SIMULIZI YAKUTISHA NA KUSISIMUA - MZANZIBAR ALIE HUSISHWA NA AL-SHABAB "AKAPATA KIPIGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2021
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    cc: Masoud Maganga
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 51

  • @saidsfaudh4336
    @saidsfaudh4336 3 ปีที่แล้ว +15

    Ktv online ,anzisheni arambee ya michango wekeni namba za cm kwajili ya michango kumuwezesha makame .aweze kuishi vzuvi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +2

    Subuhanallah daa mtihani Sana Allah atawalipa . Mmepata tabu Sana mitihani Duniani watu wanaroho mbaya poleni Sana Kaka polekwakujitolea kuhadisia

  • @ajtzajtz3313
    @ajtzajtz3313 3 ปีที่แล้ว +15

    Aliekuwa akiisuburi kwa ham mpaka ikamtoka like tujuane

  • @aliomar267
    @aliomar267 3 ปีที่แล้ว +3

    duh yan nimefatilia simulizi hii mwanzo mwisho kikweli inasikitisha sana ila allah atawapa subra na faraja wakat walienda kutafta riziki za halali, pia hongereni ktv kwa kweli nyinyi ni wa pekee na mnafanya vitu vikubwa. naungana na songoro nami natamani mke wake angepata kuja nae znz ili aifaidi tunu ya amani tulonayo znz

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +2

    Inauma Sana kumbe si Muda mlefu Allah awatilie wepesi Omba Mungu Kaka yangu amka usiku mlilie Mungu mstakie yaliyokukuta

  • @husnaissaissa2305
    @husnaissaissa2305 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole Brotherdaaah nimefatilia kwa Makin mwanzo paka hapa

  • @Better_Planet
    @Better_Planet 3 ปีที่แล้ว +5

    Duh!! Nilitaman mke wake angekua nae!! Sad ending

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 2 ปีที่แล้ว

    Hii story itengenezewe movie jamani...!! Inasikitisha mnooo!!
    Pole Sana Ndugu

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka yetu Allah yupo pamoja nawe

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah jamani kweli umepata mitihani pole Sana daaaah inauma Sana kwakweli

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @vuairamadhan9576
    @vuairamadhan9576 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amfanyie wepesi inshallah

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Ungeeka namba ya simu ya Mzee makame watu wenyeimani zao wakamsaidia chochote.

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 ปีที่แล้ว

    Pole kaka

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tulikuwa tunasubiri kwa hamu mungu azidi kuwalinda

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 ปีที่แล้ว +1

    Eka number ya simu tumchangie

  • @hassansuleiman7197
    @hassansuleiman7197 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh, pole kaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kufatilia story mwanzo mpaka mwisho lakini hii imenigusa.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeisubr Hama

  • @mussaali197
    @mussaali197 3 ปีที่แล้ว +2

    Munatuweka Sana ata utamu unatoka

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwhy bd haijaisha 😥

  • @khamiskhamis7649
    @khamiskhamis7649 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiii mara hiii mumetuweka sab kweli kweli dah!!!!

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu unakuta wanatetea magaidi kisa wanasema maneno ya vitabu vya mungu na kuzani niwatu wema tuwe makini Sana nchi inahitaji amani ili watu waweze kuishi vyema waovu wote tuwanike kwa manufaa ya taifa letu hii story itufundishe nchi ikichafukwa hawangalii dini yamtu Wala kbila lake

  • @suleimanali5677
    @suleimanali5677 3 ปีที่แล้ว +1

    Story nzur sana ila munaichelewesha

  • @rudahhakem2668
    @rudahhakem2668 3 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana Kaka Alhamdullah mumefika salama

    • @masoudsalim143
      @masoudsalim143 3 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo huyo ndugu yetu mwari alimponza wamsumbiji hawaoleki

    • @fesalchambuso8023
      @fesalchambuso8023 3 ปีที่แล้ว

      Wanachelewesha SANAA 🤣

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +3

    hivi bado inaendelea tu? nyie na t.v. yenu jipangeni bana

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 3 ปีที่แล้ว +1

    Msumbiji ni mbwa washenz hawafai kiukweli serikali yetu ifuatilie watu wetu kule wanateswa

  • @user-po1cq9so9h
    @user-po1cq9so9h 2 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya nchi watu weusi roho mbaya mbona wazungu hawana tabia kama hiyo watu wanatoka Morroco, Libya na nchi nyengine waingia ulaya wanapokelewa na kuhifadhiwa fresh bila ya matatizo watu wa Msumbiji wanawapiga Watanzania wao wakija Tanzania Wanaishi fresh bila ya matatizo hii vipi mbona hatufaham

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 ปีที่แล้ว

    Hii story imeishaje jamani mbona mmeruacha njiani?

  • @abdulmatasi4932
    @abdulmatasi4932 3 ปีที่แล้ว

    Mnachelewa kutoa story mpaka tunasahau tunafikia wapi ila tumewasamehe .

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +2

    Tz ni nchi nzuri na ya amaan hivyo amaan iliyopo inaelekea kutoweka kwa kurubuniwa na mataifa yasoipenda Tz na baadhi ya watu wasojielewa, wasoitakua mema Tz (vibaraka).
    Vibaraka huihujumu Tz kupitia Siasa, Dini/tamaduni, michezo ,burudan, na starehe baadhi hazina maadili ya UchaMungu.
    Sera ya kupambana na Ugaidi ukiifuatilia kwa kina inalenga kuudhohofisha Uislam na Waislam.
    Ukifuatilia historia ya Osama hadi kuitwa gaidi na kuuliwa ilikuwa ni kudai haki na hata hayo mafunzo yasemekanayo mafunzo ya ugaidi aliyapata hukohuko kwa Wamagharibi wanajifanya ni watetezi wa amani kumbe waharibifu wa amani duniani!
    Zaidi ya yote pole sana kwa mkasa/mikasa ulokumbana nayo, zidi kumtegemea na kumuabudu Allah.
    Dunia ni mapito na starehe za Muda, Akhera ndo yetu marejeo.

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 3 ปีที่แล้ว

    Mnazingua kweli mpaka tunasahau

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 3 ปีที่แล้ว

    Kwani hii story amuiendelezi tena

  • @rajabjr478
    @rajabjr478 3 ปีที่แล้ว

    Leo ndio tapata ucngz af takula vzur.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +1

    Binafsi Nina mtu wetu kauliwa huko

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 ปีที่แล้ว

    Huu niupuzi mnaboa kbsa

  • @salimsalgado840
    @salimsalgado840 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatzo letu wazanzibar kwa kupenda chini ni balaa yan kila utapokwenda unataman kuoa tu

    • @rajabjr478
      @rajabjr478 3 ปีที่แล้ว

      Chini ndio kila k2 tumekuja kw hugo tutarudi kw huko ..

    • @hazayusufu7546
      @hazayusufu7546 3 ปีที่แล้ว +1

      pole sana makame jamaa yangu mimi ni miongoni mwa watu walioshi msumbiji miaka mingi nilikua mocimboa da praia ila sikupata msukosuko wa aina yoyote ile isipokua baada machafuko kutokea nilirudi tanzania kwaa amani japo kua nilipoteza kila kitu basi pole sana nimitihani waja tumeumbiwa ila yote yatapita kwa uwezo mungu

    • @saidsfaudh4336
      @saidsfaudh4336 3 ปีที่แล้ว +1

      Na ss wabara tunapenda kizini zini .ndio maana atutaki kuoa .

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 3 ปีที่แล้ว

      Kwani alozuuya uchumi wa ZANZIBAR nani...si metunyanganya kila kitu.. kama tungekuwa huru.. .huyu kijana asnngekwenda kuhangaika huko.. tuwachiyeni tuchimbe mafuta yetu..

    • @rajabjr478
      @rajabjr478 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha siasa mbovu ndg yng zitakueka pabaya hili cio jambo lakuingza uzanzbary .

  • @sammsamiry8884
    @sammsamiry8884 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mkewe Sasa vp mbona hajamueleza tena

    • @salimsalimali8285
      @salimsalimali8285 3 ปีที่แล้ว

      Ameeleza kuhusu mke, amesema Yupo Msumbiji aliamua kumuacha Talaka moja ila bado anamtaka.

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 2 ปีที่แล้ว

    Allah yuko na wewe