HATIMAE MZIGO UMEINGIA ZANZIBAR SASA MAMBO MAZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2020
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Dula
    Editors:
    Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 195

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 4 ปีที่แล้ว +14

    Hizo zimeletwa kwa kuapishwa Maalim

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +16

    Hahahaaaa et niza jamuhuri ya mungano yanahusu sura zimewachupa ikisha pandeni majukwaaa muwatukane waarabu

    • @assoumnassor2930
      @assoumnassor2930 4 ปีที่แล้ว

      Umenena!

    • @jokhaaliy7516
      @jokhaaliy7516 4 ปีที่แล้ว

      Kabsa mna waarab sku zote niwabaya

    • @urbanchannel6299
      @urbanchannel6299 4 ปีที่แล้ว

      Wewe na mwarabu wapi na wapi atakuthamini atakapojua una kitu huna hana msaada na ww

    • @bintmarmar4323
      @bintmarmar4323 4 ปีที่แล้ว

      baniani mbaya kiatu chake dawa

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 4 ปีที่แล้ว +6

    Baniani mbaya kiatu chake dawa
    Hizo zitatumika kuwazibiti wapinzani

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH HONGERENI WA OMAN MULIOJITOLEA KUTOA MSAADA kwa wa znz Allah awazidishie Kipato chenye kheri na Barka Muzidi kuisaidia znz na waliopo znz na nchi nyengine zinazohitaji kusaidiwa

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +5

    Tuweke siasa kando, sisi na Oman ni ndugu bila kificho. Tumeoa na kuzaa na ndugu zetu na katu historia hii haitokufa.

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan4188 4 ปีที่แล้ว +16

    Kisha muwatukan waarabu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kupenda maisha ya mteremko na vya bure wakat pesa munapata munajaza matumbo yenu. Na pesa mumepewa na waarab oman mujenge belt ajaib pesa mumekula mana mwaka wa tano huu hamjalijenga wiz wakubwa

  • @ummtuma8137
    @ummtuma8137 4 ปีที่แล้ว +2

    Kisha nnawatukana waarabu, kweli binadamu mbaya kiatu chake dawa

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki wa omani awaongezee kipato wazidi kuwasaidia ndugu zao waliowapinduwa
    Nakuombeni ndugu wa omani musahau yaliyopita na muwasamehe bure kwa ajili ya Allah

    • @salehaltooq5829
      @salehaltooq5829 4 ปีที่แล้ว

      👍🏽

    • @salemsalem7395
      @salemsalem7395 4 ปีที่แล้ว

      Allahuma Ameen kawaida ya kiarabu huwa hujibizani na mtu na husema msemo sukut mindhahab

  • @MohdAli-mi8wv
    @MohdAli-mi8wv 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyoko hamtaki masultan lkn vyamasultan mwavitaka.... Mwakataa mavi yasultani mulenini????

  • @amirimussa2161
    @amirimussa2161 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah watu waomani lakini simwawapiga vita waarabu nyie vipi leo mwachukuwa misaada ya waarabu nasiku zote mukiwa ktk viriri minawatukana waarabu ajabu sana

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani nimefungua video nimestop ktk 00:00 nimeona nianze ma comments kwanza ndio muhim 🤣najali sana maoni ya wananchi wangu kuliko video

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 4 ปีที่แล้ว +5

    Baada ya week moja zinaenda upande wa 2

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 4 ปีที่แล้ว +1

      Hayo nimeyatabiri hata mimi kitakuja kiswahili cha ujanja ujanja utaambiwa zimepelekwa kwa shughuli maalum hazidudi tena hizo

  • @biubwasalim5909
    @biubwasalim5909 4 ปีที่แล้ว +3

    Mh mh bora ninyamaze nisiseme kitu. Huwa naumiya saanaaa wanapotukana majuukwaani.

  • @massoudsalum6722
    @massoudsalum6722 4 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH,kumbe leo ni ndugu zenu waomani eee muso haya nyii poleni sana mwanaadam kama hajafa hajakamilika kuubwa

  • @nassornassor7576
    @nassornassor7576 4 ปีที่แล้ว +3

    Waarabu wabaya wametupa pikipiki kumi Jee wangalikuwa wazuri wangetupa ngapi? Tuacheni tabia ya kutukana watu anaetufaa hatumjui

  • @aliomar255
    @aliomar255 4 ปีที่แล้ว +4

    Oman and Zanzibar are relatives to each other we give thank to Sultanate of Oman

  • @eastzuuzuu7050
    @eastzuuzuu7050 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ALLAH aizidishie neema ZANZIBAR

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 4 ปีที่แล้ว +2

    Kisha simameni majukwani muwapike watu chuki ili muendele kuchaguliwa angaliyeni watu wamegharamika kutoa ndege ujiachilia mbali hizo honda bei zake musiwe na shukran basi mukisha panda kiriri tukaneni bc

  • @abusaeed9037
    @abusaeed9037 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazanzibari muna aibuu sana hata pikipiki mwashidwa kununuwa paka muombe

  • @sheikhsheikh1291
    @sheikhsheikh1291 4 ปีที่แล้ว +12

    MUHESHIMIWA WAZIRI, KWANINI UNAPOITAJA ZANZIBAR HAMUJIAMINI MPAKA MUITAJE NENO "NA TANZANIA KWA JUMLA" MTAJIAMINI LINI KUJINASIBISHA NA KUJITAMBULISHA KUWA NYINYI NI WAZANZIBARI?

    • @nadhiraalnofali6607
      @nadhiraalnofali6607 4 ปีที่แล้ว +1

      Wafunike kombe mwanaharamu apite huyo anozungumzga mwenyewe Muarabu naende zake huko Pumbavu mmoja

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 4 ปีที่แล้ว +1

      Usishangae hizo piki piki mpya zikapelekwa uumeni zile zamani zikaletwa ukeni

    • @dr.alivet.theprideofzanzib1028
      @dr.alivet.theprideofzanzib1028 4 ปีที่แล้ว

      washakatazwa ndio maana

    • @salemsalem7395
      @salemsalem7395 4 ปีที่แล้ว

      @@saidabdillahi8107 hahahahahahahahahaha

    • @salemsalem7395
      @salemsalem7395 4 ปีที่แล้ว

      tulipowapa tuliwapa na masharti wasizipeleke huko ulikosema hahahahahahahahahahahaha

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana waoman mungu akulipeni kila la heri lkn na nyinyi mlosaidiwa muache kuwatukana waoman ktk viriri vyenu vya siasa acheni siasa za kijinga

  • @sudadivers1825
    @sudadivers1825 4 ปีที่แล้ว +4

    Kamanda unafujaa unajisahau ,unasema zitatumika ktk sherehe za mapinduzi wakati mumeletewa na hao mlowapindua , kwanza fikirieni kwanza kabla kutamka

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      Kupinduliwa sio kitu cha kukera, kama hutaki kutoa HAKI kwa hiari ikichukuliwa kwa nguvu utulie tu.

  • @saidalkiyumi9270
    @saidalkiyumi9270 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpeni Salamu Ali Karume

  • @hamzaalawy6694
    @hamzaalawy6694 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo moja mpeni Balozi Ali Karume

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salemsalem7395
      @salemsalem7395 4 ปีที่แล้ว

      no asipewe yeye atakuja huku nishampatia viza atakuja kulima huku tende

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว

      @@salemsalem7395 🤣

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 4 ปีที่แล้ว +3

    Ali karume uko wapi...Masultani wanakusaidieni

  • @ibrahimabdalla97
    @ibrahimabdalla97 4 ปีที่แล้ว +2

    Mkosoen hizo sio za jamuhur bal n za Zbr tu maan msaada haujaja kwa jamuhur umekuja kwa Zbr

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว +2

    Na kila siku munawatukana na kuwasema waarabu!!
    Ama binadam maslahi!!

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว +6

    Sasa munachukua vya oman vyanini nanyie hamutaki usultani mukatae kwerekwe muzikwe wapi 😂😂😂

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe mlikua mkiazima vyombo duuu mpinduzi daima

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 4 ปีที่แล้ว +2

    itoshe kusema waarabu ndio mabwana zenu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe masultani wazuri bass

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 4 ปีที่แล้ว +1

    Juzi si muliwatukana waarabu au mushasahau Ali karume oyee

  • @hamadsuleimaan802
    @hamadsuleimaan802 4 ปีที่แล้ว +2

    Eti wakishinda wapinzan wataleta waarabu, lkn hizo pkpk zinatoka kwa waarab wasiowataka hahahahahaaaaa

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว

      Mijinga tuuu hayooo halafu yasema no yajamuhuri ya tz hawa

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 4 ปีที่แล้ว

    Mnawatukakana watu wanawapatia misaada na kuwakumbatia watu wanawagawa ili wawatawale
    African is funny
    Mapinduzi daima hii ni sinema ya jahazi ya nuhu na wale waliokwenda kujisaidia katika jahazi
    Waliipaka kinyesi ili kumuudhi nuhu baadae walirejea vinyesi vyao kwa kuondoa shida zao
    Hahahaha

  • @ismailjuma9959
    @ismailjuma9959 4 ปีที่แล้ว +2

    zanzibar inashindwa kununua pikipiki 🙄 namkubali magufuli hataki msaada

    • @salehaltooq5829
      @salehaltooq5829 4 ปีที่แล้ว

      Hata huyo pia kasema anatamani mfalme wa oman ajenge kitu hata kimoja ili iwe kumbukumbu hakuna aliekamilika kila mtu anahitajia msaada

  • @alisaid2410
    @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

    hii TV kweli ya kiammi

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Ktv tz ONLINE hakika hii ni fahari yetu

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว

    Ivo ndo mnavopenda

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona mumeletewa mahonda mupate kuua watu vizur

  • @husseinhajihaji2313
    @husseinhajihaji2313 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe mnaazima duh kweli mapinduzi daima

  • @assoumnassor2930
    @assoumnassor2930 4 ปีที่แล้ว +1

    Munawatukana waarabu kutwaaaa halaf munawaomba sa mnawaomba nn? na hio leo tena ndi ishakuwa muna undugu na waoman?

  • @maabadame7231
    @maabadame7231 4 ปีที่แล้ว +2

    الف مبروك يا احلى عماني🇴🇲🇹🇿❤️

    • @ibrahimhaji214
      @ibrahimhaji214 4 ปีที่แล้ว

      Kirabu cha wapi hiki nkogwe? Au lahaja za kimaandishi

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว

      الله يبارك فيكم وعقبالكم

    • @maabadame7231
      @maabadame7231 4 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimhaji214 ww hujuwi kiarabu

  • @yussraseef4039
    @yussraseef4039 4 ปีที่แล้ว +1

    Zitapelekwa dodoma makao makuu ya watawala wetu, sisi tukitaka tutaazima alaa kumbe Oman ni ndugu zetu?Waarabu tena ni Masultani, mm naona bora tukaombe kwa Wagogo ndugu zetu wa damu
    M

  • @ali2lovely73
    @ali2lovely73 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamuwawezi warabu mnawatukana halafu mnajipeleka kuomba kwao hayo ndo matunda ya mapinduzi hamna lenu njaa tupu

    • @binmalikdonmalik1948
      @binmalikdonmalik1948 4 ปีที่แล้ว

      Yaaani hii nchi bwana inamambo mengin ikiwepo kitu cha maneno ya chin wakat hatuna letu jambo ujinga tu wakat ata hatujiwez

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว

    ilA hao si masultani jamani ,au vip

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe mulikuwa munaazima 🤣🤣🤣lol aibu bora usiseme 🤣🤣

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว

    2:31 Na nyinyi keshokutwa mtatusaidia zikianza kampeni. Nasubiria msaada kwa hamu, maana sio kwa mitusi hile mnayotulengea siku za kampeni😅😅😅

  • @el_chilubi7458
    @el_chilubi7458 4 ปีที่แล้ว +2

    AAAA! SMZ inarudisha Usultani kabla ya Seif? :D :D :D Leo mnawaita ndugu tena sio masultani?

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 ปีที่แล้ว +3

      Kheri uwo usltani kuliko huu utawala uliopo

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว +1

      Haaaaa, ndo hapo

    • @saidissa5657
      @saidissa5657 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 baniani mbayaa

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 4 ปีที่แล้ว +1

    hao mnaowasheherekea mmewapindua ndio hao walokupeni izoo honda

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว

    Mwarabu mbaya kitu chake dawa!!!!! hahahahaaa!!!

  • @suleimanali5677
    @suleimanali5677 4 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar kweli kichefu chegu

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 4 ปีที่แล้ว

    Hii si munataka kurejesha Masultani? Inasikitisha kuwa Zanzibar siku hizi, kwa sehemu kubwa, inategemea misaada tu kujiendesha.

  • @wazirhaji6913
    @wazirhaji6913 4 ปีที่แล้ว

    Tunawashukuru kwa zawadi yao ya piki piki ila naiyomba serikali yangu kabla ya matumizi muzichunguze maana hii nchi yetu inahitajika sana na maadui kwahiyo wasi wasi wangu mara hufungwa vifaa vya kuwajuza wao huko waliko km kuwepo kwa kamera humo nk

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar622 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini tuliwafukuza?

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnawatukana warabu sawa wapelekeni mabwana zenu huko bara sasa

  • @dr.alivet.theprideofzanzib1028
    @dr.alivet.theprideofzanzib1028 4 ปีที่แล้ว

    waarabuuu.wakt wakitoa msaada hua watu.ila huitwa mbwa na mahizbu na viongoz wa ccm na kuwaambia wananchi kuwa watarud kuitawala zanzbr akipt mpinzan

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo hamna matunzo siku mbili t zishakuwa mbovu

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว

    Kama sii imani ya watu wa oman wasingeleta hata njiti ya kibiriti lkn juu ya kuzushiwa uongo na kutukanwa bado wanaleta misaada . Madawa spitali mangapi yakeletwa mukaficha kuwa yametoka marekani kumbe yametoka oman.. ukibadilika uongozi huu mpaka helicopter zitaletwa hapa kutoka oman .

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 4 ปีที่แล้ว

    Oh hatuwataki masultani ila bado mnswaomba mliwapinduwa kwasabu ya usultani ila Leo mnasema mnauhusiano wa kindugu hivi kweli unaweza kumuwa ndugu yako wa Samu kama unampenda

  • @yussufsheha9136
    @yussufsheha9136 4 ปีที่แล้ว

    Zigaiwe bass nusu na robu tupewe zetu kama ilivyo kawaida

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 4 ปีที่แล้ว

    Kwani huko bara si mugawane tu, kwanini wao wanakuazimeni?
    Nendeni mkatongozee hizo.
    Ccm nuksi tu na roho mbaya
    Mtapewa kila kitu lakini bado mutatukana watu.
    Sasa kama pikipiki za jamuhuri mbona hazikupelekwa huko mnazingua sana bana

  • @nassorsaid9359
    @nassorsaid9359 4 ปีที่แล้ว

    Mapinduzi oyeeeeeee

  • @wahidkombokhamis4330
    @wahidkombokhamis4330 4 ปีที่แล้ว

    Wazilete japo pikipiki mbili na huku pemba kila mkoa pikipiki moja ili zisaidie kwenye misafara ya viongozi wa kitaifa na hata ikitokea sherehe za kitaifa ziweze kutumika

  • @user-mb9ti3jc7g
    @user-mb9ti3jc7g 4 ปีที่แล้ว

    zimeletwa ku wa tesa wa zanzibari
    serekali ya znz mlivyo choka zitaharibika mtaomba tena hata spea

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Bas zipelekeni kwa mabwana wenu dar maana kila kitu chenye kusaidia znz kinapelekwa dar pesa zote munazipeleka dar ikisha munasubiri mugaiwe mbona nyie hamukusanyi mapato kule dar lkn waliopo dar kila siku znz wanakuja kukusanya mapato yalopatikana znz

  • @mohamedimohamedi8933
    @mohamedimohamedi8933 4 ปีที่แล้ว

    Misada mpaka lini shame

  • @mabrouksaleh2472
    @mabrouksaleh2472 4 ปีที่แล้ว

    Nlifikiri mzigo wa unga

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 ปีที่แล้ว

    Ao walopewa tall na khamis mweusi tutakoma tusovaa mahelmet

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 4 ปีที่แล้ว +7

    Baniani mbaya kiatu chake dawa

  • @pizzo1morestart840
    @pizzo1morestart840 4 ปีที่แล้ว

    langu jicho tu🙄

  • @hamidsaid2572
    @hamidsaid2572 4 ปีที่แล้ว

    Hamtaki kwerekwe mkazikwe wapi?

  • @fatmahamad5720
    @fatmahamad5720 4 ปีที่แล้ว +1

    Baniani mbaya kiatu cheke dawa kilasku kuwasema warabu vbaya Leo kutwa wapo huku kuomba omba tuuuu 🙄

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 4 ปีที่แล้ว

    Ss tunataka nchi yetu tu

  • @binbarwan7401
    @binbarwan7401 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀nacheka kwel

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

      Raha raha ee? Chezea sultanate of ummaan weweeeee

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 😀😀😀nacheka tuu maana wanawaita wakoloni mara wamewauwa wazanzibar kisha wanaenda kuwaomba aoao wauwaji

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 ปีที่แล้ว

      bin barwan wazanzibar aloturoga kashakufa

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 4 ปีที่แล้ว

      @@aishamuhammad7785 majanga tuu kwa kwl

  • @abdallasharif642
    @abdallasharif642 4 ปีที่แล้ว

    Duh mpk pikipiki munaombaaa bara

  • @tatuali1464
    @tatuali1464 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki waomani

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 4 ปีที่แล้ว +1

    - nunueni zenu, kama mna fedha za kuharibu kwa sherehe za mapinduzi mnashindwa kununua pikipiki kama hizo kwa fesha zenu mnasubiri msaada kutoka Oman, mna laana.
    miaka 56 ya mapinduzi mmeshindwa kwenda mbele kila siku ni umasikini uliokithiri, Mungu kawapiga laana mpaka muondoke hapo vibwengo nyie..

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 4 ปีที่แล้ว

    Na pemba yatakuja ??? Au mnajiwazia nyinyi tu unguja

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว

    Tumemfukuza huyu huyu tukamwita mkoloni leyo huyu huyu tuna pokea vitu vyake je huyu mbaya sasa kageuka kua mwema ama kweli baniani mbaya ila kiatuchake dawa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว +2

    Si mnawachukia nyinyi warabu eti wataleta usultan pumbav zenu msilaumu msichokijua mwisho wake .

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 ปีที่แล้ว

      Washaishiwa ao

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว

      @@snsonlinetv8432 yan wakimchukia Maalim seif2 eti oo mwarabu ataleta usultan mbn Leo mnapokea hio misaada hao sio warabu mnajuulikana hamna kitu maskini ndio maana jeuri zenu2 mnaitaj kunenepesha matumbo yenu

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว

      Waache mwaka huu hawatoki

  • @suleimanali5677
    @suleimanali5677 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa zanzibar serekali haina hata mahonda dah nyie kiboko kilakitu msada

  • @RashidAli-vb3zi
    @RashidAli-vb3zi 4 ปีที่แล้ว

    Ukisikia kutukanwa kiustaarabu ndio huku, yani matuc ya nguoni wanayotoa ktk viriri kuhsu waarabu lkn hao wanaowatukana ndio kwnza wanawaletea misaada. C mungeikataa kumbe baniyani mbaya lkn kiatu chake dawa, waoman wamenimaliza kwa jeur ya kuzileta wenyewe kwa ndge maalumu ya oman. Hahahahah

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว

    Mh kumbe honda

    • @ummunaa4131
      @ummunaa4131 4 ปีที่แล้ว +1

      Haya halafu watukaneni waarabu

    • @allyally9915
      @allyally9915 4 ปีที่แล้ว

      No ilikuwa viungo vya mwili na mingi ilikuwa miguu na matumbo

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 4 ปีที่แล้ว

    Misaada inakuja lakini matunzo hamna

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar622 4 ปีที่แล้ว

    Et tunachukua bara

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 4 ปีที่แล้ว

    haya tutukaneni waoman wabaya wanatuuwa wanatuonea mmh baniani mbaya kiatu chake dawa ..ufalme warabu maneno mengi vyao mnavichekelea

  • @abdallahothman9847
    @abdallahothman9847 4 ปีที่แล้ว

    Simna watukana halafu mnawaomba

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 4 ปีที่แล้ว

    Tukitoka kwenye muu ngano tu mbona tutafaid

  • @awadhtevez2918
    @awadhtevez2918 4 ปีที่แล้ว

    Kutwa kuwatukana waraab washenzi nyie apo hamuwezi hata kununua pikipiki pumbavu sema huu msaada wazanzibar kwani lazima utiie tanzania inahusu na nini apo

  • @aboudelhamdan3254
    @aboudelhamdan3254 4 ปีที่แล้ว

    Kipaumbele ambulance sio pikipiki za misafara za viongozi

  • @ibnkhashaammaster7503
    @ibnkhashaammaster7503 4 ปีที่แล้ว

    Zile people za sultan tunasubiri kuzisikia tena .....maana masikini jeuri hawaachi nongwa

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 4 ปีที่แล้ว

    Hatutaki sultan hii kauli ndio wanayoitumia chama tawala ss mbona mnapokea misaada kutoka kwa watu waliokutawaleni 😂Ccm oyee

  • @hailesalass7495
    @hailesalass7495 4 ปีที่แล้ว

    Sadakta khadija Alriamy baniani mbaya kiatu chake dawa

  • @mohamedfaki1666
    @mohamedfaki1666 4 ปีที่แล้ว

    Sisi Wazanzibari tuna lana, kila siku tunawalani waarabu lkn hao ndo wanaotusaidia,Kuna toto moja la mzee karume kazi yake ni kuwalani waarabu tu pumbavu lile, kuweni na akili serekali ya smz hawa ndo wenzenu msipandikize chuki tu za uwongo

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa hawa hata sijuwi tuwaweke kundi gani wasio lijuwa la ujinga wanajijuwa miya miya mafedhu halkadhalika makasoro mkiya wanlijuwa almradi hawa ni kasoro mkiya

  • @jumatarabeni9753
    @jumatarabeni9753 4 ปีที่แล้ว

    Kwa muda huu tungepata msaaada wa magari ya washa washa ingekuwa Nora zaidi yale magari yawe mengi bwana

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣

  • @justmustafa5328
    @justmustafa5328 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidnassor5346
    @saidnassor5346 4 ปีที่แล้ว

    Misaada ya watu wa oman inakuwa mizuri ila kuwasema waarabu hamuwataki wacheni ubabaifu

    • @alikocha774
      @alikocha774 4 ปีที่แล้ว

      Mwarabu uyo kavyagilisha waznzibari kwa matiti sasa hatuogopi eti viongozi wetu ?

    • @saidnassor5346
      @saidnassor5346 4 ปีที่แล้ว

      @@alikocha774 unaamaanisha nn ss

    • @alikocha774
      @alikocha774 4 ปีที่แล้ว

      Namaanisha wazanzibari wanatiwa kasumba mbaya kuhusu misada nashangaa wanakuwa watu wazuri !