ZABRON SINGERS Washindwa KUIMBA Mbele ya JENEZA LA MARCO / IMETULIZA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 387

  • @BusinessmanAndGospelMinister.
    @BusinessmanAndGospelMinister. 2 หลายเดือนก่อน +17

    From Kenya mungu awatie nguvu kwa wakati kama huu..
    Marco alale salama kwa bwana..

  • @sharonmarita3453
    @sharonmarita3453 2 หลายเดือนก่อน +53

    From Kenya can't control the tears😭😭😭😭may you rest in peace bro Marco,,,,my entire condolences to the zabron singers and the family in large,,,,Wacha mungu awape faraja😭😭😭😭😭

  • @FlavianMoraa
    @FlavianMoraa 2 หลายเดือนก่อน +6

    From Kenya 😭😭poleni sana Zabron singers...fly 🕊️ with angels Marco

  • @IMHJacques1
    @IMHJacques1 2 หลายเดือนก่อน +17

    From DRC 🇨🇩
    🥲😭😭😭
    Twaamini tutaonana siku ya ufufuo ndugu *Marco Joseph* , choir @Zabronsingers muwe ngufu, asante bwana Japhet kwa huu wimbo special.

  • @eunicemweu2420
    @eunicemweu2420 2 หลายเดือนก่อน +4

    Safiri salama Marco,poleni sana zabron singers mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu

  • @lydiahrabiki2091
    @lydiahrabiki2091 2 หลายเดือนก่อน +12

    Yule mungu wa miujiza jameni tenda miujiza yako we will miss marco

  • @ShekilahGeorge
    @ShekilahGeorge 2 หลายเดือนก่อน +6

    Poleni sanaa Mungu awatie nguvu muendelee kuhubiri kwa njia ya wimbo

  • @nizeyimananathanael6919
    @nizeyimananathanael6919 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani, samahani, samahani tena.
    Naipenda kwaya ya Zabron Singers kuliko mnavyofikiria. Napenda sana unavyoimba BAADA YA NDOA, lakini Japhet na Marico ndio walionifanya niipende sana Kwaya yenu, sasa rafiki yangu Marico ametuacha.
    Tunakosa mtu jasiri. Macho yangu yametokwa na machozi, Mungu atupe nguvu katika nyakati hizi ngumu. Tunakaribia kufunga machozi haya, na Marico tutaonana asubuhi ya ufufuo. Ufunuo 21:1-5.
    Sizungumzi Kiswahili vizuri, lakini natumai utaelewa ninachosema. Uwe hodari na usikate tamaa Yesu yuko karibu kutusamehe maumivu haya.
    Jina langu ni Nathanael NIZEYIMANA na ninatoka Rwanda. Kanisa la SDA.

  • @pascalndayambaje2725
    @pascalndayambaje2725 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pascal from Goma DRC tunapongeza sana familia ya ndugu Marco. Tu vas nous manqué surtout tes belles chansons

  • @Kasasi0322
    @Kasasi0322 2 หลายเดือนก่อน +11

    I can imagine how hard this was hard to write and record in the studio....this is a product of tears and pain😢. God comfort you, his family and all who knew & loved him.

  • @lusubilosiame6456
    @lusubilosiame6456 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani mumemuenzi vizuri sana nashukuru sana Leo hayupo muendelee kumuenzii hivi jamani

  • @JOANCHERONO-u1d
    @JOANCHERONO-u1d 2 หลายเดือนก่อน +8

    From Kenyan,can not control tears😢😢.RIP Marco.

  • @gracembuthia1378
    @gracembuthia1378 2 หลายเดือนก่อน +7

    I didn't know him personally but for real, hili limeniumiza Sana. 😭😭😭😭

  • @Arobaharsama
    @Arobaharsama วันที่ผ่านมา

    Rip kaka ....dance with angels 🙏tunaamini saa hii uko Kwa Baba....poleni familia ya zabron🙏🙏

  • @LydiahKangogo
    @LydiahKangogo 2 หลายเดือนก่อน +13

    i can't stop crying😭😭😭😭Zabron Singers and family receive our condolences from Kenya

  • @CelineEdemba
    @CelineEdemba 2 หลายเดือนก่อน +8

    I can't stop crying 😭😭 sincially my heart is bleeding from inside 💔💔💔 rest well Marco🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @ednanyaga8782
    @ednanyaga8782 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu awafariji. From Kenya

  • @Sirhema255
    @Sirhema255 2 หลายเดือนก่อน +6

    Poleni Zabron Singers na Taifa kwa Ujumla ❤❤❤❤❤

  • @dithbug3191
    @dithbug3191 หลายเดือนก่อน +1

    How can this be so painful and i don’t even know this Marco in person but just from watching his songs . So i can imagine how the family is feeling . God help Marco’s family in this trying times .

  • @syombuamuumbi6472
    @syombuamuumbi6472 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya. Cant control my tears. Zabron singers....you always bless me so much

  • @nicodemuskimeu-official.4006
    @nicodemuskimeu-official.4006 2 หลายเดือนก่อน +27

    Watu wazuri ndio TU huenda I beg zabron singers mjikaze na hao watoto na mke mwalilinde milele.tuna Lilia huku Kenya zaindi.

  • @timothymutai174
    @timothymutai174 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana.Mungu awatulize na muwe na utulivu wa moyo.Mungu abarikiwe.Mungu hutubariki pia yeye ndiye hurudisha.

  • @LeticiaMwonge-f3q
    @LeticiaMwonge-f3q หลายเดือนก่อน +1

    Poleni zabroni ,,wimbo wa maombolezo mnzuri sana,

  • @mwikalimutuku
    @mwikalimutuku 2 หลายเดือนก่อน +4

    From Kenya may you shine with angles Marco we loved you but ....God loved you more

  • @DaizyJeptoo-y2g
    @DaizyJeptoo-y2g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimelia sana sijafarijika Bado
    Mbona wewe my best singer 😢😢
    Mungu akulaze pema marco 😭😭

  • @HellenMoraa-t8o
    @HellenMoraa-t8o หลายเดือนก่อน +1

    Am tired already ...I can't control my tears ...Mungu awafariji sana Zabron singers and more especially Marco wife and children. 😢😢😢😢

  • @warriorsun6356
    @warriorsun6356 2 หลายเดือนก่อน +38

    Pumzika kwa Amani Rafiki kipenzi........... Tutaonana tena Asubuhi ile iliyo njema.....Nenda Marco....nenda kaka Kapumzike.

    • @EdinaJosph-h3d
      @EdinaJosph-h3d หลายเดือนก่อน +2

      Pole jaman mungu kampenda zaid

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli inauma sanaaaa Mungu akulaze mahali pema peponi Marco Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe

  • @fredricksimatwa8966
    @fredricksimatwa8966 2 หลายเดือนก่อน +2

    Go ahead and release this song .Even in sorrow God has already manifested through the song

  • @InnocentKisangaTZ
    @InnocentKisangaTZ 2 หลายเดือนก่อน +4

    Reminds us of all our loved ones who have departed. May their souls continue to shine and be our light and guidance as we walk this earth😭😭😭
    Lobe and Light🫂🫂

  • @assumptajoseph3125
    @assumptajoseph3125 หลายเดือนก่อน +1

    I'm always in tears when I watch this😭😭😭😭 it's painful...my condolences 😢😢😢

  • @ChrisOdiwuor
    @ChrisOdiwuor หลายเดือนก่อน +2

    Second coming of Jesus christ...we will all see Marco and others that died in christ...accept our condolences as advents from 🇰🇪 zabron singers...

  • @StephenNyamekye-w6q
    @StephenNyamekye-w6q 2 หลายเดือนก่อน +6

    From Ghana, I don't understand the language but I love their music. May his soul rest in peace

  • @TimothyMutembei-ws4gw
    @TimothyMutembei-ws4gw 13 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭 speechless...but go well marco😢

  • @OluochOchola
    @OluochOchola 13 วันที่ผ่านมา

    It's not yet unti it's done keep the candle glowing brother 💥💥

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 หลายเดือนก่อน +7

    ni kwel mungu kwahili umetuumiza sana...ila.bado tunakutumainia ww dunia inamambo huenda uliona mtumishi wako angeendelea kukaa katika dunia hii shetan angemsongasonga..ukaona bora mtumishi wako alale ucngiz wa milele mapema ila inauma sana

    • @MaryTesha-le2ql
      @MaryTesha-le2ql 2 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭😭

  • @joachimoboch2520
    @joachimoboch2520 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kwa kumpoteza mmoja wenu,Mola ailaze roho yake pema.

  • @yohanamichaelmaganga
    @yohanamichaelmaganga 2 หลายเดือนก่อน +12

    Hakika hili limetulizaa... Imekuwa mapema Sana Ila ni mipango ya Mungu maana sisi sote ni wake... Mungu awatie nguvu wana Zabron na Family kwa ujumla kwa kipindi hiki kigumu😭😭

  • @IsraelChoga
    @IsraelChoga 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amen

  • @Ronobingwa
    @Ronobingwa หลายเดือนก่อน

    From Kenya, pole kwa zablon singers

  • @ireneshaviha1172
    @ireneshaviha1172 หลายเดือนก่อน

    From Kenya,,kumpoteza familia n uchungu sana ila yote ya Mungu,,ss hatuna la kufanya kubali yote

  • @gladysminoo-d5d
    @gladysminoo-d5d 2 หลายเดือนก่อน

    Safiri salama Marco,, poleni sana Zabron singers

  • @MarsMoon-t5r
    @MarsMoon-t5r 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 😭😭 Marco umewaacha wenzako na majonzi makubwa sana mpaka najikuta nalia mwenyewe poleni sana Zablon singers kwa kipindi hiki kigumu

  • @josephomwoyo3563
    @josephomwoyo3563 หลายเดือนก่อน +5

    From Kenya can't control my tears daily when i watch this song😭😭😭

    • @AlphaDaimon
      @AlphaDaimon หลายเดือนก่อน +1

      Wakenya MUNGU awabariki kwakweli,, mmewazidi hata wasanii wa Injili wa Tanzania

    • @AnethUtavangu
      @AnethUtavangu หลายเดือนก่อน

      Pole san😢

  • @BasuPastory
    @BasuPastory 21 วันที่ผ่านมา

    Polen jaman Hilo jambo halizoelek, na kazi ya mungu Haina makosa

  • @IsaiahMollel-c5p
    @IsaiahMollel-c5p หลายเดือนก่อน

    Poleni xana familia pamoja na watanzania woote kazi ya mungu haina makosa

  • @EzekielYohana-n5d
    @EzekielYohana-n5d 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani poleni sana group la zabron singers maana amepotea mtu wa muhimu sana kwenu ila atuna jinsi akipangacho mongu akuna wa kukipangua

  • @TopGrade-wq8rj
    @TopGrade-wq8rj 2 หลายเดือนก่อน +1

    I can't remember when I shed tears this much!! O God, this one has hurt us a lot. Why God?

  • @GracaMichelle-ki5of
    @GracaMichelle-ki5of 2 หลายเดือนก่อน +2

    This just took me back 5yrs ago when I lost my beloved Dad...the pain never goes away you just learn to live with it daily....it's so painful sometimes you feel like everything collapsed and ended with him....my son keeps me alive without him I don't think I could have come this far....death robs us of precious souls....may your soul rest in peace MARCO....may God comfort everyone grieving their loved ones😢

  • @young_brother27
    @young_brother27 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maumivu ya kufiwa yasikilizie tu kwa wenzako ila yasikukute..😢😢
    RIP MARKO🕊️

  • @jecintaawino1954
    @jecintaawino1954 2 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya this is so painful 😢😢😢😢😢😢 but it's God's plan 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sallylynette2188
    @sallylynette2188 2 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya,rest in peace Marco so painful

  • @wanjikukamande4863
    @wanjikukamande4863 19 วันที่ผ่านมา

    you were strong to write your heart out be strong

  • @ZahraEmmy-ei8hq
    @ZahraEmmy-ei8hq 2 หลายเดือนก่อน

    Woooiiii.... kifo jamani. 😥

  • @LittleIynah
    @LittleIynah 2 หลายเดือนก่อน

    This is so painful.....nimeshindwa kujizuia nalia tu toka jana😢😭😭😭😭.....

  • @euniceopul6504
    @euniceopul6504 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana...Mola awape nguvu na afute machozi yenu...ni uchungu sana

  • @rachelgomba8044
    @rachelgomba8044 2 หลายเดือนก่อน

    Oh poleni sana Zabron I am one of your followers poleni poleni sana mimi bado ninalia.

  • @mercyfuraha684
    @mercyfuraha684 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana Zabron singers Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwafariji katika wakati huu mgumu.
    Rest in peace Marco.

  • @TittoMholwa
    @TittoMholwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma ila kama haipo kwako unaweza ona kawaida ila mungu anamaana yake

  • @IrinePatrick
    @IrinePatrick 15 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana mungu awatie nguvu

  • @GideonWafula-o1z
    @GideonWafula-o1z หลายเดือนก่อน

    It pain but take heart, poleni, RIP Marco, from Kenya

  • @marykaranja2880
    @marykaranja2880 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭limeumiza sana,may God strengthen you guyz

  • @MildredOuma-f2n
    @MildredOuma-f2n 2 หลายเดือนก่อน

    This song imenifanya kulia poleni Sana wapendwa let God comfort you 😢😢😢😢😢😢

  • @SelinaMoris
    @SelinaMoris 18 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri Sana❤️

  • @EsnasNafula-f2q
    @EsnasNafula-f2q หลายเดือนก่อน

    Very painful, mpaka sahizi siamini kabisa kama ndugu yetu alipotea,tumekubali lakini na uchungu,pumzika salama😢😢😢😢

  • @DamarisLangat
    @DamarisLangat 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani Marco Joseph 😭🕊️🕊️🕊️😭🕊️😭🕊️😭🕊️ shine on your way

  • @HannaMurimi
    @HannaMurimi 2 หลายเดือนก่อน

    It's well Zabron. May God give you perfect comfort.

  • @Bettybetty655
    @Bettybetty655 2 หลายเดือนก่อน

    Omg rest in peace and peace Joseph Marco,, nikiutazama wimbo natokwa na machozi sijui niseme nini,, zablon singer's mulio baki jipe I moyo ni njia ya Kila mmoja wetu,, mungu awatie nguvu na mjipe moyo najua zinauma na inachoma pia kifo cha gafla kina tesa sana

  • @FabienTuyishimire-st6so
    @FabienTuyishimire-st6so 2 หลายเดือนก่อน

    Japhet pole sana kukosa rafiki yako marcon nawakumbuka sana mukiwa napiga story

  • @eliaremi2208
    @eliaremi2208 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kabisa mungu awatiye nguvu

  • @CeciliaMutethya
    @CeciliaMutethya 2 หลายเดือนก่อน

    Go easy zabron..... from kenya❤ pumzike pahali pema peponi

  • @PrinceNyamweya
    @PrinceNyamweya 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hili limetuliza sote.. ila hatuna budi kukubali. Poleni sanaa wana-Zabron. Itawachukuwa muda kupona kidonda hiki.. lakini kazi ya Mungu haina makosa. Makiwa

  • @OlgaNamporo-n8b
    @OlgaNamporo-n8b 20 วันที่ผ่านมา

    God is always take the best, rip marco Joseph.

  • @juliusgathanga7787
    @juliusgathanga7787 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko Mungu juu binguni atawafariji poleni sana ndirangu from nyandarua kenya

  • @JohnJackson-sv1xs
    @JohnJackson-sv1xs 2 หลายเดือนก่อน +2

    God know our destination let him rest easy we can not hide our pain,,tear😭😭😭😭 rest easy rest easy rest easy

  • @Itahure445
    @Itahure445 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani ndugu yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @bandiotykaswaka7084
    @bandiotykaswaka7084 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana Zabron Singers Mungu awatie nguvu.

  • @danielmugun2573
    @danielmugun2573 2 หลายเดือนก่อน

    very sad 😭😭 poleni sana wana zabron na familia pamoja na marafiki Rest in Peace Marco

  • @StellamarisNzinga
    @StellamarisNzinga 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana zabro singers pamoja na Familia

  • @LUCIANAKATHURI
    @LUCIANAKATHURI 2 หลายเดือนก่อน

    AKI THIS IS PAINFUL. POLENI SANA WANAFAMILIA

  • @lucymuhiri
    @lucymuhiri 21 วันที่ผ่านมา

    He was the best toka Kenya natuma pole zangu

  • @catherinekinyili5797
    @catherinekinyili5797 หลายเดือนก่อน

    This guy's can sing ,, poleni sana
    God help all us

  • @seurisilanga1997
    @seurisilanga1997 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa aman Mtumishi WA Mungu daaaah Mungu awatie nguvu sana hii familia 🙏😢aise

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 2 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza sanaa aisee

  • @florencemumbe5230
    @florencemumbe5230 2 หลายเดือนก่อน

    Oooh God!...aki inaumiza sana💔😭🙏

  • @Ben-o3s8i
    @Ben-o3s8i หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana watu was Mungu wangu.

  • @emilykemboi8861
    @emilykemboi8861 2 หลายเดือนก่อน

    Hili limetuumiza sana wote poleni may God give you energy zablon singers

  • @JeniferMerick-j2h
    @JeniferMerick-j2h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni wafiwa hasa wanafamilia poleni sana

  • @trilionea_online_TV
    @trilionea_online_TV 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani waimbaji Tanzania hawana umoja hata kidogo, na Mungu sio mwanadamu, aliinua watu kutoka sehemu mbali mbali yaani ukifuatilia msiba huu utadhani ni msiba wa kiongozi mkubwa wa nchi, Mungu awabariki wote walioguswa na kushiriki pamoja na wanazabloni kwaya😢

  • @AnntrexysSamlexy
    @AnntrexysSamlexy หลายเดือนก่อน

    I will really missed the voice of Marco my condolences to the choir nd family 😢😢😢😢

  • @alitaedwin2824
    @alitaedwin2824 2 หลายเดือนก่อน

    Lala kwa amani my brother in Christ.we love u but God has a reason.we will remember u forever though will miss your voice alot

  • @naomymwangi8033
    @naomymwangi8033 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana,mungu awape nguvu

  • @JacintaAgala
    @JacintaAgala 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa Amani😭😭😭😭😭😭it's so painful

  • @AlvinMunene-v9p
    @AlvinMunene-v9p หลายเดือนก่อน

    After waiting for ur show in Kisumu Kenya 🇰🇪.. really sad hili limetuumiza sana

  • @Ezekielmollel-e9w
    @Ezekielmollel-e9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma Sana ila polen mungu ailaze roho take Mahal pema pepon

  • @FilmonAlex-h6r
    @FilmonAlex-h6r 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wanafamilia wote mung awatie nguvu hakika inauma sana

  • @carolyneandehwa3787
    @carolyneandehwa3787 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuwapa faraja hasa mkewe na watoto. Wakenya twaomboleza nanyi

  • @TiphaBashiry
    @TiphaBashiry 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hili limeniuma ht mm jsmn napig tu nyimbo zake tu dah nmelia utazan namjua du haaa Mungu jmn 😢😢😢😢😢

  • @RachelCherutich
    @RachelCherutich หลายเดือนก่อน

    poleni from Kenya

  • @JanethMhozya
    @JanethMhozya 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu awenanyi