ONA MSAFARA WA DKT MWINYI ULIVYO SIMAMISHWA NA WANANCHI -“JANA” NITACHUKUWA HATUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2021
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 38

  • @amrozwhite1073
    @amrozwhite1073 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali

  • @amrozwhite1073
    @amrozwhite1073 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali raisi wangu

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh Dr hussein, wewe ni muadilifu sana

  • @mubarakmrf7899
    @mubarakmrf7899 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah hongera rais mwinyi Allah akuzidishie iman na kujalizaid sehemu muhimu za waisilamu

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 ปีที่แล้ว

    Ishaallah kheri mungu akujaaliye

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว

    Maahallah wewe ndiyo rais wawatanzania allah akuhifadhi amiin

  • @abdillahsuleiman7931
    @abdillahsuleiman7931 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Daktarii....Unafanya tuamini kama hatukuwa na raisi kabla

  • @zulfaridhiwanjuma3443
    @zulfaridhiwanjuma3443 3 ปีที่แล้ว

    Hongera raisi wetu mpendwa kwakuwa na utu na chembe ya huruma kwakuwathamini nakuwajali wazanzibar bado tunathamini kuwepo kwako namchango wako

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 ปีที่แล้ว +2

    Pemba nako kuna watu barabara kuu chake to mkoani mbovu

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +1

    Wallah raisi wetu nakuonelea huduma

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 2 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa sisi wahanga wa master life tunaomba utupe hizo haki zetu japo hicho kilichopatikana, familia zetu zinaangamia.

  • @kibalabibisha6778
    @kibalabibisha6778 3 ปีที่แล้ว

    All the way from 001county mambasa kwani municipality zote zipo na hizo tabia🤔🇰🇪🇰🇪

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye kutowa hasemi

    • @abdulhamidjabu6530
      @abdulhamidjabu6530 3 ปีที่แล้ว

      Kafanya hivo ili wengine wapate muamko ili watu wapate kuja kwa wengi na mungu anajuwa nia yake sawa

  • @saidamohd1232
    @saidamohd1232 3 ปีที่แล้ว +1

    Anza na wizara ya elimu mheshimiwa rsis

  • @sharifa4385
    @sharifa4385 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni kuranda randa tu hakuna kipya

  • @ilhammbaruku6099
    @ilhammbaruku6099 3 ปีที่แล้ว

    Kila tukiangalia klipu za dokt mwinyi ni unguja tu je pemba hakuna matatizo

  • @hamadsharif5259
    @hamadsharif5259 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa walimu waangalieni cie waliotusomesha twajiskia aibu walimu wafa viongozi

  • @patimaali9788
    @patimaali9788 3 ปีที่แล้ว

    Tumbuaaa😀😀

  • @zenj1986
    @zenj1986 3 ปีที่แล้ว

    Utafanya???? Fanya tu maamuzi na weka watu ndani

  • @abdullahaji6165
    @abdullahaji6165 3 ปีที่แล้ว

    Mushakuwa munaboa. Na habari zenu fupi fupi. Ekeni habari tuione mwanzo mwisho. Munapunguza waangaliaji

  • @suleimansalim7194
    @suleimansalim7194 3 ปีที่แล้ว

    MMUNG AKUSIMAMIE KTK HARAKATI ZAKO RAISI WETU ILA HII NCHI INA VICHWA VIGUMU SANA NIWEZI SANA NA WANACHOYO MMUNG AKUSIMAMIE RAISI WETU KWA HAKIKA NA UKAZE SANA

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 3 ปีที่แล้ว

      Allah akuzidishie subra ya dhati moyon mwako

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke mzanzibari jamani au ndio hao walioletwa kupiga kura znz

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 ปีที่แล้ว

    Kama huna tena zana za kutumbulia majipu niambie mimi na ukinipa mm kwanza naanza na muhasibu mkuu wa zanzibar 😎

  • @khamisihaji2905
    @khamisihaji2905 3 ปีที่แล้ว

    Naona kashika iwe mwisho lkn huu mwisho haulikani mpaka lini watu washakula hela baade wanaambiwa iwe mwisho

    • @salmaomar9251
      @salmaomar9251 3 ปีที่แล้ว +1

      Wwe mwenyeo mwinzi unataka kuchukuliwa hatuwa

    • @salmaomar9251
      @salmaomar9251 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio Haida ya kuzulumu zulma haidumu

    • @salmaomar9251
      @salmaomar9251 3 ปีที่แล้ว +2

      Wende shinda kihalali kila kitu chende kaa sawa

    • @adamadammtihani8962
      @adamadammtihani8962 3 ปีที่แล้ว

      Nilichokiona kwa rais huyu nimaneno makali ilakuchukua hatua mgumu au muoga, maneno makali vitendo hakuna

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 3 ปีที่แล้ว

    Ameingia madarakani kwa zulma