaïdiya
Dada pole mungu akutie nguvu mama ni kazi ya mungu Hannah makosa
Dah dah dah dah maskin alijua anawaacha
😭😭😭😭😭😭hyo video iko so emotional pliz mm naomba ifutwe ju mm ileniliza 🫶🫶🫶kwa mke w marehemu n watoto wke aki mamake ndugu marafiki pole kwa msiba much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Woiyee😭Dear God visit this lady and wipe her tears,give her peace and comfort..its very heartbreaking 😭😭😭😭
AMEN 🙏
It hurts its hard to explain it hurts
So hard
Pole Sana. Mungu akutie nguvu tu, hatuna jinsi. Pole Mungu tu akusimamie
Inauma sanaaaaa yaan nimejikuta nalia....pole sana dada
Jamani ii usimuliwe tu jamani inauma sana umenikumbusha machungu mume wangu aliniaga anasafili jumatano alhamis naletewa maiti kapata ajari pole sana Mungu akutie nguvu
Pole Grace
Pole dia.. Mungu aendelee kukufariji
Polee sana
@@gladnessmoshi4782 Asante mamy
@@fettyrashid9042 Asante my
Ataumia sana cku wa2 wakitawanyika hapo akabaki pekeyake yaan unaona maumivu yameanza mwanzo😭😭
Hata hiv anamoyo maana angekuwa mwingine hata kuongea hivi inakuaga haiwezekani
I'm Crying 😢 😭 😭 brother wangu pia alikufa kwa same problem hiyo hiyo alipelekwa maskini mpk India pia lakini bila mafanikio wakarudi nyini kwetu na tukaendelea matibabu hospital huku tena.alikuwa kijana umri takriba miaka 28,nimemkumbukia sana alipokuwa mgonjwa na mpk dakika za mwisho tuko nae hospital 😢😢.mola awaweke pahala pema inshallah amin. Dada huyu mola ampe subra kwa maumivu makali anayo makini 😢😢mola ampe faraja ampe wepesi ktk moyo wake yarabi😢😢😢pole sana dada
Pore xana 😢
Pole sana dada mungu akutie nguvu yeye ndiye baba wayatima na nimume wawaje
Poleni ndugu zetu Macro apumzike vyema Mungu awape faraja😢😢
Pole sn dada yg kwa msiba 😭😭😭😭😭😭Mungu akutiye nguvu dada.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Woooi aki ni chungu 😭😭😭. Binti mdogo hivi na watoto wa changa..Mungu wetu kumbuka Huyu mama🙏🙏
😭😭😭😭nyie waandishi mnadhambi sn ivi mnajua machungu anayo pitia huyo dada kweli au fraha yenu kuona izo maick zenu zinabeba machozi ya watu
Kwani alilazimishwa kuongea?
@@Njeriii536tema mate chini wewe
Yaan wasingemhoji kwa hali hio jaman sio kabisa
@@Njeriii536 kama hujui kufiwa tuliza komwe kwani huyo dada alinwita nwandishi nyumbani kwake
Very true my sis this is not good time
Pole sana dada yangu, roho mtakatifu awe mfariji wako dada
From Kenya pole sana ni uchungu sana Mungu pekee atawafariji, Mungu ni Baba wa yatima na Mume wa wajane, mtegemee Yeye.
It shall be well
Nataman hata kuwatukana hao waandishi,,,na nngekua boss wao ningewafukuza mnamuhojije mjane ambae hata haelewi akili yake na moyo viko wapi😢😢
Haki mi ndugu yangu asingehojiwa.
@@lainessmwombeki7919wanakera saana hawa wajinga 😢
Wangewafukuza hapo wajinga Hawa
Ooh God,such a young gal and children 😭😭😭🫂🫂🫂hugs mama from Kenya
May God comfort her as she didi to our gal wamuthungu😢😢😢😢
Jamani,muwe na hutu hâta kidogo.huyo dada was watu kwani kunamuhimu Gani kumuhoji?
Nashangaa
Ila ifkie hatua cyo lazima kuhojihoji kwani doctor c alitoa ufafanuzi me wananikera kwakweli,
Kwakweli wanakwaza
Inaitwa healing therapy ...anapo endelea kunena zaidi kuhusu tukio Hilo anapona kutoka ndani ingawaje ni mazito kweli. It's good to talk infact anafaa akae na WATU wanao mtembelea KWA wakati mwingi ili aongee zaidi apone . Pole sana dada take heart ❤️❤️❤️. Poleni sana kwa all the families and friends en wa Tanzania wote kwa jumla poleni 🙏🙏🙏
True it's not good to question her
Daaaaaah inaumaaaaa inaumaaa pole sana dada angu Mwenyezi Mungu akutiwe nguvu aseee
Pole sana dada angu, mungu atakusaidia na kukupa wepes juu ya jambo hili
Nyie waandishi ni wajinga mnawezaje kumhoji mtu akiwa na maumivu
Waandishi wapuuzi mno wanaona sifa😢😢
Àki hii sio kweli kwamfàno Fanya kama uko kwako ungeeza jieleza kweli 😢😢😢😢 mbona hivi jaman mnakosa busara kam utu hamna😢😢
Yaan 😢
Hata wewe acha ujinga, bila waandishi ungepata wapi haya.
Washenzi saana
Pole sana ni ngumu kwel kuzoea mungu akufariji ww na watot
Pole sana sana dada mungu akutie nguvu katika jina la yesu
Pole pole sana dadangu mungu akuvute machozi
Pole sana dada yangu mungu akutie nguvu na akufariji katika hiki kipindi cha machungu
Dah! Polen wafiwa wote hasa familia yake na watoto inauma sana mpk machozi yananitoka for really tumeumia sana kazi ya Mungu 🙏
Yesu ni mume wawajane tena ni baba wayatima daima atakuwa nanyi❤
Pole Sana dada,, Mungu wetu ni mwema, atakuwa uvumilivu
Pole sana dada,Mungu atafanya njia mbele yako
Sorrrry mamaaaaa!!!!!!!!!😢 Cant withhold my tears😢😢😢😢😢. It's wellll. The Lord is faithful dear...Mume wa wajane Mungu wa mbinguni hatakuacha katu!!!!
Pole dada angu poleeee dah poleee
Mungu akutie nguvu dada na watoto. YEYE tu ndiye anayeweza kutibu maumivu ya moyo mliyonayo familia ya Marco na Zabron.
Jaman duuh polen xawa mungu awatie nguvu
Maumivu unayoyapitia nayajua mpendwa. Viatu vyako nilishawai kuvia. Jipe moyo na ujasili ili uweze kuwalea watoto. Pole sana
Usijali dada mungu atakutia nguvu utaolewa na mume mwingine ww bdo mdogo sana