RAIS WA ZANZIBAR AELEZA MAENDELEO YA PEMBA YAENDE SAWASAWA NA YA UNGUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2020
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    +255 715 418 849
    Zinjibartv Journalists
    cc: Abdallah Pandu
    cc: Safia Hussein
    cc: Maryam Kidiko
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Ali Rajab
    Rajab ahmada
    Editors:
    Ali Hassira
    Mohammed Abeid
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Yussuf Khanmis
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

ความคิดเห็น • 39

  • @habibuawesi377
    @habibuawesi377 2 ปีที่แล้ว

    Tunakwenda vizuri. KAZI IENDELEE. Kisiwa cha Pemba kwa ukweli kinahitaji kupewa kipaumbele ambacho Mhe. Rais anakizungumzia ili kilingane na kile cha Zanzibar. Tofauti za kiitikadi zisiwe kubwa kuliko Zanzibar. Siasa isiyo na tija iwekwe pembeni.

  • @hadhaminfadhwil-rab287
    @hadhaminfadhwil-rab287 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuwezeshe kwa kila hali Mh. Na akuepushe na mahasid wanopenda ubaguzi na kuwadharau wapemba insha-allah. Ww kweli Rais, bila umoja na haki hakuna mafanikio

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah khr, Allah akufnyie wps. Ila mwnzo yani Pemba panaonekna sio ktuu munakumbka kutngeza unguja tuu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 ปีที่แล้ว

    Naanza kuona kukubalika kwa Dr. HUSSEIN MWINYI Kwenye nyoyo Na sura za Wazanzibari...Mungu Amuongoze kuitimiza azma njema
    .....

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 3 ปีที่แล้ว +2

    FREE UAMSHO ZANZIBAR

  • @msabahabdallah9461
    @msabahabdallah9461 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah baarik

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kuna washenzi wamevamia hii channel hawana adabu

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 ปีที่แล้ว

    Alllah ajaalie inshallah

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana,rais maono ya watu

  • @khalfanalrawahi3082
    @khalfanalrawahi3082 3 ปีที่แล้ว

    Amani NA maendeleo hayapatikani Ila watu kufuata maamrisho ya Allah NA kuacha makatazo yake.

  • @dondallas6683
    @dondallas6683 3 ปีที่แล้ว

    The best president

  • @rashidabdallah3253
    @rashidabdallah3253 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba kueleweshwa tu kidogo maana ya uchaguzi wa amani kwa mifano yai ambayo imejitokeza kupitia uchaguzi huo.

  • @ikramallyikran5212
    @ikramallyikran5212 3 ปีที่แล้ว

    Maneno makali snaaa

  • @samisouth5656
    @samisouth5656 3 ปีที่แล้ว +1

    Raisi Mwinyi nazidi kukubali siku hadi siku,yoote hayo ni malezi mazur ya wazee wako.Mungu awape umri mrefu waje kushuhudia mafanikio waliyotarajia.

    • @fugameza6011
      @fugameza6011 3 ปีที่แล้ว

      Subiri 2024 tu hapo utakuja kutueleza unafikiri hayo anasema kama anasema yeeeye kumbe ni recode anarudiya rudiya tuu tuongee 2024/2025

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 3 ปีที่แล้ว

    Mm aikubaliana na haya maneno yake mpaka uchaguzi wa 2025 nione kweli hauna kasoro za kukuaudia maana ccm wote jora moja ilifika uchaguzi hugeuka baada kuwa Mussa huwa maafiraoum

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 ปีที่แล้ว

    Kuna ubaguzi mkubwa sanaaaaa kati ya pemba na unguja
    Wenzetu munatubaguwa sana wapemba

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 3 ปีที่แล้ว

    Ndiyo Mzee hata bandari tunataka.

  • @rawdhashabanhilal9195
    @rawdhashabanhilal9195 3 ปีที่แล้ว

    Ufisadi no

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 3 ปีที่แล้ว

    Ikiwa hamutofanya mabadiliko serekali iwe serekali n chama kiwe chama n mamlaka y makomo w 2 apewe makomo y kwnza haina hajakuwepo serekali y kitaifa number 2 ipo juu zaidi y number 1 tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu Allah anatusubiri kila mtu atahukumiwa alichokichuma in sha Allah

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 ปีที่แล้ว

      Wewe mgonjwa wanzanzibari wanataka maendeleo ya maisha yao sio huo ujinga unaosema. Mamlaka kamili ni maendeleo ya wanzanzibari sio bendera.

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 3 ปีที่แล้ว

      @@husseinmkanga7794 unaweza kunambia bwana wako anaekufira anakumiliki mamlaka yko y juu maendeleo gani unaetegemea kupata kwani zanzibar ilikua haina maendeleo yaani ww hufanyi maendeleo kama ujamuomba basha wako anaekufira nikulize zanzibar nchi or mkoa???

  • @sharifa4385
    @sharifa4385 3 ปีที่แล้ว

    Na izo wizara azigawe nyengine ziweko Pemba sio zote Unguja

  • @rawdhashabanhilal9195
    @rawdhashabanhilal9195 3 ปีที่แล้ว

    Sawasawa ndo la umuhimu hilo nasi jengine

  • @abdullasalim279
    @abdullasalim279 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupo tayar kuwekeza pemba ikiwa tutaona serikali yako inarudisha mali za wakfu kwa walio andikiwa kwani hata hizo mali za wakfu ni miongoni mwa uwekezaji wa raia wazawa.

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 ปีที่แล้ว

      Usiwekeze ngoja wageni waje wawekeze wanzanzibari wawe watumwa mjinga mkubwa.

    • @abdullasalim279
      @abdullasalim279 3 ปีที่แล้ว

      @@husseinmkanga7794 hongera sana ... majibu yko tuu!!!!! yashanitosheleza kujua upeo wa akili yko.. D>0.

  • @abdallahsuleiman4599
    @abdallahsuleiman4599 3 ปีที่แล้ว

    Kuondosha tofauti sawa kabisa, lakini cha kushangaza kuna watu wanashindwa kutofautisha baina ya mikusanyiko ya kiserikali na ya kichama, sasa muda wa kampeni umeisha bado wameng'ang'ania sare za chama, na ndio maana tunaambiwa siku ya uchaguzi watu wasiende na sare za vyama.

    • @wahidsaid2719
      @wahidsaid2719 3 ปีที่แล้ว

      Hongera sana Rais wetu mpendwa Allah atakulinda na kila shari na mahasid na atakupa nguvu ili uweze kutimiza azma yako ya kutuletea maendeleo inshAAllah

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 ปีที่แล้ว

      Wewe vaa nguo zozote unazotaka. Nguo ni sare za chama sio za uchaguzi.

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 ปีที่แล้ว

    Sasa wee mtangazaji kwann waingilia kati hotuba Ushamba huo kijana

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 3 ปีที่แล้ว

    Tumesikia maneno chanya, Sasa tunataka tuone kwa vitendo

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 3 ปีที่แล้ว

    Kutenda kosa sio kosa kosa kurejea kosa

    • @suleimansuleiman2436
      @suleimansuleiman2436 3 ปีที่แล้ว

      Kutenda kosa ni kosa na kurejea kosa ni kosa la pili

    • @omaraliiddy4037
      @omaraliiddy4037 3 ปีที่แล้ว

      Wale wabaguzi wasipewe nafasi hongera raisi tokea tisiini na tano mpaka leo cjackia maneno mazuri ndo mwanzo mwaka huu

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 3 ปีที่แล้ว +1

    Ebwana ee usihanithi watu apoo wewe baba nipigie ushaapishwa wee endeleya tuu na uzushi wako tuonane 2025 tuone n utaleta sarakasi gani mpuuzi wa kuzaliwa

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 3 ปีที่แล้ว

    Uchaguzi wa amani haukuwepo tukubali tusidanganyane tufanyw Sasa uchaguzi ujao uwe w amani kweli na utulivu

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndio mlianza kupiga watu mapanga msikitini mkilipiziwa mnalalamika.amani iwe kweli amani mkianza fujo mtapewa fujo.

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 3 ปีที่แล้ว +1

    FREE UAMSHO ZANZIBAR