This thing called death is too painful I saw this when my mum passed last year GOD give the wife kids n his family the strength as they start a new life without Marco,he's now ur new angel in ur family
Yaani sikuwahi kutana na huyu ndugu katika uhai wake ila kifo chake kilinigusa sana. Nimejifunza mengi kutokana na yaliyosemwa na kuonekana katika maisha aliyoishi... Mungu twaomba azidi kupumzika kwa amani
Inauma ila8nabidi kufungua mkanda mungu awape nguvu familia ya Marco kumbukeni ni njia ya kila mmoja watu jipeni moy0 nawapenda sana mungu awalinde amina ❤❤❤😂😂😂
Bass hatuna namna mungu ametoa mungu ametwaa mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi tutaonana ck yamwisho hiyo ninjoa tunaipitia ilikumuona mungu lazima tuipitie njia hiyo kinachouma nikutangulia poleni ndugu wa malehem na familiy aloicha mungu awalindw
Ohooo!!! Poleni jamani wapendwa Tanzanie lakini kunanini hauko? Kuhusu kifo yakaka Marko inasemrka alikaa naziri ndio chanson? Jameniii dunia niubadili.
😢😢😢😢wanaume tulipewa moyo wa upendo tu na mungu yaani wanawake ni kulia tu hvyo wanawake heshimu waume kwa sababu ndio wananguvu duniani sana 🙏🙏🙏🙏💪💪
Dah!! Kifo kinauma saana marco wetu lala sarama kipenz. Tuonane Paradise
Marco wetu lala salama tuonane paradizo.tu ta ku miss.tulikupenda sana from 🇧🇮
Poleni familia nzima ya zablon singers. Mungu awatie nguvu na kumpumzisha Michael mahali pema
Marco wetu Good by Baba wetu na Marayika . Jésus wakugumbatiye sana ni takumvuka wimbo zako Kira Siku. Na ume twacia ushuda duniani .wakristo❤.by
This thing called death is too painful I saw this when my mum passed last year GOD give the wife kids n his family the strength as they start a new life without Marco,he's now ur new angel in ur family
Mungu akupe rah ya milele upumnzike kw aman
Gaaky iyee!Pumzika kwa imani ndugu Marco.Tutakutana pale mbinguni on that beautiful day
Aki Mungu amupe pole na kuwajaza nguvu familia ya marco
Pole sana japhet ningumu kukubali but everything tunaachia mungu wacha mungu awafariji pole sana
Mungu amlaze maharipema Pepin Ameen
Marco nenda salama Mungu akupumzishe kwa Amani mdogo wangu
Jameni kifo hakina huruma😢njia ya kila mmoja, muhimu ni kulala ndani ya kristo
Que o nosso bom Deus dê forças a família inlutada.
This is so 😭😭😭❤
Love this man
Mungu amuweke mahala salama,,,kusema ukweli nimelia sana na nimeumia sana,,,,pumzika Kwa aman Marco mbele yetu nyuma yako
Yaani sikuwahi kutana na huyu ndugu katika uhai wake ila kifo chake kilinigusa sana. Nimejifunza mengi kutokana na yaliyosemwa na kuonekana katika maisha aliyoishi... Mungu twaomba azidi kupumzika kwa amani
Sante mungu kama ni mapenzi yako ila tunamaumivu tutie ngumu hakika ni ngumu kuvumilia ili fumbo ulilotufumba tusamee Baba😢😢😢
Inauma ila8nabidi kufungua mkanda mungu awape nguvu familia ya Marco kumbukeni ni njia ya kila mmoja watu jipeni moy0 nawapenda sana mungu awalinde amina ❤❤❤😂😂😂
Waah ivo Sasa. Marco ayuko akwa Dunia poleni Sana Mungu ndio ako na mipango yako.pia.sis tuko nyumba ya Marco 😭😭😭😭😭😭
Roho za waamini wapate Reema kwa mungu wapumzike kwa amani amina
Katika vit mung alitupa vikubwa ni kifo asee hakibebeki hakizoeleki hata siku moja 😢😢 r.i.p marco
Kenya pia tumepoteza akky 😭😭😭😭😭😭 woiye kaburi hakika wewe ni tajira lkn siku moja pia utashidwa
jamn polen wanafamilia kwa kuondokewa na mpendwaaa mungu awatie nguv katik kipind hki kigum
Heeeeee Mungu tusamehe sisi Vijana tupe... Turumie Mungu... Tusamehe 😢😢😢😢
😢😢 I can't control my tears 😭😭 poleni sna familia 😢
Sijawai mwaga machozi kwa mtu zijui but hiii imenigusa mbaka nimelia kwa sauti😭😭😭😭😭😭
Pole sana
Mimi pia😭😭😭
Polee sana Mungu awatie moyo
Mungu akupee amani ni Jesus name 🙏🙏🙏🙏
Bass hatuna namna mungu ametoa mungu ametwaa mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi tutaonana ck yamwisho hiyo ninjoa tunaipitia ilikumuona mungu lazima tuipitie njia hiyo kinachouma nikutangulia poleni ndugu wa malehem na familiy aloicha mungu awalindw
Dah inauma sana pale tunapo tengana na wapedwa wetu Mungu akawe mfariji katk family 😭😭
Poleni sana😢😢Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu kama familia..
Inauma sana MUNGU atusaidie poleni zabron mungu awatie nguvu
from kenya we will miss you so much
Bibi ya marco mungu akupe nguvu dadaangu kwa kipindi hicho kigumu
Inauma lakini hakuna jinsi polen wanafamilia mungu awaited nguvu
mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amen🙏🙏
Mungu akupee nguvu
The low of the lowest of life...mungu awafariji sana familia!
Apumzike kwa amani,poleni sana familia MUNGU ndiye mfariji mkuu
Poleni jamii, Mungu awafariji😭😭
Mungu utabaki kuwa Mungu Amina na Amina 😭😭
Pole sana BWANA azidi kuwatia nguvu na kuwafiliji
Pole San dada Vick mmeptez kifaa
Daaah poleni sana mungu atie moyo
Munqu wa mbinquni tunashukuru kwa yote .mkumbatie mama na watoto uweza ni wako,R.i.p mtumishi
Continue resting in peace brother Marco till we meet again
Daaaah kaburi ni tajiri kweliii😭😭😭😭
poleni xana tumepotesa mwimbaji adari roho mahari pema
This is so painful and I cry when I see such, loosing a love is so hard and painful. Rest in peace Marco.
Poleni sana kifo kinauma lakini Hakuna jinsi tutaepukana na kifo
Du! Kifo ni fumbo pole sana dada MUNGU akutie nguvu sana
The life born of a woman is very short .it has been compared with a leaf . Poleni familia.
Mungu awatie nguvu wanafamilia 😭😭😭😭
😢😢 Mungu mtie nguvu mke wa marehemu peke yake hawezi
Mungu amulaze mahar pem
polen sana mungu awatie nguvu ila inauma sana
Mungu awatie nguvu polen cna
Poleni sana wafiwa mungu awape ngvu ya uvmlivu
Baba lala salama
Poleni sana kwa msiba huu
Mungu faraja Yako inshotajika
Poleni sana Mungu awatie nguvu
Mungu akawe mfariji kwenu
So sad😢😢😢😢,, poleni sana
Poleni wanafamilia wote majirani
Poleni kwa family ya 😢marko
Majonzi kwa kweli
Mungu akulaze mema peponi
Msba huu umeniumiza saana 💔 had naogopa
Gone too soon and very young,may God comfort his young family
So sad poleni sana😭😭😭😭
Pmuzika kwa amani kaka ❤❤❤😭😭💔
Poleni wapendwa 😭😭
Nmelia sana, Mungu atusaidie sana kwakweli
Inauma sana
Jamani hii kifo imeniuma sana😭😭😭😭😭😭😭
Pumzika salama mtumishi 😢😢😢😭😭😭😭
Mh.mmm.kifo jmn hakibishi hodi pumzika kwa amani kipenzi cha watu
Polen sana mungu awatie nguvu😭😭😭😭
😂rip bro
🙈 mungu akukumbuke jmn😭😭😥😓🌹🌳🚗🎎❤️
Mungu awatie nguvu
Nenda salama 😭
Tuta kukumbuka daima
😭😭😭nimeumia sana
Pole San hay yap t muachen AK tuandalie makazi polen
Mungu awatie nguvu sana
Ohooo!!! Poleni jamani wapendwa Tanzanie lakini kunanini hauko? Kuhusu kifo yakaka Marko inasemrka alikaa naziri ndio chanson? Jameniii dunia niubadili.
😭😭😭😭 sina cha kasema zaid ya kuwapa pole na kutoa machozi
Poleni saana😅
Mungu akutie nguvu 😭😭
Kitendo hiki huwa kinanifanya namuogopa Mungu sana 😢
Dah! Polen san
Polen xana familia yamarco mung awatie nguv
Niko zambia.pole sana.Ata Mimi nimeshindwa kutumika Leo.
Pole
Poleni sana
Pumzika kwa amani marco
Rest in peace Man of God
Mungu awatie ngivu